Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน *JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO* *1---2* *_______________________________________*  *SEHEMU YA KWANZA*  LEYNA NA LEYLA ni mabinti mapacha  wanaofanana sana kwa mtu ambae hawafahamu hakuweza
Gonga94 ยท Stories

๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน *JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO* *1---2* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* LEYNA NA LEYLA ni mabinti mapacha wanaofanana sana kwa mtu ambae hawafahamu hakuweza

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kuwatofautisha lakini pale mtaani kwao watu waliweza kuwatofautisha kutokana na tabia zako. Leyna alikuwa ni binti mtukufu sana.

aliyependa kwenda na wakati, kupenda kuwa na vitu vizuri wakati maisha yao hayakuwa mazuri kihivyo. Wallishi na mama yao na alikuwa akifanya biashara ya kuuza samaki. Lakini Leyla alikuwa binti mpole sana ambae hakutaka makuu aliangalia masomo yake.

Siku moja likuwa majira ya saa sita mchana wa jua kali. Binti Leyla alikuwa akimsaidia mama yake kuandaa samaki wake wa biashara. "Leyla mwanangu, waoshe vizuri hao samaki na

hakikisha unaweka viungo vya kutosha. Mama

yake alimkumbusha.

"Usijali mama yangu, kila kitu kitakuwa sawa." "Huyu dada yako Leyna yuko wapi tena?" mama aliuliza.

Nuria akatabasamu kisha akajibu. "Mmh, kama ujuavyo, kukikucha tu anaanza kupuyanga kama kunguru."

Mama akatikisa kichwa, "Jamani huyu mtoto amenishinda tabia mwenzenu, muda sio mrefu utasikia kazua jambo huko.

Mara ghafla vishindo vya watu vilisikika nje, karia kwamba kuna ugomvi. "Leyla ni nini hicho?

Sijul.... Alisema Leyla huku akinyanyuka kwenda kuangalia, mara Leyna aliwapita kama upepo na kuingia ndani

akajifungua mlango. Nyuma yake walikuwepo wanawake wawili waliokuwa wakipiga makelele. "Jamani kuna nini? mama Leyna akauliza kwa

hofu

Mwanamke mmoja akajibu kwa hasira: "Mama Leyna ongea na huyo binti yako Aachane na mume wangu la sivyo nitamuumiza vibaya."

"Jamani..." Mama alijaribu kutuliza hali ikae sawa

lakini Leyna akapaza sauti kwa kuongea kwa dharau, "Mama acha nao hao. Huyo mume wake mimi

sikumfuata, kwahiyo akasema na mume wake na sio mimi. Mimi ninefuatwa kama ilivyodaiwa wewe dada

"Wewe! Wewe! Toka nje nikuvuruge kama kweli wewe ni jasiri yule mwanamke aliongea kwa hasira lakini

Leyna akamcheka, Thubutul Mwambie mume

wako siyo kunilaumu mimi. Na kwa taarifa yako, mumeo mwenyewe ameniambia huna unalijua yani huna maajabu, kwa ushauri tu nenda tafuta kungwi akufunde, sio kulialia huku na kutafuta sababu kwa watu tusio na hatia.

Maneno ya Leyna yalimfanya Mama yake akapandwa na hasira, "Leyna nyamaza! Utaniua kwa albu wewe

mtoto."

Lakini Leyna hakukoma, aliongeza maneno makali yaliyozidi kuchochea ugomvi. Hatimaye, Mama Leyna aliwaomba wale wanawake waondoke.

"Mama Dani, nyle nendeni kwanza. Nitazungumza na huyu kichaa wangu." Mama Leyna ongea na mtoto wako na inaondoka hapa kwa heshima yako. "Sawa mama.

Wale wanawake wakaondoka kwa hasira. Mama Leyna akawa anaelekea ndani.

"Fungua mlango wewe mjinga!" Leyna akafungua wakawa wanaangaliana usoni

na mama yake. Wewe unataka nife kwa presha au unataka

nikifa nikose watu wa kunizika? Mama huko ni kujichulia unakufaje sasa kwa mambo madogo hivi?

*Wewe mpuuzi wewe hii naongea kwa mara ya mwisho na kama ikitokea umefanya tena Madudu yako na kufukuza hapa kwangu,

nimekuchoka.

Mama Leyna aliongea sana na kumkanya juu ya tabia zake mbaya. Lakini Leyna hakuwa na hata chembe ya majuto macho yake yalijaa kiburi na dharau.

Kilichokuwa kikitoa kiburi Leyna alikuwa binti mrembo mno, mwenye akili na mvuto wa hali ya juu. Kila mwanaume aliemuona lazima amsaidie na wengine kumtamani Lakini tatizo lake kubwa lilikuwa kuutumia ujana wake kwa anasa na tamaa za dunia.

Siku moja alienda klabu maarufu mjini. Wakati amejas sehemu alimuona mwanaume mmoja ambae alikuwa amekaa vip aliwa anakunywa kinywaji Huko akitangaza macho liliangukia kwa

Leyna

Leyna alianza jujishsuwa maana alijua ndege

anaenda kunasa kwenye tundu bovu.. Baada ya sekunde chache kuna mwanaume alimfuata Leyna.

"Habari mrembo.

Safi.

"Unamuona yule jamaa aliyekaa pale. "Nimemuona.

"Anahitaji kuongea na wewe. Leyna akitabasamu kisha taratibu akaanza kutembea kwa Madaha kuelekea alipohuyo kijana mtanashati.

Yule mwanaume alijulikana kwa jina la Abisai, mfanyabiashara tajiri na maarufu.

Leyna alienda kukaa pembeni yake wakawa wanaangaliana. Mambo.

"Safi.

Nimevutiwa na wewe, napenda tufurahi pamoja kwa huu muda uliobakia. "Usijali. Alijibu kama huku akiwa anatabasamu.

Walikunywa huku wakiendelea kufahamiana. Muda ulivyokwenda waliondoka pamoja Usiku huo walijikuta wamelala pamoja.

Usiku huo mambo yalikuwa tofauti kwa Leyna

hakuwahi kukutana na mwanaume anayejua mapenzi kiasi kile, japokuwa nae hakukubali kushindwa alijifunza mno lakinihakuna bado Abisai alichukua ushindi wake na kumvisha taji

la mr mahaba.

Abisai nae akajikuta akimpenda ghafla Leyna. "Leyna, usiku huu umenifanya nisahau shida zangu zote za dunia. Nataka tuwe wapenzi." Leyna alimuangalia na kuona Abisai anafaa na alikuwa ana vigezo vyote vya mwanaume. aliekuwa anamtaka pesa, hadhi na ufundi

kitandani akakubali bila kusita.

Kuanzia hapo walikuwa wapenzi rasmi. Abisai

alimpatia kila kitu pesa, shopping, starehe, simu

kali, kuchukuliwa na usafiri kila alipotoka na

kurudi nyumbani.

Kidogo tabia ya Leyna ya kuchanganya wanaume ilipungua.

Lakini baada ya muda mfupi, Abisal akaanza kusikia sifa za Leyna huko mtaani kuwa ndiye binti anayejulikana kwa michepuko na tamaa. moyo wa Abisai ukajaa wivu usioelezeka.

Abisai hakutaka kukazia damu. Siku moja alikutana na Leyna kwenye chumba cha hoteli wakafanya yao na siku hiyo ilikuwa balaa maana hasira zake zote alimaliza pale kitandani

Wewe baba mbona kama tunakimoana? " nimesha kupenda Leyna, wewe ni wangu tu, Sitaki mwanaume yeyote akukaribie na wala sitaki kusikia sifa mbaya mtaani na kama

nitakuwa sikutoshelezi basi sema muongeze dozi Abisai aliongea kwa kwa sauti nzito, macho yake yakiwa yamejaa wivu.

Leyna akatabasamu, kukubakijisemea moyoni "Wivu wa kike huo lakini sio tatizo. Bora ananipa kila kitu."

Leyna hakujua wivu wa Abisal ulikuwa sumu inayoweza kufanya maisha yake kuwa gereza,

Chapter 2

Siku zilisonga, mahusiano ya Leyna na Abisal yalizidi kushamiri. Kila mtu mtaani alianza kumshangaa Leyna

"Huyu binti, leo gari jipya, kesho simu mpya! Si mchezo..."

Mwenzangu sasa hivi kaamua kutupumzisha hapa mtaani sijui kapatwa boss wa wapi?

Bila shaka mume wa mtu mbona huyo mwanamke nampa pole maana huyu mtoto kama jini mahaba alimshika mume wa mtu hakuachi.

Abisai alizidi kumiliki maisha ya Leyna kama mumevaliemuowa na kumdhibiti. Kila mara akimpigia simu,

"Uko wapi? Umevaa nini? Uko na nani?"

Kila akichelewa kujibu ujumbe simu kumi kumi

zilipigwa mfululizo.

Leyna alianza kuchoka na ukali wake.

Siku moja usiku Leyna walikuwa ametoka na marafiki zake wakawa wamekaa sehemu wanafurahi. Mara simu ya Abisai iliingia.

*Ohoooo kashasnza usumbufu wake na hii simu wala sipokei.

Leyna aliacha simu iitwe mpaka ikakata kisha akaamua kuzima kabisa ili afurahie kwa raha.

Waliendelea kula na kufurahi na marafiki huku akiwa hana habari na Abisai mwanaume anaemuweka mjini. Baada ya dakika 20 Abisai alifika kwenye lile eneo na kwenda moja kwa moja alipokuwa amekaa Leyna na marafiki zake.

Alifika na kusimama pembeni yake, Leyna alipomuona alishituka maana hakutegemea

kama kama Abisal angejua yupo pale na kumfuata.

*Abisal....

"Nyanyuka tuondoke.

"Yani umenifuata huku, kwanza umejuaje.....

Kabla hata hajamaliza kuongea Abisai alimshika mkono na kumvutia nje, alimpandisha kwenye gari na kuondoka.

"Abusai, kwanini unanibana hivi? Mimi si mtumwa wako. Aliongea Leyna huku akiwa kakasirika.

Abisai alimtazama kwa macho makali, "Wewe ni wangu, Leyna. Ukithubutu kunisaliti, nitakufundisha jinsi ya kujiheshimu.

"Basi tuachane tu maana nimechoshwa na tabia zako.

*Wewe maoema yote hii unachoka? Alafu swala la mimi na wewe kuachana sahau na ukumbuke ya kuwa ulipo nipo.

Walienda nyumbani kwa Abisai.

*Sasa umenileta hapa ili iweje?

*Pandisha juu nimfukuze chumbani.

"Chumba gani?

Leyna aliuliza kwa hasira, Abisai alimgeukia na kumuangalia kwa macho makali alafu taratibu alipiga hatua kumfuata, walisimama jaribu mpaka kiasi cha pumzi zao kukutana na baadhi ya viungo vyao kugusana. Kisha Abisai akasema

"Chumbani kwangu, nimfukuze kitandani ukiwa umeshajiandaa.

"Abisai huo imezidi sasa.

" Lakini hili ni swala la kuongea tukaelewa tu.

"Huelewi kiswahili?

Leyna alianza kujitetea maana alikuwa anajua hasira zote zinaenda kumalizikia kitandani. "Nisamehe mpenzi hili haitajirudia tena.

"Una uhakika na unachosema?

"Ndio nakuahidi.

Leyna alijitahidi kumtuliza mpaka Abisai akawa sawa baada ya hapo wakaenda pamoja kupumzika.

Kesho yake asubuhi waliamka na kwenda kuoga pamoja, Leyna alivaa nguo zake alizokuwa amevaa jana usiku. Abisal alimuangalia alafu

akatoka chumbani. Baada ya dakika kama 25 alirudi akiwa na mfuko

mkononi.

*Naomba uvue hizo nguo zake zilizokuwa na heshima hata kidogo.

"Alafu?

"Shika hil uvae. Leyna alipokea ule mfuko akakuta kijora kipya.

*Hii nivae mimi?

"Unataka nivae mimi?

"Abisal mimi haya mambo ya kushikilia manguo marefu kama naenda kubariki ndoa siwezi.

"Kwangu utaweza tu.

* Lakini ulinipenda nikiwa kwenye muonekano

huu. Ni kweli lakini kwa sasa sivutiwi na huo

muonekano wako nataka mali zangu zistiliwe, mimi pekee yangu ndio natakiwa kuona hayo mapaja, mikono na kifua.

Leyna alivua zile nguo zake na kuvaa kijora na mitandio akamuacha kitandani. Abisai alichukua mitandio na kumfunika kichwani. "Jamani kama kibibi?

"Umependeza sana mpenzi wangu hivi ndivyo nataka kuwa nakuona.

Kujitia ushehe wakati wote ndio walewale. Aliongea Leyna kwa sauti ya chini.

* Unasemaje?

Hakuna kitu nataka kuondoka.

"Tukanywe chai kwanza.

"Sihusiki kunywa hata hiyo chai yako.

Abisai alitabasamu kisha akavuta mkono wakaenda dinning na kuanza kunywa chai. Abisai alikuwa akimuangalia usoni huku

akijisemea.

Lazima ibadilike na kufuata njia inazotaka mimi.

Na wakati huo Leyna alikuwa akijisemea.

Wewe hunijui nitakufanyia vitimbwi mpaka utanyoisha mikono juu.

Full 1000
Whatsp 0784468229

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน *JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO* *1---2* *_______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* LEYNA NA LEYLA ni mabinti mapacha wanaofanana sana kwa mtu ambae hawafahamu hakuweza

kuwatofautisha lakini pale mtaani kwao watu waliweza kuwatofautisha kutokana na tabia zako. Leyna alikuwa ni binti mtukufu sana.

aliyependa kwenda na wakati, kupenda kuwa na vitu vizuri wakati maisha yao hayakuwa mazuri kihivyo. Wallishi na mama yao na alikuwa akifanya biashara ya kuuza samaki. Lakini Leyla alikuwa binti mpole sana ambae hakutaka makuu aliangalia masomo yake.

Siku moja likuwa majira ya saa sita mchana wa jua kali. Binti Leyla alikuwa akimsaidia mama yake kuandaa samaki wake wa biashara. "Leyla mwanangu, waoshe vizuri hao samaki na

hakikisha unaweka viungo vya kutosha. Mama

yake alimkumbusha.

"Usijali mama yangu, kila kitu kitakuwa sawa." "Huyu dada yako Leyna...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/jamani-nipe-chance-kidogo-1-2-_______________________________________-sehemu-ya-kwanza-leyna-na-leyl

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi jamani-nipe-chance-kidogo
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO 14&15* "Abisai kwanini unakuwa sio muelewa, Erick ni rafiki yangu wa kawaida tu, kwani wewe haujawahi kuwa na marafiki wakike?
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO 14&15* "Abisai kwanini unakuwa sio muelewa, Erick ni rafiki yangu wa kawaida tu, kwani wewe haujawahi kuwa na marafiki wakike?
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 13 Alitamani kuongea jambo lakini aliamua kunyamaza ili asiharubu siku yao muhimu
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya  daladala, Abisal alimfuata nyuma
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 8 Leyna alishika njia na kuelekea stendi ya daladala, Abisal alimfuata nyuma
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO.  Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO. Chapter 10 Kesho yake mapema Abisai alifika nyumbani kwa kina Leyna na kumkabidhi Leyla simu yake mpya tena haikuwa kama ile ya bei rahisi...
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO ___________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*  Walikaa akimsubiri Abisai baada ya dakika 15 alifika na kuwachukua moja kwa fundi
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO ___________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Walikaa akimsubiri Abisai baada ya dakika 15 alifika na kuwachukua moja kwa fundi
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO          EP         04       ...
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO EP 04 ...
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 3 Siku zilizidi kwenda huku Abisal akiwa amepania kumbadilisha Leyna
 JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO 4--5 Chapter 4 Abisai alimrudisha mpaka nyumbani kwao.  *Hakikisha umeingia ndani maana ukitoa tu mguu wako nitajua mtandao wangu ni mkubwa
JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO 4--5 Chapter 4 Abisai alimrudisha mpaka nyumbani kwao. *Hakikisha umeingia ndani maana ukitoa tu mguu wako nitajua mtandao wangu ni mkubwa
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 111 na 112

1.18K
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*

649
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113

629
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 70...71๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

616
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

212
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4

118
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7

91
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6

80
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

80
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8

66

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.7K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.33K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.32K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: โญโญโญโญ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story ๐Ÿซถ
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa โ€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?โ€ Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair โ€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic โ€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO ๐Ÿ’โค๏ธ* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYOโ€ฆโ€ฆ โ€œWewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza โ€œHuyu ni nani tena?โ€ Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. โ€œSikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wakeโ€ nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. โ€œWorking with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest