Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔥🔥 JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI😋😋  Sehemu ya nne
Gonga94 · Stories

🔥🔥 JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI😋😋 Sehemu ya nne

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


( shida ya maji shikamoo)

__________________________

👉 Nikubali au nikatae najiuliza hapa Dah yani...👇

Nikajikuta nimesema)

" Sawa.

( Kaka muuza maji akanikumbatia kwa furaha sasa naona mdomo wake anauleta mdomoni kwangu kabla ajanigusisha simu yake inaita ule mwanga wa simu ulinifanya nione aibu nikafumba macho yeye akaniachia akashuka kitandani kupokea simu)

" Haloo.

" Oya mzee anasema Kesho afungui Kuna sehemu anaenda Kwaiyo tulioweka madumu kule tukachote maji saizi tuyatoe tujue tunaweka wapi.

" Poa Kesho itakuwa magoli sana acha nichukue na dumu zengine zote nikusanye maji usiku huu huu.

" Poa mwana shida ya maji kwetu furaha tunapiga pesa Kesho mwendo wa dumu 1500 usilete pigo za huruma wakati dawasa wenyewe awana huruma na watu wao.

" Kauli za uchochezi izo ziache dawaso wanawapenda wateja wao ila maji ndio madogo nakuja.

( Alikata simu akaniambia)


" Mimi naenda kuchota maji sijajua nitarudi saa ngapi kama nitakesha wewe asubuhi funga mlango funguo weka juu ya mlango Sawa my.

" Sawa.

( Aliondoka akanifanya nizidi kuvutiwa na yeye anajali kazi sio mapenzi angekuwa mwengine hapa angeniambia nipige moja kwanza alafu niondoke maana baazi ya wanaume wanapenda chini kweli...Nililala asubuhi sana nikaondoka kwa mjumbe..kaka Muuza maji ajaja usiku tena alikuwa bize na maji uko...nikafika kwa mjumbe akanipeleka kwa mume wangu asubuhi akafungua mlango mjumbe akasema)

" Uyu amelala kwangu saizi wewe hasira zimeshuka tuonge.

" Subilini dada yangu anakuja.

( Dk tano nyingi kweli wifi kaja alafu wifi akawa kama yeye ndio mjumbe)

" Hee niambie sababu ya wewe kufukuzwa usiku hapa.

( Nikamweleza yote kisa mimi kumuona mume wangu anakula akadakia)
.
" Sasa wewe mtaa wa nne kule ulifata nini kama sio umbea aya umemkuta anakula kwanini ulishindwa kujizuia mtoto wa kike wamama zetu walikuwa wanapika kuku nyama zote wanawapa baba zetu wao wanakula miguu na vichwa...nyama mpaka wapewe ulizani wao walikuwa wajinga walikuwa wanajishikilia.

( Mjumbe akasema)

" Na aya kumpiga inakuwaje?

" Uyu ajapigwa kaonywa aliyepigwa anaweza kuzungumza mdomo saizi ungekuwa umejaa unafanya masihara na kupigwa nini?

" Sawa dada mtu hitimisho nini sasa maana wewe ndio umekuwa mjumbe.

" Hitimisho ajishikilie mtoto wa kike uyu sio jambo dogo anakimbilia Kwako mjumbe wewe ndio umemfungisha ndoa uyu ndoa uvumilivu.

" Sawa amekusikia ila kumbuka na wewe mwanamke.

" Tena mwanamke wa nguvu.

( Kesi ikaisha kwa mimi naonekana nina makosa...mume wangu akaacha 2000 ya kula ananiambia)

" Mimi naenda zangu pesa ya kula iyo.

( Mjumbe ananiangalia mimi kwa huruma sana alafu wifi akasema)

" Kachenji unipe buku ya pikipiki mimi mmenisumbua asubuhi asubuhi.

" Chukua tu yote mimi nitakoroga uji nitakunywa unga upo ndani.

" Sawa.

( Wifi akachukua ile 2000 akaondoka na mume wangu akaondoka mjumbe akaniambia)

" Yakikushinda chukua uhamuzi mimi naondoka zangu.

" Uhamuzi gani sasa mjumbe nichukue.

" Mimi sitaki nikufundishe kila kitu wewe wa kike tumia akili yako hapa akuna ndoa Bali kuna doa.

" Mjumbe unamahanisha nini?

" Wewe ukiwa mkubwa utajua acha niende mie.

( Nikawa nimebaki na mawazo nikiwa mkubwa nitajua...nilitoka nje nikatafuta cha kukila nikala pesa ninayo aliyonipa kaka muuza maji...alafu namuona yupo bize anapita anapambana kuuza maji...pale nilipokaa sasa karibu na butcher la nyama naangalia kwenye butcher namuona mume wangu yupo na mwanamke anamnunulia nyama....nikajificha anatoka buchani anamsimamisha kaka muuza maji)

" Oya dumu shilingi ngapi?

" 1500.

" Duu Leo yamepanda ivyo.

" Ndio.

( Mume wangu anamuuliza yule mwanamke)

" Baby tuchukue madumu mangapi?

" Matano yanatosha.

" Unajua Leo sirudi kwangu acha tuchukue Saba.

" Sawa.

( Nimesikia kwa masikio yangu mume wangu arudi kwangu...alafu hao wameshikana mikono wanaondoka na kaka muuza maji...roho iliniuma nikarudi nyumbani...kweli jioni ananipigia simu ananiambia)

" Nimekutumia elf tatu katoe 2500 ukanunue chips mayai ule ulale funga mlango Leo sirudi.

" Sawa.

( Nawaza sasa niende kumpa muuza maji anile au nivumilie...yani nipo kwenye mawazo makubwa Nikatoka naenda kununua chips mayai ile pesa yake wala sijaitoa nafika kwa muuza chips nakutana na kaka muuza maji..akaninunulia na mishikaki ya 5000 chips mayai juice juu uyu kaka anajali akaniambia)

" Vipi usiku upo uku mumeo yupo wapi?

( Uyu kaka amjui mume wangu ndio aliyemuuzia maji...na mimi nilivyokuwa mjinga nikamwambia ukweli kuwa mume wangu arudi ila sijamwambia yule aliyemuuzia maji...ila kaka wa maji anapenda kunipa mtihani akaniambia)

" Twende basi ukale kwangu arafu arafu kidogo.

" harafu harafu ndio nini.

" Unipe my kidogo ninyoshe kiuno si unajua kazi zetu izi.

( Yani nikajifanya mtoto)

" Nikupe nini?

" Tamu my naomba twende.

( Nawaza niende au nikasema kimoyoni kama mume wangu anakula saizi uko kwa mwanamke mwengine kwanini mimi niitunze acha nikampe muuza maji akaimwagie maji)

" twende.

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔥🔥 JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI😋😋 Sehemu ya nne



( shida ya maji shikamoo)

__________________________

👉 Nikubali au nikatae najiuliza hapa Dah yani...👇

Nikajikuta nimesema)

" Sawa.

( Kaka muuza maji akanikumbatia kwa furaha sasa naona mdomo wake anauleta mdomoni kwangu kabla ajanigusisha simu yake inaita ule mwanga wa simu ulinifanya nione aibu nikafumba macho yeye akaniachia akashuka kitandani kupokea simu)

" Haloo.

" Oya mzee anasema Kesho afungui Kuna sehemu anaenda Kwaiyo tulioweka madumu kule tukachote maji saizi tuyatoe tujue tunaweka wapi.

" Poa Kesho itakuwa magoli sana acha nichukue na dumu zengine zote nikusanye maji usiku huu huu.

" Poa mwana shida ya maji kwetu furaha tunapiga pesa Kesho mwendo wa dumu 1500 usilete pigo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-nne

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-kaka-muuza-maji-usinimwagie-maji-ndani-sehemu-ya-nne
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

900
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

496
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

436
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

313
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

238
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

102

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest