Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 *NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ*  *19&20*  Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop
Gonga94 Β· Stories

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *19&20* Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ananipenda kwell, anantreat vizuri, ananipa kila kitu ninachotaka.

Kila akiwa free, ananipeleka out, tunajirusha kama hakuna kesho Tullishi maisha ya furaha kabisa. Allturna pesa kwa wazazi wangu kama

alivyoahidi

Akanirudishia na simu yangu, na pia akaruhusu

niwe natoka na Lily mara moja moja japo kura mda alikua ananipeleka mwenyewe sababu ya

Kila kitu killenda vizuri la tatizo ni aina ya kazi yake. Hiyo kazi yake ilikuwa inanipa stress Kola usku wakati yeye na watu wake wanatoka, nilikua sina amani kabisa Sababu nilihofia asije akakamatwa au maadui zake wakamfanyia kitu kibaya. Nikawa naogopa anapoondoka, na akirudi salarna ndio napumua

Sasa basi, siku moja tena walitoka usiku kufanya mambo yao. Nilizoea wanarudi asubuhi saa mbil au saa tatu, lakini siku hiyo walirudi mapema sana. Nilishangaa walirudi spidi spidi kama vile kuna jambo beya limetokes. Alafu Sikumuona Bishop akarudi pamoja nao Tobias akaingia straight chumbani kwangu, akaanza kupack nguo zangu kwa haraka Nikamwambia, "Kuna nini?"

Akasema "Lazima uondoke sasa hivi

Nikabak kushangaa "kumekuwaje tena?" "Mambo si mazuri Bishop amenituma nikutue

hapa haraka sana"

"Hapana, siwezi kuondoka bila kujua Bishop

yuko wap

"Kama kweli unamtakia mema, tafadhali

tuondoke Nitakupeleka sehemu salama

laabi

Kwani nilikua naelewa sasa, nilitaka kujua

kama Labubu wangu yupo sawa

Nifimikwida Tobias hata mwenyewe hakuamini

"Bishop yuko sawa? Niambie usinifichel

"Yuko salama

Niliposikia hiyo nikapumus nikamuschitia, Tukamaliza kupack nguo zote muhimu kisha tukatoka vitu vya

Alinipeleka mpaka kwa Lily Akaniambia nihaki

huko kwa sababu yeye hamwamini mtu

mwingine zaidi ya Lily. Baada ya hapo

akaondoka zake hata nyuma hakugeuka

Lily alishangaa, "Kuna mmi? Mbona umekuja

asubuhi hivi? Kuna nini kinetokea?"

Nikamjibu kwa huzuni Sjui. Nilikuwa nimelala, ghafla Tobias akaja kuniambia niondoke kwa sababu mambo si mazun

"na Bishop je??"

"Hata sijui nilitoa simu yarigu nikampigia

Bishop ila simu yake haikupokelewa.

Nikaanza kupanic vibaya nichisi kuna kimu lazima kowe kimemkuta. Basi nikaendelea kusubiri kwa matumaini labda angenitafuta tena la hapakua na chochote.

Sasa Jioni Wakati niko na Lily sebuleni, tukasikia

habari kwenye TV kuwa kulikua kuna mapigano

makali kati ya polisi na majambazi wawili

wameuawal Polisi ndo wapo kwenye harakati za

kuwabaini

Nolijua kabisa wale waliouawa lazima ni Bishop au vijana wake. Nilianza kulia vibaya sana kama nimefiwa. Lily algaribu kunituliza lakini roho yangu ilikuwa tayan imevunjika

Nililia kama mtoto mdogo, nikisema, "Kwanini

kila mara nikipenda mtu, kitu kibaya kinatokea?

Kila wakati mimi ndio naumial Nilikuwa naanza

kuishi maisha mazun, kwanini mimi Nila

mpaka sauti ikakauka

Lily hakuchoka kunibembelezal Alikua karibu na

mimi kuhakikishe kurva nipo sawa Na ilikua

ngumu sana kwake hata chakula sikua

nataka kula

Mara wiki (kakatika bila kupata taarifa yeyote

kutoka kwa Bahop wala Tobias le Nyumba yeo

ilikuva imefungwa na ndani walisamba kila kitu

pakawa patupu

Aisee ilikua ngumu sana ikwangu kufikia hatua

ya kujifungia ndani kwa miezi mitali nikiwa nalla

kila siku. Ikabidi Lily aanze kunishauri

"Labda sasa uanze kufocus na maisha yakol

Tafuta kazi Shege utakaa ndani mpaka lini

ukilia?? Bishop amekuta

Nilishindwa kukuball lakini sikuwa na cha

kufanya. Maisha yalipaswa yaendelee japo sin

rahess Moyoni mwangu nilipa moyo kuwa

Bishop hajafa yupo hai na kuna mahali

amejificha Siku atakapo kua tayari angenitafuta

Nilijipa moyo kwa namna iyo ndo nikapata nguvu

ya koanza kutafuta kazi Maana allyekuwa

ananihudumia hayupo tena lazima nijitegemes.

Bahati nzuri Nilipata kazi kwenywe hotell moja

neun sana

Mshahara

pale ulikua mzun pia kwaiyo

hapakua na shida. Basi toka nianze kufanya kazi

pale sikutaka mazoea watu. Ni salamu tu

kisha nipo busy na kazi zangu. Mda wa

kutengeneza ushosti silkua nao kabisa.

Lakini kulikuwa na jarnaa mmoja kazini anatwa

Lameck. Sasa huyu labubu alikua anataka sana

mazoea mimi Mara anfletee maua ju

xtzawadi vya hapa na pale kuashiria kuwa

ananielewa

Mimi kwakwell sikua nimeacha kumpenda

Bishop wangu kwaiyo Ule s-romantic

Lameck nikawa nauona kero tu

Sasa yeye mwenyewe akashangaa simshoboke

wala nini. Yani nampuuzia tu kama hakuna cha maana alichofanya Basi nakumbuka siku moja wakati natoka kazini usiku Lemeck akanifuata

kutaka kuonges na mimi.

tu asiendelee kunisumbua nikasimama na

kumsikiliza Acha kijana asianze kutupa mistari

kama hana akili nzuri. Han sikutaka kuumiza kichwa changu. Nilimpa jibu moja tu ambalo ni "Sikupend

"Kwanini?"

Nikamjibu kwa sababu nampenda mtu

mixinginel Nina mpenzi

"Sidhani karna ni kweli. Nimekuwa nikikuangalia,

huna boyfriend. Kwa nini unanidanganya?"

"Kwani Mapenzi ni lazima? Nimekwambia sitaki

mwanaume, basi niache

"Sawa, nitakuacha, lakini haitarnaanisha

nimekata tamaa. Nakupenda na nitakuwa wako

siku moja

Nilichukizwe na maneno yake nikaondoka mbio

bila kugeuka nyuma. Kesho yake nilipofika

kazini nikasika habari kwamba Lamek

amepigwa vibaya jana usiku hadi mguu

umevunjika

Wote tukadhani alipigwa na vibaka na tukaamue

baada ya kazi tukamtembelee hospital

Tulinunua matunda na maua kisha jioni ilipofika

tukaenda kumuona

Lakini mara tu aliponiona uso woke ulibadilika

Akanigeukia na kuniambia "Tafadhali toka

hapa

Kwanini? Au Kwa sababu nilikukataa

Akasema "Sitaki kufa mira Tafadhali andoka

"Kuna mimi, Lamek? Kwa nini unaongea hivyo?"

"Boyfriend wako atanimaliza. Cocondoka

Nikasema heee mgonjwa kachizika nini??

Sikubishal Huyo taratibu nikatoka zangu

kuelekea nyumbani. Lakini Nani nikaanza

kuwaza, huyo boyfriend ni nani? Au Bishop?

Hapana sio Bishop Haiwezekanit Sasa Ni nani

basi?

Wakati bado nipo kwenye mawazo, nikasikia

mtu ananifuata nyuma Nikageuka haraka,

nikamuona mwanaume amevaa koti lenye kofia

(hoodie). Nikamuuliza kwa uoga "Wewe ni nani?"

Huku nikipanga kwa mashambulizi kama

atakua

ni mtu mmbaya

Yule mtu Akavun kofia yake. Ni Bishop

Nilishindwa kuamini macho yangu Nikaanza

kulia ikabidi mwamba anikumbatie kunituliza si

mnajua ni mms

Akaninong'oneza "Nimekumiss baby"

Ulikuwa wapi muda wote tuu? Unajua

nimekuwa nikilia kiasi gani? Unajua nimeumia

klasi gani kwa sababu hata simu hukupiga??

Nilidhani umekufa" machozi yakazidi

kumiminika

Bishop Akanitazama kwa uso wake ule wa

huzuni

ko sawa sijafa! Ni baadhi ya vijana

wangu ndo waliuawa, lakini mimi niliousurika

Pole kwa kukutesa kwa kukaa kimyu. Nilihitaji

muda wa kupanga mambo yangu

Nikamuuliza "Mambo gani?"

"Wifo cha watu wangu kimenifanya nigundue hil

kazi ni hatari Kana uwezekano wa kukupoteza

wewe, na mini siku tayari kwa hilo. Nihitaj

kuacha

kila kitu kibaya ili niweze kuanza maisha

mapya. Sasa Nimeacha kuuza silaha na kufanya

kazi haramu Nataka fulshi maisha ya kawaida,

tuanzishe familia, tushi vizuri Sasa niambia,

tayari

kunipokea

tena

nimechelewa kama una jamaa ako mwingine

sishindwi kwenda kumvunja mguu

"Kwa hiyo wewe ndiye ulimpiga Lamek?"

"Ndiyo, sasa kwanini akutongoze???

Lakini

sikumpiga vibaya, nilimgusa kidogo tu. Ni kama

nilenfinya tu

Sasa usipige watu, mimi siwen kuwa na mtu

mwingine zaidi yako! Mimi ni wako tu ila Bishop

nataka unihakikishie hakutakua na shida tena??"

Nol Hakuna shida tena Vitu vyote

nimestteketeza kwaryo hakuna ushaidi wala

masalia yoyote ya biashara zangul Nimejitoa

kabisa So relax mamaa"

Akanikumbatia

"Na Tobias je?"

"Tobias ameondoka

yeye kuanza maisha

mapya! Kifupi kila mtu ameondoka kwenda

kuanza upya ila uzuri nimempa kila mtu hela yo

kuanzia ivyo hakuna shida

"Nafurai kusikia ivyo! Na sisi tuanze maisha yetu

babar

"Ndo maana nakupenda

Nilifurahi sana kusikia hivyo. Bishop allacha

kabisa mambo machafu Polisi hawakuwa na

ushahidi wowote wa kumkamata kwa vyo

akabaki huru.

Osha aliniambia wazi anataka kunica Na kweli

alinioa. Hapo biashara zeta

hardware no

garage tulizo fungua zilikua zinaenda vizuri

mpaka raha! Tena Tunaishi kwa amani, hakuna

mambo ya uhalifu tena.

Wale vijana walikuwa wanakuja kututembelea

mara kwa mara. Hata Tobias alikua anakuja hadi

na mkewe maana na yeye nae allivuta jiko

Maisha yalibadilika, lakini furaha ilibaku pale

pale. Bishop wangu ananipenda kweli nami

najiona mwenye bahati kupata upendo kama

hau, japokuwa ulianza kwa njia isiyo ya kawaida.

MWISHO-

Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *19&20* Aisee ngoja niwaambie ukweli.. sijawahi kufurahia mapenzi kama jinsi ninavyo yafutaia ya Bishop Bishop

ananipenda kwell, anantreat vizuri, ananipa kila kitu ninachotaka.

Kila akiwa free, ananipeleka out, tunajirusha kama hakuna kesho Tullishi maisha ya furaha kabisa. Allturna pesa kwa wazazi wangu kama

alivyoahidi

Akanirudishia na simu yangu, na pia akaruhusu

niwe natoka na Lily mara moja moja japo kura mda alikua ananipeleka mwenyewe sababu ya

Kila kitu killenda vizuri la tatizo ni aina ya kazi yake. Hiyo kazi yake ilikuwa inanipa stress Kola usku wakati yeye na watu wake wanatoka, nilikua sina amani kabisa Sababu nilihofia asije akakamatwa au maadui zake wakamfanyia kitu kibaya. Nikawa naogopa anapoondoka, na akirudi salarna ndio napumua

Sasa basi, siku moja tena walitoka usiku...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-19-20-aisee-ngoja-niwaambie-ukweli-sijawahi-kufurahia-mapenzi-kama-jinsi-ninavyo-yafut

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*  Basi lile busu lilikuwa tamu sana kama chokoleti, yani lilinipeleka mbali kabisa dunia nyingine. Nikajikuta Nampa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Basi lile busu lilikuwa tamu sana kama chokoleti, yani lilinipeleka mbali kabisa dunia nyingine. Nikajikuta Nampa
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Mimi sikujua lolote lililokuwa limeendelea. Baada ya kumaliza kuoga, nikajifuta, nikavaa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Mimi sikujua lolote lililokuwa limeendelea. Baada ya kumaliza kuoga, nikajifuta, nikavaa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA SITA*   Bishop hakuja peke yake, Alikuja na wanaume wengine watano
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *SEHEMU YA SITA* Bishop hakuja peke yake, Alikuja na wanaume wengine watano
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*nimekoma MIMI πŸ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI πŸ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *1-5* *________________________________________*  *SEHEMU YA : 01*  Mapenzi ni kitu cha kijinga sana. Yaani yanaweza kukufanya ufanye ujinga ambao hata wewe hukuwahi kufikiria
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *1-5* *________________________________________* *SEHEMU YA : 01* Mapenzi ni kitu cha kijinga sana. Yaani yanaweza kukufanya ufanye ujinga ambao hata wewe hukuwahi kufikiria
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest