Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
Gonga94 · Stories

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilihisi kama sijaona vizuri, nikaanza kumuangalia kwa makini sana ni kweli alikuwa ni yeye, cheka yake, na namna ambavyo anaongea, dimpoz zake, urefu wake yaan kila kitu alikuwa ni yeye, ila tofauti ni kwamba alikuwa na afya na amenawiri sana..
Nikaja kushtuliwa na harufu ya vitunguu kuunguwa ndio nikashtuka na kuanza kupika upya…
Nilikuwa sielewi kabisa kama ni nina ota au laa, maana kila kitu yaan kitu alikuwa sawa sawa na omari, sasa kichwan kwangu nikawa na majibu na maswali kadhaa, la kwanza, huenda labda wamefanana tu maana duniani watu wawili wawili, na kingine kama angekuwa ni yeye si angerudi nyumban kwao, kwa sababu anaishi maisha mazuri anachezea hela alafu wazaz wake hawana hata viatu vya kuvaa, mwisho nikatoka na jibu kuwa sio omari wangu, na nisimlinganishe na wanaume wa shenzi kwa sababu omari wangu ni mtiifu sana na anaadabu hawez kuwa na sifa mbaya kama kuwa Malaya au kujihusisha na dhambi yoyote ile…

Basi nikapika pale mpaka nikamaliza na baada ya hapo nikaenda kutenga mezani, nikawa nasikia mama yake anauliza “ Nabil mwanangu ni lini utaacha tabia yako ya hovyo lakin, nataman sana kukuona umeoa na mimi niwe na mjukuu mwanangu..
“ni kweli sisi tumeshakuwa watuwazima sana tunataman familia yetu izidi kupanuka, utuletee mkamwana atulee, na utuletee na wajukuu, si unaona upo pekee yako hauna hat ndugu, akawa anasema baba mwenye ile nyumba ambae alikuwa kama muarabu koko flani hivi…
“ sasa ngoja niwaambie, si mnaona namna ninavyochapa kazi kama sina akili nzuri, akasema nabil na baba yake akajibu “ kwa hilo nakupongeza, yaan kampuni imepata faida kubwa sana kuanzia ulipoanza kuiendesha..
“ mnafikiria Napata je nguvu sasa? Akauliza nabil..
“ ndio utuambie hii hari uliyo nayo inatoka wapi?..
“ madem, yaan nikikaaga na mademu nafanyaga kazi kama sina akili nzuri, mmeona sasa faida za watoto wazuri namna wanavyonipa munkari ya kufanya kazi..
Nilishangaa namna nabil anavyoishi na wazaz wake, ila mimi nikimkumbuka baba yangu mzee Suleiman, yaan ukisema habari za mabwana mbele yake, utashangaa stuli ya kichwa imekuangikia kichwani, na mama yangu ameshaenda kuchukua kuni yenye moto anakupiga nayo mpaka moto uzime, lakin sijui hawa ndio wanaishi maisha ya kizungu au vipi, kwa sababu anaongea kitu chochote kile anachokitaka na wazaz wake wanamuangalia tu, tena wanacheka kabisa…

“ nimesikia umeniletea mke nambieni ni mzuri ee, akauliza nabil na mama yake pamoja na baba yake wakaangaliana kisha mama yake akasema n” huyu binti kaja kutusaidia kazi hapa, na hajaja hapa kuwa mwanamke wako, safari hii ukifanya ujinga yaan sitokusamehe kabisa nabil, akasema mama yake na nabil akacheka kisha akasema “ nilikuwa nakutania bana mama nataka sasa hivi niwe shehe au mnaona je?..

Wazaz wake wakaangaliana kisha wakacheka na baba yake akasema “ sawa tunakuombea…

Niliposikia wazaz wake wanamuita nabil nikajua hawez kuwa omari wangu, watakuwa wamefanana tu, basi nikatenga chakula kisha nikasema “ chakula tayari, karibuni mezani, Yule kijana aligeuka kwa mshangao kisha akaniangalia kwa mshtuko…

Nilishangaa ni kwanini alikuwa ananiangalia vile , ila nikajizuia kuwaza ninachokiwaza kwa sababu omari asingeweza kabisa kupata mali alafu wazaz wake wateseke, na huku kwa nabil sasa, akaanza akamsogelea mama yake kisha akasema “ mlijuaje kama hivi ni vitu vyangu mtoto kajazia balaa…

Nabil alikuwa amezoeana sana na mama yake, mama yake akacheka kisha akasema “ acha tamaa…
Basi wakaenda mezan na kula, na mimi nilikaa sehemu nikiwa nawaangalia, walikuwa wanaonekana ni familia yenye furaha sana, nikaanza kumuwaza omari wangu, huenda angekuwa hai na sisi siku moja tungekuwa na familia yenye furaha kama ile..

Basi wakala na mara baada ya kumaliza kula nikaenda kusafisha meza, na nabil kumbe alikuwa anashangaa umbo langu na sio mimi kama ambavyo nilikuwa nadhani…

Basi nikaanza kuishi kwenye ile nyumba, kusema ukweli ilikuwa ni familia yenye upendo sana, kiasi kwamba wakaanza kuninunulia na mimi mafuta ya elfu 35 pamoja na nguo nzuri, nikawa naishi nao kama ndugu, ila kuanzia nnimefika pale kuna namna nabil alikuwa anrudi sana nyumban mapema, kwa sababu alikuwa anaweza kutokomea hata mwezi hajarudi nyumban, yaan wazaz wake wanakutana nae kazini tu…

Akiulizwa amepatwa na nini akawa anasema tu, siku hizi anafurahia vyakula vya nyumban kuliko mahoteli, maana mwanzo hawakuwa wanapika kabisa bali walikuwa wanaagiza tu..
Wazaz wake wakawa wananipongeza ila kutwa mama yake akawa ananiuliza kama mwanae ananisumbua, ila ukweli alikuwa ni kijana mstaarabu sana, hata hatukuwa tunaongea, yaan akiwa nyumban anashinda zake anacheza magemu, na mimi nikimaliza shughuli zangu nakaa zangu chumban maana nikimuangalia nataman kulia maana nahisi kama nipo na omari wangu…

Siku moja akaja rafiki yake nabil nyumban, ni kama nabil hakuwa anataka aje, ila alikuja kama kwa lazima, maana nilisikia anaongea nae kwenye simu akimuambia kuwa “ usije mimi sipo nyumban, ila alikuja kwa kulazimisha, na alipofika nyumban nikasikia anasema “ nataka nimuone huyo anaesababisha unarudi nyumban kama kuku wa kizungu, yaan saa kumi na mbili tayar upo ndani kama unaiwahi ftari…
“ usiongee kwa nguvu bana, embu twende ndani akasema nabil haraka haraka na kweli wakaingia zao ndani..

Basi nabil akaniita niandae chakula, nikaandaa ugali na samaki, kwa sababu ndio anapendaga, nikawatengea kisha nikarudi zangu jikoni kuendelea na shughuli zangu, mara Yule rafiki yake nay eye akaja jikoni na kusema “ naweza kupata juice, ila kabla sijamjibu nikasikia naitwa na nabil, nikaenda ukumbini akanambia “ mbona ujaleta maji ya kunawa?..
“ sinki si hilo hapo boss najuaga mnanawaga hapo, nikamuambia maana huwa kuna sinki la kuoshea mikono kwenye dinning room, akaniangalia kisha akasema “ ahaa sawa kaendelee na majukum yako..
Kweli nikaridi jikoni na rafiki yake hakuwa ametoka jikoni, akawa anasubiri nimpe juice kama anavyosema, kabla sijaingia mlango wa jikoni nikasikia “ dada njoo, ananiita tena..
Nikarudi mpaka alipo kisha nikamuuliza “ naweza kukuhudumia nini boss?...
“ maji ya kunywa yapo wapi?..
“ hayo hapo kwenye jug, na glass nadhan unaiona, nikajibu kwa unyenyekevu..
“ ahaa sawa nenda kaendelee na majukum yako, nikajibu sawa
Nimefika nikawa sasa namuandalia Yule rafiki yake juice, bana bana kumbe chakula hakiliki, akaacha kula, akatafuta upenyo akawa anachungulia nafanya nini na rafiki yake alikuwa anaitwa Kian..
Basi nikaandaa juice kisha nikamiminia kwenye glass, ila sasa wakati nampa kiani juice akaanza kuushika mkono wangu kama ana upapasa, kisha ndio akapokea juice, aisee sijui nabil alitokea wapi, kisha akanishika mkono na kuanza kutoka na mimi nje kwa hasira kana kwamba amemfumania mke wake wa ndoa, kumbe wivu bana mimi sikuwa najua..

NAKUJA……
Tangazo - Hostinger better 2026
Hostinger better 2026
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3


Nilihisi kama sijaona vizuri, nikaanza kumuangalia kwa makini sana ni kweli alikuwa ni yeye, cheka yake, na namna ambavyo anaongea, dimpoz zake, urefu wake yaan kila kitu alikuwa ni yeye, ila tofauti ni kwamba alikuwa na afya na amenawiri sana..
Nikaja kushtuliwa na harufu ya vitunguu kuunguwa ndio nikashtuka na kuanza kupika upya…
Nilikuwa sielewi kabisa kama ni nina ota au laa, maana kila kitu yaan kitu alikuwa sawa sawa na omari, sasa kichwan kwangu nikawa na majibu na maswali kadhaa, la kwanza, huenda labda wamefanana tu maana duniani watu wawili wawili, na kingine kama angekuwa ni yeye si angerudi nyumban kwao,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-true-love-story-sehemu-ya-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.63K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest