Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
17 Nov 2025
498 views
VYOTE NDANI GONGA94
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Asubuhi ilifikaa niliamka nikajindaa nilivaa zangu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
gauni langu moja kali jekundu ni zuri mnoo yani na lilijua kunikaa hapo nina artificial hair zangu kichwani utanitaka nilitokelezea nikaend kumgongea boss mlango wake
"Wow you look so beautiful"alisema boss akinisifiaa nilimwangalia kwasabau nilikiwa najua kama nimependeza sifa zake hazikuwa na maana kwangu "asante" nilitabasamu kinafki alikuwa anamaliziaa kujiandaa ila, alijandaa tukatoka nje kwenda kupiga picha na mambo mengine, nilienjoy nyie kuna michezo mizuri, kuna michezo ya hatarii hatari kama puti la mto nilikuwa napiga fujo namkumbatiaa boss kwa nguvu kweli naogopa hadi wale waarabu wakaanza kunishangaa nilijisikiaa aibu ila wee kuna muda nilikuwa napiga fujo bila haya yaani mhh tulimaliza hapo tuka enda kuhave some food jamani nilienjoy kule kule boss akaamua kuninunulia saa maan alitaka kuninunulia simu akisema huku bei rahisi sana ila nilikataa basi alininulia saaa mhh tukanunua etty na baibui na kanzu tukapiga na picha jamani hii siku tulifanya mambo mengi mazuri pamoja yaani nilependa sana ila hii siku tulichoka mnoo yaani
"Okay good night tutaendeleea kesho maan kesho kutwa ni safari" alinitakia usiku mwema na mimi nilimtakia tukalala, baada ya hapo heka heka zotee tulirudi Tanzania nilifurahia sana safari japo ilikuwa imebeba kumbukumbu mbaya kidogo na nzuri na zakufurahisha zakutosha tulivyorudi kila mtu alienda kwa wa kwake akaenda kwake na mimi nikifuatwa na baba yangu maan nilimpa taarifa toka nipo kule kule Dubai nilikuwa nimemmisi sana yaani baba yangu alifurahi sana kuniona mimi mrembo wake alinikumbatia kwa furaha tulipiga story nyingi sana ila muda huu nilikiwa tofauti na alivyonizoea binti yake mimi leo nilikuwa baada ya manenno matatu namtaja boss baba alijaribu kuchunguza nilimwambia tu ni mtu mwema sana, hii ilikuwa mara ya kwanza namdanganya baba yangu Mungu anisamehe katika hili nilikuwa sina jinsi zaidi ya kwakweli kuongopa tu
Siku mbili baadae ndio nilienda officine nilifika tu nikasain ila leo niliambiwa ety nimetolewa kwenye meza yangu yaani nafasi yangu nimekuwa secretary wa boss mhh na office yangu ipo kule kule kwa boss maan boss hakuwa na secretary na kwa vile mimi ndio nimesafiri nae na nimerudi nae salama hivyo ni bora mimi niwe assistant wake, niliyakubali hayo mabadiliko ya ghafla sikutaka kujua ni mpango wa boss au laa nilielewa tu mimi ni secretary wa boss
Nilinyooka mpaka officine nikapiga hodi nikaingiaa officine nikawa nimekaa napitia document maana mimi ni msaidiizi wa huyu mara sijakaa sawa aliingiaa Suzy na mwendo wake wa cat walk "ooh jmani cousin umerudi hata hujanambia how was your trip?, mhh baby boy" aliongea kwa madeko kana kwamba huyu ni mpenzi wake nilijikuta nachukia alivyoongeaa nikasonyaa mama nilikoma ndio kama vile drama zilizidi
"Aah cousin nilikuwa bust sorry nipo busy until now nitakutafuta hata nitakuja kwa uncle kukusalimia" alisema boss ila yule mdada mkosa haya sasa akaanza kuongeea
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA sehemu ya 34&35
Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uy...
*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Asubuhi ilifikaa niliamka nikajindaa nilivaa zangu
gauni langu moja kali jekundu ni zuri mnoo yani na lilijua kunikaa hapo nina artificial hair zangu kichwani utanitaka nilitokelezea nikaend kumgongea boss mlango wake
"Wow you look so beautiful"alisema boss akinisifiaa nilimwangalia kwasabau nilikiwa najua kama nimependeza sifa zake hazikuwa na maana kwangu "asante" nilitabasamu kinafki alikuwa anamaliziaa kujiandaa ila, alijandaa tukatoka nje kwenda kupiga picha na mambo mengine, nilienjoy nyie kuna michezo mizuri, kuna michezo ya hatarii hatari kama puti la mto nilikuwa napiga fujo namkumbatiaa boss kwa nguvu kweli naogopa hadi wale waarabu wakaanza kunishangaa nilijisikiaa aibu ila wee kuna muda nilikuwa napiga fujo bila haya yaani...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nitakusemea-kwa-baba-unaniumiza-sehemu-ya-kumi-na-moja-asubuhi-ilifikaa-niliamka-nikajindaa-nilivaa-
Maoni