Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 1
Gonga94 · Stories

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
CHUO CHA MIHEMKO
SEHEMU YA 1

Mh! Bwana bwana wee, maisha ya chuo matamu sana kama yakifaana kinoma. Embu wacha nisiwe na maneno mengi wacha nikusimulie niliyapata huko chuo, hiki chuo chenye wanafunzi waliojaa mavitu na mavituziiii ya mihemko..
"Nilifika nikiwa bikira wa akili na mwili… nikarudi nikiwa na ujauzito wa hisia na kitumbo"
Waliosema “Chuo ni sehemu ya kutafuta elimu” walikuwa sahihi lakini hawakutuambia kwamba elimu nyingine huwa haifundishwi darasani.
Nilikuwa nimevaa sketi ya penseli, viatu vya chelsea, na nguo ya juu isiyoonyesha chochote isipokuwa tabia.
Hivi sijajitambulisha eee, sawa, naitwa Neema mtoto wa kwanza kwenye familia yetu ya watoto wanne, nina miaka 22 mpaka sasa ninapo anza kusimulia kisa hiki.

Nianze kwa kusema mimi nilikua mkorofi na mkali sana, maswala ya mkaka kuja na kunitongoza nilikua sipendi kabisa yani mkaka akijaribu alikuwa anakutana na majibu ambayo yatamfanya kesho kukaa kimya.
Tabia hiyo ilipelekea kuitunza bikra yangu bila kumpatia mvulana yoyote yule, tangu naanza kitado cha kwanza mpaka namaliza kidato cha nne, nikaingia kidato cha tano hatimaye sita hakuna mvulana yoyote aliye wahi kunibahatisha hata kwa kuniita beby, yaani hata beby ya bahati mbaya hakuna.

Hapo nikaamini kwamba nitaenda chuo, na nitatoka bila mjinga yoyote kucheza na mwili wangu hata kwa bahati mbaya.

Haya bwana sasa leo si ndio nimefika chuo, nia yangu kubwa ilikuwa kutafuta cheti bora na sio bora cheti, kwani mahusiano hayakuwa yananichukulia muda kabisaaa.

Moja mbili chuo hicho hapo mbele ya macho yangu, hatua kadhaa nikazipigia kusogea chuo, huku nikiwa nimepakata begi langu dogo maana mengine tayari yalikuwa nimeyapeleka hosteli.
Sasa bwana wakati natembea kwa haraka ili niwahi kwa viongozi wa chuo kusaini kuwa nimeingia chuo sasa, na nipewe utaratibu muhimu wa chuoni hapo, macho yangu yalikuwa kwenye simu nikichati Whatsapp kwenye magroup, huku hatua ndefu ndefu nikizipiga.

Sikumbuki ilikuwaje ila nacho kumbuka nilijikwaa, simu nikarusha kulee nikaanza kushuka chini kupigiza mwili.
Hapo kwa haraka nikafunika macho yangu nikusubiri maeneo ya mwili yatakayo umia.

Cha ajabu sekunde zikasogea bado sijaanguka chini, nikahesabu moja mpaka tano nikashangaa bado nimepanda hewani.
Kwambali nikaanza kuhisi kama vile nimekumbatiwa na mtu, na huyo mtu amenikumbatia kuzuia nisianguke.
Nikafumbua macho yangu ili kumtazama huyo mtu mwenye ujasiri wa kunishika.
"We vipi, nani kakuruhusu kushika mwili wangu" eti nikawa nauliza hivyo huku namuangalia kwa hasira.
Pale pale akaniachia, nikapigiza mwili chini,
"Mama weeeeee kiuno changu kimekatika mimi mwenzenu" nilijikuta nasema hayo baada ya kuhisi kama kiuno kimetoka na kwenda kando ya mwili.

Nikainuka huku nimekaandaa kamdomo kangu, kumsodoa huyo mkaka, yaani anasubutu kuangusha pisi kutoka Kagera, wacha nikuonyeshe, leo namsodoa mpaka akome kuangusha watoto wazuri kama mimi.
Nikainuka, nikajingunguta vumbi kisha nikaokota simu yangu na kumgeukia, nikashangaa mkaka simuoni, nilipotupa macho mbele nikamuona mkaka mwenyewe anawasha pikipiki yake ili aondoke, yote hiyo kuonyesha hana time na mimi.
Ila Pale nikawa nakumbuka kumbatio lake, sura yake iliyokuwa imenikaribia.
"Ila huyu mkaka ni hendsome jamani😜" nikawa NAWAZA mwenyewe.
Hata sijui nimeanza kumpenda!! Maana kamoyo kakawa kanajilaumu eti kwanini nimemjibu shiti, ilitakiwa muda ule nimkumbatie na niondoke naye .
Embu subiri, nyie ambao mnajua masuala ya upendo hivi itakuwa NIMEMPENDA au maana dada yenu kwenye mahusiano ni mngeni asee 🤣 🤣 😜

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 1

CHUO CHA MIHEMKO
SEHEMU YA 1

Mh! Bwana bwana wee, maisha ya chuo matamu sana kama yakifaana kinoma. Embu wacha nisiwe na maneno mengi wacha nikusimulie niliyapata huko chuo, hiki chuo chenye wanafunzi waliojaa mavitu na mavituziiii ya mihemko..
"Nilifika nikiwa bikira wa akili na mwili… nikarudi nikiwa na ujauzito wa hisia na kitumbo"
Waliosema “Chuo ni sehemu ya kutafuta elimu” walikuwa sahihi lakini hawakutuambia kwamba elimu nyingine huwa haifundishwi darasani.
Nilikuwa nimevaa sketi ya penseli, viatu vya chelsea, na nguo ya juu isiyoonyesha chochote isipokuwa tabia.
Hivi sijajitambulisha eee, sawa, naitwa Neema mtoto wa kwanza kwenye familia yetu ya watoto wanne, nina miaka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chuo-cha-mihemko-sehemu-ya-1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chuo-cha-mihemko-sehemu-ya
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 2.
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 2.
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.12K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.09K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

226
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

205
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

181
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

175
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

168
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

41
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

24
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest