Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
30 Nov -0001
25 views
VYOTE NDANI GONGA94
Huyu Baleke kapigwa na Kitu kizito sana..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Huyu Baleke kapigwa na Kitu kizito sana..
Quality ya Jean Baleke yule kwenye Dimba Mohamed wa Tano pale Morroco kwenye robo Fainal ya CAF Champions League Siku Ile majukwaa ya Mashabiki wenye kelele nyingi Zaidi Africa wa Wydady Casablanca yamekaaa kimya,Siku Ile Baleke alikuwa kama Monita wa Darasa Kutuliza kelele za Mashabiki wa Wydady ,Siku Ile Baleke akiwa Katika Kiwango bora sana anaondoka na Mabeki watatu wanne kutokea Katikati anapunguza na Kutoa pasi,Siku ile Baleke anapiga short on target za kutosha.Mashabiki wanalia majukwaaani Vazi la Hijabu likitumika kufuta machozi,Siku Ile Simba Ilikuwa bora sana, Baleke Huyu unae muona Jukwaani hapo Ni Bonge la Mchezaji ,Toka nimjue Huyu Mchezaji hajawahi kupoteza nafasi tatu,Akikosa ya Kwanza,Ya Pili basi ya Tatu jiandaeni kushangilia
Nini kimemkuta Jean Baleke !!!
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
𝙍𝙖𝙨𝙞𝙡𝙞𝙢𝙖𝙡𝙞 ni moja ya kitu muhimu sana kutokea kwenye asili kinachohitajika na mwanadamu katika suala zima la uzalishaji
masuala mbalimbali chanya ambayo hupelekea kuleta maendeleo chanya katika maisha ya Duniani. Dunia ni moja ya Gimba lil...
*NIMEKOMA MIMI 🙌* *1-5* *________________________________________* *SEHEMU YA : 01* Mapenzi ni kitu cha kijinga sana. Yaani yanaweza kukufanya ufanye ujinga ambao hata wewe hukuwahi kufikiria
unaweza kufanya. Na mimi ni mfano halisi wa ujinga huo. Ukiniuliza, nitakupa jibu simple kuwa maisha yangu ya mapenzi ...
Quality ya Jean Baleke yule kwenye Dimba Mohamed wa Tano pale Morroco kwenye robo Fainal ya CAF Champions League Siku Ile majukwaa ya Mashabiki wenye kelele nyingi Zaidi Africa wa Wydady Casablanca yamekaaa kimya,Siku Ile Baleke alikuwa kama Monita wa Darasa Kutuliza kelele za Mashabiki wa Wydady ,Siku Ile Baleke akiwa Katika Kiwango bora sana anaondoka na Mabeki watatu wanne kutokea Katikati anapunguza na Kutoa pasi,Siku ile Baleke anapiga short on target za kutosha.Mashabiki wanalia majukwaaani Vazi la Hijabu likitumika kufuta machozi,Siku Ile Simba Ilikuwa bora sana, Baleke Huyu unae muona Jukwaani hapo Ni...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/huyu-baleke-kapigwa-na-kitu-kizito-sana
Maoni