Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3
Gonga94 · Stories

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
CHUO CHA MIHEMKO
SEHEMU YA 3

Tulipoishia...

“Neema, sijui kama ni kusema hivi, lakini kuna kitu najisikia… na nahisi naweza kukupenda.”

Twende nzetu..

Maneno yake yalinikata mifupa kama vile nipo kwenye X-ray ya hisia.

Moyoni nilisikia kitu kinaanguka sio mguu, si nini, ni bikira ya kihisia ilivunjika kimyakimya. Japo sikumwambia, kwani nilijua kitu ndani yangu kilikuwa tayari kimesalimu amri.

Mara Ohoo sitapenda mimi, mara hoo mimi nitamaliza chuo bila kuwa kwenye mahusiano, kipo wapi????, mapenzi shikamoo..

Lakini, bwana eeh! Hii dunia ya chuo ina siri. Na midomo ikiongea mapenzi, macho yapo bize kuchunguza viashiria vya hatari.
Nikamuangalia Kelvin… sura yake ilikuwa kama ya mtu asiye na hila, lakini tabasamu lake lilikuwa na mkorogo wa upole na ujanja.

“Mwanamume wa hivi haonekani mara mbili kwenye maisha ya mwanamke,” moyo wangu ukaongea, hapo hadi nafasi nayo ikakili kwamba nimekwisha penda.

Tulisimama kwa muda pale juu ya jengo la Engineers, mvua ikaanza kunyesha taratibu kama mziki wa ki-romantiki. Watu wakaanza kukimbia, wengine wakaanza kupiga mayowe, lakini sisi tulibaki pale pale. Kama vile mvua ilikuwa sehemu ya ratiba ya usiku ule. Ila mapenzi bana.

Mimi naye kupenda tu, kusimamia ahadi ahaaaa????
Basi bwana Akanisogelea taratibu. Akavua koti lake akanikinga nalo.
“Neema, nataka tukimbie mvua,” akasema.
Nikacheka, "Unajua navaa weave na mvua haipatani nayo? Kabisa, "

Akanikazia macho, "Nataka ukumbuke usiku huu miaka mingi ijayo."

Nikakubali. Hatua za haraka tukakimbia hadi kwenye hostel za Engineers. Tukaingia chumba kimoja cha rafiki yake Kelvin, ambaye kwa bahati au mpango alitoka mapema na kusema, "Mimi naelekea kwa demu wangu." Yaani kwa lugha nyepesi, waliandaa uwanja kabla ya mechi.

Chumba kilikuwa kimepangwa kama 'bachelor pad' mwanga mdogo wa bulb moja, kiti cha mbao kimoja, kitanda cha futon, na harufu ya deodorant za bei ghali. Kelvin aliketi kitandani, nami nikaketi upande wa pili. Tulikuwa wawili, mvua inanyesha nje, roho zetu zina chemka ndani. Mh! Nikitoka salaama leo mh!

“Mimi ni msichana ambaye sijawahi kuwa kwenye mahusiano…” nilianza kusema kwa sauti ya chini.

"Najua," akajibu taratibu.
"Najua unataka kuwa makini… lakini pia najua kuna kitu kinaanza kujengwa hapa kati yetu."

Akasogea, mikono yake ikishika pole pole mkono wangu. Sikupinga. Si kwa sababu nilitaka, la hasha, ni kwa sababu mwili ulishaanza kuutambua uwepo wake. Ule ukaribu, ile harufu yake, ile namna alivyoniangalia ilikuwa ni kichocheo tosha cha kuua uoga wote wa mwanzo.

Kilichofuata ni dakika za ukimya, lakini kilio cha mioyo kilikuwa kikubwa – hatukuzungumza, lakini miili yetu ilielewana. Macho yakakutana. Mdomo ukakaribia. Kisha… BAM! KITU HICHO.

Mlango ukagongwa kwa nguvu.
"Kelvo! We jamaa upo?" Ilikuwa sauti ya kijamaa mwingine, muongeaji sana, mwenye vituko vya hostel.

Haraka tulirudi kwenye akili zetu. Kelvin akatoka na kunong’ona naye nje. Nikabaki ndani nikihisi mchanganyiko wa kitu kilichokaribia kutokea na kingine nilichokizuia kimoyomoyo.

Aliporudi, akaniambia ni bora turudi kila mmoja kwake kabla usiku haujapinduka. Hatukutaka kuharibu ladha ya muda wetu wa kwanza kwa papara. Ilibaki kumbukumbu ya ukaribu wa hatari. Ilibaki hisia ya tendo ambalo halikutendeka lakini lilijengeka vizuri kwenye kiwanja cha akili.

Alinisindikiza mpaka hosteli. Tulitembea taratibu, chini ya mwanga wa taa za barabarani.
"Neema..." akasema kabla hatujafika.
"Naomba unipe nafasi ya kukujua vizuri. Sitaki tukimbilie kwenye mwili, nataka twende kwenye moyo."

Nilihisi kama mtu aliyenyweshwa wine ya maneno matamu. Nikatikisa kichwa na kutabasamu.

Alinibusu kwenye paji la uso. Sio midomo. Sio shingo. Kwenye paji eneo ambalo wanawake huitunza kwa ajili ya wanaume wa heshima.

Niliporudi chumbani, nilianguka kitandani nikasema:
“Huyu mwanaume si wa kawaida. Lakini je, ni wa pekee au wa hatari?”

Siku zilivyoenda, uhusiano wetu ulikua kama mimea yenye mbolea ya mawasiliano. Kelvin aliniandikia ujumbe kila asubuhi, akanitafuta kila baada ya lecture, akanisindikiza kwenye library, akawa sehemu ya ratiba yangu kama vile timetable ya chuo.

Lakini kila kitu kizuri huwa hakikai kimya kwa muda mrefu… Mambo yalianza kubadilika wiki ya tatu, nilipoanza kuona Kelvin anazungukwa na mademu kama asali ya nyuki.

Nilimuuliza, “Kelvo, kwanini kila msichana anakuchekea?”
Akanijibu kwa utani, “Hivi ukikaa na jua halafu ukapata rangi, ni kosa la jua au ngozi yako?”

Majibu ya kipumbavu. Lakini kwa sababu mapenzi yalikua yamenikolea, nikayameza kama vidonge vya malaria vyenye ladha mbaya lakini vinahitajika.

Siku moja jioni, nikiwa nasoma somo la Psychology of Emotions, nilisikia mlango wa hosteli ya akina Kelvin ukigongwa kwa nguvu, kelele, makelele…
"Mwanamke mmoja alikuwa analia, akisema, 'Kelvin si umeahidi utaniacha lini?! Leo ndo unanishika shati na kunifokea?!’"

Nikajifuta macho vizuri.

Moyo wangu ulianza kutetemeka kama simu ya mkononi ya mtu aliyeweka vibration mode.

Kwa hiyo ananisaliti.

SEHEMU YA 4
Inakuja:
Unahitaji niendelee sasa hivi? Moto bado uko juu!..

Nishawishini sasa kwa like

FOLLOW PAGE YANGU KWANI HUO HUO UPENDO...
????????
Layman Donsue Simulizi
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3

CHUO CHA MIHEMKO
SEHEMU YA 3

Tulipoishia...

“Neema, sijui kama ni kusema hivi, lakini kuna kitu najisikia… na nahisi naweza kukupenda.”

Twende nzetu..

Maneno yake yalinikata mifupa kama vile nipo kwenye X-ray ya hisia.

Moyoni nilisikia kitu kinaanguka sio mguu, si nini, ni bikira ya kihisia ilivunjika kimyakimya. Japo sikumwambia, kwani nilijua kitu ndani yangu kilikuwa tayari kimesalimu amri.

Mara Ohoo sitapenda mimi, mara hoo mimi nitamaliza chuo bila kuwa kwenye mahusiano, kipo wapi????, mapenzi shikamoo..

Lakini, bwana eeh! Hii dunia ya chuo ina siri. Na midomo ikiongea mapenzi, macho yapo bize kuchunguza viashiria vya hatari.
Nikamuangalia Kelvin… sura yake ilikuwa kama ya ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chuo-cha-mihemko-sehemu-ya-3

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chuo-cha-mihemko-sehemu-ya
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 2.
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 2.
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 1
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 1
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

592
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

495
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

322
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

227
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

74

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest