CHUMBANI KWETU 💚 4 basi watu wanaanza kumuonea wivu betty🤣🤣🤣 ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,
kama ni hela zake alinipa na kunikopesha sana tu, na mama nisingempa maana nilikuwa bado nina kinyongo cha kuniforce niolewe😒💃
okay....! tunaendelea eee basi nikawa namwambia wifi si twende hata tukatembee tembee jamani mimi nilishazoea kuzurura bhana🤣🤣🤣.....
kukaa ndani kama broiler inanikera basi nikamshawishi akasema basi ngoja twende kwa rafiki angu mmoja hivi ila hatukai sana tunarudi amani na aunt watukute tusharud hamna shida tukatoka tukaenda kuna sehemu mdada anauza ice cream na cone🍦🍧
akanambia ni rafiki ake anaitwa joy akatukaribisha pale akatupa na cone za ofa🍦
umepotea shogangu nipo si unajua kwetu pale kutoka ni tabu najionea hadi shida kutoka toka mmmh kama mwali hamna bhana si kama hivi nimekuja kwa mwaka mara moja ndo hivvyo hivyo ata iwe miaka kumi ndo nshakuja,
huyu wifi angu mke wa amani mmmh weweee aman kaoa ndio jamani ni bora ndo ata kunialika shogangu jamani harusi yenyewe haikuwa na mambo mengi hata sherehe pia hatukufanya ndoa imepita tu basi jamani haya mama ,
karbu dada mimi naitwa joy asante mimi naitwa zawadi sawa mimi na zuu marafiki kindakndak kwahyo na mimi wifiyo hivyo ujue sawa nafurahi kukufahamu🥰
hatukukaa sana tukaondoka njiani nikashindwa vumilia nikamuuliza wifi mbona joy kashangaa sana kusikia amani kaoa mmmh hamna kitu kashangaa tu labda kwa vile hakualika na hatukufanya sherehe kweli? kwani kuna tatzo lolote wif?
hapana Aaah niambie2 au kama kuna kitu unataka kuuliza uliza tu amna chochote wifi angu haya mama au ndo wivu hahahaha jamani mimi ata sina wivu huna lolote nishakujua una wivu wewe🤣🤣🤣
nikajikaza kuuliza mengine,ila moyoni nawaza isije ikawa wanga hawa kama lile movie la kina kanumba na wema🤔🙄 basi usiku huo amani tukawa tunapiga story ananiuliza mambo ya kijijini kwetu alikuwa mchangamfu sana🤣🤣🤣nikasema uyu sio wa kumpenda maana inaonekana hana wazo na mimi😭
nikamuuliza kwani na wewe ulilazimishwa kuoa? kwanin? sababu inaonekana kama hukuwa na shida ya ndoa 🙈hamna kawaida tu sawa afu utaniacha lini?🙄 unamaanisha kukupa talaka?
ndio🙈mbona bado mapema sana italeta shida kwanini? mama ataanza nibughudhi na pia nitakosa cha kujibu kwamba nimekuacha kwa kosa gani..?!
kwani kuna tatizo kwa sasa wewe kuwa hapa hapana oky basi tulia tu usiwe na haraka mmmh nikasema uyu kaka hajatimia🤣🤣🤣 ananivuruga mjue nikapanda kulala yeye hana shida na mimi🙄🥺
ila nikaanza kuwaza au simvutii hata kama hanipendi sio anifanyie hivyo😭😭😭 ndoa ikafika mwezi siku hiyo akanambia vaa pendeza mama tukatembee mjini😘nikaoga zangu mimi nikapiga pamba💃 safari ya mjini😇😎 basi akanipeleka maeneo ananizungusha zungusha sangapi tusiende kwa joy eti tuingie apa tule ice cream🍧
tulivyoingia tu joy acha atukarishe karibu kaka amani na wifi zawad za tangu siku ile mimi apo najisemea tu uyu jamani wenzie tulikuja kwa kuiba yeye ndo ananichangamkia ananitaja na jina kabisa🤔😡
nikajibaraguza kumjibu tu lakini nikaona kama amani amebadilika uson kachukia🤔🙄 nikasema Leo ntakoma🤔 tukatoka tulivyofika kwenye gari akaniuliza umejuana vipi na joy 🤔wee Kwan kusema ukweli ni mpaka na hela?😔 nkasema mimi tulikuja na wifi🥺wee tulivyofika nyumbani alitusema mimi na zuu tukamuomba msamaha akawa anasema humu ndani hamna kutoka mtu bila ruhusa yangu au ya mama sijui kwanini unajisahau zuu,
Halafu na wewe zawadi naona unataka kunizoea sa nikawaza mimi kosa langu nini😳
nikaendelea kumuomba msamaha bhana hadi uko chumbani, akasema kwamba etii lazima nikitaka kutoka nimuage yeye ni mume wangu nilicheka🤣🤣🤣
unacheka nini? kwahyo mimi naongea ujinga hapa hapana🥺 nilijiwazia tu mkewe na hatujigi jigi🙈 basi Betty akanambia amekuja uku amepata kazi basi uje unisalimie jamani🙄akaja siku moja tukapiga umbea🤔
maana tulimiss haswa alivyoondoka akantext uyo kaka ndo hatufanyi chochote🤔😎ndio khaaa ebu acha ujinga muanze weweee unachelewa wapi weeeeeeeewe kifupi alinambia eti nijisexxyshe🤣🤣naanzia wapi ata sielewi,sasa siku hiyo nikasema nimtest kama mashine nzima,🤣🤣🙌🏃🏼♀️
alikuwa amelala kwenye sofa pale alikuwa anasoma novel akapitiwa na usingizi,kikawa kile kitabu kimemfunika usoni nikafika ad pale sijui ndo nmshike🤣🤔 asije niona malaya bure nikaghairi🙃 nkageuza nikalale zangu kitandani mimi 😼 akaniita zawadi?🙄
nawarudia🤣🤣🤣💃💃💃
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni