VYOTE NDANI GONGA94
MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 7
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nabil akashusha pumzi kisha akatabasamu, tukashangaa anaondoka zake, hatukumuuliza maana ni mtu mzima na anajua anachokifanya hivyo sisi tukaendelea na mambo yetu..
Basi Yule faisali akawa ndio kama rafiki yangu, tulikuwa tunatembea pamoja muda mwingi na ndio nilikuwa nakaa nae sana kuliko watu wote, yaan ni kama damu zetu zilienda..
Tulivyopata chakula cha mchana Feisal akataka tutoke walau tukaangaze angaze macho nje ya ile nyumba, basi kweli tukatoka, na tukaenda kuna sehemu inauzwa ice cream ila ilikuwa na sehemu ya kukaa, yaan ipo kama restaurant flani ila kunauzwa ice cream na snaks tu..
Tumekaa sehemu tunakula zetu ice cream, mara tukamuona mtu kaingia kavaa full black, hatukuhangaika nae, kwa sababu alikuwa amevaa mpaka miwani, tukala zetu ice cream kisha tukaondoka, tunaenda sehemu ambayo ilikuwa na bembea, sasa tumefika kule tunashangaa Yule mtu ambae amevaa full black tunamuona tena, Feisal akaniangalia kisha akanambia “ usikute una mwanaume wako anatufatilia, nisije nikapigwa mibisu mimi..
“ kwanza huku sina mtu hata mmoja ninae mfahamu kwa sababu sijawah kukaa huu mkoa, labda wewe ndio unafuatiliwa kutokana na biashara zenu..
Feisal akanishika mkono kisha tukaenda sehemu nyingine, kulikuwa na michezo ya watoto, tukakaa pale, lakin kwa mbali tukamuona Yule mtu ambae amevaa full nguo nyeusi mpaka miwani akiwa aneo lile pia, ila safari hii akijiziba uso wake na gazeti ili asionekane..
Feisal akaona sasa huu ni utoto, lazima anaewafatilia atakuwa na lengo flani, na kwakuwa wameshamuona kila sehemu ambayo wanaenda ikabidi Feisal anishike mkono kisha tukaenda kumfata, kumsogelea tunashangaa kukutana na nabil ..
Aiseee Feisal akacheka sana kisha akamsogelea na kumnong’oneza jambo, nikashangaa nabil kavimba kisha akaangalia namna ambavyo tulikuwa tumeshikana mikono akapita katikati yetu kisha akaondoka zake…
Feisal akacheka sana, kisha akaniangalia na kuniuliza “ kwani una mahusiano na bro mbona kama anateseka sana..
“ amna mimi namchukulia kama boss wangu tu, na hatujawah kuwa kwenye mahusiano hata mara moja, nikajibu…
Feisal akaniangalia kisha akaniuliza “ upo tayar kuwa na mahusiano na mimi..
Nilitoa macho, kwa sababu nilikuwa nahisi kama tumekuwa marafiki tu, kwanza hata hatufahamiani vizuri na kingine sikuwa na hisia nae za kimapenzi, hivyo nikaguna kisha nikauliza “ mahusiano na sio urafiki?..
“ urafiki ni hatua ya awali ya watu kufahamiana ila urafiki unaweza kabisa ukatengeneza mahusiano, akajibu..
“ nadhan nisikujibu tujipe muda, nikajibu mara simu yangu ikaanza kuita, na aliekuwa anapiga simu ni nabil, nikaiangalia ile simu kisha nikamuangalia na Feisal akaniambia pokea..
“ haloo, nikasema mara baada ya kupokea simu..
“ boksa zangu umeweka wapi? Akauliza nabil..
Nilishangaa kwa sababu kwanza sijawah kuingia chumban kwake hata kufanya usafi, halafu habari za boksa nazijulia wapi, ikabidi niuliza “ kwani mimi ndio nakuhifadhiaga boksa zako?..
“ sasa mbona unashangaa, embu nambie unashangaa nini kwani haiwezekani, na wakati umeshawah kunihifadhia mtalimbo wangu kwenye kipochi manyoya chakom huyo bwana ako mpya anajua kwamba naujua utamu wako?..
“ unasema nini wewe?ikabidi niulize kwa mshangao huku namuangalia Feisal
“ ila mtoto balaa wewe, una miguno flani hivi amaizing, embu nambie utanipa lini tena, yaan nakuahidi notaipiga mpaka ikauke, akasema nabil, nilishangaa kwanini anaongea vile, Feisal akanisogelea kisha akakata simu yangu na kwenda upande wa video call, akampigia nabil, sikuwa najua anataka kufanya nini, ila baada ya nabil kupokea simu akanikiss bila mimi kutegemea kisha akakata simu…
Sasa sikuwa najua kuwa wanatambiana au wana shida gani hawa vijana..
ITAENDELEA
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-true-love-story-sehemu-ya
