VYOTE NDANI GONGA94
TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya pili ππππππππππππππππππ nilimzika babu yangu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hali iliyo pelekea mama kupata ugonjwa wa kupalalaizi mama tokea hapo hakuwa tena na uwezo wa kuniangalia mimi ilibidi nisome kwa shida shida mala naenda mala siendi hivyo hali ile iliniumiza sana tena zaidi ya neno sana nikawa juma mosi na juma pili naenda mizani kuomba kazi ya kudeki na kuosha viombo ili nipate pesa kidogo hata ya kukologa uji nyumbani maisha magumu sana tena zaidi ya neno sana nilipitia mitihani mingi sana kutukanwa kunyanyasika ila cha kushukuru mama yangu hakuwahi kulala njaa
Japo kwa shida nilikuwa napata viji senti vidogo vidogo kwa kipindi hichi chote hali ya maudhulio ya shule yalikuwa ma bovu sana nilipo ingia darasa la saba rasmi nika acha shule na kufanya kazi ya uhudumu wa pub Makambako nilikuwa napendwa sana na dada chiku ambae alinilea kama mdogo wake na kumjali mama yangu
Nashukuru sana maisha yakawa yanaendelea mama anapata hela ya dawa za kuchua na pesa nyingine za dawa asili mama hali yake ya kiafya kidogo ikawa nzuri mbaka ikafika kipindi mama alikuwa anauwezo wa kupika tena kwa mkono mmoja
Mawazo yalipungua kwa asilimia kubwa sana na kunifanya niisi kila kitu kipo sawa sasa hali ya ujana yani 16 kuelekea 18 flani hivi nikawa napata keep change nyingi sana ila mama alikuwa anajua mimi nafanya kazi ya mama nitilie
Siku moja jioni naludi nyumbani mama aliniita mum njoo nilisogea hadi alipo mama kisha mama aliniuliza huko mizani unafanya kazi gani nika mjibu mama nafanya kazi ya mama nitilie ,mama mum umeanza lini kunidanganya mama mbona mimi siku danganyi na kwambia ukweli
Mum mwanangu ni kweli hali yangu ni ngumu ila sitaki mwanangu uji uze huko mizani maana hata nguo zako unazo vaa hazina maadili kabisa nimeongea na rafiki yangu yupo Morogoro kesho anakutumia nauli nenda Morogoro
Sasa mama mimi nikiondoka wewe utabaki na nani mama yangu wewe ndio furaha yangu πππππππ
Mama aliongea kwa uchungu sana hali iliyo pelekea mimi kulia sana kwa muda mlefu na vile hali yake ilianza kuwa sawa ilinibidi nimsikilize itaendelea

Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tamu-hiyo-balaaaah-sehemu-ya-pili-nilimzika-babu-yangu