Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA SITA*   Bishop hakuja peke yake, Alikuja na wanaume wengine watano
Gonga94 · Stories

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA SITA* Bishop hakuja peke yake, Alikuja na wanaume wengine watano

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, pamoja na madereva. Wale wengine waliokuwepo ndani walikuwa wanatetemeka. Ni wazi walikuwa wanamuogopa

vibaya mno

Bishop macho yake yakatua kwangu nikasema Nafwaa leo. Hakua ananijua ivyo Akauliza kwa sauti nzito "huyu jamaa ni nani?"

Mmoja akajibu haraka "Boss Bishop hatumjui. Alikuja tu ndo tukawa tuna mhoji"

Bishop akaongea akiwa amekasirika sana. "Mtu anaingia bila nyinyi kujua? How?? Na kwanini mliacha geti wazir

Wakajibu kwa sauti ya hofu, tulisahau boss, na unajua hakuna mlinzi wa getini, tulisahau kweli. Tusamehee boss, tusamehee"

Lakini Bishop si mtu wa utani na hapendi makosa. "mnajua jinsi gani polisi wanani winda alafu mnakua wazembe kiasi hiki?? Spy wako kila kona wanasubiri saa ngapi niteleze wanidake Alivua koti akaliweka pembeni akakunja mikono ya shati lake taratibu bila haraka.

Wale jamaa walijua kinachofuata ni kipi. Haraka walilala chini wakaanza kumuomba msamaha

Ila sifa nyingine ya Bishop ni kutokusamehe. Alifungua buti ya gari lake akatoa mjeledi flani mweusi alafu mrefu. Nilipo uona nilijua kabisa hapa lazima wachezee washawasha.

Lakini yote ni makosa yangu, mimi ndiye niliyeingia bila ruhusa "Samahani lakini ni Ni kosa langu Sijui hata nguvu ilitoka wapi nikajikuta nasema ivo

Bishop akanigeukia kwa macho makali mpaka nikabanwa na mkojo. Aliniangalia weee bila kusema kitu kisha akanipuuza na kuanza kugawa dozi.

Aliwapiga wale jamaa mgongoni kwa mijeledi kama anaua nyoka. Na walivyo kuwa wamejilaza kifudi fudi aliwa faidi kweli kweli mpaka akatoka Jasho

Wallah nillumia kuona wanavyo lia kwa kupigwa. Nilijikuta namchukia sana Bishop na kumuona

mwenye roho mbaya na mkatili mno. Utawapigaje binadamu wenzako namna lyo

Basi Baada ya kuwapiga, akaniangalia akasema kwa sauti wewe??? kali ulikuwa unasema nini

"aaaah saah samahani mimi ni mgeni hapa..... nimekuja kufanya kazi kama mlinzi wa geti

"mlinzi wa geti? akamgeukia msaidizi wake ambapo niliweza kumtambua kama ndie Tobias.

Tobias akajibu kwa haraka "Boss nilitafuta mlinzi mpya ila nilisahau kukuambia, leo ndo alipaswa kuripoti kazini

Bishop hakumjibu Tobias badala yake alirudisha macho kwangu akaniangalia kuanzia juu mpaka chini akasema "ukitaka kufanya kazi hapa,

lazima ujue sheria. Sheria namba moja, nikimwadhibu mtu hakuna anayeingilia. Umelielewa hilo??"

Nikasema kwa uoga "ndio Boss nikiwa natetemeka maana macho yake yalikuwa ya kutisha

Baada ya kuniambia hivyo aliingia ndani huku Wale jamaa wakimfuata nyuma. Aliyebaki ni Tobias na mimi

"Shege, si ndiyo?" Tobias akauliza. "Ndiol"

"Si nilikuambia usubirie nje?? Unajua izi hekaheka zote ni wewe umesababisha?? Alikua

mkali kidogo

"Nisamee tu! Naomba radhi"

Tobias alishusha pumzi "anyways uwe makini, Bishop hataki mchezo hata kidogol Also unadhani utaweza kweli kazi?? Tumeshafukuza

walinzi 20 kwa huu mwakal Watano walikatwa

ulimi, sita wali katwa masikio na walio bakia ni chongo

"nitaweza nitaweza

"Okay! All the best! Nitamtuma mtu akuelekeze kazi na sheria za humu ndani nikiwa free tutasaini mkataba

"Asante" nikamwambia.

"sasa nenda kwenye chumba cha mlinzi, weka mizigo yako. Pia vaa uniform za kazi, utazikuta kitandani

"Ok" Nikachukua begi langu nikaenda kwenye

chumba cha mlinzi karibu kabisa na geti. Ndani Nilikuta uniform zimenyoshwa vizuri. Nilivaa haraka haraka zikanikaa vizuri.

Cha kufurahisha, nilifanikiwa kabisa kuigiza kama mwanaume. Kuanzia Bishop, Tobias na wengine wote hawakufanikiwa kujua kama mimi ni demus

Lakini ukweli ni kwamba nilikuwa ria hofu sana. Siku yangu ya kwanza tu nimeona mambo

mazito. Siku nikijulikana kuwa ni mwanamke si ataniua kwa kudhani mimi ni mpelelezi kumbe nimekuja kutafuta hela za kumuhonga Labubu wangu. Na ivi jamaa ana roho ngumu, nachoka mimi binti wa Banza

Nilipokuwa mule ndani mmoja wa wale jamaa akaingia ghafla bila kubisha hodi. Ni yule yule aliyenitisha mwanzo.

"Eeh, unaitwa nani? akauliza kwa sauti ya juu. "Shege Shege Banza"

Akanitazama "sikiliza Shegel Umeshajua Boss wetu alivyo, Kwa hiyo lazima ufanye kazi zako kwa wakati Kazi zako ni kufagia, kufungua na kufunga geti, kusafisha nyumba na kupika"

Nikashangaa "lakini kupika na kusafisha nyumba si kazi yangu

hapa mambo ni tofauti. Hizo ni kazi alizoagiza Boss. Akisema usafishe, unasafisha. Akisema upike, unapika"

Nikamuuliza "na wewe kazi yako ni ipi?"

"kila mtu hapa ana kazi yake maalum. Sisi hatufanyi kazi za wengine na hupaswi kuuliza kuhusu kazi zetul Hii ni sheria nyingine ya hil

nyumba. Chochote unacho kiona na kukisikia

kibaki hapa hapa! Ukitoa siri kwa polisi au mtu yeyote basi upo kwenye hatari ya kupoteza jicho, sikio, ulimi au uhail Tuachane na hayo, unapaswa kupika chakula, Tuna njaa na muda

unakimbia, jioni kuna kazi ya kwenda kufanya" "Mhhhh sawa

Kwakua sikua najua ni wapi jiko lipo nikamfuata

nyuma nyuma hadi jikoni. Nyumba kwa ndani

kuwa safi sana lakini haina vitu vingi. Kulikuwa na sofa mbili tu na TV kubwa, Dinning room ilikua nyeupee zaidi kulikuwa na jamvi kubwa tu chini. Hilo lilinishangaza, lakini sikuuliza maswali mengi.

Tulipoingia jikoni, Niliona nyama nyingi kwenye sufuria, unga pamoja na viungo vyote vya kupikia

Dennis akaniambia "tupo watu kumi na mbili ila leo upikie chakula cha watu kumi. Boss nа Tobias hawatakula. Harakisha, maana jioni tuna safari

Nikajibu sawa" alafu akaondoka zake Sasa nikaangalia jiko nikiwa nawaza, nitapikaje

ugali na mchuzi nyama kwa watu kumi? Lakini nikakumbuka enzi zangu za kufanya kazi kwa mama ntilie Kwa hiyo hakuwa ngumu sana

japo nilihitaji msaada

Haraka haraka Nilianza kuandaa, nikakata

nyama, nikaichemsha huku nikiendelea kuandaa

viungo vingine. Nilijiambia lazima nimalize kwa wakati, la sivyo nitapokea mijeledi ya Bishop mwenyewe.

Unajua nini kilitokea baada ya hapo??? Subiri

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI 🙌* *SEHEMU YA SITA* Bishop hakuja peke yake, Alikuja na wanaume wengine watano

, pamoja na madereva. Wale wengine waliokuwepo ndani walikuwa wanatetemeka. Ni wazi walikuwa wanamuogopa

vibaya mno

Bishop macho yake yakatua kwangu nikasema Nafwaa leo. Hakua ananijua ivyo Akauliza kwa sauti nzito "huyu jamaa ni nani?"

Mmoja akajibu haraka "Boss Bishop hatumjui. Alikuja tu ndo tukawa tuna mhoji"

Bishop akaongea akiwa amekasirika sana. "Mtu anaingia bila nyinyi kujua? How?? Na kwanini mliacha geti wazir

Wakajibu kwa sauti ya hofu, tulisahau boss, na unajua hakuna mlinzi wa getini, tulisahau kweli. Tusamehee boss, tusamehee"

Lakini Bishop si mtu wa utani na hapendi makosa. "mnajua jinsi gani polisi wanani winda alafu mnakua wazembe kiasi hiki?? Spy wako kila kona wanasubiri...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-sehemu-ya-sita-bishop-hakuja-peke-yake-alikuja-na-wanaume-wengine-watano

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-sehemu-ya-sita-bishop-hakuja-peke-yake-alikuja-na-wanaume-wengine-watano
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

900
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

495
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

436
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

313
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

234
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

99

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest