Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ *1 - - - - - - 5* SEHEMU YA 1 "Bajaj " niliita Bajaj uku naikimbilia kama nimemuona mkombozi alienitoa kwenye shida kali ya kukosa usafiri , Nikiwa nakimbia Kwa bahati mbaya nikadondoka ,puuuuh kama mzigo πŸ˜‚πŸ˜‚
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ *1 - - - - - - 5* SEHEMU YA 1 "Bajaj " niliita Bajaj uku naikimbilia kama nimemuona mkombozi alienitoa kwenye shida kali ya kukosa usafiri , Nikiwa nakimbia Kwa bahati mbaya nikadondoka ,puuuuh kama mzigo πŸ˜‚πŸ˜‚

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mwenye Bajaj akaona kama vile nampotezea muda wake vile akaamua kuondoka zake .

Nilivyoanguka nikalala apoapo ,nikajisemea atakae nionea huruma atakuja kuniamsha anipe liftπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilivyo naakili chache sasa nimelala chini karibia na lami .maaan nilikuwa nimechoka Yan uwez amin nimekaaa kituoni kuanzia saa Moja asubuhi mpaka saa nne na robo ,hama usafiri ,Yan nikipata ela niaame tuu uku Goba .

Yan apo nilikuwa naelekea zangu kuomba kaz mahali maaan niliskia Wanauhitaji mkubwa wa wafanyakazi kwenye kafteria Yao.
Na mm ndo kwanz nilikuw fresh from school maana yake nimetoka shule majuz juz tu apo baad y kumaliza form six ,nikaja Dar Es Salaam Kwa dada angu .

Dada angu ni mkali sana na hatak mtu mzemb hivyo hakutaka nikae akanishikiza sehemu ilinijipatie Vincent cent .

Nililala pale chini Kwa muda mrefu adi nikachoka nikaamua kusimama tu Baada ya dakika Kam Saba nikaskia honi piii ...piii ..,nageuka iv usawa wa sehemu ambpo naskia honi nakuta ni gar Zur aina ya Ford ranger .

Nikaiangalia Ile gar Kwa muda Kisha nikajisemea mmmh gar Kam Ile inipigie Mimi hon mmmh embu niache kujidanganya πŸ˜‚πŸ˜‚ nikajigeukia zangu. upande wa pili ,mara cjakaa sawa naskia Tena. ....piii....piii ,nikawanashangaa watu wa pale stend walivyo na uhaba wa usafir .Kuna mkaka akaniambia we mdada Kam hutak kwenda embu mwambie uyo bwana wako atupandishe sisi ,maaan tunaona hauna shida kabisa Yan .

Nikamwambia hii we kaka vp ,uku naelekea kwenye usawa wa gar ,eti nafika tu nakuta uyo mtoaji lift mwenyew kanuna uyo ananimbia ingia ndan .
Mmmmmh nikaguna mbona unanifokea .
Yule mkaka akaniambia Aya ngoja nikwambie vizur mrembo ingia ndan y gar nikawaza ila sababu ya shida nilizonazo adi kweny ugoko nikaamua niingie,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nikaingia nyuma ya gar nikaket .Nashanga mtu hatoi gar nikamuuliza kaka mbona huondoki akanijibu we ushawai kuona lini mtu anapewa lift alafu anakaa nyuma alisema lift anakaa mbele,unataka nionekane Mimi dereva wako au embu njoo ukae uku mbele .

πŸ˜‚πŸ˜‚Eeeeh jamn uyu mkaka vip ,mbona anamkasiriko ivo kama nimemuibia Figo lake πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Kistaarabu nikaamka nitoka ,Kisha nikazunguka upande mwengine wa gar ,ila nafungua tuu nakutana na gwanda za jeshi ,kwanz nikasita Kisha nikamuangali .

Akaniambia viipi unaogopa ,Kwan hujawai kuona nguo Kam izo au ziweke uko nyuma uje ukae ,nikafanya kama alivyosema Kisha nikakaaa .
Baada ya sekunde chache akaanza kuendesha gari sasa katikat ya safr akaanz kuniuliza unaitwa Nan Binti .
Nikamjibu naitwa Shaima .

Akaniuliza una miaka mingap na uko unaenda wap nikamjibu Nina miaka kumi na tisa .Akaacheka Kisha akaniambia mmmh kumbe we mdogo ivo ,Aya unaend wap ,nikamjibu kazini ,uko mbele kuna Mgahawa mmoja unaitwa Umoja restaurant naend Mimi ni Mpishi .

Yule mkaka akatabasamu ,Kisha akasema sawa ,
Mimi sikuelewa kwanini akanijibu sawa ,Yani sawa ya Nini ila nikapotezea ,yule mkaka akadrive Kwa kama dakika 25 Kisha akaniambia tumefika .

Nikamuangalia Kisha nikamuuliza umefika na nan ,Kwan na ww unakuja uuku akaniangalia Kisha akasema embu angalia nje kwanz maaan unamaliza maneno ,Ile naangalia nje nakutana na wanajeshi wanazunguka zunguka ,Kisha nikaaangalia kwenye kinyumba kizur juu kimeandikwa Umoja restaurant .

Itaendelea ....

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜
___________________________________

SEHEMU YA 2
Akaniambia Shuka sasa unashangaa Nini ,
Kwauoga nikashuka uku namuangalia mara mbilimbili ,moyoni nasijisemea Yan dada ndo kanichoka
iv kaaamua kuja kunitupa Kwa awa watu kwel jamn ,
Yan apa ndo inaniingia akilini kwanini alikaataa kunielezea kazidi kukoje ,kumbe ni kambini .

Wakat najiongeresha akilini ,yule mkaka nisiemju atajina akaja mbele yangu Kisha akaniuliza vp mwenzangu unekwama apo au huwezi kutembea .

Ikanibidi niongozane nae sasa tukiwa njiani ,watu wanatushangaa maana yule mwanajesh ni mda sasa hajawai kuonekana na jinsi ya kike .
Adi watu wakajua labda ni shoga

Ila Leo baada ya muda kaja na Mimi na Tena nimekuja nae kutoka kwenye gari moja .

Ukiachana naicho wadada wengi hasahasa wale wa restaurant tulivokuw tunaenda walikuw wanampenda sana yule mkaka adi Kuna baadhi ya wanajesh wakike walikuwa wanajigonga gonga kwake ili awapende .

Alivyo na roho mbaya sasa yule kaka akaniachia pale nje Tena Kwa kunisukuma Kisha akaanza kuondoka,nikaskia mdada mmoja anamsalimia Robert mambo ,ila hakuitiliaa wenzie wakaanza kumcheka .

Apo ndo nikajua kumbe anaitwa robert ,yule dada alikuwa ni wa pale pale restaurant ni manager,alivyoona watu wanamcheka akaanz kufoka nyie embu nendeni jikoni mmemaliza kazi adi mnaleta umbea embu poteeni apa .
Wafanya Kaz wote wakatii amri wakaondoka ,ila nikabaki Mimi.

Akaanza kuniuliza kwa ukalia ,Aya wewe nae vpi kuninsimamia apa unashida au ,
Nikamjibu naitwa Shaima ,ni mdogo wake na Resty .
Yule dada alivosikia ivo akasema aaaaaaah kumbe ndo wewe Aya karibu mdogo wangu karibu apa ndo kazini utakapo fanyia kaz mpaka utakapo enda chuoni .

Ila Nina angalizo umeona hili eneo linawanajeshi wengi na kama unavowajua wanajeshi Kila sketi inayowapitia wanaitaka ,hivyo sitaki uwe na mazoea nao hasahasa yule aliekuleta ,yule ndo Hana adabu kabisa Yan ,alivokuwa akiongea ivo nikamuona muhudumu mmoja alikuwa nyuma yake anafuata meza akaanza kucheka na kuguna kuashiria kama nadanganywa πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Yule madam akaendelea akasema nikikuona na mwanaume yoyote hasahasa awa wanajeshi nakusemea Kwa dada Ako . Aya nenda jikoni kaanze kazi .

Nikamwambia ila madam hujanielekeza jikoni Bado ,akaniambia aaaah nshasahau kama ww ni mpaya akaita Jamila ...Jamila .
akaja yule mdada aliekuwa anaguna "Abee madam "

Madam akamwambia mchukue uyu mwenzio muoneshe jikoni kuanzia Leo tutakuwa nae jikoni .

Jamila akajibu sawa madam.
Yule madam baada ya kutoa maelekezo yake Kwa wote akaondoka .
Baadae nikiwa jikoni ,Jamila akaja akaniambia shoga angu kwanz nimesahau kukuuliza naitwa Nan nikamjibu naitwa Shaima .

Akaniambia ivi Shaima nikuulize kitu nikamjibu uliza tuu unamahusiano gan na Robert .
Nikamuuliza na mm Robert gan akasema si yule kamanda uliekuja nae ,aaaaah kumbe yule Mimi mbona cna mahusiano nae yule ni msamalia mwema tu alinisaidia uko njian maaan kulikuwa na shida ya usafir

Itaendelea ..
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜
___________________________________

SEHEMU YA 3
Jamila akaniangalia Kisha akaguna na kuniambia kuwa makini tuu ,maan yule mkaka ukiongozana nae ujue huna kibarua .
Nikamuuliza kwanini akaniambia we hukuona madam Pendo alivyo na hasira alivokuja .Yan yule mwanajeshi hanaga mazoea na wanawake tangu mke wake alivomuachaga na akamtelekezea mtoto .Sasa watu wengi wanakisia huwenda yule mwanajeshi si rizki ndo Maana mkewe akamuacha na pia ndo maaan Hana mazoea na wanawake kutwa yupo na wanaume tu .

Uyu madam wetu ,yeye alikuwa anaempenda Robert Toka siku ya kwanz kamuona ,na ndooamna kutwa anajigomga gonga kwake na ukiachana na yeye wanawake kibao apa kazini Wanamtaka Robert ndomaaan ata Robert hajagibkula apa maaan wanawake wanavyonshobokea anajioneaga kero tu ,na anakwepaga madam sababu hiyo
hiyo .


Nikashangaa ,nikamwambia we Jamila wewe unayoyasema ni ya kweli au unanitishia tu mwenzio .


Akaniambia we bisha ila yakikukuta ukafukuzwa kaz usiseme sikukwambia ,na ata apa kazini wanawake kibao wamefukuzwa kazi sababu ya Robert .

Jamila alivyomaliza kunipa umbea wa muda tukacheka pale jioni ilipofika nikatoka nje kutafuta usafiri nikakosa .
Yan hii shida cjui itaniishia lini nikija shida nikitoka shida ,hamna usafiri ,nikaamua kujitembelea zangu tuu maaan sikuwa na jinsi ,eeeeeh cndo yakanikuta yaleyale ya asubuhi naskia honi ya gar nyuma yangu na kibaya zaidi madam Pendo nae alikuwa ananiona maaana alikuwa kwanyuma kuleee .

Sasa apo nawaza nikubali au nikatae ,kichwan nasema nikikubali apa ,majungu yataanza naweza ata nikakosa kaz kesho ,moyo unasema nikikataa usiku huu natembea mwenyew mtoto wakike nikibakwa humu njiani .

Wee moyo ukashida nikaend kupanda gar ,nikafanya kama cjamuona madam Pendo .

Nilivokaaa tayar Robert akaniuliza vip mbona ulikuwa unajishauri sana kwani Mimi nakula watu au .
Nikamwambia hamna Kuna kitu nimewaza tu,akasema sawa bas .


Robert akaniuliza locationa y nyumban nikamuelekeza ,tukaagan ila nashuka tuu Kwa mbali nikamuona dada kasimama ,kama ananisubur Kwa hamu .

Nikawa naenda usawa wake uku natetemeka Kwa uoga ,nafika namwambia shkamoo dada ,hakuitikia ila badala yake akanipigia Kofi ,nikaanza kulalamika dada Nini mbona unanipiga

Dada akaanza kunisema Yan ,nimekupeleka kazini ukatafute ela au ukatafute bwana ,ndo kwanz siku ya kwanza ushaanza kuiba mabwna wawatu ivi unajielewa kwel .

Nikaanza kulia ,uku namjibu ila dada unanionea Tena sana ,kkwna nimetoka na mwanaume wa Nan .

Aya na uyo aliekuleta na gari ni Nan ,dada akaniuliza
Alivyosema ivo nikabaki kimya maana najua ata ningejielezaje ,asinge nimelewa na Bado angenisema.

Nikamwambia kama ulikuwa hunitaki kwako ungeniambia sio unakuja kunitesa ,nikaingia ndani uku nalia ,apo moyoni nasema Yan uyu Pendo uyu subr kesho ,kwaiyo kuongozana na mtu imekuwa shida .

Itaendelea ....

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜
___________________________________

SEHEMU YA 4
Kesho yake nikaamka mapema na sio kawaida yangu ,nikajiandaaa Nilivyomaliza. nikaondoka ata sikumuamsha kumuomba nauli maaan sikutaka makelele ,nilichukua ela nilizokuja nazo.

Nikatoka home Bado kulikuwa na kagiza Giza ,kutoka nyumbani kwetu adi barabar ya lami Kuna kaumbali kidogo kwaiyo nikawa natembea apo natembea nasema nisije nikakabwa tu viela vyangu vikaendaπŸ˜‚

Basi nikawa natembea harahara , nikimuona mtu njiani natamani hata kukimbia πŸ˜‚πŸ˜‚.

Leo sikukumbana na shida ya usafiri kabisa Yan ,nikajua kumbe ilikupata usafiri dawa nikuwai kuamka .Nikajipandia zangu bajaja uyoooo adi kazini .

Ile nafika tuu mlangoni nakutana na Jamila ,nikamsalimia sasa apoapo nikamkumbuka kilichonikuta jna ,nikaanza kwakuchekkaπŸ˜‚πŸ˜‚ ,maaan ni mambo ya kuchekesha

Jamila akaniuliza kulikoni shoga angu mbona wacheka ivo umeokota ela Nini ,nikamwambia Yan shoga angu Bora ningeokota ela nijue moja ,Yan Jan Robert sindo kaaniita kunipa lift alafu madam Pendo alikuw Kwa kule nyuma ,wewe Yan niliogopa ila nikajivika ushujaaa nikaingia kwenye gari uku simuangalii usoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamila akaanza kunicheka ,Yan ww Leo hauna kazi subri madama afike tuone ,ila ww hauna kaz πŸ˜‚

Nikamwambia Yan we acha tu adi nimesemewa Kwa dada apa Nacheka uku natetemeka πŸ˜‚πŸ˜‚ .Mie nashoga angu tukacheka pale Kisha tukaelekea jiokoni kuanza kaz.

Muhudumu wa ileile restaurant akaja kuniita ,akaniambia madam ananita .Mimi na jamila tukaangaliana Kisha tukaguna .
Nikawanajongea uelekeo alipo madm .

Nilivyofika nikamwambia madam abeee ,akaanz kunisema iv wewe kumbe hauna adabu eeeeh Yan Jana ,Mimi nimekwambia Nini na wewe umefanya Nini ,ukiona wanaume unatatalika mwenyw vp ndugu yangu ,unakazi ya kuparamia wanaume wawatu ,Yan mischana ya sikuhizi haichagui chaka .

Nikaona wee kumbe hunijui eeeeh Yan nimemnyamazia ananiona kama punguani ,mshenz uyu nikamuangalia kwanz juu mpaka chini nikamwambia Aya we yule kashawai kukutamkia anakupenda au ni wewe unatatalika kama Mimi πŸ˜‚

Yule madam akaniaangali Kwa hasira Kisha akasema naomba utoke mbele ya macho yangu kabla sijakufukuza kaz we Binti.
Nikamwambia loooooooooh Kwa kazi gani haswa ,hii ya kulipwa ellfu kumi na mbili Kwa siku. ,hiii nayo ni kaz ,zikiitwa kazi hii itasimama ,Yan naungua jikoni uku ela yote ninayopatc inaishia kwenye channel safiri na maziwa .Wewe kama unataka kunifukuza kaz nifukuze mie sijali Wala nini .

Yule madam inaonekana alikuwa anatafuta upenyo maaan nilivyosema ivo tu akaniambia Aya Binti ingia ndan kusanya kilichochako ondoka ofisini kwangu .

Nikamjibu sawa alafu nikamsonya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila Mimi jamn. ni maskini jeuri naaacha kaz alafu Sina kazi na ndo kwanz siku yangu ya pili kazini iv dada atanielewa kwel .


Nikiwa njiani natembea uku Nina stress nikaskia sauti unaniambia vip Leo mbona umewai kutoka au ndo ushafukuzwa kazi ,kuangalia iv ,maaan hii sauti kama naijia vile nakuta nirobert .

Nikamwambia Hamna nawai tu nyumbani ,akaniambia acha kuvunga bwan nimeskia Kila kitu kama umefukuzwa kazi na Pendo na sababu ni Mimi ,njoo bas nikupe kazi kwangu .

Nikamuangalia ,Yan mtu hata simjui anataka nikamfanyie kazi kwake kama ni chinjachinjaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

ila kwakuwa nilikuwa na shida Tena sana ,nikakubalia ,haiku itaji mjadala apoapao nikapelekwa kazini .

Jamn Jaman Yan Kuna watu wanaishi na wengine wakina sie tunaishia , yan typpo Kwa njee tuuu mjengo ni mkalii ,achana na mjengo iyo security yake Kuna mtu analinda kwenye get la kwanza Geti la pili ni mbwa .Aya tukaingia ndani sasa nilichokiona

Itaendelea ....

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜
___________________________________

SEHEMU YA 5
Yan mie ni mshamba ila sio sana ,nimeejiiita mshamba sababu nimekuta mlangu unafunguluwa Kwa password Kam SimuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ,sasa nikajisahau nikasema wooow πŸ˜‚πŸ˜‚ Robert akaniambia vip hujawai ona vitu kama iv au ,adi nikaona aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tukaingia mpaka ndani Ile nafika tu kitoto kimoja cha kiume nikahandasome Ako kana lips za pink na nimweupe Kam baba ake kakaja daddy umekurudi akaenda akamkombatia ,mie nimebak nashangaa moment ya mtu na mwanae .

Robert akamwambia mbona humsalimii aunt ,kale katoto kasema aunt gan Mimi uyu sio aunt yangu ,namtaka aunt Pendo wa kule kazini kwako .

Nikaona ooohoooo mtoto anamuumbua babaake πŸ˜‚πŸ˜‚,
Nikawa na shauku y kusikia jibu la baba atasemaje ,
Ila Robert anaakili sana ,akaipangua akwambia Aya kaniletee homework zako tufanye .

Mmbea nikaumbuka ,maana nilikuwa naisubiri jibu πŸ˜‚πŸ˜‚ ,Pale nikapewa majukumu yangu ,kwamba nikakuwa namtake care mwanae tuuu ,maaan kulikuwa na dada wakaz special ,Mimi nim ameniajili kama yaya w mwanaume Bright .

Nikamuuliza vp kuhusu kuingia kazini ,akanijibu ni juu yako kulala apaapa au uwe unaondoka nyumbani ila Mimi napendekeza ulale hapahapa maaan ukiwa unachelewa nakufkuza kaz .

Eeeeh makubwa Yan kashaanza adi kunitishia kunifukuza kazi ,ila niseme ukwel uyu kaka alikuwaa ni mtu wa amri ila ni mstaaarabu sana ,ila amri zake tuu ,

Nikawaza wee kish nikamwambia Leo naomba nilale alafu kesho ntaende kuchukua vitu vyangu nije ili kuepuka kelele z dada angu .Maana rasmi kaz ilikuwa inaanza kesho .

Robert akasema sawa ,ila anaondoka kurudi kazin Bado hajamalaiz alitoka kula ndo aakutana na Mimi ivyo akaamua kuniletea kwanza .

Robert akaondoka ,akaniacha Mimi na mwanae maana yule mfanyakaz mwengine alienda kutembea vityu vys jikoni .

Robert alivyofika kazini tu akakutana na Pendo . Pendo akamwambia Robert naomba Leo tuonane Nina maongezi na wewe .
Robert akamwambia hapana Mimi cna maongezi. na wewwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Pendo akamwambia Kam hutak ntamwambia mama Ako au umejisahaulisha tulimuigizia Mimi na wewe niwapenzi ili asiwe anakusumbua uoe ,sasa chagua uje n Mimi au nikakuharibie ,Robert akamwambia nitumie location na mda tutaonana baada Kisha akaondoka zake .

Pendo akaanza kujiambia yan Leo Robert lazima unipende tuu ,siku zote unakwepa mitego yangu ila Leo cdhani.

Usiku mida ya saa moja iv Robert na Pendo wakatoka wakaend kweny hotel kubwa ya nyota Tano .
Wakaongea Kwa muda ila hamna ata laamaaan walilokuwa wanaongea .Robert akaomba kwenda msalani alivyoenda tuu ,uku nyuma Pendo akamuekea dawa kwenye kinyaji cha Robert .

Aliemuwekea dawa za kuongeza hisia ili Robert akija anywe alale nae .Robert alivyorud bila kujua akanywa kile kinywaji ,Pend akaanza kufurahi Kisha akainuka akaenda reception kuchukua chumba ,ila Robert aligundua Kuna kitu hakipo sawa apo maaaana alihisi anahamu sana ya kufanya mapenzi .akaamua kuondoka bila Pendo kumuona ,akapanda kwenye gari akaondoka ila Ile hamu ilianza kumzidia .

Akafika nyumbani ,muda uo ni usiku wa saa Tano Mimi nimetoka jikoni kunywa maji nimevaa zangu kanga tuu maaan mie huwa kwenye pochi yangu natembea na kanga .

Nilivyofika sebleni nikakutana na Robert nae anaingia ,Robert Hali ilimzidia Sana na ukijumlisha alivyoniona nimevaaa kanga Tena nyepesi imenichora vimaziwa vyangu na viipis maan ninakashape flani iv .

Nikawa sielewi uyu vipi ,maaan akaja kunikombatia Kwa nguvu alafu ananiambia anataka ,sasa anataka Nini nikamsukuma ,sasa naweza bas kumsukuma akaaanza kunikiss Kwa vurugu mdomoni uku ananishika ziwa nikawa naangaika ila alivyoshuka shingoni tuu nikalegea kama sio mimi .

Itaendelea ..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ *1 - - - - - - 5* SEHEMU YA 1 "Bajaj " niliita Bajaj uku naikimbilia kama nimemuona mkombozi alienitoa kwenye shida kali ya kukosa usafiri , Nikiwa nakimbia Kwa bahati mbaya nikadondoka ,puuuuh kama mzigo πŸ˜‚πŸ˜‚

mwenye Bajaj akaona kama vile nampotezea muda wake vile akaamua kuondoka zake .

Nilivyoanguka nikalala apoapo ,nikajisemea atakae nionea huruma atakuja kuniamsha anipe liftπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilivyo naakili chache sasa nimelala chini karibia na lami .maaan nilikuwa nimechoka Yan uwez amin nimekaaa kituoni kuanzia saa Moja asubuhi mpaka saa nne na robo ,hama usafiri ,Yan nikipata ela niaame tuu uku Goba .

Yan apo nilikuwa naelekea zangu kuomba kaz mahali maaan niliskia Wanauhitaji mkubwa wa wafanyakazi kwenye kafteria Yao.
Na mm ndo kwanz nilikuw fresh from school maana yake nimetoka shule majuz juz tu apo baad y kumaliza form six ,nikaja Dar Es Salaam Kwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-1-5-sehemu-ya-1-bajaj-niliita-bajaj-uku-naikimbilia-kama-nimemuona-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒  π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹
  π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

901
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

497
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

437
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

424
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

316
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

249
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

184
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

104

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest