Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ ___________________________________   SEHEMU YA 15 Aliondoka nikabaki mwemyewe nilishinda
Gonga94 Β· Stories

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Aliondoka nikabaki mwemyewe nilishinda

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
na yule mdada wa kazi wangu Hafsa , nilijikuta nimemzoeaa sana kwasababu ni mchngamfu kama mimi hapa nilimpenda tu jamni huyu mdada maaana tulipiga umbea sana , mhhh hatimae usiku ulifika nikaa nipo natizam moviee mume wangu hajarudi kabisa

"Dada huendi kulala saaa hivi saa tano usiku? ,aliniuliza Hafsa mhhh usijali namsubiri mume wangu 🀭 arudi sijui atarudi saa ngpi yaani" nilimjibu Hafsa huku natabasamu nilionesha uchangamfu kwenye kumjibu " unadhani atarudi huyoo mhh sijuπŸ€·β€β™€οΈ " anaonekana anamfahamau sana mume wangu " una madini yaonekana hebu njoo ukae hapa" alikaaa karibu yangu " haya nambie kila unachojua kuhusu mume wangu"

"Yule mke wake ni ana matatizo ya uzazi hawezi kuzaa na wala hawezi kushika mimba ni miaka mingi wantafuta mtoto , naa hii inasemekana kwasababu kipindi cha ujana wake alikuwa anatoa sana mimba maan huyu alikuwa ni kam dada poa ila mwenye hadhi yake ....." wakati anendelea kuongeaa nilidakiaa kwa juu " wee subiri haya yote wee umeyajualiaa wapi binti mremboo?" Niliuliza kwa shauku kubwa mnoo

" mhh basi Bi mkubwa wako ana siri basi mhh , mimi si nishawahi kufanya kazi kwake kabla ya kuja hapa na mimi kaka ndio alinambiaa kuwa anaoa hakumwambiaa mkewe na familia yake iliamabiwa ikawa inagoma goma maan inaonekana wanamtukuza sana huy7 bi mkubwa wako kaka akawaambiaa wasije harusini kama vipi" alisema Hafsa " sawa nimeelewa ila sasa mimi nataka kitu kimoja tu kwanini wewe upo hapa , na kwanini mimi nimeolewa kwamba nimeolewa ili nimzalie aau, sio niwe nimeolewa kumbe naletwa kwa ajili ya kuzaa na enhee vipi kuhusu hawa walikutanaje wakat ushaniambia huyu alikuwa dasa poa?" Nilimuuliza Hafsa

"Hee sasa weee mmbea ila usijali kam kamati ndio ushaipata mimi mwenyew mmbea hataree " nakwambiaa na kugonga juu maan inaonekana tumekutana kichwa na shingoo hapa " mhh dada Bilqis mwenzako yulee ilikuwa ni dada na kitu ambacho hawezi ni kuzini alikutana na huyu mdada yeye akamueelewa akaombaamuoe , alivyofikisha taarifa kwaoo mhhh wazazi acha wamgomee nakwambiaa shoga yangu ilikiwa hataree unaambiwa huyoo bi mkubwa wako sijui alimroga jamni aliendaa kufunga hadi ndoaa ya mahakani yaani wale ndoa yao ni ya mahakama na sio ya kanisani wala msikitini kama hujui ili tu asizini kwa hiloo niseme ukweli ntakuwa namsemea uongo boss wangu , akipenda , akitamani anaoa na wewe sio kwamba ni wa kwanza kuolewa ila huyu mke mwenzio huwa anatafuta kila mbinu mtu aaachike kuna muda hadi mimi alikuwa anahisi boss atanioaa, yaani anajifnaya ana wivu mhhh kumbe hana lolote yeye mwenyew ana wanaume tena hadi ana wapeaa pesa hao wanaume wenyew jinsi gani alivyokuwa hana huruma hata roboo yaani ni mshenzi kaka anampa kila kitu lakini anahonga , na hamuachi sijui ni kwanini ila hamuachi jamani mhhh πŸ™Œ" alisema hafsa

"Hee kwahyo mimi sio wa kwanza kuwa mke wa pili?" Niliuliza kwa mshangaoo " mhh mbona una wasi wasi wewe sio wa kwanza kuwa mke wa pili tena wengi huwa wanaondoka wenyewe mimi nahisi huyu mwanamke analojambo kamfanyiaa kaka sio buree aise " nilimtizama sikumjibuu niliinuka nikaingia zangu kulala , ila sikuenda kulala nilikiwa nawaza , mhh mimi ntafanay kula njiaa , ila siondoki labda aondoke yeye na sio mimi hapa kama anatumia dawa mimi nitatumiaa swala zangu ila haachiki mtu hapa πŸ€” vita ni vita muraa

Itaendelea.......πŸ”₯
Tangazo - Hostinger
Hostinger
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Aliondoka nikabaki mwemyewe nilishinda

na yule mdada wa kazi wangu Hafsa , nilijikuta nimemzoeaa sana kwasababu ni mchngamfu kama mimi hapa nilimpenda tu jamni huyu mdada maaana tulipiga umbea sana , mhhh hatimae usiku ulifika nikaa nipo natizam moviee mume wangu hajarudi kabisa

"Dada huendi kulala saaa hivi saa tano usiku? ,aliniuliza Hafsa mhhh usijali namsubiri mume wangu 🀭 arudi sijui atarudi saa ngpi yaani" nilimjibu Hafsa huku natabasamu nilionesha uchangamfu kwenye kumjibu " unadhani atarudi huyoo mhh sijuπŸ€·β€β™€οΈ " anaonekana anamfahamau sana mume wangu " una madini yaonekana hebu njoo ukae hapa" alikaaa karibu yangu " haya nambie kila unachojua kuhusu mume wangu"

"Yule...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lawyer-naumia-mwenzio-___________________________________-sehemu-ya-15-aliondoka-nikabaki-mwemyewe-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lawyer-naumia-mwenzio-___________________________________-sehemu-ya
*1- - - - - - - - 5* π—Ÿπ—”π—ͺπ—¬π—˜π—₯ π—‘π—”π—¨π— π—œπ—” 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—­π—œπ—’ ___________________________________ SEHEMU YA 1 "Kwahyo huyo mwanaume unamlilia wa nini sasa wakati ni kweli kashakuacha tayri, na bora

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest