Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
14 Oct 2025
218 views
VYOTE NDANI GONGA94
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhemaππhata kumtizama sikuwezaππ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Niliziba macho mshikaji akanitoa mikono machoni akaniambia am sorry sikudhamilia kukuumiza I'm very sorryππ
Anaongea vizuri sauti fulani hiviπ«¦π«¦πyani hata sikuwa nazingatia what he talking aboutπ₯°π₯° mwenzenu kila kitu nilkuwa naitikia tuπ€£π€£
Jamaa wakati ananibembeleza ghafla tukashtushwa na kengere ya getini...
Kabla sijaondoka kule chumbani Kingston aliniambia najua hao ni wazazi wangu nakuomba usiseme chochote..
Ukizingatia nishamuogopa kutokana na ile sura aliyonionyeshea wala sikutaka kumpinga kwa chochote...
Nilitoka kule chumbani kwake haraka nikaenda kuvua zile nguo nilizokojolea nikatupia kijola then nikaenda kuwafungulia wazazi..
Baada tu ya kufungua geit nikashangaa baba na mama Kingston wananikodolea sana macho shingoni kwangu π³π³
Mmhhh kwani wameona nini??.... nilijikausha nikaenda kuwapokea vitu nikapeleka ndani badae nikaingia jikoni kuweka vitu kwenye fridge mama akanifuata akaniuliza uko sawa??.
Nikashtuka kwa uoga kisha nikamwambia ndiyo mama niko sawaπ₯π₯
Shingo yako ina tatizo gani??..
Mmhh nani mimi??!
Ndiyo wewe zarina kuna nani mwingine hapa??...
Mi niko sawa mama.
Una uhakika??..
Ndiyo mama niko sawa..
Nilijibu huku nikiificha shingo yangu.... nahisi labda zilibaki alama za kuvilia damu baada ya Kingston kunikwidaπ₯Ή
Ilibidi nikajitizame kwenye kioo kweli nikakuta kuna doa kubwa sana shingoni..
Alama za mkono wa Kingston zilibakia shingoni kwanguπ’π’π’nilijisikia vibaya baada ya kuiona ile alama nikajikuta nazidi kuingiwa na uoga zaidi juu ya Kingston..
Huenda ana wazimu unaompanda na kupoteaπ°π°sijui niwaambie wazazi wake kilichotokea lakini naogopa maana ameshanionya nisiseme chochoteπ£π£..
Niliona bora nikae kimya nisiseme chochote....
Mama aliendelea kunihoji juu ya alama iliyoko shingoni kwangu nikamdanganya nilikuwa nahisi muwasho tu nikajikuna na sikujua kama itatokea alama ya vile..
Mama alinielewa akaniambia nilihofia isijekuwa Kingston ndo kakuumiza...
Hapana mama Kingston hana shida yeyote hajawahi kunitishia amani..
Siku hiyo iliisha siku iliyofuata kama kawaida wazazi walielekea kazini na Kingston akaelekea chuoni nyumbani nikabaki peke yangu....
Ilipofika mchana saa saba Kingston alirudi nyumbani... nilishajua kuwa anaweza kuongea vizuri hivyo hakuendelea kuniigizia tena...
Baada ya dereva wake kuondoka Kingston alianza kuniongelesha vizuri..
Aliinisogelea baada ya kuliona lile jeraha mi nikahisi anataka kunikwida tena nikaanza kurudi nyumaππ
Alipoona narudi nyuma si akapiga hatua kwa haraka akanishika mkono weeeeπ₯°π₯°π₯°π₯°nyieee kuna namna nilijisikia kihali fulani hiviπ«¦π₯±
The Boy alinishika pale shingoni taratibu nyieee nilisisimkaππ
Nikamtoa mkono wake akashangaa why hutaki nikushike?..
uuwww yani hapo napumua kwa tabu moja haikai mbili haikai πππ macho yanapepesuka tu nashindwa niangalie wapiππππ...
Nini kitafuata???..
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
MMMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 12* Boy akanivuta karibu yake zero distance nyieeee nilishindwa mpaka kuhemaππhata kumtizama sikuwezaππ
Niliziba macho mshikaji akanitoa mikono machoni akaniambia am sorry sikudhamilia kukuumiza I'm very sorryππ
Anaongea vizuri sauti fulani hiviπ«¦π«¦πyani hata sikuwa nazingatia what he talking aboutπ₯°π₯° mwenzenu kila kitu nilkuwa naitikia tuπ€£π€£
Jamaa wakati ananibembeleza ghafla tukashtushwa na kengere ya getini...
Kabla sijaondoka kule chumbani Kingston aliniambia najua hao ni wazazi wangu nakuomba usiseme chochote..
Ukizingatia nishamuogopa kutokana na ile sura aliyonionyeshea wala sikutaka kumpinga kwa chochote...
Nilitoka kule chumbani kwake haraka nikaenda kuvua zile nguo nilizokojolea nikatupia kijola then nikaenda kuwafungulia wazazi..
Baada tu ya kufungua geit nikashangaa baba na mama Kingston wananikodolea sana macho shingoni kwangu π³π³
Mmhhh kwani wameona...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmmh-dady-nikikupa-utanioa-sehemu-ya-12-boy-akanivuta-karibu-yake-zero-distance-nyieeee-nilishindwa
Maoni