Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸโœจโœจโœจโœจโœจโœจ SEHEMU YA 4_5  Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam
Gonga94 ยท Stories

FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸโœจโœจโœจโœจโœจโœจ SEHEMU YA 4_5 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kisha akampigia simu secretary wake.
โ€œChukua kijana huyu mpeleke kwenye chumba cha michezo, ajiburudishe.โ€
Adam alitabasamu na kumwangalia mama yake. โ€œUsijali, mama. Nitakagua kama huyu boss ni baba mzuri kweli,โ€ akasema huku akitoka kwa utundu.
Mara tu mlango ulipofungwa, Damian aligeuza macho yake makali kwa Amina. Ofisi nzima ilijaa ukimya mzito, na pumzi ya Amina ikawa nzito zaidi.
โ€œKwa hiyo, Bi. Amina,โ€ Damian alianza kwa sauti ya taratibu lakini yenye mamlaka, โ€œumerejea Tanzania baada ya miaka minane. Na sasa unataka kazi katika kampuni yangu?โ€
Amina akajikaza, akiinua macho yake. โ€œNdio, Bwana Damian. Niko tayari kufanya kazi kwa bidii. Hii nafasi itanisaidia kulea mwanangu.โ€
Damian akasogea mbele, mikono yake ikiwa imejishika kiuno, macho yake yakimchoma.
โ€œUnadhani ni rahisi hivyo? Wewe ni mwanamke yule yule aliyenidharau. Mwanamke uliyeniweka alama ya aibu moyoni kwa dola mia moja.โ€
Amina akatikisa kichwa kwa uchungu. โ€œHaikuwa kama unavyofikiriaโ€ฆ haikua dhamira yangu kuwa pale, na nilipata aibu kubwa sana kwa kosa lile. Tafadhali, sihitaji mambo ya zamani kuharibu maisha yangu ya sasa.โ€
Damian akainama karibu, sauti yake ikawa nzito kana kwamba ilikuwa siri hatari.
โ€œBasi sikiliza sharti languโ€ฆ Ikiwa unataka kazi hapa, lazima ukubali kuwa Secretary wangu binafsi. Utakuwa karibu nami kila saa, kila dakika.โ€
Amina alishtuka, moyo wake ukipiga kwa nguvu.
โ€œLakiniโ€ฆ kuna watu wengi wenye sifa zaidi. Kwa nini mimi?โ€
Damian alitabasamu kwa baridi, macho yake yakimwangalia moja kwa moja.
โ€œKwa sababu nataka kukuona ukiteseka. Nataka kila siku uangalie macho yangu na ukumbuke kosa la usiku ule. Hii siyo kazi tuโ€”ni adhabu yako.โ€
Amina alijua isingekua rahisi, lakini hakuwa na chaguo. Mtoto wake Adam alimhitaji, na kazi hii ilikuwa tumaini lao pekee.
Kwa sauti ya chini, akasema:
โ€œNdioโ€ฆ nakubali, lakini nina ombi mojaโ€ฆโ€ฆโ€ฆnaomba niwe nakuja na kijana wangu mpaka pale nitakapo mtafutia shule nzuri.โ€
Damian akatabasamu kwa ushindi.
โ€œHaina shida. Lakini kumbukaโ€ฆ sasa wewe ni mali yangu, Amina. Safari hii hutatoroka tena.โ€
Amina aliondoka ofisini akiwa na moyo mzito, hajui kama amejifunga kitanzi cha maisha yake mwenyewe.

*FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸโœจโœจโœจโœจโœจโœจ
Sehemu ya 05

Siku ya kwanza ya Amina kuanza kazi rasmi kama secretary binafsi wa Damian ilikuwa yenye msukumo wa hisia. Aliamka mapema, akamwandalia Adam kifungua kinywa, kisha wakapanda gari kuelekea Noblefull Group.
Adam, kwa utundu wake wa kawaida, alikuwa na furaha isiyoelezeka.
โ€œMama, najua siku moja boss wako atanipenda sana. Nina hisi hivyo.โ€
Amina akatikisa kichwa, akijaribu kuficha wasiwasi wake. โ€œLaiti ungejua anavyonichukia, Adamโ€ฆโ€

Katika ofisi ya juu, Damian alikuwa amekaa akipitia documents. Aliposikia mlango ukigongwa, alijiandaa kumkaripia mtuโ€”lakini badala yake, uso mdogo wenye tabasamu ulijitokeza.
โ€œGood morning, Sir!โ€ Adam aliingia bila hofu, akiwa amebeba mchoro mdogo aliouchorwa usiku wa jana.
โ€œNimekuletea zawadi.โ€
Damian akashangaa. โ€œZawadi?โ€
Adam akapeleka karatasi mbele ya mezani. Ilikuwa ni mchoro wa jengo refu lenye nembo ya Noblefull Group, na juu yake kulikuwa na familia ndogo: mtoto, mama na baba.
โ€œHii ni wewe, mimi na mama,โ€ Adam alisema kwa fahari.
Kwa mara ya kwanza, moyo wa Damian ulitetemeka. Hakutaka kuonyesha, akajikaza na kurudi kwenye sura yake ya ukali.
โ€œKwa nini unachora mimi kama baba yako?โ€ aliuliza, sauti yake ikijaribu kuwa kali kidogo yenye udadisi.
Adam akavuta pumzi na kusema kwa ujasiri:
โ€œKwa sababu najua wewe ndiye baba bora zaidi kwa mama yangu. Hata kama yeye hataki kusema, mimi nahisi.โ€

Wakati huo Amina aliingia, akabaki ameduwaa kuona Adam akiongea kwa uhuru mbele ya Damian.
โ€œAdam! Nilikwambia usiingie ofisi ya boss bila ruhusa!โ€ aliwahi kusema, akimshika mkono.
Lakini Damian akamuinua mkono kidogo kuzuia.
โ€œAcha. Nataka kujua zaidi kuhusu huyu kijana.โ€
Macho yao yalipokutana, Damian alitabasamu kwa siriโ€”tabasamu ambalo lilimchanganya Amina.
Kwa nini anaonyesha upande huu wa upole mbele ya Adam? alijiuliza kwa hofu.
Na moyoni mwa Damian, sauti ya ndani ikamwambia:
โ€œMtoto huyuโ€ฆ si wa kawaida. Kuna kitu ndani yake kinanieleza ukweli ambao sijataka kuamini.โ€

JE UNAJUA NINI KILIENDELEA??

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM ONE NIGHT TO TRUE LOVE*๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸ๐ŸŒŸโœจโœจโœจโœจโœจโœจ SEHEMU YA 4_5 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Adam, Damian alimwangalia Adam

kisha akampigia simu secretary wake.
โ€œChukua kijana huyu mpeleke kwenye chumba cha michezo, ajiburudishe.โ€
Adam alitabasamu na kumwangalia mama yake. โ€œUsijali, mama. Nitakagua kama huyu boss ni baba mzuri kweli,โ€ akasema huku akitoka kwa utundu.
Mara tu mlango ulipofungwa, Damian aligeuza macho yake makali kwa Amina. Ofisi nzima ilijaa ukimya mzito, na pumzi ya Amina ikawa nzito zaidi.
โ€œKwa hiyo, Bi. Amina,โ€ Damian alianza kwa sauti ya taratibu lakini yenye mamlaka, โ€œumerejea Tanzania baada ya miaka minane. Na sasa unataka kazi katika kampuni yangu?โ€
Amina akajikaza, akiinua macho yake. โ€œNdio, Bwana Damian. Niko tayari kufanya kazi kwa bidii. Hii nafasi itanisaidia kulea mwanangu.โ€
Damian akasogea...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-one-night-to-true-love-sehemu-ya-4_5-baada-ya-mazungumzo-ya-muda-mrefu-na-adam-damian-alimwanga

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-one-night-to-true-love-sehemu-ya-4_5-baada-ya-mazungumzo-ya-muda-mrefu-na-adam-damian-alimwanga
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

911
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

517
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

446
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

430
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

350
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

294
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

272
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

214
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

185
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.75K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.37K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. Itโ€™s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest