Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHEMU KAUTAKA  SEHEMU 07
Gonga94 · Stories

SHEMU KAUTAKA SEHEMU 07

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHEMU KAUTAKA
SEHEMU 07
?Alifumba macho ili apewe juisi tamu mtoto kautaka na kautaka kweli katepeta mrendaaaa..
?Aliinua kidole chake, akapasa nywele moja iliyokuwa imeshuka kwenye paji la uso wa Rahma. “Samahani,” alitamka kwa sauti ya mvuto.
?
?Rahma aliondoka ghafla na kusimama. “Acha utani wako, Ramadhani…” alijishtukia
?
?Ramadhani naye alisimama, “mmmmmh bhana nilikuwa nakutania shemu kama shemu si unajua utani ni suna.”
?
?Alimfuata nyuma hatua moja. Rahma alihisi mgongo wake ukiguswa na kifua cha Ramadhani. Akasimama. Hakusema kitu. Mikono ya Ramadhani ilienda kiunoni… ikasita… halafu ikajitoa.
?
?“Sawa,” alijisemea. “we endelea na utani wako unajua sipendi shemeji jamani .”
?
?Dakika tano baadaye…
?
?Rahma alijifungia chumbani kwake taratibu. Aliegemea mlango kwa mgongo, akavuta pumzi ndefu. Moyo wake bado ulikuwa unapiga kwa kasi. Mikono yake ilitetemeka.
?
?“Rahma… umefanya nini?” alijiuliza kwa sauti ya chini, akishika kichwa.
?
?Alienda moja kwa moja kitandani, akajifunika na shuka kana kwamba lingeweza kumficha na yale aliyoanza kuhisi. Lakini kumbukumbu ya Ramadhani kusogea karibu, kupasa nywele yake, na joto la kifua chake mgongoni haikuondoka akilini mwake.
?
?Aliinua uso wake juu kidogo, akatazama dari.
?
?“Wewe ni mke wa Richard…,” alijisemea kwa sauti ya kukata tamaa. “Mbona unaanza kuyumbishwa na kaka yake mwenyewe?”
?
?Machozi madogo yalijikusanya pembeni ya macho yake. Hakulilia huzuni… alilia hatia.
?
?Lakini moyoni, alikataa kukubali kwamba alihisi ladha fulani ya msisimko isiyoelezeka. Kosa lililokuwa na ladha ya utamu.
?
?Chumbani kwa Ramadhani
?
?Ramadhani naye alikuwa chumbani kwake, amejilaza kifudifudi kitandani, mikono yote miwili nyuma ya kichwa. Aliangalia juu, akihema.
?
?“Hivi nilitaka kumgusa shemeji yangu kweli?” aliuliza kimoyomoyo.
?
?Lakini kilichomchanganya zaidi hakikuwa kitendo chenyewe. Ni ile hali ya Rahma kutoshtuka. Hakuonekana kuwa na hasira. Alikaa kimya. Aliyeyuka kimya.
?
?“Ile kimya chake… hakikuwa cha kawaida,” alijiambia.
?
?Alisimama, akatembea hatua chache hadi dirishani, kisha akarudi. “Rahma ni mrembo, na zaidi ya hapo, ananielewa… lakini ni mke wa mdogo wangu.”
?
?Alifumba macho. Picha ya macho ya Rahma ilimjia tena jinsi alivyomtazama pale sebuleni, bila maneno.
?
?“Hili jambo linahitaji moyo wa chuma,” alijisemea. “Lakini sasa limeanza. Na najua… si mimi tu ninayehisi moto huu unaowaka kimya kimya.”
?
?
?Siku ya tatu baadaye ........................
?
?Ilikuwa majira ya jioni, muda mfupi baada ya saa kumi na moja. Rahma alikuwa jikoni, akiwa amevalia kanga moja tu ya juu, na T-shirt nyepesi yenye mikono mifupi. Alihisi amani fulani, akiwa peke yake jikoni huku maji ya kuchemsha yakikoroma juu ya jiko.
?
?Alihama kutoka sinki hadi stoo ndogo pembeni, huku akiburuta miguu yake polepole. Hakujua macho ya Ramadhani yalikuwa nyuma yake, kimya, kutoka sebuleni alipokuwa amesimama.
?
?Kwa sekunde kadhaa, Ramadhani alimwangalia kwa jicho la kutamani. Mkao wake, sauti ya kanga inayopiga mapaja yake alipokuwa anatembea, na namna alivyokuwa ananyonga kiuno bila hata kujua vilimfanya Ramadhani alewe kwa tamaa ya kimya kimya.
?
Ramadhani ?Alijikuta akitembea taratibu kuelekea jikoni, hatua moja baada ya nyingine. Hakutoa sauti. Alipofika mlangoni, aliegemea ukutani na kusema kwa sauti ya utulivu:
?
?“Hujambo mrembo wa jiko?”
?
?Rahma alishtuka kidogo, akigeuka kwa kasi. “Wewe tena…! Umekuwa kimya kama mwizi.”
?
?Ramadhani alicheka, akakaribia zaidi. “Sio mwizi… labda mwizi wa harufu ya mapishi yako.”
?
?Rahma alicheka kwa aibu, lakini macho yake yalionyesha mchanganyiko wa furaha na tahadhari. Aliendelea kusafisha vyombo huku akizungumza: “Mbona siku hizi umekuwa karibu sana na jikoni? Au unataka kupika na mimi?”
?
?Ramadhani alimsogelea zaidi. “Sipendi kupika, ila napenda kuwa karibu na anayepika.”
?
?Rahma alinyamaza. Akamwangalia kwa jicho la pembeni. Alimkuta Ramadhani akiwa amesimama karibu kabisa — umbali wa hatua moja tu. Alihisi pumzi yake. Alinyanyuka kidogo kuufuta uso wake kwa leso, lakini kabla hajamaliza, Ramadhani alinyosha mkono na kumshika kiuno polepole.
?
?“Ramadhani…,” alijaribu kusema, lakini sauti yake ilitetemeka.
?
?“Niseme ukweli?” aliuliza Ramadhani. “Siku ile nilipojaribu kukugusa… nilihisi kitu ambacho sijawahi kukihisi.”
?
?Rahma alimuangalia, macho yake yakiwa na mkanganyiko wa kupambana na tamaa na uhalali. Alimwangalia kwa sekunde kadhaa, akasema kwa sauti ya chini: “Hii ni hatari...”
?
?“Ndio maana ni tamu,” alijibu Ramadhani, akimvuta taratibu zaidi karibu.
?
?Mikono yake ikashuka kwenye nyonga ya Rahma, ikatulia pale. Rahma hakuondoka. Alijua si sahihi. Lakini kwa sababu isiyoelezeka hakuweza pia kusogea. Aliishia kufumba macho, pumzi yake ikipanda na kushuka kwa kasi.
?
?“Ninajua huwezi sema, lakini naona macho yako… Rahma,” alisemea kwenye sikio lake.
?
?Rahma alifumbua macho taratibu. Akamwangalia kwa muda. Halafu akageuka polepole, akachukua kijiko, akakikoroga kwenye sufuria kama vile hajui kinachoendelea nyuma yake lakini alimwacha Ramadhani akiwa amemshika na kumpapasa...
?
?Aliamua kutosema "ndiyo", wala "hapana".
?
?mara ghafla Rama akaupeleka mkono kijijini
" Jamani shemu "

FULL 1500
0699286085

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHEMU KAUTAKA SEHEMU 07

SHEMU KAUTAKA
SEHEMU 07
?Alifumba macho ili apewe juisi tamu mtoto kautaka na kautaka kweli katepeta mrendaaaa..
?Aliinua kidole chake, akapasa nywele moja iliyokuwa imeshuka kwenye paji la uso wa Rahma. “Samahani,” alitamka kwa sauti ya mvuto.
?
?Rahma aliondoka ghafla na kusimama. “Acha utani wako, Ramadhani…” alijishtukia
?
?Ramadhani naye alisimama, “mmmmmh bhana nilikuwa nakutania shemu kama shemu si unajua utani ni suna.”
?
?Alimfuata nyuma hatua moja. Rahma alihisi mgongo wake ukiguswa na kifua cha Ramadhani. Akasimama. Hakusema kitu. Mikono ya Ramadhani ilienda kiunoni… ikasita… halafu ikajitoa.
?
?“Sawa,” alijisemea. “we endelea na utani wako unajua sipendi shemeji jamani .”
?
?Dakika tano baadaye…
?
?Rahma alijifungia chumbani kwake taratibu....

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shemu-kautaka-sehemu-07

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shemu-kautaka-sehemu
Shemu Kautaka SEHEMU YA 09
Shemu Kautaka SEHEMU YA 09
SHEMU KAUTAKA  SEHEMU -05
SHEMU KAUTAKA SEHEMU -05
?SHEMU KAUTAKA  ?Sehemu-04
?SHEMU KAUTAKA ?Sehemu-04
SHEMU KAUTAKA  SEHEMU -06
SHEMU KAUTAKA SEHEMU -06
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

661
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

584
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

206
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12

163
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

159
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

151
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

136
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

112
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5

98
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

95

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5 Post Mpya
*NIPO NAYE NA NATAMBA NAYE WEE HUOGOPI* 1----5
@majario LIVE

Mpyaaa 🔥🔥🔥  SEHEMU YA 1       😂😂😂😂Em kwanza nicheke mieee  , hivi mnakumbuka zile issue za yule baba wa kule sijui  wapi wapii  mi hata sijui bwana anatokea wapiii yulee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 12
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mr. Marvel akaendelea “Niliendelea kufanya kazi na wakati mwingine nilikuwa nambeba Salmon na kwenda naye kazini. Kwa sababu hiyo, nilipoteza baadhi ya kazi kwa sababu haikuruhusiwa kufanya kazi na mtoto....

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yake💔. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest