Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA TISA*  "Hellow Anaya, nimerudi kwaajili yako"
Gonga94 ยท Stories

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA TISA* "Hellow Anaya, nimerudi kwaajili yako"

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Hapo ndio nikashtuka Kuwa sikuwa nimekata simu hivyo kwa haraka nikakata na kumwambia.

"Ndio nini sasa Wala haifurahishi"

"Kwangu inafurahisha sana tu kwasababu nimesikia ni kiasi gani napendwa, anaya, hivi unaijua raha ya kujua unapendwa na unayempenda?"

"Nani anakupenda?"

Nilimuuliza nikiwa naangalia tu chini maana ni aibu sana kwa upande wangu, imagine Nimejiachia mineno yote hiyo halafu muhusika yupo

Frank akanisogelea Karibu kabisa na kushika mikono yangu kisha akazungumza.

"Hivi ndio unanipenda klasi hiko ?"

"Frank ata Sijui unaongea pumba gani kwa wakati huu, niachie nikafanye kazi"

"Una Uhakika unataka kufanya kazi ?"

Frank aliniuliza.

"Kwani Nimekuja kucheza hapa au? We Sijui ukoje jamani Basi Naomba unipishe please"

Frank ni Kama alipania kunichokoza kwa siku hiyo, kwa mwendo wa haraka akasogelea mlango na kuufunga kisha akaanza kunisogelea.

Jinsi ambavyo frank alikuwa akinisogelea, kuna Namna nilijikuta nikianza kuogopa, nilijikuta tu nikikumbuka siku ya kwanza Mimi kukutana na frank na kuutoa usichana wangu, Walahi wasiwasi ulikuwa wa hali ya juu sana, nikajikuta nikianza kurudi nyuma nyuma na mwisho nikafikia Ukuta, na sikuwa na uwezo wa kwenda. kulia Wala Kushoto

"Frank usinisogelee"

Nilimwambia frank nikiwa na wasiwasi sana, kWa upande wa frank hakuweza ata kunisikiliza aliendelea kunisogelea uku akiwa na tabasamu. pana usoni mwake.

"Frank nitapiga Kelele ujue"

Niliendelea kumsisitiza ilitu asiweze kunisogelea lakini ilikuwa ni kazi bure, Yaani frank alikuwa amejipanga sana na hakuwa akiogopa.

Frank alinisogelea na mwisho alinifikia, na

kwaajili ya kuniziba kidomo domo changu frank akaanza na kiss moja la kiufundi, Sawa Mimi sio mzuri kwenye haya mambo lakini ili kiss ni la kiufundi.

Nikaanza kumsukuma frank kwa style ya sitaki nataka, Yaani namsukuma uku moyoni nasema

ongeza kidogo baba fla nyie Mimi mmmh nastahili maombi, naitaji mniombee.

Basi frank Bwana kwenye haya mambo alikuwa mzoefu aswaaah, alifanya kila alichokijua

mwisho nilijikuta nikimpa sapoti ya kutosha, mwili wangu wote uliishiwa nguvu, Yaani Sijui niwaambie kitu gani lakini frank aliweza kuliona. ilo na hakuweza kupoteza muda chapu akajinyanyua.

Muda huo huo tukasikia sauti ya mlango ukigongwa, haraka frank akanishusha na kwa pamoja tukaanza kujiweka Sawa.

"We frank tangu lini umeanza kujifungia mlango

Ilikuwa ni sauti ya boss, Yaani baba mzazi wa frank.

"Sio Mimi baba ni Anaya huyo"

Alijibu frank kisha akasogelea mlango na kufungua.

"Kwanini mnajifungia miango muda huu?"

Alizuliza boss baada ya kuingia Ndani.

KWa upande wangu kwakweli sikuwa ata na cha kufanganya nilibaki nikimtumbulia macho frank, Walahi nilikuwa nikitilia huruma Yaani Kamal mchawi aliyenasa kwenye kanisa analosali kila siku.

"Baba ni Anaya ndio alifunga mlango kisa tu nilimtania Kuwa natoka na nitarudi kesho"

"Na ulikuwa unataka kwenda wapi na kuna kazi

muhimu nimekukabizi ?"

Baba frank alimuuliza Kijana wake.

Hapo kidogo nikapata Ka nafasi na mimi Nikadakia

"Bora useme wewe boss labda ata kuelewa, me nimemwambia Wala ajanielewa ndio maana nimeamua kumfungia tu umu Ndani.

Boss akaniangaukia kisha akanipa Tano na kuniambia.

"Good job Anaya, Yaani huyu asikufanye kazi zikakwama Sawa? Yaani ata ukipata muda wa kumchapa Viboko wewe chapa tu

Hapo wote kwa pamoja tukacheka kisha boss akafanya kilichomleta na kuondoka zake.

Siku hiyo Mimi na frank tukawa ni watu wa kuangaliana na kuchekeana tu Kama hatuna

akili nzuri Yaani Kama mtu angekuja ofisini kwetu na kutuangalia Mimi na frank lazima angeamini Kuwa Mimi na frank hatuna akili nzuri.

Majila ya kwenda Nyumbani siku hiyo nikapewa lifti na frank, nyieeee huyu kama ako na rangi Saba Jamani Yaani huyu frank ambave namuona siku ya Leo ni frank tofauti sana na

Yule ambaye nimeemzoea siku zote, jamani kaka Anajali huyu, kaka anajua kudekeza na

kubembeleza, frank yuko romantic kuliko Mimi mpaka inafikia hatua sasa mimi ndio najiona Kama mandonga mtu kazi

*SEHEMU YA KUMI*

Siku ziliendelea kwenda uku ukaribu wangu na frank ukia
Tangazo - Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
Kazi ya jela ilinifanya niwe malaya full story ni Tamu balaaah
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MKAKA KAUZU HUYU JAMANI* *SEHEMU YA TISA* "Hellow Anaya, nimerudi kwaajili yako"

Hapo ndio nikashtuka Kuwa sikuwa nimekata simu hivyo kwa haraka nikakata na kumwambia.

"Ndio nini sasa Wala haifurahishi"

"Kwangu inafurahisha sana tu kwasababu nimesikia ni kiasi gani napendwa, anaya, hivi unaijua raha ya kujua unapendwa na unayempenda?"

"Nani anakupenda?"

Nilimuuliza nikiwa naangalia tu chini maana ni aibu sana kwa upande wangu, imagine Nimejiachia mineno yote hiyo halafu muhusika yupo

Frank akanisogelea Karibu kabisa na kushika mikono yangu kisha akazungumza.

"Hivi ndio unanipenda klasi hiko ?"

"Frank ata Sijui unaongea pumba gani kwa wakati huu, niachie nikafanye kazi"

"Una Uhakika unataka kufanya kazi ?"

Frank aliniuliza.

"Kwani Nimekuja kucheza hapa au? We Sijui ukoje jamani Basi Naomba unipishe please"

Frank ni Kama...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mkaka-kauzu-huyu-jamani-sehemu-ya-tisa-hellow-anaya-nimerudi-kwaajili-yako

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mkaka-kauzu-huyu-jamani-sehemu-ya-tisa-hellow-anaya-nimerudi-kwaajili-yako
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest