MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA *SEHEMU YA 17,18 Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..
na yule aliyesababisha kampuni kuyumba ambaye ndo chaguo la Kingston wazazi hawakumridhia..
Kingston anadai yeye hakumpenda Mary na baada ya kuona wazazi wameshaanza kuandaa ndoa yake na Mary... hapo ndipo alipoanza kuigiza huo ugonjwa wake ilimradi tu asiweze kufunga ndoa na Mary 😳😳😳
Maigizo yake yalizaa matunda kwa kiasi kikubwa sana...
Wazazi wa Kingston waliamini kweli kijana wao ni mgonjwa hivyo wakaanza kuhangaika sehemu mbalimbali kumtafutia tiba lakini hawakufanikiwa🥹🥹..
Kingston ilibidi aanze kuwa anabakia nyumbani kama mtoto mwenye utindio wa ubongo na mara nyingi alikuwa chini ya uangalizi wa wazazi wake..
Wazazi baada ya kuona makampuni yao yanazidi kulala walianza kutafuta kijakazi wa kuwa anamuangalia Kingston ili wao waweze kuendelea na kazi za kuendesha kampuni zao...
Kijakazi nilipatikana mimi Zarina... na wakati nakuja kuanza kazi Kingston anadai alikuwa ameshachoka kukaa ndani kama mfungwa....
siku moja aliwaandikia wazazi wake barua ya kuwataarifu kuwa kwa sasa amepata nafuu kidogo hivyo anapanga kurudi chuoni kujiendeleza kielimu....
Aliwaambia kuwa njia hiyo inaweza ikamsaidia kupunguza nguvu ya huo ugonjwa wake na anaweza kujifunza kuongea kupitia kwa wanafunzi wenzake wa chuoni...
Wazazi walimkubalia na Kingston akarudishwa chuoni kuendelea na masomo yake chini ya uangalizi maalumu...
Kingston anadai watu wote waliamini yeye ni mgonjwa kwa sababu kiwango chake cha kuigiza kilikuwa cha juu sana...
Alikuwa anaongea kwa vitendo na muda wote alikuwa anatililisha udenda mdomoni mwake na mikono yake kuiweka kama wale watu wenye utindio wa ubongo...
Aliniambia mpaka sasa watu wote wanaamini yeye ni mgonjwa wa akili isipokuwa mimi hapa zarina...
Kingston aliniambia ya kwamba kinachomuumiza kwa sasa ni kitu kimoja tu...
Anadai baada ya yeye kuanza kuigiza kama mgonjwa wazazi wake walizunguka sehemu nyingi sana kumtibu na walipoona haponi...
wakaamua kumzushia yule bidada anayependwa na Kingston et ye ndo amemroga Kingston baada ya kusikia anamuoa mwanamke mwingine🙂
Kingston anadai hilo swala lilimuumiza sana yule dada kwani bado alikuwa hata hajamkubalia Kuwa mpenzi wake ndo kwanza Kingston alikuwa katika harakati za kumshawishi ili aweze kumkubali..
Bora hata asimkubali😂😂nilijisemea hivo kimoyomoyo huku nikiendelea kumsikiliza Kingston🤗🤗..
Kingston alipokwisha kunielezea hayo yote alikaa kimya kwa muda kisha akaniambia zarina😭😭😭naona kama naelekea kuwa mgonjwa wa kweli maana lulu hataki kunielewa😭
Kama asiponielewa mimi nitachizi ukweli ukweli😭
Inasemekana kuwa huyo mwanadada mlimbwende ambaye ni lulu baada ya kutukanwa na wazazi wa Kingston hasira zote alihamishia kwa Kingston...
Anadai Kingston kamchafua mno na kusababisha ye aitwe mchawi na ilihali wala hajawahi kuwa naye kimahusiano🥱
Kingston alilia mno😰😰aliniambia kila jitihada anazofanya kumwelewesha lulu juu ya kilichotokea hazifanikiwi😣😣..
Lakini wanawake wapo wengi sana Kingston huenda lulu siyo fungu lako🥺🥺🥺nilimwambia hivyo huku nikiwa nawaza namna ya kumpangua lulu kichwani kwa Kingston ili niweze kukaa mimi👌..
Je atafanikiwa zarina?.. tukutane katika sehemu inayofuata...nini kitafuata?..
*SEHEMU YA 18*
Kingston aliniambia I know😭😭ninajua wanawake wapo wengi lakini siwataki namtaka lulu🥹🥹 please zarina naomba unisaidie nimpate lulu nakuahidi ukinisaidia kwenye hili basi nitakulipa kitu chochote utakachokihitaji..
🙄🙄🙄🙄lait angejua namimi namtaka wala asingethutu kuniomba nimsaidie huo upuuzi..
Hivi hanioni🥹🥹 ina maana mimi simvutii???.
Niliwaza sana lakini nikasema sitakiwi kufosi ukitaka kumpata mtu kirahisi we jiunge naye tu...
Niliona njia rahisi ya kumpata Kingston ni kumkubalia kile anachokitaka..
Nilimwambia yes mi nitakusaidia kwa kila kitu mpaka umpate lulu🥰🥰 alifurahi mno alinikumbatia kumbato fulani hivi💋
Kilichokuwepo akilini mwake sicho kilichokuwepo kwenye akili yangu😩😩😩
Yeye anawaza atampataje lulu mimi nawaza nitampataje yeye😂😂 aloooh mambo ni mengi muda ni mchache🤣
Kuanzia siku hiyo bwana Kingston akaanza kuwa rafiki yangu🥰🥰🥰aliniomba kila kitu alichonieleza kibaki siri kati yetu...
Kazi yangu kubwa ilikuwa kumsifia sifia Kingston na kumtaja taja lulu kila muda...
Nilikuwa kama chawa lakini sikukaa kizembe😂😂🤞nilikuwa natafuta namimi njia itakayoweza kunipa nafasi katika moyo wa Kingston The Boy mapesa..
Kingston alizidi kunipenda kama rafiki mara moja moja akitoka ananiletea zawadi kiukweli mambo yalianza kuwa mazuri sana🥰🥰..
Siku moja bwana Kingston aliniaga akaniambia anatoka anaenda kuonana na rafiki yake lulu huyo rafiki yake lulu alimpigia Kingston akamwambia yupo sehemu na lulu ikiwezekana Kingston afike pale ili aweze kuwafanyia mpango wazungumze🥺
Ilikuwa siku ya ijumaa saa 8 mchana Kingston alitoka kuelekea hiyo sehemu huku nyuma nikabaki moyo unavuja damu🥹🥹
Nilimuomba Mungu huko anakoenda Kingston kustokee maelewano mazuri naomba wafarakane watukanane ikiwezekana wapigane kabisa🥺..
Na kweli ilipita kama lisaa limoja hivi na nusu Kingston akarudi akiwa na pombe kali na alikuwa amechafuka vibaya mno😳😳😳nilimkimbilia nikamkumbatia🥺🥺
Nini kimetokea???..
Alianza kulia na kunisimulia kila kitu kilichotokea😰😰aliniambia lulu alipomuona tu alimmwagia kinywaji na kumpiga na ile glass ya kinywaji na baada ya hapo akaondoka kwa hasira wala hakutaka ksikiliza kwa lolote😰😰..
Nilijisikia furaha lakini nilimhurumia sana Kingston alikuwa na maumivu makali sana🥹🥹
Nilijaribu kumbembeleza lakini aliingia chumbani kwake na kujifungia huko🥺🥺🥺 nilijaribu kumngongea lakini wala hakufungua...
Nilibakia pale mlangoni kwake nikiwa nalia kwa uchungu🥹🥹🥹muda ulipita baada ya masaa kadhaa Kingston alifungua mlango lakini alikuwa amelewa chakali😥
Alikuwa anataka kwenda kuongeza pombe zingine🥺🥺nilimzuia asifanye hivo..
Nilimrudisha chumbani kisha nikawa nambembeleza😰😰katika kumbembeleza nikajikuta naanza kumshika shika kifuani😥😥😥..
Kwa vile Kingston kashalewa wala hakunizuia alibaki kuniangalia tu huku mwili wake ukiwa katika hali mbaya zaidi😣😣..
Baada ya kumshika Kingston kwenye maeneo yale hatarishi alishikwa na hisia kali sana😣😣 hisia zilipomzidia alinishika mkono wangu na kuniuliza u..nafanya nini zarina please Don't Do this..
Sauti yake ilikuwa ya tofauti na siku zote🫦💋 mi sikuweza kuacha kumshika niliendelea kumpapasa bila kuacha..
Kingston alipozidiwa aliinama shingoni kwangu na kuanza kuninyonya...nilipagawa nikawa natoa miguno ya ajabu💋💋💋
Kingston alipoona napiga kelele bila kujizuia aliniziba mdomo kwa kuninyonya denda Dah💋💋💋
Nini kitafuata?..
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni
*SEHEMU YA 17,18
Binti aliyekuwa chaguo la wazazi ni Mary..yule Dada wa kichaga😣😣😣..