Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........05
Whatsapp..............0613083801

Ilipoishia.......
Kutokana na mazingira kuwa mageni kwa Angelina alijikuta akiwa bize kushangaa kuliko kuangalia mbele anakoelekea bahati mbaya aligogana na mtu mtu aliyekuwa mbele yake na kuanguka chini......

ENDELEA NAYO......
Ulikuwa ni mgogano uliompeleka mpaka chini Angelina na alinyenyua uso wake kumtazama mtu aliyegongana nae,
"Nilijua tu, mtu kama wewe hufai kufanya kazi kwenye hili kampuni sijui umempa nini mama mpaka akakupatia iyo nafasi", alikuwa ni Albert aliyegongana na Angelina na kumfanya mwanadada huyo kuanguka.
"Samahani ilikuwa ni bahati mbaya kaka angu sikuzamilia kabisa", Angelina alijibu kwa upole.
"Emu nyenyuka huko unitokee hapa", Albert aliongea kama vile anaongea na mtoto wake, Albert alinyenyuka na kuondoka maeneo Yale.

Tukio lile Mary aliliona na kumfanya asite kidogo kumfata Albert na kufanya kile alichopanga kukifanya.
"Mmmh, kumbe yule kaka ni mkali kiasi hicho,Leo sitakiwi kufanya nilichopanga kufanya ngoja nitafanya siku nyingine ngoja ",Mary aliongea na kuamua kuondoka maeneo yale hakutaka tena kufanya kile alichopanga kufanya.

Albert baada ya kumfukuza Angelina alichukua simu yake nakumpigia Diana,
"griiii,griiiii,griii", Diana aliitazama simu yake na kukuta mtu anayempigia ni Albert,kabra hajaipokea alikumbuka maeno ya baba yake pia makubaliano waliyowekeana aliamua aipoke,
"mambo vip Diana ",sauti ya upande wa mpigaji ilisikika.
"Niko poa dear hofu kwako Albert"
"Njoo katika kampuni yetu ujisajili leo zimebakia siku chache tu usajili ufungwe na pia semina zimekaribia kuanza yakupaswa ufanye haraki kipenzi", Albert aliongea na kumpa tarifa Diana.
"Sasa ivi tu nakuja na pesa za usajili nitakuja nazo hapo",Diana alikata simu na kwenda kujianda ili aende sehemu husika.

Siku zilizidi kusogea huku ikiwa imebaki siku moja tu  usajili uweze kufungwa na mwanadada Diana alifanyikiwa kujisajili baada ya kupata msaada kutoka kwa Albert licha ya mwanamama katalina kupinga lakini Albert alilazimisha mpaka akafanyikiwa kumsajili Diana.

Angelina nae alikuwa ameshazoea yale mazingira ya kazi licha ya zalau alizokuwa anapata kutoka kwa baadhi ya wanadada waliokuwa wakija pale lakini alichukulia kama changamoto tu ya kazi,
Siku hiyo alipeleka kinywaji ofisini mwa Mwanamama katalina aliyemkuta kakaa kwenye kiti chake akiaw bize na kuhakikisha usajili wa washiriki,
"Mama ulisema nikuletee cocoa hii hapa", Angelina aliongea huku akiweka kikombe kile cha cocoa katika meza ya mwanamama katalina.
"Ahsante sana mwanangu alafu emu kaa hapo uniambie, historia ya elimu yako ikoje mwanangu?",Mwanamama Katalina.
"Mama mimi nimesoma mpaka chuo kikuu pia na shahada ya biashara na nilimaliza mwaka Jana ila kutokana na ugumu wa maisha imenilazimu nijichanganye mtaani", Angelina aliongea.
"So,you can speak English?"(kwahiyo unaweza kuongea kiingeleza?),Mwanamama katalina alimuuliza Angelina.
"Yes, I can speak (ndio ninaweza kuongea)", Angelina alijibu.
"Safi kabisa mwanangu jiandae na wewe jina lako naliingiza kwenye mashindano ya uMiss Tanzania ", katalina aliongea nakumfanya Angelina atoe macho kwa kile alichokisikia.
"Lakini mama mimi sizani kama nitaweza naomba ubadilishe maamuzi yako",Angelina aliongea.
"Beatrice alikuwa rafiki yangu sana na wewe ni kama mwanangu ndio mana unaniita mama ivyo nisingependa upinge kile ninachokisema, garama zote nitasimamia mimi unatakiwa ufanye kile ninachotaka na usiogope kuhusu kazi yako utakuwa unafanya na kushiriki pia semina zitakazokuwa zikiendelea", mwanamama katalina aliongea.
"Lakin......"
"Mmmh Angelina nimeshamaliza kuongea licha ya ivyo wewe ni mzuri sana ndiyo mana nimeamua kuliweka jina lako kwa watu watakao shiriki",Mwanamama katalina alimaliza kuongea na kumfanya Angelina atoke katika ofisi yake akiwa na mawazo juu ya kile alichoambiwa.

Mda wa kazi uliisha alirudi nyumbani na kumwelezea mama yake kile alichoambiwa na Mwanamama katalina,
"Mimi nina kubaliana na maneno ya rafiki yangu Katalina, mwanangu kushiriki sio dhambi ata Kama ukishindwa halitakuwa tatizo lakini ukishinda unaweza kuyabadilisha maisha yako kabisa, mimi kama mama yako naomba ukashiriki hayo mashindano", Beatrice alimwambia mwanae na kumfanya akubali kushiriki kishingo upande kwa ajili ya kumlizisha mama yake na Mwanamama katalina.

Upande Mwanadada Diana leo aliamua kwenda supermarket na alifika nakuanza kununua vitu vilivyo mfanya awe pale lakini alishituka baada ya mtu kumgusa mgongoni na kumfanya ageuke,
"Tumekutana tena kwa mara nyingine, vip unanikumbuka ?", Sauti ya mwanaume ndiyo iliyosikika katika masikio yake.
"Hapana sikukumbuki kabisa", Diana alijibu na kumfanya mwanaume huyo kucheka.
"Naitwa Stewart, na tulikutana airport nikajitambulisha kwako Diana", Stewart aliongea.
"Umelijuaje jina langu na nani aliyekwambia?",Diana aliongea wakati huo wakitembea pamoja katika supermarket hiyo huku akiendelea kuangalia vitu mbalimbali vilivyomfanya awe pale.
"Umesahu kama plate namba ya gari lako imeandikwa kwa jina lako",Stewart  aliongea kwa kujiamini.

Kipindi Diana anawasili pale supermarket  Stewart  aliweza kumuona akishuka kwenye gari lake na yeye alikuwa maeneo hayo ya nje ndipo alipoamua kumfata mpaka ndani.

Diana hakuwa na kingine tena sababu ni kweli plate namba ya gari lake kuna jina lake,
"Okay,Nini unataka kutoka kwangu?"
"Namba yako Diana, sina kingine zaidi ya kuhitaji namba yako",Stewart  aliongea kuonyesha kweli anauhitaji wa namba ya Diana.
"Kama shida ni namba lipia vitu vyote nilivyonunua hapa utaipata namba yangu",Diana  aliongea akijua amemkomesha Stewart .
"Mbona vichache ulivyo chukua ongeza vingine mpaka utakapolizika".
Maneno ya Stewart  yalimfanya Diana akili kuwa amejikologa kumpa sharti lile ila hakuwa na pingamizi tena zaidi ya kutimiza ahadi yake, alinunua vitu alivyovitaka na kweli Stewart  alilipia na wakabadilishana namba za simu.
               
Ndani ya kampuni la FNF Semina na mafunzo mbalimbali yalianza kutolewa kwa warembo wote waliosajiliwa kwenye mashindano hayo husika kwa kufundishwa namna ya kutembea kimiss ili wasije kulitia aibu taifa siku ya tukio ,Diana akiwa ameka siku iyo akifatilia mafunzo waliyokuwa wakipatiwa alishangaa kumuona Angelina   maeneo hayo tena akiwa kama mshiriki wa mashindano,alikuwa na kisasi na Angelina kwa kosa la kumwagia kahawa na kumpiga kibao,
"inawezekanaje huyu binti aliyetumwagia kahawa na kunipiga kibao awe ni moja ya washiriki?, kwani Albert  hajui kama yupo hapa?",ni maswali aliyokuwa akijiuliza yasiyokuwa na majibu ila palepale aliamua kumtumia ujumbe Albert.

Upande wa Albert  alipata ujumbe kutoka kwa Diana uliomshitua kidogo,
"Yule binti aliyetumwagia kahawa na kunipiga kibao nimoja ya washiriki wenzetu katika mashindano haya ulikuwa  unalijua hili Albert kama yupo hapa na anashiriki haya mashindano?",Albert  ata yeye alishituka kuuona ujumbe ule.

Licha ya kufanyakazi kwenye ile kampuni alikuwa hajui kama Angelina na yeye ni moja ya washiriki.
"Ina mana mama ameona kumpa kazi haitoshi akaamua kabisa ampe nafasi ya kushiriki mashindano ya Miss Tanzania!!",ni mawazo ya kijana Albert aliyoyapata kutokana na ujumbe aliotumiwa na Diana.

Alinyenyuka na kutoka ndani ya ofisi yake Moja kwa moja alielekea sehemu ambayo semina inafanyikia ili ajihakikishie kwa macho yake mwenyewe.
Ndani ya dekika kadhaa tu alifika nakuanza kuangaza kama atafanyikiwa kumuona Angelina maeneo yale na kweli katika kuangaza alimuona akiwa kama moja ya washiriki lakini wakati yeye anamtazama Angelina, Faith alimuona na kumjulisha rafiki yake Mary,
"Wewe Mary yule kule mtoto wa kiongozi",Mary alitazama nakumuona Albert kasimama kwa pembeni kabisa akimtazama Angelina.
"Shoga yangu nakuja Sasa ivi tu",Mary alitoka nakumuacha rafiki yake huyo na bira kumwambia ni kipi anachoenda kufanya.

Alienda mpaka alipo Albert nakumgusa begani na hii kumfanya ageuke kuangalia ni nani huyo, alikutana na sura ngeni na hakuwahi kuiona hapo kabra,
"Naomba unifate",Mary aliongea pasipo ata kumpa nafasi Albert  ya kuongea.....ITAENDELEA.

Mary anatamwambia nini Albert inakuja sehemu ya 6

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
 
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........05
Whatsapp..............0613083801

Ilipoishia.......
Kutokana na mazingira kuwa mageni kwa Angelina alijikuta akiwa bize kushangaa kuliko kuangalia mbele anakoelekea bahati mbaya aligogana na mtu mtu aliyekuwa mbele yake na kuanguka chini......

ENDELEA NAYO......
Ulikuwa ni mgogano uliompeleka mpaka chini Angelina na alinyenyua uso wake kumtazama mtu aliyegongana nae,
"Nilijua tu, mtu kama wewe hufai kufanya kazi kwenye hili kampuni sijui umempa nini mama mpaka akakupatia iyo nafasi", alikuwa ni Albert aliyegongana na Angelina na kumfanya mwanadada huyo kuanguka.
"Samahani ilikuwa ni bahati mbaya kaka angu sikuzamilia kabisa", Angelina alijibu kwa upole.
"Emu nyenyuka huko unitokee hapa", Albert aliongea kama vile anaongea na mtoto wake, Albert alinyenyuka na kuondoka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-05

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

562
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘

537
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

524
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

363
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

329
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

224
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

73
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest