Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA* *1-5* *  *SEHEMU YA KWANZA*  Naitwa Angel Deus๐Ÿ˜‡,  mini ni daddy's daughter, binti wa baba nipo mwenyew nimelelewa na baba tu bila mama
Gonga94 ยท Stories

*NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Angel Deus๐Ÿ˜‡, mini ni daddy's daughter, binti wa baba nipo mwenyew nimelelewa na baba tu bila mama

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, mama yangu alikishwa fariki siku alioniza tu yeye akapass away ๐Ÿ˜” inatia huzuni kuona kwamba sijawahi pata malezi ya mama wala kuuunusa upendo wa mama ๐Ÿ˜”, baba hajaoa mpaka leo kwasababu huwa anasema anampenda sana mama na hakuona haja ya kunitafutia mama mwingine kwenye maisha yangu , huwa ananiambia alinipa jina la Angel kwasababu mimi ndio kama malaika wake niliebaki duniani baada ya mama kupoteza maisha

Amenifanya niamini kwenye ule memory wa (true love never die) , mhh kama unavyojuaa binti akilelewa na baba ni anadekezwaa mnoo yaani , mimi nadeka sana yaani baba yangu sio kwamba ana maisha mazuri ya kunipa magari ya kifahari , nyumba nzuri, simu za bei kali, skin care ya 500k hapana hawezi hilo ila naweza sema ni best dady on the world hajawahi tokeaa baba kama wakwangu na hata kaaa atokee mimi ndio nasema hiloo ๐Ÿ˜‰ , baba yangu yupo radhi aumiee kwa ajili yangu na nisitamani cha mtu amenipa kila kitu kwenye maisha yangu hususani upendo wa kweli ๐Ÿ˜Š, hichi kinafanya nizidishe guarantee nyingi kwa baba yangu na nimpe mauwa ya kumwaga yaani ๐Ÿ˜‰, amehakikisha nasoma mpaka degree na nimepata kazi na leoo ndio siku yangu nzuri sana kuachana na ile ya jana ya kwenda kwenye interview, leoo nilikuwa naingiaa kazini yote hii ni baba alikuwa na rafiki mzee Michael ambe ndio kama connection hii ya pale kazini naenda kwenye kampuni kubwa ya uzaaji ,usamabazaji, wa bidhaa mbali mbali ndani na nje ya nchi inaenda kwa jina la MIRACLES COMPANY

"Malaika" baba alikuwa ananiita huwa anapenda kuniita hivyo coz ndio tafsiri ya jina langu "baba nakuja namaliziaa hapa " nilimjibu huwa najiandaa chap chap naweza sema sipo kama wale wadada wanaojiandaaga masaa matatu hapana mimi huwa najiandaa mapema sana ni dakika tu na kitu kingine huwa sina mambo ya kujiremba remba kama wadada wengine pia mimi nakuwaga nachekesha sanaa muda mwingine nahisi ni kwasababu pia nimelelewa na mwanaume , basi nilijiandaa nikatoka nilipendeza na suti yangu ilikiwa pambe ๐Ÿ‘Œ, ilijuaa kunikaa jamani mhh na vile nina sura nzuri hata bila make up nakonekana mzuri plus na dimpos nazidi kuonekana mzuri hasa nikicheka na vile nina cheko zuri saaa jaman ๐Ÿ˜‰

Nilifika officine na Toyo yangu iliyonileta , jamani ni bonge la jengoo yaani pazurii nyiee mhh , pazuri sana yaani nilifika mpaka reception nikajielezeaa walinipa kitambulisho changu na kunielekeza officine mwangu pia , na sehemu ya kusain kama nimefika nilisain nikaelekeaa officine kwangu mhh na kwenyew ni pazuri nilifika nikakaa nilikuta kuna laptop ๐Ÿ’ป mezani coz maelekezo yote nilikuwa nishapewa jana niliendeleaa kufanya kazi yangu kama nilivyotakiwa kufanya mwanzo ,

Nilikiwa nimekaa mwenyew akaingiaa mdada mmoja anatembea kwa maringoo kweli means cat walk ๐Ÿšถโ€โ™€๏ธ wadada nao hapana ๐Ÿ™Œ, nilikuwa nipo naimba nyimbo yanagu ya west life sole dad naipenda sana , cha ajabu alikuja tu na kikombe cha kawaha akanimwagiaa kwenye karatasi zangu "ooh sorry " afu akaanza kujichekesha kama chzii nilikasirika sana ila cha ajabu nikaanza kutoka machozi sasa

Itaendelea .....๐Ÿ”ฅ

NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA

Ep 02
"Hee baby gal mbona unaliaa shida nini ni bahati mbaya ujuee๐Ÿ˜" alikuwa anaongea kwa kebehi mimi nilizidi kukerekwa kwakweli mimi sipendi mtu anaejishauaa mimi "okay I wanna tell you kwamba umeingia officine hujareport kwangu hivi unajua kuwa wewe ni mfanyakazi mpya hapa?" Nilimtizama tu alikuwa ananikeraa hajui tuu " okay hii ni adhabu yako hakikisha mpkaa muda wa lunch hizo karatasi ushaziandaa upyaa sawa madam?" Nilimtizama kwa hasira ni vile hajuii tuu mimi anavyonikeraa jamani "okay madam usinitizame mimi ndie executive manager hapa okay have a nice day bye bye ๐Ÿ‘‹ " aliondoka jamani , mimi niandaee wakati hata sielewi zilikuwa zinahusu nini jamani ndio kwanza nimezikuta juu ya meza yangu ujuee mimi nilikuwa najuaa uonevu upo shule tu mhh hadi kwenye kazi , nilijikuta naliaa mimi kama mtoto, sio kwamba ndio mara ya kwanza mimi nimedeka sana kitu kidogo tu naweza lia mimi kama sitokuja nilie tena "mimi nikirudi nyumbani ntamsemea kwa baba huyu , baba yangu ana nguvu atampiga" ujuee ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜… nachekesha sometimes mara nyingi mimi huwa kama mtoto ambae hero wangu ni baba yangu nina utoto mwingi sana mimi jamani na sijui nitakuja kukua lini mimi duuh, yote hii si unajua ukilelewa na baba au kaka unavyodeka nyiee ๐Ÿ˜‰ , nadeka sana mimi hadi kwenye mambo ya serious mimi nadeka

Nilijitahidi mpaka nikajuaa zilikuwa zinahusu nini tena baada ya kumuuliza mfanyakazi mwingine anaitwa Mary aliniambiaa ilikiwa inahusu nini na ni inabidi after lunch ipelekwe kwa boss , aliniambia pia yule mdada ndio ni executive manager ila anajishaua sana anaitwa Suzy nilijikuta nampenda sana huyu binti wanamuitaa Mary akawa ndio kashakuwa rafiki yangu japo sinaga tabia za kuwa na marafiki maan baba yangu huwa anasema marafiki wengi mwisho wa siku hugeuka maadui hasa ukioata mafanikio niliibeba kauli ya baba yangu maan siwezi jua mkweli ni yupi na ambae atakuwa adui yangu nikifanikiwa ni nani piaa , nilikubali tu awe rafiki yangu kishingo upande hivyo hivyo yaani maan alinisaidia

Baada ya lunch nilizikusanya karatasi mpya nilizokuwa nimeshazichapa na kuzipeleka mpKa kwa boss nilikuwa sijui nilielekezwa nikaenda mpaka pale officine kwa boss nilipiga hodi nikakaribishwa huyu boss mzuri mjuee mhh sijui kwanini ila ni mzurii sana jamani ๐Ÿ˜Š, afu na yeye anamadimpoo hajaongea tu lakini yanaonekana jamani ana sura ya kitoto kuliko mimi ambae nimejidekeza mhh wakak wengine kama wameshushwa jamn

"Okay then hii ndio kazi yako ya kwanza madam , ila mbona umechelewa dakika kama saba hivi maan muda wa lunch umeisha ni kama nusu sasa inaonekana mzembe sana wewe Angel" alisema boss sikuuliza kwanini labda kajua jina ni kwamba taarifa zote huwa anazipata za wafanyakazi na mambo yanayojiri officine "haya nijibu kwanini umechelewa" ujue anaongea kitoto nyiee kunizidi

"Hamna boss ujue yule mdada alikuja officine akanimwagia chai kwenye karatasi etty ni adhabu yangu kwanini nilivyofika sikwenda kwake , hapo mwenyew nimejitahidi sana kuwahisha hyo kazi mana kanitishia hadi kunifukuza kazi ujue boss wewe muadhibu tu haina cha nini wala ni kweli unaona ni sawa kutishiwa?" Niliongea kwamadeko kweli kama vile namwambia baba yangu hapo na uongo juu nimeongeza ila mimi nahuzunisha, boss ikuwa ananitolea macho huyu ananishangaa

"Wewe hiyo ndio sauti yako! ๐Ÿ˜ฒ" Aliuliza katoa macho balaa

Itaendelea....๐Ÿ”ฅ

NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA

Ep 03
"Enhee ndio sauti yangu " nilimjibu ila bado nilikuwa nadeka kama mtoto si unajua mtoto akiwa anastasia anavyokuwa anaongea eeh "hhhh inafurahisha sana ujue so hata mbele za watu huwa unaongea hivyoo?" Nilimtizama nikatabasamu afu madimple yangu yakatoke "wow you look like mee also I have dimples ๐Ÿ˜" alitabasamu nilitamani kucheka mimi na huyu ni kma tunafanana akili yani wote machizi "okay kwahyo unasema kuwa hujapata lunch zcoz ulikiwa unandaa kazi yangu si ndio ?" Nilimtizama nikatikisa kichwa kwa kuashiria kukubali ni ukwli "wonderful tunaweza tukaenda kuhave lunch wote at least ntapata company leo" nilimtizama tu "hapana nikila tofautu na officine baba yangu hatopenda" alinitizama tu akafungua maji akanywa kwanza afuu akaendelea kunitizama nyie huyu mjue hadi tazama yake ya kitoto, sura yake ya kitoti anavyoongea sasa ndio usiseme mtoto mtupu yaani mhhh ๐Ÿ˜Š ni kazuri kama wale watoto wakihindi ninavyokuwaga nawangaliaa kwenye movie yani "okay thanks kwani baba yako atajua hili?" Aliniuliza nilitabasmu "hapana ila nitamwambiaa kwasababu kila kitu ntamuhadithia atachukia najua na mimi sitaki akasirike zaidi" niliongea huku napandisha mabega na macho kama katoto ๐Ÿ™Š alinitizama "mhh kwa muonekano wewe ni mkubwa ila una akili za kitoto sana yaani , unaonekana umedeka sana" mhh huyu boss alionekana mchangamfu sana nilifurahi kukutan na boss kama huyu ma'am nilikuwa najua ntakutana na boss hadi kukaa kwenye office ๐Ÿฌ dakika tatu unaogipa yaani boss hachekeshi ila huyu kabla ya kuongeaa tu unatabasamu tu nilijisikia amni mno "ila ni sawa unaweza kwennda kama unaona hauko comfort , sana ila nimependa sana unavyoongea asante by the way naitwa Johnson "aliongea akiachiaa tabasamu Pana lenye kuonesha kufurahiaa kweli nilivyookuwa naongea na mimi kiujumla

Nilitoka officine ila nilifika njiani nikazuiliwa na yule executive manager Suzy "Hey kwa boss unaendaje moja kwa moja mimi pekee ndio naruhusiwa kwenda kwa boss sawa binti?" Nilimtizama sikuwa na jibu la kumpa mimi kubishana siwezi hata "okay last warning โš ๏ธ nisikuone tena unaenda kwa boss office nzima huwa nafika kw boss mimi peke yangu umenielewa hapo madam Angel , mhh usijikute malaika mbele za watu okay umalaika ni kwenu๐Ÿคจ " nilimtizama tu nikajuaa huyu ana hasira zake binafsi na mimi nikaachana nae nikaondoka maan baba alinambia wanawake tunaweza kumchukiaa mtu bila sababu nilijua hivyoo , nikaachana nae mimi nimekaa kitoto ila sio kila idara

Muda wa kwenda nyumbani uliwadia sasa nilienda kupanda toyo hadi nyumbani nilifika nikatuliaa zangu nilimkuta baba " enhee binti yangu vipi kuhusu kazi imeendaje endaje mwanangu?" Nilimtizama nikamkumbatia nikamuhadithia vyote "mhh binti yangu asa hivi wewe ni mkubwa kuna mengi utapitiaa sio kila siku ntakuwepo kuna muda utahitaji kuwa na maisha yako kuanzisha familia na mengine mengi sana utahitaji kuwa nayo nakuomba tu usiwe mnyonge nakupenda sana binti yangu wewe ni wa pekee kuliko kila kitu , ila tafadhari maneneo ya watu yasikuvunje imani kabisa sawa binti yangu I know you are the best ๐Ÿ‘Œ unaweza kumshinda huyo haya njoo unikumbatie baba yako mwisho wa siku uachie tabasamu nimemisi madimpo yako" nilimkumbatia baba yangu huku natabasamu

Itaendelea.....๐Ÿ”ฅ

NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA

Ep 04
Siku mpya ilifika sasa nilifurahi niliagana na baba yangu aliendelea kunipa maneno ya ushindi na ya kishujaa ili kunijenga na niliondoka nikaelekea kazini ila leo baada ya kusaini nilinyooka moja kwa moja mpaka kwa Suzy nako nikarepot kama nimefika officine nikaondoka zangu kuelekea kwenye office yangu

Nilikuwa nipo busy na kazi maan ni maisha yangu ila kiukweli nilikuwa siwazi kumuacha baba yangu siku moja nakwenda kuanza maisha yangu binafsi labda peke yangu ila nilikiwa sina jinsi zaidi ya kutafuta mimi nilikuwa nafanya kazi kwa kumfurahisha baba yangu ila sikuwahi kuwaza ety nafanya kwa ajili ya maisha yangu binafsi exactly hapana kwakweli nisiwe mdanganyifu nikaja kupata dhambi za buree miee wa watu , nikiwa mwemyewe alikuja boss officne mwangu "okay madam jana ulikataa offer yangu ila mimi leo nataka useme tunaenda wapi labda unapotaka wewe" nilimjibu tu "mhh siwezi kutoka na wewe labda mpaka niongee na baba" aliniangalia "hapana huhitaji ruhusa kwa baba yako naongea kama boss wako hapa na huu ni muda wa kazi fanya kuinuka ila nimekupa offer unipeleke sehemu ya kipekee ambayo wewe unajua nitafurhi kwasabau sina muda mwingi nitaondoka kufatilia mzigo huko Dubai tuliuagiza sasa umekwama naomba fanya hivyoo ni amri " nilikuwa sina jinsi zaidi ya kuinuka tu niliinuka tu "ila unapendeza wewe ni wa kitofauti na wengine haupaki make up kama wadada baadhi yao ila ni mzuri bado" nilimuangaliaa tu sikumjibu maan nilijisikia aibuu ni kama alikuwa ananisifiaa sana mimi niliona aibu kusifiwa na mkaka jamani ๐Ÿค— , tulitoka mapaka parking akachukua gari tukapanda jamani gari lake zuri huyu mkaka jamaji kama la kike linanukiaa mhh , sijui ni aina gani nisiwe muongo sijui aina za magari kwakwel

Niliamuaa kumpeleka sehemu za kuchovya na kwasababu alisema mimi ndio nichague niliona hapo kutamfurahisha jamani nimempeleka mshua uswahili duuuh , ila sasa sijui sehemu zingine "samahani kama hujapapenda ila ni pazuri kw apande wangu nahsi utafurahi" alibaki kasimama ananishangaa tu ,na kutoa macho mimi nilichukuaa bakuli langu la pili pili na lingine la kachori na pweza nikaw nakula jamani napendaa duuh hapa naongea mate yashajaa mdomoni ๐Ÿ˜‹ alikuwa bado ananishangaa tu nilifata nikampa aonjee jamani si ndio akaonegewa mhh alikula kama 30 hivi na anavyokula pilipili kama muhindi vile jamani ๐Ÿ˜, anaonekana kufurahi mnoo , tulimaliza hapo tukaamua kuondoka kwenye gari alinambia "nimefurahi sana kuliko nilivyodhani nataka nikirudi safarini tuje wote tukule tena pweza ๐Ÿ˜‰" alinikonyeza nilijisikiaa haya mimi mhh nikainama chini nikatabasamu tuu tukafika officine alinambia aatondoka na Suzy cozy ndio executive manager

Ila kufika officine Suzy alisema yeye hayupo sawa na kapendekeza mmi niondoke na boss nilijua kwanini aliongeaa maan tu fika mimi ni mshamba na sijawahi panda ndege ni nitaogopa ni kama alikuwa ananikomoa vile mimi nilikuw na wasi wasi huo mndege uje ulipuke ila ndio ilikiwa tamko la officine "okay jindae kesho kutwa safari , najuaa unaogopa kuhusu kusafir na ndege upo sahihi ila ushamba lazima utoke safari njema mh mimi sipo saw " alisem mbele ya watu mimi sikupenda wala sikufurahishwa na hii hali japo ni kweli nilikuw nina wasi wasi sana na hii safari sijawahi panda ndege kabisa ila nilikubali tu na muda wa kwenda nyumbani ulipofika nilienda nyumbani

Itaendelea.... ๐Ÿ”ฅ

NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA

Ep 05
Nlifika nyumbani nikamuelezea baba yangu kila kitu kinachoendeleea officine baba alifurahi nilishngaa "baba mimi nina wasi wasi sana ๐Ÿ™ baba sijawahi kusafiri na ndege baba kwanza nasikia kuna uwezekano wa ndege kulipuka mimi naogopa sana ujuee " baba alinishika mikono na kunambiaa "binti yangu usijali naelewa hiloo una wasi wasi sana mrembo wangu ila baba yako ni anakuombea ufike salama na uhakika utafika salama naamini hiloo kipenzi changu sawa" nilikubali tu ila kwa shingo upande, ila hizi siku mbili kabla ya safari nilikuwa mlokole ghafla wakati mimi sio pigo zangu kabisa yaani mhh baba alikuwa anaungana na mimi katika maombi ila inachekesha ukifikiria safari imenifanya nionekane kuwa mchaMungu jamani hhh , pia nilikuwa siendi kazini kwasababu nilikuwa nimepewa siku za kujianda

Siku ya safari ilifika nikaenda mpaka Airport baba alinisindikiza tu nilifika kwa usalama na nilimkuta boss na gari lake pia alikuwa ananisubiri "umechelewa kidogo ungemuona mama yangu ๐Ÿ˜Š" nilimtizama tu sikuwa na amani moyoni alisalimiana na baba mwisho tukapanda ndege haoo tukaondoka ila sasa humoo kwenye ndege nilienda namshikiliaa Boss njia nzima yaani , hadi nikajikuta namuadithia kila kitu kuw mimi nimelelewa na baba tu na sitamani kumuacha coz atabaki mwenyewe alikuwa ananicheka huku ananipa moyoo tulifika mpaka Dubai sehemu moja hivi panaitwa BurjKhalifa nyie ni pazuri mhh nachoka mee jamani tulichukua hotel

Ila palivyo pazuri sikutaka kupumzika hata nilitaka kula bata tu nikapige picha ๐Ÿ“ธ na nini nirekodi alinambia tunaweza kwenda keshoo baada ya kutoka kufatiliaa hiloo jambo lililotuleta , nilikataa alinambia ni amri nilikubaliana na hiloo akaenda chumbani kwake na mimi nikaelekea chumbani kwangu ila kuna mtu akabisha hodii chumbani kwangu ilikuwa ni mida ya usiku tayari nikafunguaa mlango nikijua ni boss nilichukua nguoo nikaweka juu ya night dress hee cha ajabu alikuwa mtu mwanaumee akaingiaa ndani akaanza kupaaangaliaa angalia mimi sasa akili zangu zikanituma ni kibaka maan ni nchi za watu sijui sheria zaoo niliogopa nyiee nikatoka nakimbiaa akawa ananiita hapo sikujali ni nani nilinyooka moja kwa moja chumba cha boss hakikuwa kimefungwa nikajikuta naenda kumkumbatia hakuwa amelala pia

"Naogopa naogopa kuna mtu chumbani kwangu" Kama kawaida yangu huwa naongea kitoto "Miss ni mimi ndio niliyomtuma aje chumbani kwako kuangalia usalama maan cctv ya kule ni mbovu sema ni hakujielezeaa samahani ujuee kama umeogopa" nilikuwa bado nimemkumbatiaa boss kwa uogaa nilijikuta napata uoga tu nilimkumbatia bila hata kujishtukiaa

Akaniinuaa akanitizama akaanza kunisogeleaa "boss unataka kufanya nini" wee halo utoto uiondoka kabisa yaani , "nakutoa wasi wasi" aliongeaa huku pumzi zetu zikiwa zimekutana jamani niliogopa nilitetemeka kuna kitu nilihisi mimi wa watu alinisogeleaa akaanza kunipa juicee , uwii sijui nini kimenituma kuja huku , alikuwa ananipa juice vizuri ila mhhh afu analips laini huyu ๐Ÿ˜˜ , hiki kulinifanya niendelee kuganda kwenye ๐Ÿ’‹ ๐Ÿ‘„ lips zake

Itaendelea..... ๐Ÿ”ฅ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NTAKUSEMA KWA BABA UNANIUMIZA* *1-5* * *SEHEMU YA KWANZA* Naitwa Angel Deus๐Ÿ˜‡, mini ni daddy's daughter, binti wa baba nipo mwenyew nimelelewa na baba tu bila mama

, mama yangu alikishwa fariki siku alioniza tu yeye akapass away ๐Ÿ˜” inatia huzuni kuona kwamba sijawahi pata malezi ya mama wala kuuunusa upendo wa mama ๐Ÿ˜”, baba hajaoa mpaka leo kwasababu huwa anasema anampenda sana mama na hakuona haja ya kunitafutia mama mwingine kwenye maisha yangu , huwa ananiambia alinipa jina la Angel kwasababu mimi ndio kama malaika wake niliebaki duniani baada ya mama kupoteza maisha

Amenifanya niamini kwenye ule memory wa (true love never die) , mhh kama unavyojuaa binti akilelewa na baba ni anadekezwaa mnoo yaani , mimi nadeka sana yaani baba yangu sio kwamba ana...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ntakusema-kwa-baba-unaniumiza-1-5-sehemu-ya-kwanza-naitwa-angel-deus-mini-ni-daddys-daughter-binti-w

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ntakusema-kwa-baba-unaniumiza
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

479
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

432
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

411
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

297
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

196
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

84

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest