Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06
Gonga94 · Stories

MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
MIMBA YA BESTMAN❤️*
*SEHEMU YA 06
___________________________________

SEHEMU YA 06
Mulky akiwa amezubaa wenzake wakiendelea kuongea na hakuwa anasikia chochote maana akili yake ilikuwa inawaza mbali sana.
Hamida aligundua hilo alimuita
" Mulky, mulky.....
Mulky hakusikia mpaka yule muhudumu aliekuwa akimhudumia aliposhika begani na kumwambia.
" Mulky unaitwa na Hamida.
Mulky alimuangalia Hamida.
" Vipi upo sawa kweli?
" Ndio nipo sawa ulikuwa unasemaje?
" Basi tutaongea badae.
Wakiendelea kupatiwa huduma walipomaliza waliondoka pamoja mulky aliwapa lifti wakaanza kumpeleka mwajuma nyumbani kwake.
Kwenye gari walibaki wawili Hamida na mulky.
Hamida alimuangalia akahisi kuna jambo haliko sawa kwa Mulky na hataki kusema.
" Mulky kuna jambo unanificha?
" Hapana Hamida"
" Kuwa muwazi tafadhali. Au una matatizo kwenye ndoa yako?
" Hamida sijui nianzie wapi kukueleza ....
" Anza popote.
"hebu nipe muda kwanza.
" Kwahiyo unataka kufa na siri so ndio? Na tangia lini tukafichana kwenye mambo yetu unakumbuka siri zangu nyingi na nzito nimekuwa nikikushirikisha vipi wewe unifiche mambo yako?

Mulky alitafuta sehemu akaenda kusimamisha gari kwanza alafu alimgeukia Hamida wakawa wanaangaliana.
" Niambie sasa.
" Hamida nina jambo linaumiza sana kichwa changu na sijui mitatatua vipi shida hii.
" Ndio uniambie tushauriane.
" Hivi una jua tangia nime......
Kabla mulky hajamaliza kuongea alisikia mtu anagonga kwenye kioo cha dirisha la gari yake akageuka kumuangalia na kufungua kioo , alipomuangalia vizuri yule mtu aliachia tabasamu.
" Waoooo Sameer umekuja lini?
" Nina siku mbili tangia nimekuja.
" Mbona Yasini hajaniambia kuwa umerudi?
" Hata nae hana taarifa kama nimerudi nataka kumfanyia surprise na hapa nilipo nilikuwa naelekea nyumbani kwenu.
" Basi sawa acha tuongozane pamoja.
" Kama una mambo yako fanya kwanza.
" Sina cha muhimu .....
" Lakini upo na mwenzio.
" Usijali kuhusu mimi hata hivyo nimefika nilikuwa nasikia hapa. Alisema Hamida na mulky akamuangalia
" Usijali shoga yangu nenda kamuandalia mgeni wako.
" Lakini mimi sio mgeni ni mwenyeji sana. Alisema Sameer .
" Kweli Sameer sio mgeni kwani umesahau?
" Sio kumsahau nahisi simjui kabisa.
" Jamani Hamida huyu si ndio yule bestman wa Yasini aliyesimamia kwenye harusi yangu.
Rafiki kipenzi wa Yasini .
" Hapo nimeshaanza kupata picha , lakini kabadilika .
" Nimekuwa mzee sindio?
Sameer aliongea kama utani.
" Hapana unazidi kuwa handsome.
" Hahahaha masihara hayo.

Baada ya kutambulisha na na kupiga story mbili tatu Sameer alienda kupanda kwenye gari yake na mulky aliachana na Hamida.
" Hamida nikipata muda nitakuja kwako tuongee.
" Sawa fanya hivyo kipenzi.
" Sawa.
Hamida alifungua mlango wa gari akashuka Mulki akapelekwa nyumbani kwake.

Mulky alielekea nyumbani kwake huku wakiwa anafuata gari ya Sameer kwa nyuma hivyo walifika nyumbani pamoja.
" Karibu sana Sameer.
" Asante .
Waliingia ndani huku Sameer akiwa anaangalia mazingira.
" Naona ndoa tamu sana.
Mulky alimuangalia Sameer alafu akacheka kidogo.
" Kwanini unasema hivyo?
" Naona jinsi ulivyonawiri mtoto wa kike.
" Acha utani bwana mbona nipo kawaida.
" Huo ni mtazamo wako lakini kwa upande wangu umependeza jamaa yangu kaweza majukumu yake kama mume.
" Tuachane na hayo niambie unakunywa kinywaji gani?
" Nichaguliwe chochote kilichopo.
" Kuna juice ya mabasi, embe na passion. Pia kuna soda.
" Unajua mimi sio mpenzi wa soda niletee juice.
" Sawa nipe dakika chache.
" Sawa.
Mulky alienda kuchukua juice akamtengea mgeni wake nae akakaa wakawa wanaongea mawili matatu.
Baada ya muda Yasini alirudi kutoka kwenye mihangaiko yake alifurahi kumuona Sameer walikumbatiana na kujuliana hali kwa furaha.
" Mbona umekuja bila kunipa taarifa?
" Nilikuwa nataka kukifanyia surprise.
" Surprise gani? Sijapenda.
" Basi yaishe .
Walienda kukaa wakaendelea na story zao huku mulky akiwaacha na kwenda jikoni kuandaa chakula.

Mara kwa mara Sameer alikuwa akienda nyumbani kwa Yasini walikaa na Mulky wakawa wanapita story mara nyingine walikuwa wanacheza game pamoja hiyo ilikuwa nafuu sana kwa Mulky hakuwa na mawazo sana alifurahia sana uwepo wa Sameer.

Kuna siku wazazi wa Yasini walienda kuwatembelea nyumbani kwao . Shangazi yake Yasini alimuuliza Yasini.
" Yasini mbona unachelewesha mambo nilijua nikija nitakuta hali ipo tofauti.
" Unamaanisha nini shangazi?
" Wifi hebu achana na hayo.
Alisema mama Yasini huku akiwa anamuangalia mulky .
Wakati huo mulky alikosa furaha ghafla.
" Wifi hawa watoto ukisema iwaache hivi utakuta bila kuona mjukuu vijana wa siku hizi hawajali kuhusu familia utandawazi unawamaliza vijana wetu.
Yasini alimuangalia shangazi yake kwa jicho kali kisha akamuangalia Mulky ambae alikuwa kajiinamia .
" Shangazi haya ni maswala yangu na familia yangu nisingependa mtu mwingine aingilie na swala la kupata watoto ni mipango wangu na mke wangu.
" Wifi ona Yasini anavyojibu wakati namtetea yeye mwenyewe.
" Kila jambo na wakati wake wifi sisi ni binadamu hatuwezi kumpangia Mungu.

Yasini hakutaka kuendelea kusikiliza marumbano yao alienda kumchukua mke wake wakaenda ndani.
" Ona sasa wanaondoka na kutuacha hapa hiyo ni heshima ya wapi? Alafu huyu Yasini huyu tangia ameowa amekuwa na dharau flani hivi.
" Umeyataka wifi unafikiri yule mtoto wa watu anajisikiaje na ndio kwanza siku ya kwanza umekuja na maneno ya akitoka hivyo? Na mwanangu hana tabia hiyo usimtoe mdomoni kwa mabaya.
" Kwahiyo wifi wewe imeridhika na hili huna mjukuu au hautaki kulea wajukuu mwenzetu?
" Kama imepangwa miles nitakuwa tu tunatakiwa kuwa na Subra.

Yasini na Mulky walienda chumbani kwao , Yasini alimkalisha mke wake kitandani nae akakaa pembeni.

Full 1000
whatsp 0784468229
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 06

MIMBA YA BESTMAN❤️*
*SEHEMU YA 06
___________________________________

SEHEMU YA 06
Mulky akiwa amezubaa wenzake wakiendelea kuongea na hakuwa anasikia chochote maana akili yake ilikuwa inawaza mbali sana.
Hamida aligundua hilo alimuita
" Mulky, mulky.....
Mulky hakusikia mpaka yule muhudumu aliekuwa akimhudumia aliposhika begani na kumwambia.
" Mulky unaitwa na Hamida.
Mulky alimuangalia Hamida.
" Vipi upo sawa kweli?
" Ndio nipo sawa ulikuwa unasemaje?
" Basi tutaongea badae.
Wakiendelea kupatiwa huduma walipomaliza waliondoka pamoja mulky aliwapa lifti wakaanza kumpeleka mwajuma nyumbani kwake.
Kwenye gari walibaki wawili Hamida na mulky.
Hamida alimuangalia akahisi kuna jambo haliko sawa kwa Mulky na hataki kusema.
" Mulky kuna jambo unanificha?
" Hapana Hamida"
"...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimba-ya-bestman-sehemu-ya-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimba-ya-bestman-sehemu-ya
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
*MIMBA YA BESTMAN❤️* *SEHEMU YA 11~12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

590
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

489
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

472
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

321
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

221
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

74

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest