Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—œπ—¦π—Ÿπ—” 𝗠𝗨𝗨𝗭𝗔 π— π—§π—œπ—‘π——π—œ *1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 MWANZO.......  "Sitaki kuamini siku ya leo unaenda kula nyama choma kwenye lile soko la usiku.....kuna namna nahisi kama wanachoma nyama ya Mbwa..." Henry aliongea.
Gonga94 Β· Stories

π—œπ—¦π—Ÿπ—” 𝗠𝗨𝗨𝗭𝗔 π— π—§π—œπ—‘π——π—œ *1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Sitaki kuamini siku ya leo unaenda kula nyama choma kwenye lile soko la usiku.....kuna namna nahisi kama wanachoma nyama ya Mbwa..." Henry aliongea.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


"Nyama ni nyama tu kikubwa iwe imeiva acha kutengeneza taharuki masikioni mwangu" Levi aliongea huku akizidisha kutembea.

"Tembea taratibu sasa lakini utake usitake Amelia ndio ameshakuwa mke wako. Nitahakikisha hamuachani yaani Mimi hapa nitawapambania kama watoto yatima vile wanaodai haki zao" Henry aliongea.

Levi alizidi kusikia hasira kuna namna alitamani kumpiga Henry lakini kwa kuwa ni Mjomba wake alivumilia.

"Amelia ni binti mrembo sana nipo radhi nipoteze macho yangu kutetea penzi lenu...." Henry alizidi kuongea, alipoona Levi hamjali aliamua kupaza sauti kabisa.

"Watuuuu, Levi ni Mume wa Amelia msikubali atembee na Dada zenu au watoto zenu... Mume wa mtu ni sumuuuuu" Henry alipaza sauti kwa nguvu zote hadi ushuzi ukampita.

Watu waliokuwa karibu yake walicheka, mbali na maneno yake ya kufurahisha sura yake iliwafurahisha pia.

Henry anakuja kushtuka akiwa pekee yake.... alianza kumtafuta Levi huku na kule bila mafanikio.

"Pata mtindi safi kwa afya yako....bei zetu ni nafuu kabisa karibu uulize bei...." Sauti hii ilisikika ndani ya soko la usiku.

Levi alisitisha kula nyama za kuchoma kuna namna alihisi kama zinanukia manyoya ya Mbwa hivi.

Aliangaza macho yake huku na kule hadi alipofanikiwa kumuona binti anayeuza mtindi.

"Karibu....karibu sana mteja wangu mzuri. Enhee nambie una kunywa hapa hapa au na kuwekea kwenye chupa ukanywe na familia yako. Hii kitu ni nzuri sana hata watoto wadogo wanakunywa ..." Isla aliongea mfulilizo bila kupumzika.

"Kama utakuwa unaongea hivi kila siku basi una kiadhibu kifua chako pamoja na mapafu....ni vyema ukiwa una zungumza taratibu" Levi alishauri kisha akavuta kiti kukaa.

Isla alishika chupa akampimia mtindi....
"Karibu, usiwe na hofu kunywa kuhusu bei tutaongea"

Levi aliachia tabasamu kimtindo kutokana na maneno anayoambiwa.

Alijikuta akinywa glass tatu.....
"Mtindi wako ni mzuri sana, mpole hongera mtu anaye tengeneza"

"Mama yangu ni kiwanda lakini Mimi ni Msambazaji....usijali nitampatia hongera zake"

"Nadaiwa shilingi ngapi?" Levi aliuliza

"Shilingi elfu kumi na tano..." Isla alizungumza uongo huku akikuna kichwa chake.

Levi aligundua binti huyu ana zungumza uongo hakutaka kumuumbua alimpatia shilingi elfu 20.

"Karibu tena....." Isla aliongea huku akiachia tabasamu.

Karibu Levi hajaongea chochote Henry alijitokeza.

"My dear usikubali maneno yake huyu nj Mume wa mtu, mke wake anaitwa Amelia" Henry alikurupuka akihisi Levi anataka kurusha nyavu....

ITAENDELEA........
SEHEMU YA 2
ENDELEA.......

Isla aliishia kukodoa macho tu hakuelewa ni kitu gani Henry ana zungumza.

"Tuondoke unazidi kuonekana kituko machoni kwa watu...." Levi aliongea kisha akaondoka.

"Huyu ni Mume wa mtu jitahidi kuziba masikio yako usije kuingia majaribuni" Henry alimsisitiza Isla kisha akamkimbila Levi.

"Nani kamuambia nahitaji Mume wa mtu? nipo hapa kupiga kazi na si kutamani Wanaume" Isla aliongea pekee yake kisha akaendelea kunadi biashara yake.

Upande wa Levi wakiwa na Henry wanafika nyumbani.

"Ulikuwa wapi" Vanessa (Mama yake Levi) aliuliza

"Kwani kuna kitu kimetokea baada ya Mimi kutoka" Levi aliuliza swali badala ya kujibu.

"Amelia yupo mezani ana kusubiria mpate chakula, nadhani unaelewa hawezi kula bila wewe"

"Hajashikwa njaa vizuri, akishikwa na njaa ilivyo hawezi kunisubiria Mimi..." Levi aliongea kisha akaelekea mezani aliko Amelia.

"Jitahidi kula bila Mimi, jitahidi kufanya vitu vingi bila Mimi. Kama unaweza kwenda haja kubwa na ndogo bila kunisubiria basi hata vitu vingine jitahidi kufanya bila kunisubiria" Levi aliongea kisha akaelekea chumbani.

Amelia alimfuata pia kwa nyuma hakuona sababu ya kula pekee yake.

Kwa pamoja walipanda kitandani kulala....vile Levi alikuwa na usingizi wa siku mbili basi alilala kama mfu.

Amelia alitumia hii nafasi kwenda jikoni, alijifungia kisha akala kama anafukuzwa hivi.

Basi aliporudi kitandani alikoroma kama chatu aliyemeza ndama.

Kulivyo pambazuka asubuhi Levi aliwahi kuamka alijiandaa kwa ajili ya kwenda kazini.
Sauti ya Mama yake pamoja na Henry zikibishana kuhusu jungu la ubwaubwa kubaki tupu zilimfanya aachie tabasamu.

Alipiga hatua taratibu kisha akawasalimia.

"Eti wewe na mkeo ndio mmekula ubwabwa uliokuwa umesalia kwenye sufuria" Henry aliuliza.

"Ndiyo...." Levi aliongea kisha akaondoka, ni Daktari Mkuu katika Hospital ya Taifa hivyo ni kawaida yake kuwahi kwa ajili ya vikao vya asubuhi.

Akiwa ndani ya gari lake alifanikiwa kumuona Isla akizungumza na simu.
Hakutaka kumjali aliendelea na safari yake

Baada ya kufika Hospitali aliendesha vikao kisha ratiba nyingine ziliendelea.

"Kuna mgonjwa analeta fujo" Mlinzi alimpatia taarifa Levi.

Basi Levi alifanya chapu kwenda kusikiliza nini kinaendelea.
Alishangaa baada ya kumuona Isla akiwa kambeba mtoto mdogo kwa haraka tu alikuwa na miaka 5

"Mnasema hamuwezi kumpatia huyu Mtoto huduma bila kufungua file? kwani hilo file kufunguliwa kwa Mtoto mdogo kama huyu niliye muokota njiani ni mpaka hela?...sina hela huyu Mtoto ni wa kwetu sote toeni pesa zenu mfukoni tumsaidie" Isla aliendelea kufoka.

Levi alisogea taratibu akamuangalia Mtoto aliyekuwa mgongoni.

Moyo wake uliumia kwa sababu alikuwa tayari kapoteza maisha. Ni vile Isla hakujua.....

ITAENDELEA.........
SEHEMU YA 3
ENDELEA......

"Naelewa ni utaratibu wa kila hospitali, ili mgonjwa ahudumiwe ni lazima afungue file. Lakini nyie kama binadamu mlipaswa kuguswa na hili, mlipaswa kuhesabu kama mnatoa msaada hivi. Hakukuwa hata na haja ya Mimi kutolewa hospitalini...." Levi aliongea kisha akamtoa mtoto mgongoni.

Isla alipoa baada ya kuona msaada unapatikana. Alimfuata Levi kwa nyuma.

"Itakuaje sasa...." Alijikuta akiuliza.

"Hakuna haja ya kufungua file tena..."

"Kwanini..."

"Nifuate nitakuambia" Levi aliongea kisha akaingia ofisini kwake, Alimlaza mtoto kisha akamgeukia Isla

"Ahsante kwa kuonesha huruma hasa kwa mtoto kama huyu ambaye hata haumfahamu....tumechelewa kidogo"

"Una maanisha nini kusema tumechelewa kidogo..."

"Huyu Mtoto kapoteza maisha wakati mna bishana na watu wa mapokezi"

Isla aliachia kibao kikachapa shavu la Levi.

"Wale watu wa mapokezi ni wauaji..... nitaondoka na huu mwili mnachotakiwa kufanya ni kuniandikia kibali"

"Umefanya kazi kubwa, sehemu iliyobakia nitamalizia Mimi unaweza kuondoka" Levi aliongea.

Basi Isla alisogea sehemu ulipo mwili wa mtoto aliyemsaidia

"Kama ungefanikiwa kuishi basi ningekufundisha namna ya kuandika na kuhesabu..... naomba unisamehe kwa hili lililokukuta. Kama utazaliwa mara ya pili basi nitakuwa Mama yako, nitahakikisha nakupa mapenzi yote unayo stahili" Isla aliongea kisha akaondoka. Levi aliumia kimtindo,

"Tuna shtumiwa kula ubwabwa uliobakia jana....hebu naomba uwaeleze tulilala njaa" Ujumbe wa Amelia uliingia kwenye simu ya Levi.

"Hivi ni Mwanamke wa aina gani hii nimeoa!" Levi alijiuliza asijue ni kitu gani anapaswa kujibu.

Basi mida ya usiku akiwa bado kazini kwake alijikuta akitamani kujua Isla anaendeleaje.
Japo ratiba ilikuwa imembana sana lakini aliondoka,

"Saa moja litatosha...." Alijisemea kisha akaondoka kama yupo hivi.

"Pata mtindi safi kwa afya yako, siku ya leo kutakuwa na punguzo kwa mtu atakaye nunua lita mbili....karibuni" Sauti ya Isla ilisikika.

"Huna haja ya kupaza sauti siku ya leo kwa sababu nitanunua mtindi wote..." Levi aliongea baada ya kumfikia.

Isla aliachia tabasamu kimtindo, siku ya leo hakuwa na mood nzuri hivyo itakuwa poa kama kweli Levi atayachukua yote.

Basi Levi aliamua kuwanunulia watu wa soko hili....hakuwa na shida na mtindi na wala hakutaka Isla ajitaabishe kwa siku ya leo.

"Sina uhakika kama umekula" Levi aliongea.

"Unataka kuninunulia chakula?...nichomee tu chips hapo mzambarauni nitashukuru sana" Isla aliongea kwa msisitizo.

Levi alifarijika kuona mtu huyu hajavurugwa kama alivyohisi.

Kwa pamoja walisogea mzambarauni.

"Mchomee chips mbili, moja weka mayai nyingine usitie chochote..." Levi aliongea

"Chips mbili? Mwanaume unalipia zote wewe?"

Levi alitikisa kichwa kuashiria ndiyo
Isla alijikuta amemkumbatia kisa chips mbili tu..........

ITAENDELEA........
SEHEMU YA 4
ENDELEA.........

Simu ya Levi ilianza kuita
"Nimepata dharula ya ghafla....hii ni pesa yako kwa ajili ya mtindi na hii ni kwa ajili ya chips utakazo chukua..."

"Mbona ni pesa nyingi sana...." Isla aliongea.

"Si pesa nyingi....hebu tuonane kwa wakati mwingine nilitoroka kazini" Levi aliongea kisha akaondoka.

"Jamaa ana roho nzuri sana huyu simjui hanijui lakini anajua kuhusu mahitaji ya watu" Isla alijisemea ndani ya moyo wake.

Basi baada ya kuchomewa chips zake aliondoka akiwa mwenye furaha.

"Hakuna haja ya kupika leo nimenunua vyakula vya kizungu...." Isla aliongea huku akimuonesha Mama yake vifuko vya chips

"Umekumbuka kumuambia huyo Mwanaume ahsante! vipi mmezungumza namna ya malipo" Mama Isla alizungumza.

"Mmmh huyu Mwanamke ana zeeka vibaya.... nimekosea kuwa mwema kwake, itapendeza akipika ugali " Isla aliongea kwa sauti ya chini kisha akaondoka na chips zote mbili.

"Huyu mtoto huyu, ni utani tu nilikuwa nafanya sielewi kwanini kachukulia vitu serious namna hiyo" Mama Isla aliongea pekee yake kisha akaelekea jikoni kupika ugali.

Upande wa Levi anarudi nyumbani mida ya saa kumi na mbili asubuhi akiwa kachoka balaa.... tofauti na kulala hakuwa akitamani kitu chochote.

"Ni siku ya saba sasa hunigusi, nakuhitaji Levi au unahisi Henry ndio ananitolea nyege zangu" Amelia aliongea, sauti yake ilikuwa ni kama kelele masikioni mwa Levi.

"Mwanaume wewe nadai haki yangu ya msingi...." Amelia alipaza sauti.

"Kiuno, mashine na korodani vyote havijiwezi....nimechoka hebu naomba uniache nilale hata kidogo..."

"Hapa huwezi kulala.... nitakuba....ka" Amelia aliongea.

Levi hakutaka kuongea chochote aliondoka akaelekea chumbani kwa Henry kulala.

"Utakujaje kulala kwenye chumba cha Mwanaume mwenzako....hebu ondoka nataka kupiga nye...to" Henry aliongea.

Levi ndio alizidi kuhisi kuvurugika kabisa... aliondoka zake akaingia kwenye gari.
Pesa haikuwa tatizo kwake aliona ni heri akalale lodge tu.

Aliuchapa usingizi mpaka saa tano asubuhi.

Wakati anatoka lodge alikutana uso kwa uso na Isla.

"Nyumbani kwangu kulikuwa na kelele na ndio maana niliamua nije kulala Lodge..." Levi alijikuta akijitetea.

"Kulala Lodge siyo dhambi na wala si kitu cha kujitetea...ni wachache sana wenye uwezo wa kulala sehemu kama hii, hakika una pesa sana wewe" Isla alimsifia Levi kisha akaendelea na safari yake.

Basi Levi alijikuta akikosa tu amani,

"Naomba tupate wote chai...." Alimpazia sauti

Isla kusikia chai alifunga breki,
"Aliko ni agiza Mama nitaenda baada ya kupata chakula..." Alijisemea ndani ya moyo wake.

Basi kwa pamoja walikaa katika Mgahawa wa Televisa kupata chai.

Kwa wakati huo huo Amelia akiwa na Vanessa (Mama yake Levi) waliingia pia kupata chai kwenye mgahawa wa Televisa.....

ITAENDELEA........
SEHEMU YA 5
ENDELEA.....

"Anataka chai ya maziwa na chapati lakini kwa namna alivyochoka itafaa kama utampatia supu ya pweza....kama haipo niambieni niingie jikoni mwenyewe nimpikie" Isla alimsemea Levi kwa Mhudumu.

Basi Levi ni kucheka kwa namna Isla anavyo mpambania.

Supu ya pweza ililetwa, kabla Levi hajaitia mdomoni Isla aliionja kidogo.

"Iko poa Mwanaume unaweza kula...."

"Ulifaa uwe Mama yangu kwa jinsi unavyo nijali najikuta namuona Mama yangu" Aliongea kwa utani.

"Mama na si mke!... vipi hujaoa bado?"

"Sina mke namaanisha bado nipo nipo kwanza ....hata mahusiano yenyewe tu sina. Nitafurahi kama utanipa company"Levi aliongea akiwa serious kidogo.

"Yaani unataka tuwe kwenye mahusiano ghafla namna hii?" Isla aliendelea kumchora maana anakumbuka vizuri siku anaambia kuwa huyu ni mume wa mtu.

"Ndiyo, kama mtu unaweza kufanya vitu vizuri sawa na Mama yangu inafaa zaidi kama utakuwa Mpenzi wangu"

"Mbwa huyu...." Sauti ya Vanessa ilisikika.

Ndipo Levi alishtuka baada ya kugundua Mama pamoja na mkewe walikuwa wakimsikiliza muda wote na mbaya zaidi walikuwa wamekaa karibu sana ni vile tu hakuwa amejua.

"Kaza moyo tuondoke..." Vanessa alimuambia Amelia.

Kwa jinsi Amelia alivyokuwa amevurugika aliondoka kwa kukimbia.

"Umejua kuniabisha mshe...nzi wewe" Vanessa aliongea kisha akatupia kipande cha sigara kwenye supu ya Levi, wala hakukaa alimkimbilia Amelia

"Kumbe una mke Mwanaume wewe? mpango wako ulikuwa ni Mimi kuchinjwa shingo si ndiyo au ulitaka nini kitokee kwangu" Isla aliuliza huku akitetemeka ni wazi kabisa alikuwa anaogopa kukutwa amekaa na Mume wa mtu.

"Naomba unisamehe..." Levi aliongea.

Isla hakutaka maelezo mengine aliondoka zake. Pamoja na Levi kumrudisha haikusaidia kitu.

Anarudi nyumbani akiwa kachoka kwa kiasi fulani. Bila sababu ya msingi alijikuta tu akiachia sonyo hasa akikumbuka uongo wa Levi.

Mida ya usiku ilipowadia aliingia kazini kama kawaida yake alianza kuitangaza biashara yake.

Ghafla tu alishtukia ana zibwa mdomo

"Huna haja ya kujinadi nitanunua mtindi wote...." Sauti ilisikika

Isla aligeuka nyuma amuone Mteja aliye mhurumia.
Alistaajabu baada ya kukutana na Levi..........

ITAENDELEA..........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—œπ—¦π—Ÿπ—” 𝗠𝗨𝗨𝗭𝗔 π— π—§π—œπ—‘π——π—œ *1 - - - - - 5* SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Sitaki kuamini siku ya leo unaenda kula nyama choma kwenye lile soko la usiku.....kuna namna nahisi kama wanachoma nyama ya Mbwa..." Henry aliongea.



"Nyama ni nyama tu kikubwa iwe imeiva acha kutengeneza taharuki masikioni mwangu" Levi aliongea huku akizidisha kutembea.

"Tembea taratibu sasa lakini utake usitake Amelia ndio ameshakuwa mke wako. Nitahakikisha hamuachani yaani Mimi hapa nitawapambania kama watoto yatima vile wanaodai haki zao" Henry aliongea.

Levi alizidi kusikia hasira kuna namna alitamani kumpiga Henry lakini kwa kuwa ni Mjomba wake alivumilia.

"Amelia ni binti mrembo sana nipo radhi nipoteze macho yangu kutetea penzi lenu...." Henry alizidi kuongea, alipoona Levi hamjali aliamua kupaza sauti kabisa.

"Watuuuu, Levi ni Mume wa Amelia msikubali atembee na Dada zenu au watoto zenu... Mume wa mtu ni sumuuuuu" Henry alipaza sauti...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/isla-muuza-mtindi-1-5-sehemu-ya-1-mwanzo-sitaki-kuamini-siku-ya-leo-unaenda-kula-nyama-choma-kwenye-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi isla-muuza-mtindi
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

915
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

723
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

691
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

506
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

400
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

252
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

175
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

104
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

101
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5

71

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.62K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.56K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.46K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA β€œ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa β€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest