Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA MABOSS??????3
Gonga94 · Stories

UTAMU WA MABOSS??????3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
UTAMU WA MABOSS??????3

Linda aliingia ofisini kwa Alex bila kujua????????alimkuta mwenye ofisi yuko bize anachezea simu yake alimsalimia habari yako mkuu????????

Alex aliitikia kwa kutikisa kichwa huku akiendelea kuchezea simu????????Linda alisimama akawa anaendelea kusubiri Boss amalize mambo yake waendelee na interview..

Alex alimalizana na simu akaiweka pembeni????????taja jina lako alimwambia huku akigeuza kiti chake chake cha kuzunguka ili aweze kumuona huyo anayefuatia ni nani..

Alex alishtuka baada ya kumuona Linda ofisini kwake????????????youu???Linda akashangaa huyu jamaa vipi kwani tunafahamiana??

Hata hivo inaonekana Linda hakumkariri Alex wakati anampig kule baani toba????????????Alex alimwangalia ???? badae akamwambia anza kazi niletee kahawa yangu haraka changamka????

Linda alishangaa mbona hajakagua cv zangu????????wakati anashangaa shangaa ghafla Alex alianza kufoka..????????huwa sitaki watu wazembe ofisini kwangu inamaana hukutosheka kushangaa nzi wa mtaani kwenu hadi uje kushangaa ofisini kwangu???.????????

????????nimesema uniletee kahawa na ufanye haraka kabla sijakufukuza kazi sasa hivi????????????..

Linda alisogea mpaka kwenye meza ya Alex
nakuweka begi lake kwenye meza yake, najua litamkera lakini nani anajali,akawaza linda..

"Boss mpzi sana huyu anadhani yeye ni mwerevu sana yaan nafika TU kazin na anaanza kunifokea, akawaza linda????????


Linda alitoka nje ya ofisi na kukutana na mwanamke, ni wa rika lake.

"Samahani, tafadhali naweza kupata wapi kahawa" aliuliza????????

"Are you the new PA" Aliuliza na Linda akaitikia kwa kutikisa kichwa

"Mimi ni Ella, sekretari" alisema akitabasamu.

"Mimi ni Linda, nimefurahi kukutana nawe" Linda akajibu

"Kwa hiyo naweza kupata wapi kahawa" Linda alimuuliza na bella akamuelekeza ilipo sehemu inapopatikana kahawa.????????

"Asante" Linda akasema huku akiwa anaelekea sehemu ambayo alikuwa ameelekezwa

Linda alifika ilipo kahawa akawa anajiuliza maswali bila majibu.

"Sasa sijui kama anataka kahawa iwe moto, uvuguvugu au baridi.
nifanye nini sasa. Labda nitengeneze kahawa ya moto, atajua mwenyewe mr kufoka????????.

Baada ya kutengeneza kahawa, alirudi ofisini na kumpa.
Alex Aliinywa ile kahawa alimanusura immwagikie mwilini mwake????????????
.
"Mbona kahawa niya moto sana????????alianza kuhoji Hivi Umenifuata ofisini kwangu uje kunimalizia si ndio????????

"Samahani sana mkuu????????kmmalizia kivipi hili mbona silielewi aliwaza linda????????..

"Nasikia joto sana embu nitengenezee kahawa nyingine" Alisema Alex na kumsukumia Linda kahawa yake na kuifanya imwagike kidogo kwenye meza..

Linda aliichukua na kuimimina kwenye sinki
"Sasa wakati huu, nitaifanya iwe baridi, akawaza linda na kuanza kutengeneza kahawa.????????

Alitengeneza kahawa ya baridi sana akaichukua na kumpelekea Alex???????????? Alex aliichukua na kuionja wee alipiga kelele????????

"Wewe mpzi umeamua kunitengeneza barafu ili nipate mafua hivi hiki kikaragosi kimetumwa na nani kinimalize???????? alex alitoa bonge la tuc Linda alianza kulia aliona ni kama anadhalilishwa sasa..

"Mungu nilifanya nini hadi nistahili kutendewa mabaya haya, mm ni yatima TU na kila ninaekuwa karibu nae ananionea, Linda akawaza????????

"We hebu toka nje alisema Alex ofisi yako iyo hapo mlango unaotizamana na wangu alimwelekeza Linda..

Linda Alifika kwenye ofisi iliyo karibu na ofisi ya alex, akaingia ofisin na ofisi ilikuwa ipo shaghala bagala, kwa maana faili zilikuwa ziko kila mahali kwenye sakafu hadi mezani????????

Linda aliinama chini na kufunga faili kabla ya kuzipanga vizuri kwenye kabat.
Alikaa chini akiwaza afanye nini baada ya kupanga ndipo alipokumbuka kitu...

"Oh begi langu" aliwaza Linda na kutoka nje kwa kasi. Alifika ofisini kwa Alex na kuingia ndani bila kubisha hodi????????

Alichokutana nacho alishtuka sana????????????Linda alimkuta secretary wa Alex ,bibie bella wakiwa wana????????????ofisini bila hata aibu????????

Alex alishtuka kumuona Linda mule ndani akashangaa hii mbuzi imekuja sangapi yani haijui hata kubisha hodi????????

"Samahani" alisema linda na kuchukua begi lake, kabla ya kuondoka.

Linda alijisikia vibaya na kumuona boss wake ni kama Hana adabu kabisa yaan, na pia haeshimu kabisa wnwke alitaka kuropoka kitu lakini akakumbuka Boss wake ni ana mineno mikali alifyata mdomo wake akaamua kutoka kimyakimya..

Mungu aniepushe na janaume kama hili puuh alisema linda alimaliza majukumu yake ya kiofisi akarudi nyumbani

Linda Alifika nyumbani akaoga na kupika tambi na mayai.
Akiwa anakula akasikia na mlango wake ukigongwa????????

Alisimama ili kuangalia ni nani huyo aliekuwa anamgongea kwa wakat huo maana ilikuwa ni kama saa nne usiku...

Alipchungulia alitahamaki mara baada ya kumwona mwenye nyumba wake pale mlangoni..

"Habari za jioni mwenye nyumba Linda alisalimia lakini mwenye nyumba alimjibu kwa kukunja uso...

"Pesa yangu" Alisema akinyoosha mkono wake mbele.

"Bwana, sina pesa sasa lakini nitakupa wiki ijayo" akasema linda

"Wiki ijayo? Una uhakika utanipa wiki ijayo" aliuliza mwenye nyumba na Linda akaitikia kwa kichwa.
Mwenye nyumba akamuangalia kwa sekunde kadhaa Kisha akasema,

"na iwe wiki ijayo kama hutaki kuziona hasira zangu.
Na baada ya kusema hivyo
akaondoka Linda akaingia ndani kumalizia kula..

Upande wa Alex jioni baada ya kutoka kazini alirudi nyumbani akiwa amechoka sana..baada ya kufika nyumbani alimkuta dada yake pale..

"Halo kaka" Mabel, ambaye ni dada yake alex alimsalimia mdogo wake mkaidi na mtata kwelikweli...

Alex alipokea salam na kuiingia ndani na Mabel akafuata nyuma yake.

"Unataka nini" Alex aliuliza ,Mabel akacheka tu bila kusema chochote

"Niambie unataka nini" akauliza tena Alex ..Mabel alimwambia mdogo wake nilikuwa nashida na pesa kidogo..

Za nini??????????Mabel alibaki anajikanyaga yani mdogo ni anafokaga tu muda wote..

Huku kwa Linda alilala na siku iliyofuata aliamka na kuoga na kuvaa suruali nyeupe na top nyeusi..

"sina mavazi rasmi kwa ajili ya ofisini kwa hivyo lazima wayaelewe mavazi niliyo nayo, akawaza linda na kutoka kwa ajili ya kuelekea ofisini..

Wakati Linda yuko nje anafunga mlango aondoke ghafla simu yake ilianza kuita????????

Alipokea na kuanza kuzungumza na huyo mtu aliyempigia mpaka akasahau anatakiwa kuwahi ofisini????????..

Mungu wangu alishtuka baada ya kukata simu na kugundua kuwa yuko nje ya muda mama wee huyo bosi kufoka atanimeza leo????????

Linda aliwahi kituo cha daladala akapanda tax kuelekea ofisini

Itaendeleaaa

Full 1000

WhatsApp 0742133100
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA MABOSS??????3

UTAMU WA MABOSS??????3

Linda aliingia ofisini kwa Alex bila kujua????????alimkuta mwenye ofisi yuko bize anachezea simu yake alimsalimia habari yako mkuu????????

Alex aliitikia kwa kutikisa kichwa huku akiendelea kuchezea simu????????Linda alisimama akawa anaendelea kusubiri Boss amalize mambo yake waendelee na interview..

Alex alimalizana na simu akaiweka pembeni????????taja jina lako alimwambia huku akigeuza kiti chake chake cha kuzunguka ili aweze kumuona huyo anayefuatia ni nani..

Alex alishtuka baada ya kumuona Linda ofisini kwake????????????youu???Linda akashangaa huyu jamaa vipi kwani tunafahamiana??

Hata hivo inaonekana Linda hakumkariri Alex wakati anampig kule baani toba????????????Alex alimwangalia ???? badae akamwambia anza kazi niletee kahawa yangu haraka changamka????

Linda alishangaa mbona hajakagua cv zangu????????wakati...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-maboss-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-maboss
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya  27
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 27
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️18- 21
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu 23~24
UTAMU WA MABOSS Sehemu      25~26
UTAMU WA MABOSS Sehemu 25~26
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
UTAMU WA MABOSS ????❤️19~20
 UTAMU WA MABOSS Sehemu ya      30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 30 MWISHO
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS Sehemu ya 28
UTAMU WA MABOSS sehemu ya  29
UTAMU WA MABOSS sehemu ya 29
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS?????? 8
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 14
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS 🥵❤️22
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS??? 4
UTAMU WA MABOSS???  SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS??? SEHEMU YA 02
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS?????? 5
UTAMU WA MABOSS ????❤️  Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS ????❤️ Ep 17~18
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS??? 6~7
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️15
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS????❤️16
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS???13
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake  pamoja na Bryan.  "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 11 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani,...
UTAMU WA MABOSS 10 Linda  Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS 10 Linda Alikuwa amechoka sana na hataki kuleta vurugu yoyote MAANA mpaka muda huo Alex
UTAMU WA MABOSS PART 12  Mabel  ALIKUWA anashughulika  na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
UTAMU WA MABOSS PART 12 Mabel ALIKUWA anashughulika na maandalizi ya maadhimisho ya miaka kadhaa ya NDOA
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

595
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

500
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

323
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

229
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

76

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest