VYOTE NDANI GONGA94
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 10
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Kwanza alikuwa anakimbiza gari kama amechanganyikiwa vile, yaan wakati wote ambao tulikuwa kwenye gari nilikuwa nasali sana tusije tukapata ajali bure, na namshkuru Mungu tulifika salama, kitendo cha kuingiza gari ndani alikuja akanifungulia mlango kisha akaanza kunikokota, kana kwamba ameshamkamata muhalifu ambae alikuwa anamtafuta kwa kipindi kirefu sana ….
Kuna muda akawa anaona kama namchelewesha, alinipiga taksi bega, kisha nashangaa ananiingiza chumban kwake, nikaanza kupata wasiwasi na kumuuliza
“Unataka kufanya nini wewe…
Hata hakunijibu, akaenda kufunga mlango kisha akasema “Utavua nguo mwenyewe au unataka nije kukuvua mimi…
Nikaona sasa hichi kizaa zaa, nakuja kuliwa bila kutaka dakika za kuhesabu hapa na sikuwa tayar hata kidogo na hilo…
Alipoona bado najiuliza uliza alikuja akanikumbatia kisha akapitisha sijui ni kisu akaanza kuchana nguo niliyovaa, nikaanza kuhangaika, nilisikia tu kauli moja “TULIA…
Nilijikuta napatwa na wasiwasi wa ajabu sana, akanichania nguo pale kisha akaanza kunikokota mpaka bafuni, ambapo akaanza kuniogesha utasema kalazimishwa, maana alikuwa ananisugua mwili kwa nguvu mpaka nikawa nalalamika kuwa naumia, ila hata hakuwa ananisikiliza, amemaliza kuniogesha akanifuta kidogo kisha akaenda kunitupa kitandani, nikaona ehee kazi inaanza sasa…
“Unataka kufanya nini wewe, ila maswali yangu yalikuwa kama sentensi za ajabu kwenye masikio yake, kwa sababu hakuna swali hata moja ambalo alikuwa anajisumbua kulijibu na badala yake akawa kimya kisha akaanza kazi, bola hata kuniandaa nikawa nalalamika kuwa naumia, nilitegemea hata ataniandaa ila hata hakujisumbua, akapaka mafuta kisha akaendelea na kazi, nilikuwa nasikia maumivu yale ya michubuko aliyokuwa ananisababishia na vile amejaliwa mtambo ndio shughuli ilipozidi kuwa ngumu…
Basi bana kuna muda akawa anakaribia kupata bao la kwanza, ndio akaanza kuita baby, ahhhh baby, ila wakati wote alikuwa kimya kana kwamba alikuwa anasubiri msafara wa raisi upite kwa namna alivyokuwa kimya kama bubu…
Nikaona sasa hapa nikijifanya nakaza na mimi, nitaliwa hivi hivi kibabe, na hakuna kitu ambacho naweza kumfanya hata kwa bahati mbaya …
Ikabidi nijidekeze na kusema
“Baby naomba niandae kidogo please…
“Niite jina langu, Happness niite jina langu please…
Nikashangaa anataka nimuite jina lake na wakati hata sikuwa najua anaitwa nani, akasema niite Erick, sasa nikajikuta napatwa na butwaa nikashindwa kuita, maana hilo jina ndio lile jina la Yule mzee ambae alikuwa ananioa, sasa inawezekana vipi awe na jina kama Yule mzee…
Nikiwa bado najiuliza, akaja kunimumunya tuchuchu twangu, mpaka nikajikuta mwenyewe namuita, Eric, ahhhhh Eric wangu, hapo hapo shiiit, ndio nikazidi kumpa ukichaa, akawa anaendelea na maandalizi kabambe mpaka nilihisi kuchanganyikiwa kwa mambo aliyokuwa ananipa wakati ule…
Tumemaliza kila mtu yupo hoi, akawa amenikumbatia kwa nguvu na kunambia “Nakupenda sana happness, na mimi nilikuwa nampenda ila sikuwa na uhakika kama nayeye alikuwa ananipenda pia, maana alikuwa ananipuuza sana…
Mara simu yake ikaanza kuita, akapokea, nikasikia najibu tu “Nakuja mkuu kisha akaamka akaenda bafuni, akaoga haraka haraka, akatoka bafuni akavaa kisha akanisogelea akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasimama na kusema “Amka uje unibusu…
Yaan alikuwa anaongea kwa amri, nikawa najiuliza ndio mahaba ya kijeshi haya au laa, maana sielewi, nikiwa bado najiuliza nikasikia anasema
“Mimi mambo ya kubembeleza bembeleza ndio sinaga, unakuja kunibusu au niondoke zangu…
Nikaona sasa hichi kizaa zaa sasa, yaan hakuna kubembelezwa hata kidogo, ni mwendo wa rara nikurenge tu…
ITAENDELEA ….
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya