*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* *Chapter 14&15* "Mbona unanitizama kama hivyoo nimekukoseaa sana madam?, kuna kitu
"Lini umegundua kama una nipenda Angel?"aliniuliza kwa upande wangu nilikuwa naona kama ananichanganya hivii, maan hapa nikikaa kibubu hivi hivi Wallah ni leo hii hii anaenda kutambulishwa Suzy nawanaweza kuona coz ni mabinamu hawa hawana kizuizi "ujue mwenzio nina kuwa najisikiaa vibaya sana nikikuaona na mdada nikaamuuliza baba yangu akanambia...."
"Stop it malaika always you talk about your dad ujuee mimi nakuwa nakasirika muda mwingine wewe ni mkubwa sasa unamaamuzi yako ya kuwa na yoyote unayetaka kuwa naee sawa mama yangu rafadhari usiniambiee kuwa kila kitu utakuwa unamueleza baba yako hadi nikikuoaa utakuwa unanisemea kwa baba yako?" Aliniuliza boss "hapana kwa sasa ntakuwa nina watu wew na baba nitakuwa kuna vitu nakwambia na vingine namwambia baba trust me boss sitakuwa mtoto wa baba tena" alitabasamu akasogeza midomo yake kwangu nilifumba macho nikawa nasikiliziaa hilii na kwa ulainii wa lips zake jamani nilijikuta napata amani nilituliaa sana alichukua kama dakika tano akaniachiaaa "asante kwa kulijua hiloo kama unanipendaa maan tunapoelekea ningekuoaa bila wewe kutaka maan mama tayari leoo alikuwa anataka kuongea na wewe na kesho aendee kwa baba yako" aliniambiaa boss "na vipi kuhusu Suzy?" Alinitizama tuu "najua jinsi gani la kulimaliza nakuomba usiniite boss niiite jina langu Johnson okay" alinikonyezaa jamani niliachiaa tabasamu "haya twende sasa ukatizame nguoo ambayo itakukaa vizuri na make up gharama juu yangu nataka nikuone ukiwa kwenye make up naamini hujawahi kufanyiwa make up" sikuwa na ujanja wa kukataa nilikubaliana na hili humoo kwenye gari mpaaka tunafika dukani na huko saloon hapo njiani kulikuwa ni makiss tu yanaendelea na kucheka nilijona nimepata mtu wa pili wa muhimu kwenye maisha yangu afu kuumbe ile saa tulionunua kule Dubai na yeue anayo
Nilimaliza kujindaa jamani nilipendeza sana hii siku nilikuwa naonekana mzuri sana yaani mhh mini mwenyewe nilijishangaa nilipendeza sana kiasi kwamba tumefika kwenye lile jengoo la kina Johnson watu wote wananishangaa mama yake J alinikaribisha kwa tabasamu nene baada ya hapo mimi nilikaa sasa nasubiriaa maongezi ila J na mama yake walienda pembeni kuongeaa sijui walikuwa wameenda kuongea nini
Itaendelea.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni