Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 13/14  Kingston alibakia kunitizama tu🙈🙈mi ikabidi nifunge macho yani kuna vile viaibu vya kike
Gonga94 · Stories

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 13/14 Kingston alibakia kunitizama tu🙈🙈mi ikabidi nifunge macho yani kuna vile viaibu vya kike

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kwa mtu unayemcrashia🙈 unakuwa huwezi kumwangalia akiwa karibu yako..

Aliniambia et niende chumbani kwake kwenye droo kuna dawa ya kuchua nimletee🥰🥰🥰..

Nilielekea chumbani wakati naangaza dawa nikashangaa Kingston amenifuata kule chumbani😳😳nilitetemeka😂🙌

Alikaa kitandani akanishika don't be afraid...endelea kutafuta dawa..

Niliendelea kutafuta dawa mpaka nikaipata🥰🥰nilimpatia akaipokea then akaniomba niketi pale kitandani lol lol lol sema kuogopa😂😂🙈

Nilikaa lakini hapo natetemeka mpaka jasho linanitoka🙈🙈

Baada ya kuketi kitandani nikashangaa Boy ananilaza chali 😳😳 apana kaka unataka kufanyaje...

Sauti iliniumbua kwa jinsi nilivyokuwa najisikia hisia mpaka sauti ilibadilika🙈

Alirudia kuniambia Don't worry Zarina tulia mi nataka nikupatie matibabu...

Oooh kumbe basi nikakituliza🙈lakini kila akinigusa jamaa nasisimka mwili mzima😂🙌

Nilipata tabu ukizingatia maeneo anayonishika ni shingoni hisia zote ziko hapooo🙈🙈🙈

Nilimsumbua😂😂😂alikuwa akinishika tu namtoa maana nilikuwa nahisi ni kama ananitekenya🙈🙈

Nini shida zarina just relax nikupake dawa....vipi unaumia?....

🫦🫦ndiyo panaumaa....nilijibu kwa sauti ya chumbani huku nikitamani tu aendelee kunishika shika🙈

Baada ya kumwambia panauma akapunguza spid akawa anasugua taratibu huku akinitizama machoni dah🫦💋..

Aliendelea kunifanyia vile mpaka dawa ikanienea kwenye jeraha lote..

Alipomaliza aliniinua nikaketi akaniambia tena samahani naomba unisamehe kwa kukuumiza..

Mhh ni sawa kaka tayari nishakusamehe...
Nilimjibu huku nikiondoka chumbani kwake🙈🙈nilitamani hata anizuie nibakie kule chumbani jamani😂🙈

Moyo ukazidi kumpenda Kingston bila kujali yale yote niliyoweza kuyashuhudia kwa macho yangu mwenyewe🙌

Wanasema mtu akipenda haoni anakuwa kipofu na maskio anaziba anakuwa hasikii la mkuu wala la nani...ndo kama mimi nilivokuwa kwa Kingston..

Nilijaribu kuficha hisia zangu kwa kadri ya uwezo wangu lakini nilishindwa💔

Siku moja niliamua kumwandikia barua Kingston maana kuongea naye kwa mdomo nilihisi nitashindwa🙈..

Nilijifungia chumbani kwangu nikachukua kalamu na karatasi mida ya usiku ambapo kila mtu alikuwa yuko chumbani kwake...

"Dear Kingston"

Nilianza hivooo wakati huo vimaneno kidogo vya kizungu nishavikalili kutoka kwa Kingston😩 mara nyingi hupendelea kuongea kizungu yule mkaka🤗🤗..

Nilitililika kila kitu unachokijua wewe😂😂😂hizo nakupenda ndo usiulize nilizijaza ndi🙈

Baada ya kumaliza nikamchorea na kiua cha love pale mwishoni hahahaaa🙈😂😂

Msinicheke maana na nyinyi haya mambo mmeyafanya sana pumbavu zenu kujikuta watakatifu wakati ndo walewale😂😂

Basi bwana nimemaliza kuchora kiua nikamalizia kwa kuandika na jina pale et wako mpendwa zarina hahahaaaa😂😂🙈mpaka najisikia aibu walah..

Basi my wenu nikarudia kusoma isijekuwa kuna michapio nimeandika nikaenda kuiaibika kwa kaka msomi😂😂🙈..

Nimerudia nikaona kila kitu kiko sawa🤗🤗🤗nikaikunja barua yangu vizuri nikamaliza...

Nikainuka na kinguo changu cha kulalia nikafungua mlango nikaelekea chumbani kwa Kingston 🙈🤗

Nilisimama pale mlangoni kwa muda najiuliza nigonge au nisigonge...

Nilikuwa natetemeka mwili mzima😂😂😂mi nishajua Kingston haumwi lolote so nilikuwa na imani nikimgongea atacome down tuonge..

Basi nilisimama pale nazunguka zunguka ka chizi mwisho wa siku nikasema ngoja tu nigonge mlango liwalo na liwe bwana😂😂😂

Niligonga ya kwanza nikatulia....

Nikagonga ya pili nikatulia bado nikasikia kimya🙈

Ya tatu nikagonga kwa nguvu lol nilisahau kama kule ndani kuna wazazi wakinisikia itakula kwangu...

Baada ya kugonga mara tatu mfululizo bwana Kingston alikuja kufungua lakini alikuja na ile hali yake ya uzezeta🙂🙂

Alitizama huku na kule akaona mimi ndo niliegonga akajiweka sawa kisha akanivuta mkono akaniingiza chumbani kwake kimya mkumbuke mkononi ninacho kibarua changu🙈🙈🙈

Nini kitafuata?!...

*SEHEMU YA 14*

Pale chumbani kwa Kingston kulikuwepo na makaunta book yale ya kusomea ...

Ni kama vile alikuwa anajisomea usiku ule..

"Are you ok ??..aliniuliza.."

Mwenzenu nikiulizwa hivyo nasikia kama niko peponi vile🙈🙈...

Nikamwambia yes I'm okay..

Niambie kuna shida yoyote?..

Nikaanza kujikanyaga kanyaga🙈🙈nikajiuma uma hapo.. mpaka akakiona kibarua nilichokishika mkononi si akataka kuninyakua🙄

Aibu ikanishika nikamzuia uuuwww yani aone ujinga niliomwandikia akinifokea je au akinisemea kwa wazazi wake😔😔..

Niliogopa kuiachia ile barua niliitia mdomoni nikaitafuna😂😂😂Kingston alichukia sana..

"what have you done?...

"Sorry😔😔..

Niambie kitu gani ulikuwa umeandika??...

Sikumwambia kusema kweli niliogopa😔😔nilipoona amezidi kuchukia nikamwambia nilikuwa nimekuandikia unipe dawa kichwa kinaniuma sana..

Kidogo akacool akaniambia keti hapo kitandani🙈🙈nikakaa kinguo nikawa nakipandisha juu vipaja vionekane hahahaa😂

Jamaa alinichukulia dawa za kutuliza kichwa akanipatia😂😂😂alafu mjue sikuwa na shida ya kichwa nilidanganya tu kumfanya asichukie😳

Sa nakunywaje dawa bila kuumwa😩😩 jamaa alianza kunibembeleza please just take it kunywa na ujitahidi kunywa maji mengi utakuwa sawa okay

Nikamwambia sawa.... alinipatia dawa mkononi..nikazitia mdomoni nikanywa na maji😩😩kimoyomoyo naomba tu zisinidhuru😂😂

Baada ya kumeza dawa mshikaji akanitoa akaniambia unatakiwa urudi chumbani kwako sasa ili ukapumzike si okay??.

Nikamwambia sawa😩😩 niliondoka kule chumbani kwa Kingston nikaenda zangu chumbani kwangu..

Siku hiyo sikulala😂😂🙌sauti ya Kingston ilikuwa inajirudia rudia masikioni mwangu😩😩
Kulipokucha ule muda wa kwenda kufanya usafi mimi ndo nikaanza kusinzia😂😂 mara nikasikia sauti ya mama Kingston ananiamsha nikafanye kazi..

Niliamka na usingizi wangu nayumba ka mlevi😩😩😂 mbona uko hivyo??.. aliniuliza mama Kingston..

Nikamwambia tu niko sawa mama...aliniambia nisafishe nyumba haraka niwaandalie kiamsha kinywa..

Nilifanya hivyo huku akili na mawazo vikiwa kwa Kingston...

Siku hiyo bwana faza house alikuwa na safari hakuweza hata kumuosha kijana wake..

Na mama naye hawezi kumuosha Kingston ni mkubwa yule...mama hawezi kuthubutu kuuona utupu wake😂😂

Waliniambia mimi ndo nifanye hiyo kazi yani nimfute fute tu sehemu za juu juu then nimuwekee nimsaidie kuvaa nguo💃🏼

Wakazidi kuniweka karibu na mtoto wao bila kujua mwenzao moyo ushazama kwa mkaka yule🤩

Wazazi baada ya kunywa chai waliondoka kwenda kwenye mihangaiko yao ya kila siku..

Nyumbani nikabaki mimi na Kingston😩😩nilimwandalia chakula mezani baada ya hapo nikaelekea chumbani kwake kumwamsha..

Niligonga mlango mara mbili hakufungua😂😂kama kawaida yangu nikausukuma nikazama ndani😩😩

Nilimkuta yuko kwenye usingizi mzito sana🙈🙈alafu sasa🙈🙈alikuwa hajajifunika vizuri🙈

Alikuwa kifua wazi na huku chini alivaa kibukta kifupi kinachoishia mapajani😩 jamani ana libodi lizuri nyieee hiko kifua sasa na vile alikuwa amelala chali🙈

Nilitamani nimlalie😩😩macho yangu yalivutiwa kumtizama pale katikati ya mapaja kuna kitu kilikuwa kimetuna pale🙈🙈

Nilipeleka mkono nipaguse mara ghafla Kingston akafungua macho🙈 nikajifanya nilikuwa nataka kumfunika shuka vizuri😂

"What are you doing??..aliniuliza🙈🙈nikamwambia samahani nilikuwa nataka kukufunika vizuri🙈🙈..

Akaniangalia tu bila kunijibu chochote...nilichukia nikaona ni kama ananipuuzia😣😣nikaamua kuondoka..

Wakati nafungua mlango nitoke Kingston akaniita🗣 zari come here..

Nyieee lisauti lake la asubuhi lizito🤗🤗afu liko romantic aiiishhh😌😌🔥niligeuka nikamwangalia..

Naye akawa ananiangalia tu kisha akaniuliza vipi unaendeleaje?..

Naendelea vizuri..umekunywa dawa??.. nikamwambia hapana mi sina dawa😣😣 aliinuka kitandani akiwa amejifunika shuka akanichukulia dawa kibox kimoja akanipatia...

Utakuwa unakunywa mbili kila baada ya masaa sita..nikamwambia asant🙂 okay bado nahitaji kupumzika niache peke yangu tafadhari..

Khaaa kwa hiyo ananifukuza😰😰😰nilinuna nikatoka nikabamiza limlango nikaelekea chumbani kwangu..

Nilikaa huko mpaka pale Kingston alipokuja kuniita... aliniambia nimwandalie chakula🤗🤗🤗..

Nikamwambia sawa akawa anaondoka hee nikajikuta nimeropoka mama kaniambia nikuogeshe😂

Hahahaaa hapo kwenye kuogeshana😂😂😂usikose sehemu inayofuata..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 13/14 Kingston alibakia kunitizama tu🙈🙈mi ikabidi nifunge macho yani kuna vile viaibu vya kike

kwa mtu unayemcrashia🙈 unakuwa huwezi kumwangalia akiwa karibu yako..

Aliniambia et niende chumbani kwake kwenye droo kuna dawa ya kuchua nimletee🥰🥰🥰..

Nilielekea chumbani wakati naangaza dawa nikashangaa Kingston amenifuata kule chumbani😳😳nilitetemeka😂🙌

Alikaa kitandani akanishika don't be afraid...endelea kutafuta dawa..

Niliendelea kutafuta dawa mpaka nikaipata🥰🥰nilimpatia akaipokea then akaniomba niketi pale kitandani lol lol lol sema kuogopa😂😂🙈

Nilikaa lakini hapo natetemeka mpaka jasho linanitoka🙈🙈

Baada ya kuketi kitandani nikashangaa Boy ananilaza chali 😳😳 apana kaka unataka kufanyaje...

Sauti iliniumbua kwa jinsi nilivyokuwa najisikia hisia mpaka sauti ilibadilika🙈

Alirudia kuniambia Don't worry Zarina tulia mi nataka nikupatie matibabu...

Oooh kumbe basi nikakituliza🙈lakini kila akinigusa jamaa nasisimka mwili mzima😂🙌

Nilipata tabu ukizingatia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya-13-14-kingston-alibakia-kunitizama-tu-mi-ikabidi-nifunge-macho-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 20*  Niliposikia zawadi nikakituliza🫠🫠...jamaa alifungua mfuko wa kwanza akatoa vinguo vya ndani vizuri kweli😊😊
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 20* Niliposikia zawadi nikakituliza🫠🫠...jamaa alifungua mfuko wa kwanza akatoa vinguo vya ndani vizuri kweli😊😊
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  *SEHEMU YA 17,18  Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA *SEHEMU YA 17,18 Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..
MMMH  DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16  Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16 Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 12*  Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 09*  Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 09* Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.08K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

905
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

686
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

538
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

535
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

494
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

484
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

125
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

118
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

101

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyama🥲hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest