Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
Gonga94 · Stories

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nimekuja kuamka nipo hospitali ya mount meru, na wakati huo ilikuwa ni mchanam nikajua kuwa ni lazima nilikuwa nimepoteza fahamu kwa usiku mzima, na kweli ilikuwa hivyonna jina la kwanza kulitaja baada ya kufungua macho ni omary …

Mama yangu alikuwa pemben yangu, akaniangalia kisha akasema “ zinura mwanangu ndio kwanza umeamka, nambie una sikia njaa..
Ni kama sikusikia swali la mama yangu, nikawa na mimi nauliza swali kuwa omary yupo wapi?..
“ yupo mwanangu, yupo pona kwanza utaenda kumuona, mama yangu alisema, ila alikuwa ababuabfalia kwa sura ya majonzi ikionesha wazi kuwa omari hakuwa sawa kama mama anavyosema, nilielewa nikajikuta naanza kulia, na kusema “ mama kawashikeni wakafungwe wamemuuwa omari wangu na wakati hakufanya jambo lolote lile, mama sisi hatukuwa tumewakosea kabisa, ila sijui ni kwanini walitufanyia hivi, na sijui ni kwanini walimuuwa omari wangu mama, wamemuuwa omari nimeona kwa macho yangu mwenyewe, nikawa naendelea kusema…

Mama yangu akaangalia chini kwa sekunde kadhaa kisha akashusha pumzi na kutoka na kuniacha pekee yangu wodini, nakuja kumuangalia kupitia kioo kilichopo dirishan namuona akiwa analia, hali hio ikanitia mashaka sana na mimi nikajikuta nalia pia, maanan nilikuwa nina uhakika kuwa omari wangu tayari atakuwa ameshakufa..

Nilikaa hospital siku ile, ila nilipewa p2, na vidopnge vya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi zile pep nikapewa na kuambiwa natakiwa kuanza kumeza kwa siku 28 na baada ya miez mitatu niende nikapime tena..

Basi nimerudi nyumban kila mtu anakuja kunipa pole, na akili zangu nikawa naamin kuwa wananipa pole kwa sababu omary wangu amefariki, na kila mtu alikuwa ananionea huruma, nilijikuta naona aibu hata kwenda shuleni kumalizia mitihani yangu ya kidato cha nne, maana tulifanya mahafali kabla ya mtihani, na najua huenda ningefaulu vizuri maana nilikuwa ni miongoni mwa wanafunzi wanaofanya vizuri sana kwenye shule yetu, yaan omari alikuwa ni lazima awe wa kwanza na mimi nilikuwa nacheza namba mbili mpaka tano ila mara nyingi nilikuwa nakuwa watatu na wanne kishule na hata mtihani wa mock nilipata division one ya 16, ila sikutaka kwenda shule nilikuwa najiona kama nina mkosi au laana…

Baada ya kama siku kadhaa kuanzia nirudi, wazaz wa omari walikuja, walikuwa wanaonekana kama watu wenye maishaa duni sana, maana mama yake alikuja peku na baba yake alivaa viatu, ila alikuwa anaonekana kama alikuwa anatembea peku tu maana lapa lilikuwa limetoboka sehemu yote ya kisigino…

Wakanifata na kunipa pole, maana taarifa za yaliotutokea yote walikuwa nazo, kisha wakaniuliza kuhusu mtoto wao omari…
Nikajikuta naanza kulia, kwa sababu sikuwa najua hata naanza kuwasimulia nini na naanza kuwasimulia vipi, kwa sababu kila nitakachoonge nilihisi ni kama kingekuwa kinakata sehemu ya moyo wangu kwenye vipisi vipis,ila wakanisihi sana, na sikuwa na namna zaidi ya kuwasimulia kuanzia jambo lilivyo anza mpaka mwisho, na wakaniomba niwaambie kuhusu vijana ambao walifanya matendo hayo, na kweli nilikuwa nawakumbuka na baada ya kufanya tukio wote waliondoka kijijini sijui hata walienda wapi, ila nikawatajia, mama yake akaanza kulia, ila baba yake akasema “ ni lazima watalipa damu ya mwanangu, kisha wakaondoka…

Baada ya siku kadhaa mazishi ya omari yakafanyika, ingawa mwili wake haukupatikana, ila waliona bora wazike tu hata jina, maana kumsubiri mtu ambae hauna uhakika kama atapona au laa ni ngumu sana..

Basi bana maisha yakaendelea na kwakuwa nilikuwa na msongo wa mawazo ambao ulipelekea kutomaliza kidato cha nne, maisha yakaanza kuwa magumu, ila nilikuwa na rafiki yangu mmoja alikuwa anaitwa mwajuma, akanambia twende mjini tukatafute maisha , maana tukiendelea kukaa nduruma tu basi maisha yetu yatakuwa ni hapo tu kama wanakijiji mpaka mwisho wa maisha yetu…

Hapo ilikuwa tayari imeshapita miaka kama sita, na sikuwah kutaka kujihusisha na mahusiano, kuna namna nilikuwa najiona kama nina laana, na nilijikuta nahisi huenda kifo cha omari nitasababisha niishi maisha yangu yote kama mjane niliefiwa na mume nikiwa katika umri mdogo sana…

Basi tulienda arusha kutafuta kazi za ndani, na tunamshukuru Mungu mwajuma alipata pale pale arusha ila huyo boss wake akanambia kuwa ana ndugu yake, ambae alikuwa anaishi dar es salam kwa kipindi hicho alikuwa nae anataka mfanyakazi, ila akanipa na tahadhari na kunambia kuwa “ ana mtoto mmoja wa kiume ambae ni muhuni kupita maelezo, hivyo nikifika pale nifanye kazi na niachane na maisha yao, ila wanampenda na kumuenzi kama jicho maana ni mtoto wao wa pekee na wamempata kwa tabu sana…
Nikauliza kwanini unasema wamempata kwa tabu, ila hata hakunambia sababu…
Basi kesho yake nikaongea na huyo mama ambae ndio ataenda kuwa boss wangu mpya, alikuwa anasauti nzuri na alikuwa anaongea kwa upole sana, yaan mpaka nikaona ehee nimeshapata boss mzuri sana, na kesho yake akatuma nauli, na Yule mama akanipandisha kwenye saibaba enzi hizo ndio lilikuwa gari classic sana arusha, na safari ikaanza…

Nilikuwa nasali bara bara nzima kuwa nipate hela nije kuwasaidia wazaz wangu na kijiji changu, na mungu anijalie nipate boss mzuri ambae hatanitesa wala kunisimanga kutokana na hali yangu, na kwa kipindi hicho hata urembo wangu ukaanza kupungua kutokana na ugumu wa maisha uliopelekewa na kukosa matunzo mazuri kwa mtoto wa kike kama mimi….

Nilifika dar saa tisa mchana, kipindi hicho magari yalikuwa yanakimbia kama yametumwa, maana hakukuwa na tochi barabaran na sikuja kupokelewa na mama wala baba mwenye nyuma, wala kijana wao, ila nilikuja kupokelewa na mlinzi kutoka ubungo hapo…

Basi bana alikuwa amekuja na gari na safari ikaanza, tukaenda mpaka klwenye nyumba moja ipo huko mbezi beach, kiukweli ilikuwa ni nyumba nzuri sana, na nahisi kwenye maisha yangu yote ambayo nimeshakaa kijijin sikuwah hata kwa bahati mbaya kuingia kwenye nyumba kama ile, na nilipokuwa mdogo nilikuwa nahisi majumba makubwa yenye kengele wanakaa wazungu tu, ila ushamba huu..

Basi bana nikaingia ndani, yule mama alikuwa mkarimu sana nay eye akanipa onyo kama ambalo amenipa Yule bosi wa shoga yake mwajuma kuwa “ nina kijana wangu, sijajua atarudi lini, ila anaweza kuja hata leo, na hajatulia kabisa, naomba ufanye kazi na uachane na mambo yake, sitegemei kuja kuharibu maisha yako, maana najua ulipotoka maisha sio mazuri ndio maana umekuja kutafuta maisha…
Nilimuitikia kuwa nimemuelewa na hatimae nikaanza kufanya kazi..
Basi zilipita kama siku nne, jion ya siku hio nikasikia mlinzi akisema bro karibu sana..
Sikujisumbua hata kumuangalia ila alicheka kisha akasema “ nasikia mama ameleta pisi mpya, embu nambie nikali ee..
Ile sauti haikuwa ngeni masikioni mwangu, ikabidi nichungulie, lahaula! Nashangaa nakutana na sura ya omari…

ITAENDELEA ……..
Tangazo - RUSHA SHINDA KIBABE
RUSHA SHINDA KIBABE
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2


Nimekuja kuamka nipo hospitali ya mount meru, na wakati huo ilikuwa ni mchanam nikajua kuwa ni lazima nilikuwa nimepoteza fahamu kwa usiku mzima, na kweli ilikuwa hivyonna jina la kwanza kulitaja baada ya kufungua macho ni omary …

Mama yangu alikuwa pemben yangu, akaniangalia kisha akasema “ zinura mwanangu ndio kwanza umeamka, nambie una sikia njaa..
Ni kama sikusikia swali la mama yangu, nikawa na mimi nauliza swali kuwa omary yupo wapi?..
“ yupo mwanangu, yupo pona kwanza utaenda kumuona, mama yangu alisema, ila alikuwa ababuabfalia kwa sura ya majonzi ikionesha wazi kuwa omari hakuwa sawa kama mama anavyosema, nilielewa nikajikuta naanza kulia,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-true-love-story-sehemu-ya-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.63K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest