Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Barua ililetwa na baada ya wiki mahari
Gonga94 · Stories

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Barua ililetwa na baada ya wiki mahari

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nayo ililetwa ilikuwa ml 4 na mimi hapo nilikuw nishaanza kazi na kipindi hiko mawasiliano yangu kati yangu mimi na lecturer yakawa shida zinaweza kupita siku 3 mpaka nne hatuwasiliani mimi na yeye na nikija kuwasiliana nae anasema mafunzo sasa hivi yamezidi kuwa magumu sana nilimuelewa nikajua ni shughuli maana hata mimi nimesoma chuo wanafunzi wa mwaka watatu nilikuwa nawaona hiki kipindi cha mwisho wanakuwa busy sana mara trip mara wawe wanaenda wodini kwahyo nilikuwa namuelewa hamna kitu kibaya nikichokuwa nahisi kati kati yake ila nilizidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa uweledi na nilizidi kufanya ibada maan ibada pekee ndio msaada wangu, kipindi hiki nilikuwa mchamungu sana, kuswali na kufunga suna vilikuwa ni kawaida kwangu nilikuwa nafanya hivi kuomba bahati mungu alioniletea isije ikatoka nikononi mwangu maan nilijikuta nampenda sana huyu lecturer maan kaja kubadilisha hatma yangu, na kuwa maji mara moja maharani ya mbeya niliacha, kila kituu kinabadilika ukiamuaa, nilikuwa serious san huu wakati sikutaka ujinga, kwanza mimi ni mchumba wa mtu

Kwa upande wa mama huku aliongea na wazazi wake, kuhusu jambo langu ila hata bibi na babu hawakukaza japo babu alikuwa mtata alilainika pia baada ya kueleweshwa sna, na walifurahi wakasema watakuja karibu na harusi maan ilipangwa mwezi wa 11 harusi yenyewe nilifurahi kwamba itakuwa kwa mara yangu ya kwanza nawaona babu na bibi yangu wazi nilifurahi mno jamani, ila ilitupasa tuhame pale na kutafuta nyumba kubwa ya vyumba vinne ili mimi niwe nalala peke yangu, Famrish Peke yake, mama na mwanae Hemed na kile waje bibi na babu dada zake mama watagawana mmoja atalala na mimi na mwengine atalala na Famrish maan kwao. Walizaliwa watatu na mama ndio alikuwa wa mwisho kwa wote tulifanikiwa kupata hyo nyumba kwa msada pia wa mume wangu mtarajiwa tulihamia pale na tarehe za harusi yangu zilikaribia hivyo bibi babu na mamawakubwa walikuja huku Dsm kutoka huko mkoani, na mimi nikaanza kukaa ndani natawa maaan niliomba ruhusa kazini saa kipindi hicho ni mwezi wa kumi sasa, na hapo mawasiliano ya mimi na mume wangu mtarajiwa yalikata kabisa maan alikuwa hanipigii simu nilimshirikisha na mama, mama alikuwa kama anakata tamaaa ila tulijipa moyo maana kashatoa mahari na aache kuja itakuwa sio kweli

Hii siku nimekaa zangu ndani nimetulia nikashangaa sms imeingia kwenye simu yangu. WhatsApp namba ngeni ila niliifahamu kama ni ya Sam maan kipindi nilibadili na laini yangu kabis sms ilingia inasem hivi Asmy kwa akili zako unahisi huyo mwanaume atakuja kwenye harusi hebu sahau hilo umeshasahau lililotokea by Sam ile sms ilinitisha na sio hiyoo na ile video ilitumwa piaa nilizidi kuogoap jamani hapo nakumbuka bado wiki mbili tu na ndoa yangu ifungwe na nishaalika kila mtu pale mtaani jamani mh hapana, nilimshirikisha na maama, mama yangu aksema nipotezeee nisiweke kichwani, bwana harusi atakuja tu usiwaze muda huo Khalid hata sina mawasiliano naee nampigia simu zangu haokoti jamani nilichoka mimi, nilijiblock kabis ile na namba ya Sam

Na kweli siku ya harusi ilifika, nishapambwa namsubiria bwana harusi kwani anatokea jamani nilijisi kama nife mpaka jioni mtu hajatokeaa nilibaki kama nimeduwaa jamani hii haikuwa sawa nilikaa kimya mpaka asubuhi bila kuongea na mtu yoyote nyumbani nimejifungiaa mlangoo, maaan huu mdhaliliko ni mkubwa kuliko hata Alioufanya Sam ni wanajua watu wa chuo tu sasa huu ni hadi watu wa mitaani wote wanaelewa na bado ndugu zangu jaman hapana nilihisi ule mkosi wa mama yangu umekuja kwangu,

Huku nje bibi na babu wakaanza kumgombeza mama kumwambia etty hata kwangu yamekuwa yale yale yaani mama ni anamukosi walikasirika sana maan waliumbuka mno maan na wao

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Barua ililetwa na baada ya wiki mahari

nayo ililetwa ilikuwa ml 4 na mimi hapo nilikuw nishaanza kazi na kipindi hiko mawasiliano yangu kati yangu mimi na lecturer yakawa shida zinaweza kupita siku 3 mpaka nne hatuwasiliani mimi na yeye na nikija kuwasiliana nae anasema mafunzo sasa hivi yamezidi kuwa magumu sana nilimuelewa nikajua ni shughuli maana hata mimi nimesoma chuo wanafunzi wa mwaka watatu nilikuwa nawaona hiki kipindi cha mwisho wanakuwa busy sana mara trip mara wawe wanaenda wodini kwahyo nilikuwa namuelewa hamna kitu kibaya nikichokuwa nahisi kati kati yake ila nilizidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa uweledi na nilizidi kufanya ibada maan...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-sehemu-ya-kumi-na-sita-barua-ililetwa-na-baada-ya-wiki-mahari

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi lecturer-nikikupa-hutoninanii-sehemu-ya-kumi-na-sita-barua-ililetwa-na-baada-ya-wiki-mahari
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

563
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

526
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

392
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

235
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

149
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

39

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest