Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA Tuliingia ndani ya nyumba hile na kushuka kwenye gari
Gonga94 ยท Stories

JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA Tuliingia ndani ya nyumba hile na kushuka kwenye gari

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
huku nikiwa naishangaa nyumba hile jinsi ilivyokuwa nzuri,ghafla walitoka ndani wasichana wawili ambao wakiwa na sura za tabasamu wakaenda kumkumbatia mjomba na shangazi
Niliwaangalia watoto wale na kugundua kwamba walikuwa watoto wa mjomba kwani walifanana sana na shangazi,mmoja alikuwa mrefu kuliko mwenzake japo sio sana kwani walikuwa wanakaribiana,walipomaliza kusalimiana wakanigeukia na kunisalimia huku wakinishika mkono.
SONGA NAYO
Niliwashika mkono kwa zamu huku nikifurahia kushikana mikono na watoto wale kwani walikuwa wazuri kupindukia,kule kwetu kijijini hakuna hata msichana mmoja ambaye angeweza hata kidogo kufanana nao,tulipomaliza kusalimiana wakanipokea mizigo na kuanza kuelekea ndani.
Tulipofika ndani nilikaribishwa sebuleni nilikuwa bado nashangaa shangaa kwani ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia katika sebule nzuri namna hile,kulikuwa na masofa ya gharama,meza ya kioo kabati kubwa la vyombo,kapeti la manyoya na vitu vingi vilivyofanya sebule hile ipendeze.
Nilikaa kwenye sofa moja wapo huku bado nikiendelea kushangaa uzuri wa sebule hile,kabla sijakaa vizuri alikuja mtoto mmoja wa mjomba na kuniuliza
"Kaka unakunywa kinywaji gani?"aliuliza
"Naomba soda"nilijibu
"Soda gani?'aliuliza
"Naomba fanta"nilijibu
Aliondoka na kuelekea kwenye friji sio siri alikuwa anatembea kwa maringo kiasi kwamba macho yangu yalikuwa yameganda kwa kumuangalia ,huko nyuma alikuwa na kasheshe kwani alikuwa amejazia kiasi cha kutosha kiasi kwamba nilihisi anapata tabu kutembea
Baada ya dakika kadhaa nilimuona akirudi huku ameshika soda mkononi,hapo nilipata chance ya kumuona kwa mbele,alikuwa na sura nzuri ya kuvutia huku ikipendezeshwa na tabasamu zuri alilokuwa analitoa kila mara,nilishuka mpaka maeneo ya kifuani hapo nilikutana na mwinuko mdogo wa matiti yaliyopendezesha kifua.
"mh mjomba kweli ana mtoto mzuri sana"nilijisemea kimoyo moyo
Nilikuja kushtuliwa na sauti nyororo ya yule mtoto wa mjomba au naweza kumuita binamu
"kaka karibu soda"alinikaribisha
"asante"nilishukuru
Alinifungulia soda kisha akaondoka,niliendelea kunywa soda yangu taratibu huku nikiangalia tv,baada ya kukaa kwa lisaa limoja nikaona meza ikiandaliwa kwa ajili ya chakula lakini nilishangaa aliyekuwa anaandaa meza alikuwa msichana mgeni ambaye sikumuona katika wale watoto waliokuja kunipokea.
Baada ya dakika kadhaa nilikaribishwa mezani kwaajili ya chakula wakati huo mjomba na shangazi nao walishajongea mezani,mezani tulikuwa watu sita mimi,mjomba,shangazi,watoto wa mjomba pamoja na mdada mwingine ambae nilikuwa simfahamu
Nilipakuwa chakula na kuanza kula huku watu wote wakiwa kimya,mjomba aliamua kuanzisha mazungumzo
"Thomas"mjomba aliniita
"naam mjomba"niliitika
"napenda uwafahamu dada zako"mjomba alisema
"sawa mjomba"nilijibu
'huyu unayemuona kulia ndo mwanangu wa kwanza anaitwa Prisca,huyu hapa kushoto kwangu ni mtoto wangu wa mwisho anaitwa patricia na huyo wa pembeni yako ni dada yetu wa kazi"mjomba alimaliza kutambulisha
"nashukuru kuwafahamu"nilisema
"na nyie huyu ni kaka yenu anaitwa Thomas"alinitambulisha
"tunashukuru kumfahamu"walijibu kwa pamoja
Wakati naendelea kula nilikuwa nawaangalia wote kwa zamu kwani wote walikuwa wazuri kupindukia japo yule mdogo ambae ndo Patricia alikuwa na umbo zuri sana kuliko mwenzake japo mwenzake nae alikuwa kajazia,macho yangu yakarudi kwa dada wa kazi sio siri nae alikuwa mzuri kwani alikuwa na umbo zuri pamoja na sura nzuri,nilipata wakati mgumu sana kumuangalia.
Tulipomaliza kula nilienda kukaa kwenye sofa huku naangalia tv wale watoto wa mjomba walipeleka vyombo jikoni,baada ya dakika tano walirudi sebuleni na kukaa sofa ya jirani huku wakiangalia tv,hakuna hata mmoja aliyemsemesha mwenzake wao walikuwa bize wakichezea simu.
Tulikaa muda wa dakika kumi bila mtu kumsemesha mwenzake,niliamua kuvunja ukimya na kuanzisha mazungumzo
"Dada prisca unasoma?"nilimuuliza
"mh yap"alijibu
"kidato cha ngapi?"nilimuuliza
"kidato cha tano"alijibu kimapozi
Nilimgeukia na mdogo nae nikaanza kumuuliza maswali kama niliyemuuliza dada yake nae akaanza kunijibu
"me nasoma kidato cha tatu"alijibu bila mapozi
"someni bwana kwani elimu ndio kila kitu sisi wengine tumeshashidwa huko tunaangalia ustarabu mwingine"niliwahasa
Tuliendelea kupiga story kwa muda mrefu japo yule mkubwa alikuwa haonyeshi ushirikiano kama mdogo wake,yeye muda wote alikuwa busy na simu na hata ukumuuliza swali alikuwa anajibu kimikato
Ilipofika jioni waliniaga wanaenda kuoga wakitoka tuendelee na story, mimi waliniacha pale pale sebuleni nikiwa bado naangalia tv,baada ya nusu saa walitoka wote wawili wakiwa wamependeza sana ila niliwashangaa nguo walizovaa kwani zilikuwa fupi sana zilizoonyesha mapaja yao
"mh hawa watoto wanamapaja meupe"nilijisemea
Walipita pale nilipokaa na kuelekea mlango wa kuelekea nje,yule mdogo aliniita ili tuende wote nje
"Kaka Thom twende tukakae kwenye garden tupige story"alisema yule mdogo
'Sawa nakuja"nilijibu huku nikisimama
Tulitoka nje na kuelekea kwenye garden kupunga upepo kwani ilikuwa ni jioni,tulipiga story kwa muda mrefu sana mpaka giza likaanza kuingia lakini kilichokuwa kinanishangaza ni mapozi ya wale mabinti kwani walikuwa wanabinua miguu yao kiasi kwamba mpaka nguo ya ndani zilikuwa zinaonekana
Nilipatwa na wakati mgumu sana kuangalia yale mapaja kwani ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuangalia mapaja ya mwanamke sababu sikuwahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote yule,tulikaa pale mpaka tunakuja kuitwa kwaajili ya chakula cha usiku.
Nilikula chakula cha usiku nilipomaliza nikaaga naenda kulala sababu siku hiyo nilikuwa na uchovu sana,nilionyeshwa chumba ambacho kilikuwa kwaajili yangu,niliingia ndani huku nikikiangalia chumba kwa umakini mkubwa sio siri kilikuwa chumba kizuri sana kwani kilikuwa na kitanda cha sita kwa sita,tv na vitu vingi vya kupendezesha
Nilikaa kitandani na kuanza kuvua nguo ili nikaoge nitoe uchovu ndio nilale,wakati navua nguo nilishangaa mlango wangu ukigongwa taratibu,nilibaki najiuliza nani anagonga mlango lakini sikuwa na majibu,ilinibidi niamke taratibu nikafungue mlango nijue nani anagonga.

CHOMBEZO-
Tangazo - Hostinger 2026 on fire
Hostinger 2026 on fire
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JAMANI BINAMU!!!!! SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA Tuliingia ndani ya nyumba hile na kushuka kwenye gari

huku nikiwa naishangaa nyumba hile jinsi ilivyokuwa nzuri,ghafla walitoka ndani wasichana wawili ambao wakiwa na sura za tabasamu wakaenda kumkumbatia mjomba na shangazi
Niliwaangalia watoto wale na kugundua kwamba walikuwa watoto wa mjomba kwani walifanana sana na shangazi,mmoja alikuwa mrefu kuliko mwenzake japo sio sana kwani walikuwa wanakaribiana,walipomaliza kusalimiana wakanigeukia na kunisalimia huku wakinishika mkono.
SONGA NAYO
Niliwashika mkono kwa zamu huku nikifurahia kushikana mikono na watoto wale kwani walikuwa wazuri kupindukia,kule kwetu kijijini hakuna hata msichana mmoja ambaye angeweza hata kidogo kufanana nao,tulipomaliza kusalimiana wakanipokea mizigo na kuanza kuelekea ndani.
Tulipofika ndani nilikaribishwa sebuleni nilikuwa bado nashangaa shangaa kwani ndio ilikuwa mara...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-binamu-sehemu-ya-pili-ilipoishia-tuliingia-ndani-ya-nyumba-hile-na-kushuka-kwenye-gari

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-binamu-sehemu-ya-pili-ilipoishia-tuliingia-ndani-ya-nyumba-hile-na-kushuka-kwenye-gari
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest