Muda huo Hemed alikuwa ameinamisha kichwa chake chini kaziba uso wake kwa mikono yake๐ฅน๐ฅนwala sikujua kama analia mpaka pale baba yake alipomuinua juu na kuanza kumfariji kiumee..
Inamaana hukua unajua historia ya mchumba wako?... baba alimhoji Hemed akamwambia sikuwa najua baba๐ฅน๐ฅนnilishawahi kumhoji mara mbili kuhusu wazazi aliishia kulia tu bila kuniambia chochote..
Sikuona kama kuna umuhimu wa kuendelea kumuuliza kuhusu kitu kinachomuumiza๐ฅน๐ฅน
Hemed alifuta machozi kisha akaondoka pale mzee alimfuata wakaniacha mimi na mama...
Mr's Martin aliniambia maisha aliyopitia mama yako nami nimeyapitia sweetheart ngoja nikuelezee kidogo..
Wakati nipo chuoni nilibeba mimba ya Mr Martin na wakati huo mimi nilikuwa mwislam na mwenzangu ni msabato..
Nilirudi kujifungulia nyumbani wazazi wakakataa mtoto asipewe jina la kikristo wala hawakutaka Mr Martin kukanyaga nyumbani kwetu..
Mwanangu ambaye ni Hemed alipewa hilo jina la kiislam na wazazi wangu... kwa vile mimi nilishazama kwenye penzi na Mr Martin nilikuwa najiiba naenda kumuona nampelekea na mtoto wake anamuona..
Nilikuwa nafanya hivo kila muda mwisho nilichoka mapenzi ya siri nikaamua kubakia hukohuko nyumbani kwa Mr Martin..
Nilibadili na dini kabisa ili tuweze kufunga ndoa... wazazi na ndugu zangu walinitenga๐๐๐ sikujali maana mimi naamini Mungu ni mmoja tunayemwabudu kitakachompeleka mtu mbinguni ni matendo na siyo dini...
Usihuzunike kuhusu mamako kutengwa na ndugu wala usijisikie vibaya wewe na mdogo wako kutengwa na ndugu wa mamako...
Yupo mmoja ambaye yeye hawezi kuwatenga kamwe naye ni Mungu....Mungu hajawatenga na hawezi kuwatenga ndo maana mpaka leo hii mko haiโค๏ธ
Maneno ya mama mkwe yalinipa faraja sanaโค๏ธโค๏ธ nilijiona kama mtu niliyezaliwa upyaโค๏ธโค๏ธnilimshukuru mama kwa kunijenga upya kisaikolojia akaniambia karibu anytime ukinihitaji kwa ushauri I'm here for you...basi bwana kikao kiliishia hivo kule upande wa pili baba alikuwa anampa Hemed madini namimi huku mama alikuwa ananijenga๐ฅฐ๐ฅฐ
Baada ya kumaliza yote tulikutana Sitting room kuna movie fulani hivi ya kifamilia tukaangalia jina limenitoka kidogo..
Sikuwa na majonzi tena at least nilianza kujihisi kama binadamu wa kawaida๐ฅน๐ฅน zamani nilikuaga najiona kama mtu mwenye mikosi mitupu๐ฅน
Nilikuwa najiona kama mtu niliyetengwa na Dunia nzima๐ฅน๐ฅน๐ฅนhata wanaume nilikuwa nawakataaga๐๐Namshukuru Mungu aloniletea Hemed kwenye maisha yangu๐๐
Baada ya movie kilichofuatia ni kwenda kupumzika๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐHemed alinishika mkono akaniambia twenzetu tukapumzike๐ฏ๐ฏ
Wapi๐ณ๐ณ๐ณukapumzike na nani๐๐๐akasema na wewe๐๐ nyooo mi silali na wewe๐ฅบ akasema kwa nini???
Naogopa๐ฐ๐ฐ unaogopa nini??? Nikamwambia naogopa kukuona ukiwa uchi๐๐ basi sitovua nguo๐๐ bado naogopa๐ akauliza nini kingine?..
Nikamwambia naogopa kulala pamoja na wewe๐ฐ sitokufanya kitu babe trust me๐โค๏ธ hahahaa hutonifanyaaa naijua hiyooo....
maongezi hayo yalikuwa ya chini sana๐คฃ๐คฃmuda huo Hemed alikuwa amenishikilia mkono tunaenda zetu kulala..
Alikuwa ananitania tu wala hatukulala pamoja๐๐ ye alilala chumbani kwake mi nikalala chumbani kwa mdogo wake wa kike missa..
Tulilala huo usiku Hemed akawa ananitumia msg za kunifariji dah๐ฐโค๏ธโค๏ธ kama ni mwanaume kweli Mungu kanipatia๐ฅน๐
Imagine tulikuwa vyumba tofauti lakini ile kubembeleza alikuwa ananibembeleza kwenye msg mpaka nilipata usingiziโค๏ธโค๏ธ..
Siku iliyofuata niliamka mapema nikaenda kusaidia usafi nionekane mkamwana mwenye adabu hahahaaaa..
Tuliosha vyombo mimi na missa then dada wa kazi akadeki mom alikuwa jikoni anaandaa kifungua kinywa..
Hemed alikuwa nje anafyeka na kufagia then baba yeye alikuwa anaosha magari yake nje๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ..
Itaendeleaaaaaaa
JANA TULILUKA KIPANDE CHA KUMI NA TANO
HIHYO LEO TUNAWEKA KIPANDE CHA KUMI NA TANO NA KUMI NA SABA 15,17
SEHEMU YA 17*
Mimi mwenzenu nilikaza kama ni maisha magumu nimeyazoea tangu nilipoondokewa na wazazi wangu๐ฐ๐ฐ
Kama Hemed ni wangu basi atarudi tu mikononi mwangu kama siyo wa kwangu basi ataendelea kuninyamazia vivo hivo..
Sikumwambia yeyote kinachoendelea ilibakia siri yangu moyoni...niliumia na niliteseka sana kihisia lakini nilivumilia..
Nilikuwa nishazoea kuamshwa na ile sauti nzito na makiss kwenye simu nilikuwa nishazoea kubembelezwa kudekezwa..
Nilikuwa nishazoea kupelekwa kila sehemu na gari nanunuliwa kile kitu ninachopenda natritiwa kama malkia alf et leo hii vitu vyote hivo vimekata ghafla..lazima uumwe๐
Na kwa jinsi nilivokuwa mjinga baada tu ya kunogewa na pesa za Hemed niliacha kazi ya mgahawani๐๐๐ baada ya kunyamaziwa ndo nikaanza kuhaha๐๐..
Nirudi mgawahani nikaendelee kupika na kuungua mikono yangu??? Nirudi kufubazwa na moshi jikoni???. Hapana siwezi kurudi nilikotoka๐๐
Niliona aibu kurudia ile kazi ya mgahawani nikaomba kazi kwenye hotel moja hivi hapa jijini Dsm๐๐nishazoea raha sirudi tena jikoni nitafubaa kama zamani๐๐..
Kwanza sitakiwi kurudi kule alikonikuta Hemed ataona kama bila yeye siwezi kitu๐๐natakiwa nifanye kazi itakayomuumiza na kumtia wivu๐๐๐...
Bora nifanye kazi ya hotel hapa nitakuwa napendeza muda wote na nitaomba wanipe shift za usiku ili niendelee kwenda chuoni mchana๐ค๐ค...
niliandika barua ya maombi ya kazi nikapeleka katika hiyo hotel ni hotel kubwa sana hapa jijini Dsm๐very expensive ๐๐..
Baada ya kutuma barua nilisubilia kuitwa kwenye interview ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐzilipita kama siku tatu hivi nikapokea simu kutoka kwa maneger wa ile hotel
Niliombwa kufika kwenye interview siku hiyo hiyo saa kumi jioni.. nilifanya hivo nilijiandaa nikavaa smart then nikaelekea kwenye interview..
Namshukuru Mungu kazi nilipata na kwa vile niliomba kupangwa usiku pekee niliambiwa sintokuwa na mapumziko yani siku zote saba za week nitakuwa naingia kazini..
Muda ni kuanzia saa moja jioni mpaka saa saba usiku.. oh asanteee Mungu nilimshukuru sana Mungu..
Mshahara siyo mkuubwa but ulinifaa๐ฅฐ๐ฅฐmaneger aliniweka reception hahahaaa akaniambia kisura changu na kishepu ni special kwa ajili ya kuwavutia wageni wanaoingia hotelin hapo..
Sikuwa na kipingamizi nilipewa one week ya kujiandaa ikiwemo kushona sare na kuweka mambo yangu tyr๐ฅฐ๐ฅฐ๐..
Week iliyofuata nilianza kazi๐๐๐niliingia pale kazini nimependeza hatari๐ค๐ค๐คsiku ya kwanza tu nimeanza kazi nikapendwa na likaka limoja hivi..
Huyo kaka ndo alikuwa ameingia ni mgeni siyo mtanzania๐๐๐ nilimpokea nikaenda kumuonesha chumba chake siku hiyo hiyo akaniomba namba hahahaa
Kusema kweli nilikuwa kwenye ile hali ya kuteseka na mapenzi kiasi kwamba ilifikia hatua nikasema nikipata mkaka mwingine wa juu zaidi ya Hemed namchukua ili nimuumize Hemed maana anajiona sana cake๐ฅบ๐ฅบ
Nilikuwa nateseka sana navopiga simu mpaka mara 20 hapokei natuma msg kuanzia asubuhi mpaka usiku hazijibiwi inauma hiyo..
Ili nisiendelee kuteseka nimpe mtu mwingine nafasi alizibe lile pengo la Hemed๐คจ๐คจ
Nilimpa yule mkaka namba๐๐nayeye akanipa ya kwake aliniambia anaitwa Romy nami nikamwambia naitwa Bella๐๐..
Hatukuweza kuongea sana maana ilikuwa muda wa kazi๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ nilimwambia tutaongea zaidi nikitoka kazini akasema sawa..
kabla sijaondoka Romy aliniomba nimuwekee oda ya chakula fulani then akaomba chakula kikiwa tayari tule wote hahahaaa nyieee๐
Nilienda jikoni kwa chef๐จโ๐ณ nikamuwekea Romy oda ya chakula alichoniambia yeye muda huo alikuwa room kwake anakoga..
Baada ya muda Romy alishuka chini reception akaomba kinywaji fulani vile vikali๐๐nikaenda kumchukulia..
Alikaa tu pembeni pale mapokezi akaanza kunywa..chakula kilipoiva akaomba tuletewe pale nile nayee๐๐๐na vile ashaanza kulewa wacha nisifiwe hahahaa alinisifia mpaka kero๐
Tumemaliza kula nikapewa pesa nikalipie Bill nyieee siyo pesa za kitanzani ni dollar๐ต nimelipa nimemaliza nikamletea chenji akaniambia keep change ๐ณ๐ณ
Chenji nayoambiwa ni keep inalingana na mshahara ninaolipwa pale hotelin halloooh๐๐
Itaendeleaaaaaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments