Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu
Gonga94 ยท Stories

mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mambo mchaga,nimesoma kisa cha huyo dada mwenye mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu maana ni miezi tisa sasa ila naona km nipo ndotoni bado.Mimi nimeolewa ndoa nzuri kabisa na takatifu ya kanisani ๐Ÿ˜‚mimi na mume wangu tumejaaliwa kupata watoto watano.Namshukuru Mungu kwa hilo
Mume wangu tulianza chiniiii chiniiii na tumenyanyuka wote mpk leo hii tunaona neema za Mungu kwenye maisha yetu.

Nilipokuwa na ujauzito wa huyu mtoto wa tano mume wangu alikuwa ansafiri sana yaani sana madai akisemaa anafatilia biashara tulizofungua mikoani na mimi sikuona shida sababu namuamini ni mume wangu
Sasa kuna siku ukweni kukatokea msiba na mahala naishi na ukweni kwangu sio mbali kabisa kwahyo msiba huo ulipotokea nilikuwa nimejifungua tayari na mtoto alikuwa na miezi mitatu kwahiyo nikajibeba walau ile siku ya kuaga nikaenda msibani hapo
Sijui niseme ni machale au ni nini kuna dada alikuwa pale msibani pia na alikuwa karibu sana na mama mkwe wangu na mawifi me nikawa najiuliza huyu ni nani mbona simjui,basi tukazika salama nikarejea nyumbani na hiyo siku mume hakurudi kabisa

Kesho yake akarudi me nilikuwa jikoni kwahiyo alipitiliza chumbani akaenda kuoga,basi me nikaingia chumbani nikasikia yupo bafuni na simu ikawa kitandani,nimesogea tu msg ika pop juu ukirejea usisahau diapers na wipes,mmmmh nilishtuka sana yaani sana ila nikajikaza na sikuuliza
Kesho yake akaniaga asbh sasa alipokuwa kwenye gari akaniita kasahau chaja yake,nimempeleka chaja nafika kwenye gari kwenye siti ya nyuma nikaona kinguo cha mtoto na kile kinguo sio cha mtoto wangu
Manca ujue nikaanza kupata uwoga flani ambao sijawahi kupata nikawa natetemeka,nikajiambia sasa nifanye uchunguzi wangu

Nikaanza kumfatilia sasa looooh huwezi amini mume wangu kazaa nje na watoto wetu wamepishana week tu
Niliumia sana na ikabidi nimuulize akakiri kweli ndiyo kazaa nae na anatupenda wote hataki kutuacha na hawezi kutuacha ndo maana kamtambulisha hadi kwao
Hapa nilipo nilikuwaga nimeanza ujenzi ila nilikuwa naenda taratibu,sasahv nimeongeza nguvu sana nataka mpk mwakani mwezi wa tano niwe nimmemaliza kila kitu nimuachie nyumba yake aishi kwa uhuru na mwanamke wake.Kuhusu watoto ntajua nikishatoka ila sina amani tena,simpendi tena,namchukia sana sana sana.Nachomshukuru Mungu maisha yangu ya kipato nilishayatengeneza siku nyingi kwahiyo siogopi kuanza kujitegemea.Huyu mwanaume amejua kuniumiza sana.
Nimemaliza
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu

Mambo mchaga,nimesoma kisa cha huyo dada mwenye mtoto wa mchepuko nimeona nikusimulie na maswaibu yangu maana ni miezi tisa sasa ila naona km nipo ndotoni bado.Mimi nimeolewa ndoa nzuri kabisa na takatifu ya kanisani ๐Ÿ˜‚mimi na mume wangu tumejaaliwa kupata watoto watano.Namshukuru Mungu kwa hilo
Mume wangu tulianza chiniiii chiniiii na tumenyanyuka wote mpk leo hii tunaona neema za Mungu kwenye maisha yetu.

Nilipokuwa na ujauzito wa huyu mtoto wa tano mume wangu alikuwa ansafiri sana yaani sana madai akisemaa anafatilia biashara tulizofungua mikoani na mimi sikuona shida sababu namuamini ni mume wangu
Sasa kuna siku ukweni kukatokea msiba na mahala naishi na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtoto-wa-mchepuko-nimeona-nikusimulie-na-maswaibu-yangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtoto-wa-mchepuko-nimeona-nikusimulie-na-maswaibu-yangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest