CHUMBANI KWETU 💚 8 Mimi naogopa🥺no usiogope hakuna kibaya kitakukuta mmh wakati umesema mauzauza sijui hamna bhana usijali mke wangu, umesikia
sawa lakini nikakosa amani kuanzia hapo😭basi ikapita kama wiki tukasikia juu ya bati kama mtu anatembea😳
mume wangu unasikia uko juu kuna nini bhana yaan naweza nikafa wewe upo umu umu usikii vishindo juu ya bati?🙄 mmmh Sasa huyo ni paka au nani?
paka awe na kishindo hivyo🙄ngoja nikaangalie ni nini kilichopo hapana uende uko upate matatizo usiku wote huu uenda ni mtu atokee akujeruhi usiende plz sawa mke wangu ila usiogope mimi nipo sawa🥺basi tukalala lakini naogopaje🙄🙄
siku moja nkawasikia wanaongea na mama ake eti anaogopa mimi nisije patwa na yaliyotokea kwa najma nikawaza au niende jifungulia kwetu mimi nisije nikafa hapa😭
ikabidi nimshirikishe betty akasema nisiogope atakuwa bega kwa bega na mimi hakuna kitachontokea kwanza akasema kuanzia hiyo siku atakuwa anaamka sa nane usiku kuniombea yaani mpaka siku nijifungue,
nikasema kweli rafiki angu ana imani na upendo mana nikawaza ata niende kijijini wachaw kwan uko hawafiki🤣🤣
hapa ni kubaki tu na mimi akanambia Kila nikitaka kulala niombe🥰 tukaenda tu na mume wangu kusalimia wazazi afu tukarudi,siku moja akarudi kiunyonge akanambia kuwa anasafiri siku mbili yaani nilale mwenyewe mi naogopa mume wangu😭 vumilia Kesho kutwa tu ntakuwepo.....
sitaki mimi😭ntaenda kulala na wifi zuu ni sawa lakin kuna leo na kesho zuu akiolewa utalala na nani vitu vingne unapaswa uvumilie tu hakuna kibaya kitakukuta ni vitisho tu hivyo vinavyotokea hivyo hivyo vitisho siwezi kuvivumilia mimi sawa mke wangu ,
basi usiku huo nikasema ngoja nilale mwenyewe😆naogopa hatari nikakaa kaa mwisho nikapitiwa na usingizi nikaja kushtuka saa 7 usiku nikakuta michanga kitandan🙄🙌
niliogopa nikampigia betty apokei🥺 mume wangu pia apokei nikasema cha kufia nini?😂 nikaenda mgongea wifi zuu🥺 akafungua wifi mimi naogopa asee imagine kitandan nmekuta michanga usiku huu hahaha ila wifi una fix jaman🤣🤣
hebu acha kunidanganya michanga kabisa ata kama kuna mauzauza hawawez kufikia hivyo wifi twende ukaone mwenyewe nikamshika mkono🤝 makubwa haya jaman sasa michanga wanakuwekea yaniniiii🥺🥺
mimi ata sielewi 😔 mimi ata silali tena naomba nikalale chumbani kwako hamna shida twende tu tukaenda kulala kabla usingizi haujanipitia..
bety akapiga simu nimekuta missed call shoga angu usingizi ulikuwa mzito ata sjasikia mama ndo naamka nianze kusali nikamuhadithia akasema usijali shogangu hivyo ni kitisho vya shetani tu kuanzia sasa hivi usiogope chochote maana hofu ndo silaha ya shetan kukunyong'onyesha utavuka hiki kipindi salama Mungu awezi kataa maomb yetu kiasi hiki,
tukalala sikuona mauzauza tena kwanza usingizi ulikuwa mtamu tu😴 hata kesho yake pia nililala uko raha mstarehe mpaka nikawa namwambia mume wangu alivyorud kuwa ntaendelea kulala kwa wifi 🤔😘😹ebu acha ujinga bhana mke wangu mimi nimekumiss
bas mimba ikafikisha miezi nane,siku moja nimeamka asubuhi nakuta nimeingia period😭😭😭 jamani nina mimba period naingia ya nini...!!!😔
narudi vipenzi❤
Full story leo jumapili unaipata kwa tsh 2000 lipia kwa airtel money 0782781603 RAHEL BOO kisha ncheki whatsapp kwa namba hiyohiyo
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi



Maoni