Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4
Gonga94 · Stories

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

“ ulikuwa unafanya nini na Yule mpuuzi jikoni, yaan kumbe unalipwa mshahara ili uje ufanye umalaya si ndio, kweli wanawake ni viumbe wa ajabu sana, hamjulikani mnataka nini, hapa umekuja kufanya kazi upate hela, au umekuja kutafuta bwana mwenye hela, ambapo hautajali hata kama unatoa utu wako cha msingi uwe nae tu, huyo kiyan unae muona ana mchumba wake na ameshamtolea mpaka mahari, jitulize, mbona wewe mzuri tu na unaweza kupata mwanaume mzuri wa maana ambae anaweza kukuoa, akasema…

Nikashangaa kwa nini anasema vile, kwa sababu kwanza sikuwa nimefanya jambo lolote baya na kiyan, na sikuwa naona sababu yay eye kunifokea kwa kiasi chote kile, ikabidi nimuulize “ boss mbona kama haupo sawa? Shida ni nini..
Nilipomuuliza hilo swali ndio kama akajishtukia, akaangalia chini kwa sekunde kadhaa kisha akasema ‘ mimi ni sawa na kaka yako nakulinda tu..
“ sawa nashkuru sana, nikajibu kisha nikaingia zangu ndani na kuendelea na majukum yangu mengine, ila wakati nafika ndani, akaniita akataka nikae mezani n anile..
“ hakuna tatizo boss, mimi nitakula tu, nikajibu..

‘ utachagua ule au uache kazi, haya upesi njoo ukae mezani, akasema kwa sauti ya ukali, na kwakuwa nataka kazi yangu nikatii, ila wakati wote kiyan alikuwa anacheka tu kana kwamba ameona kitu kinachomchekesha…

Nabil akaenda jikon akaniletea sahani na juice kisha akanipakulia chakula na kunitengea, na baada ya hapo akataka nile nay eye akawa anakula, wakati wote huo kiyan alikuwa anatuangalia huku anacheka, na kati yangu na nabil hakuna mtu hata mmoja ambae alikuwa anamtaza mwenzake, wote tulikuwa tunaangalia sahani na tukala mpaka tukamaliza…

“ leo umefanya kazi nyingi sana, utakuja kufanya kazi nyingine baadae nenda kapumzike, akasema kiyan..
“ nataka nimalizie kuosha vyombo, nikasema …
“ nimesema nenda kapumzike, akajibu kwa sauti ya ukali nikatii, na kweli nilichoka maana jana yake nilikesha naangalia movie, kama mnavyojua wadada tukitoka kijijini namna tunavyokuwaga malimbuken wa movie..

Basi nikaenda zangu kulala, sikuwa najua hata nimelala masaa mangapi, naamka nakuta nje tayar kunagiza, na nilipoangalia saa, nashangaa naona ni saa mbili kamili usiku, nikakurupuka na kunawa uso kisha nikatoka jikoni kwa ajili ya kupika..
Ila wakati natoka chumban kwangu nataka kushuka ngazi, nikasikia sauti ya kiyan na nabil wakiwa wanaongea kutokea chumban kwa nabil kuna namna nilijikuta nataman sana kusikia wanaongea nini, akawa kiyan anasema “ najua unampenda sana huyu mwanamke kwanini usimuambie? Au shida ni Yule mwanamke wako wa nje ulipokuwa unasoma unahisi atarudi, nakuapia huyo hatakaa arudi tena na huenda ameshaolewa kwa miaka yote saba hio ulioachana nae…

Niliposikia mwanamke wan je, na wameachana miaka saba nikajua moja kwa moja sio omari, kwa sababu sisi tunamiaka sita toka hatujaonana, alafu yeye alikuwa nje ya nchi kwa miaka saba nyuma, nikaamin kuwa ni mtoto wa hii familia, na nikajiapia kumuheshimu kwa sababu amefanana na mwanaume ambae nilishawah kumpenda sana kwenye maisha yangu…

Basi bana wazaz wa nabil hawakurid siku hoo nyumban, nikatoka na kwenda jikoni nikakuta ameshapika na kila kitu ni kisafi, niliamka na njaa, nikaanza kula mara na wao wakashuka, wakala na kiyan akaondoka zake, ila kuanzia kiyan aondoke nabil akawa aniangalia sana, nikawa sasa najikagua labda kuna shida ninayo, ila sikuwa na shida yoyote ile, maana alikuwa ananiangalia kisha anatabsamu zake..

Hata sikumfatiliza, nikala haraka haraka, ila kabla sijatoka mezani, simu ya nabil ikaanza kuita, alikuwa anapiga mama yake simu, akapokea, wakasalimiana pale kisha sijui mama yake alimuambia nini, ila akajibu “ mama si unajua mambo ya vocation sio mambo yangu kabisa, ingekuwa club sawa, ila mimi sitatoka kwa sababu nataka kukaa nyumban..

Nikawa najuambia kuwa matajiri wana raha, yaan mpaka wanatumia hela vibaya kwa sababu ya kwenda kushangaa shangaa tu…
Basi nikashangaa inaingia sms kwenye simu yangu kutoka kwa mama yake nabil ikisema “ funguo chumban kwangu, kuna nguo kitandani kadhaa nimekununulia, kesho tutakuja kukuchukua tutoke wote kama familia…

Nilijisikia vizuri sana, kuwekwa kama mmoja wa wanafamilia, nikatabasamu baada ya kusoma ile sms nikashangaa nabil kanikata jicho kisha akasonya, hata sikumfuatiliza nikarudi zangu chumban kwangu…

Kesho yake niliamka mapema sana, na kufanya shughuli zangu, na nabil alitoka akaja kurudi kwenye kama saa kumi, akanikuta nimekaa zangu ukumbini naangalia zangu movie, na baada ya kurudi akaja baba yake na mama yake, kisha wakamuambia akajiandae..

“ nilishawaambia siendi sehemu bana, nyie nendeni mimi mtaniacha hapa nilinde nyumba, ingekuwa club, hata maneno yasingenitoka, akasema nabil hapo ameshabadilisha nguo kavaa zake bukta na vesti ana zunguka zunguka hapo ndani, wazaz wake hawakutaka hata kubishana nae, wakamuambia tu sawa…

Sasa mimi nikaenda zangu kuoga kisha nikavaa, yaan nguo zilinikaa vizuri, sasa ile natoka nakutana macho kwa macho na nabil alibaki kaduwaa huku anatabasamu kana kwamba ameona kitu cha thaman ghafla, mara akaanza kusema “ yaan kwa kuwa baba na mama mmesisitiza sana, naomba na mimi niende tu, akasema nabil kwa sauti ya juu maana wazaz wake hawakuwa ukumbini, kumbe mwanzo alisema haendi sehemu kwa sababu alihisi mimi nitabaki nyumbani, ila alipoona na mimi naondoka akaona nay eye aende tu…

Basi baba yake nabil na mama yake waka panda gari lao na mimi na nabil tukapanda gari lingine ambalo alikuwa anaendesha nabil, na hatukuwa na mazoea ya kuongea, hivyo kwenye safari nzima tulikuwa kimya…

Sijui hata tulienda wapi, ila ilikuwa ni kama nyumba ambayo ilikuwa nje ya mji kidogo, na pemben ya hio nyumba kulikuwa na mto, basi tulipofika tukala na baada ya hapo nikawa natembea tembea nikaona ule mto, ulikuwa ni mdogo, nikaenda kukaa na kuanza kulia, nikaanza kukumbuka ile siku tulikuwa mtoni na mwanga wa mbalamwezi ulikuwa unamulika kama siku hio, nikamkumbuka sana omari wangu, na kuwalaani watu wote ambao walityfanyia ukatili…

Kumbe nabil baada ya kutoniona walipokaa wazaz wake akaanza kunitafuta, kwa sababu pale kulikuwa na watu wengine, ambao ni wapishi na wafanya usafi, sijui alihisi kuna mwamba naongea nae au vipi…
Nikiwa sina hili wala lile nalia zangu, mara nikasikia sauti ya nabil nyuma yangu ikisema Zinura…
Kuanzia nafika kwenye ile nyumba alikuwa ananiita dada tu, na kwa namna alivyotamka nikajikuta nimesikia sauti kama vile omari wangu alivyoniita, nikageuka kwa shauku na kusema Omari, nay eye akaniangalia huku ananifata huku akiwa anatabasamu…
Kwanini unadhan nabil ametabasamu baada ya kuitwa omari, na nabil ni nani, na kwanini afanane na omari kila kitu, na kama nabil ndio omari na vipi kuhusu wazaz wake maana anaonekana ameishi sana nje ya nchi, au labda ni pacha wake? Hata mimi sijui, usikose kipande kinachofuata…

ITAENDELEA ….
Tangazo - Jiunge sasa upate bonasi ya 500%
Jiunge sasa upate bonasi ya 500%
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 4


“ ulikuwa unafanya nini na Yule mpuuzi jikoni, yaan kumbe unalipwa mshahara ili uje ufanye umalaya si ndio, kweli wanawake ni viumbe wa ajabu sana, hamjulikani mnataka nini, hapa umekuja kufanya kazi upate hela, au umekuja kutafuta bwana mwenye hela, ambapo hautajali hata kama unatoa utu wako cha msingi uwe nae tu, huyo kiyan unae muona ana mchumba wake na ameshamtolea mpaka mahari, jitulize, mbona wewe mzuri tu na unaweza kupata mwanaume mzuri wa maana ambae anaweza kukuoa, akasema…

Nikashangaa kwa nini anasema vile, kwa sababu kwanza sikuwa nimefanya jambo lolote baya na kiyan, na sikuwa naona sababu yay eye kunifokea...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-true-love-story-sehemu-ya-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 8
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 1
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 5
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 3
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

8.87K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.23K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.18K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

1.91K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

1.63K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest