VYOTE NDANI GONGA94
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 6
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi baada ya mambo kumalizika, sio siri nilikuwa najisikia vizuri sana, ingawa najua sikupaswa kutembea na boss wangu, tumemaliz akaniangalia kisha akaanza kuniomba msamaha, akaingia chumban kwake akatoka na p2 akataka nimeze, sikukataa kwa sababu pia sikutaka kubeba mimba zisizotarajiwa hata kidogo…
Baada ya hapo akataka kuondoka pale chumban, ila nilitaman sana kuongea nae, alisema yeye ni omari, zile ni akili za hisia au alikuwa ana maanisha, au alisema hilo jina kwa sababu nilimsimulia kuhusu mimi na omari…
Nikaita omari, akatabasamu, kisha akanambia “ umeschanganikiwa eee, au ndio umeshammiss mwanaume wako?..
“ ulinambia nikuite omari kumbuka, nambie wewe ndio omari? Na imekuwaje mpaka ukafika hapa, na imekuwaje pia mpaka ukawa mtoto wa hii familia na wakati wazaz wako nawajua…
“ usihoji sana mambo ambayo hayana majibu, naitwa nabil Mustapha, ila nilihisi una hisia sana na omari ndio maana nikakuomba uniite hilo jina, na sikuwa na maana yoyote ile, na kuanzia leo nao mba tusahau kila kitu ambacho kimetokea na tuishi kama ambavyo tulikuwa tunaishi mwanzo na nashkuru sana ila nakuahidi hili lililotokea halitakaa litokee tena…
Maneno yake kuna namna yakawa yananiuma sana, yaan inawezekana vipi anambie nisahau kitu ambacho kimetokea dakika chache zilizopita, ila nikatikia sawa tu, kisha nikajiambia kuwa nimekuja kufanya kazi na sio kutafuta mpenzi hivyo natakiwa kuhangaika na kazi yangu na sio vijana wa watu…
Basi nikatoka kwa sababu mimi ndio nilienda chumban kwake, nikaingia kwangu kisha nikaoga, ila msisimko na mawazo ya shoo ndio yakawa yananitesa sana, kwa sababu sikuwah kufanyiwa niliyofanyiwa na nabil kuanzia nimezaliwa, yaan hili ndio tendo la kwanza nililofanya kwa ridhaa yangu mwenyewe…
Basi kulipambazuka, na shughuli za kawaida zikawa zinaendelea, na tulivyoamka kuna watu wengine wakaja kuungana na sisi kwenye ile vocation na inaonekana kama familia ya Yule mwanaume maana asilimia kubwa walikuwa kama waarabu hivi..
Walikuwa na upendo sana na baba na mama yake nabil wakanifanya kama mwanafamilia, na sikwenda pale kama kijakazi, kama ambavyo nilidhani, sikuruhusiwa kufanya kazi yoyote zaidi ya kujumuika na familia kwenye shughuli zote za kifamilia…
Sasa bana kuna ndugu yao mmoja yeye ndio kidogo alikuwa mweusi, ila alikuwa na nywele nzuri balaa, akanifata na kuanza kuniuliza mimi ni nani? Kwa sababu hakuwah kuniona, basi nikamuelezea na tukaanza kupiga story sasa, alikuwa ni mchangamfu sana, yaan ukikaa nae alafu ukanuna lazima ukachekiwe bandama maana lazima itakuwa na shida…
Sasa kumbe nabil amekaa na ndugu zake, sijui ndio ananimissigi au vipi, nashangaa anakuja kukaa ambapo nilikuwa nimekaa na Yule ndugu yake, alikuwa anaitwa faisal ..
“ usinambie umevutiwa na mtoto mzuri, akasema nabil ..
Faisal akacheka kisha akasema “ kwani kosa lipo wapi na unajua kabisa mimi nipo single na dada si haujaolewa pia? ..
“ ndio, na hapa nilipo natafuta mchumba, nikajibu nashangaa nabil anaanza kucheka kisha akaanza kusema “ kwa hio zinura ndio ulikuwa unanidanganya si ndio, sasa si ungesema tu hunipendi nijue moja..
Kwa akili yangu nikajua ni utani wa kawaida, ila kumbe nabil alikuwa ana maanisha kila neno ambalo alikuwa analiongea, nikajibu “ nyie wote wazuri bana mimi siwez kuchagua, hapa tutangalia mwenye kisu kikali tu..
“ mwenye kisu kikali ndio mlanyama au sio? Akauliza nabil..
“ swadakta sikujua kama unaakili ya kujiongeza kiasi hicho, nikajibu huku nacheka zangu nikijua tunataniana tu..
ITAENDELEA
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
