Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MMMH  DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16  Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...
Gonga94 · Stories

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16 Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Then akaniambia hiyo siyo kazi yako ninaweza kuoga mwenyewe...

Mxiiiwww mbona ananikazia😔😔😔...kwa hiyo nimwambie mama kuwa unaweza kujiogesha peke yako siyo😒

What is your problem zarina 🥺🥺 are you out of your mind??...

Alianza kunifokea kizungu ata sivielewi nikaamua kuondoka zangu kuelekea jikoni..

Nilimwandalia chakula utafikili namwandalia rais wa nchi😂😂

Nilikuwa nafanya hivyo at least kijana wa watu aone kitu kwangu maana ni mgumu huyo watu wa arusha sijui wakoje😂kuwashawishi si kazi rahisi..

Nilipika haraka chakula anachokipenda The Boy nikamwandalia mezani..

Alishuka chini baada ya kuoga akakuta chakula tayar kiko mezani🤩

Alionja kisha nikaona ananiangalia😂😂Mama weee au nimeboronga🙈

Wakati natetemeka mara nikasikia ananisifia💃🏼💃🏼chakula ni kitamu sana sijawahi kula menu yenye taste kama hii😀❤️

Hongera unajua kupika....nyieeeeeee nilitamani kama nipae hivi😂😂😂😂yani kama niruke juu mawinguni💃🏼basi pale nikaanza kucheka cheka🤗🙈

Mshikaji akaendelea kula wala hana habari namimi😂😔... the way anavyotafuna uuuwwww lisura lake sasa nilikuwa nachanganyikiwa nikimuona...

Ile sura yake na sura yangu nilikuwa nafananisha the way tutazaa watoto wa cute🤣🤣🤣..
Kingston alimaliza kula akapanda zake chumbani mi nikabaki naondoa vyombo mezani💃🏼💃🏼

Kale kachakula kidogo alikobakiza nikakala kwa kutumia kile kile kijiko chake💃🏼💃🏼💃🏼..

Wakati naviosha vile vyombo alivyltumia the Boy ghafla nilimsikia akiwa anatembea kuja kule niliko..

Atakuwa anahitaji kitu gani sijui 🙄🙄... alifika pale jikoni The Boy akafungua fridge akachukue energy badae akaniuliza vipi uko bize sana,?..

Nope hata siko bize nilikuwa namalizia tu kuvisuuza hivo vyombo..

Ohhh OK....fungua fridge uchukue kinywaji chako then uje chumbani kwangu..

Heeee😀😀😀mbona chumbani😂😂😂nilijiuliza tu kimoyomoyo huku mdomoni nikiwa nimebanwa na smile la hali ya juu🤣🤣🤣

Nilijua jamaa ndo anaenda kunitongoza💃🏼💃🏼💃🏼nilichukua kinywaji haraka nikaelekea chumbani kwangu..

Nilibadili nguo nilizokuwa nazo nikavaa zingine nzuri nzuri😂😂😂yani nilihisi zile nilizokuwa nazo hazivutii🤣🤣🙌

Ni vimarash nikaenda kuiba chumbani kwa mama nikajinyunyizia nyieeee🤣 nilipomaliza sasa ndo nikaenda chumbani kwa Kingston kama alivyoniomba...

Nini kitafuata??..
MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!*
*16
*__________*

*SEHEMU YA 16*

Niligonga mlango Kingston akaniruhusu niingie🤗🤗... nilifungua mlango taratibu nikaingia na kinywaji changu mkononi..

Ile harufu ya marashi niliyojipulizia si ikamfikia Kingston 🙂🙂🙂akanitizama huku akiwa ameshika pua🥺

Akaniambia kabla hujakaa nenda kabadili hizo nguo sijaipenda hiyo pafume🥹nilitamani kulia😰😰

Nilitoka kwenda kubadili nguo na sikuwa na nguo ingine nzuri ninayoiaminia kama ile niloivua😰😰

Sa nitavaa nini jamani haya maronya ronya💔💔😔any way nitajifunga kitenge na hii tisheti ya rangi ya pink...

Kweli nilivaa hivo nikarudi chumbani😔😔nilikuwa nimenyong'onyea sina ata raha na tule tunguo nilitovaa tubaya tumepauka..

Kingston aliniomba niketi tuzungumze... yeye aliketi kitandani mie kwenye sofa..

Hapo nilikuwa nang'ata vidole wacha kabisa😀😂 nilishajenga imani kwamba mshikaji leo ananitongoza hata kumwangalia machoni nikawa nashindwa😂

Wakati najihangaisha na mawazo yangu ya ndoto za mchana ghafla Kingston akaniita zarina are you hiaaa.???😂uko hapa?..

Ndiyo kaka🥰🥰🥰...okay vizuri... nimekuita hapa kwa jambo moja..

Najua ni wewe pekee unayejua kuwa mimi siumwi kitu chochote right?...

Ndiyo kaka ni kweli😔😔..okay leo nataka nikwambie kwanini nafanya haya yote ili kuwaaminisha watu wengine kuwa mimi ni mgonjwa...

Uuwwww kumbe siyo kama anataka kunitongoza🥹🥹ilibakia kidogo machozi yanitoke😂😂😂😂niliumiaaaa...

Lakini sikuwa na budi kumsikiliza...

Kingston aliniambia yeye ni mzima wa afya tele haumwi hata kipere mwilini kwake....

Anadai alipotimiza umri wa miaka 28 alikuwa tayari na Degree moja ya hiyo taaluma anayoisomea na hivo alianza kusimamia miradi kadhaa ya kifamilia kwa sababu tyr alikuwa ni kijana mkubwa...

Miradi yao ya kifamilia ilizidi kufana sana na kuingiza mapato mengi sana na jambo hilo liliwafurahisha sana wazazi wa Kingston..

Kingston anadai alipotimiza miaka 29 alianza kupenda😔😔moyo uliniuma nyie🥹🥹🥹...

Anadai huko nyuma wakati yuko chuoni alishakuwa na mahusiano kadhaa lakini hakuwa serious alikuwa anapita tu...

Kwa mara ya kwanza anakuwa serious na mahusiano ni hiko kipindi alipokuwa na miaka 29 anadai alimpenda mdada mmoja hivi mzuri sana msomi classic na ni mfanya kazi wa kampuni moja ambayo iko jirani na kampuni ya kina Kingston..

Kingston anadai baada ya kumuona huyo dada kwa mara ya kwanza alichanganyikiwa sana maana moyo ulimuenda mbio kama kaona kitu ambacho hajawahi kukiona tangu azaliwe...

Alianza kutumia muda mwingi kumfukuzia huyo mlimbwende na huku nyuma bidii ya kazi ikapungua hivyo biashara za kifamilia zikaanza kuyumba..

Wazazi baada ya kufanya upelelezi waligundua kuwa kijana wao ameshaingia kwenye ulimwengu wa mapenzi hivo wakapanga kumuozesha haraka kabla hajaharibikiwa...

Kingston anadai wazazi wake walikuwa na chaguo Lao la binti waliye mpendekeza aolewe na kijana wao na hapo ndipo mambo yalipoanza kuharibika....

Nini kilitokea?.?.

Maoni

You're not logged in

Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 15 ,16 Kingston alisimama baada ya kuisikia ile kauli ya kuogeshwa😂😂😂akageuka akaniangaliaaaaaa...

Then akaniambia hiyo siyo kazi yako ninaweza kuoga mwenyewe...

Mxiiiwww mbona ananikazia😔😔😔...kwa hiyo nimwambie mama kuwa unaweza kujiogesha peke yako siyo😒

What is your problem zarina 🥺🥺 are you out of your mind??...

Alianza kunifokea kizungu ata sivielewi nikaamua kuondoka zangu kuelekea jikoni..

Nilimwandalia chakula utafikili namwandalia rais wa nchi😂😂

Nilikuwa nafanya hivyo at least kijana wa watu aone kitu kwangu maana ni mgumu huyo watu wa arusha sijui wakoje😂kuwashawishi si kazi rahisi..

Nilipika haraka chakula anachokipenda The Boy nikamwandalia mezani..

Alishuka chini baada ya kuoga akakuta chakula tayar kiko mezani🤩

Alionja kisha nikaona ananiangalia😂😂Mama weee au nimeboronga🙈

Wakati natetemeka mara nikasikia ananisifia💃🏼💃🏼chakula ni kitamu sana sijawahi kula...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya-15-16-kingston-alisimama-baada-ya-kuisikia-ile-kauli-ya-kuogesh

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 20*  Niliposikia zawadi nikakituliza🫠🫠...jamaa alifungua mfuko wa kwanza akatoa vinguo vya ndani vizuri kweli😊😊
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 20* Niliposikia zawadi nikakituliza🫠🫠...jamaa alifungua mfuko wa kwanza akatoa vinguo vya ndani vizuri kweli😊😊
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  *SEHEMU YA 17,18  Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA *SEHEMU YA 17,18 Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 13/14  Kingston alibakia kunitizama tu🙈🙈mi ikabidi nifunge macho yani kuna vile viaibu vya kike
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 13/14 Kingston alibakia kunitizama tu🙈🙈mi ikabidi nifunge macho yani kuna vile viaibu vya kike
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 12*  Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhema🙈🙈hata kumtizama sikuweza😂😂
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA  SEHEMU YA 09*  Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 09* Baada ya Kingston kusinzia wazazi walirudi jikoni kuendelea na kazi zao mimi nikaambiwa nimwangalie mgonjwa akishtuka usingizini asije jidhuru
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.08K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

905
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

686
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

538
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

535
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

494
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

484
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

125
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

118
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

101

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.32K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyama🥲hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest