Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 18
Gonga94 · Stories

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
????MAMA WEEEE UTANICHANA????
????????????????

Sehemu ya 18

???? Alifanya ivi...????

Aliipuliza simu kwa mdomo wake kule zai akawa anasikia upepo tu.

" Zai anasema.
MPENZI MPENZI MPENZI.

" Simu ikakatwa na akamtumia sms pale pale.

( Achana na mume wa mtu)

" Boss alishangaa na akamuuliza.

" Mbona unamtumia sms ivyo.

" Nishakupenda mazima nataka dogo aachie ngazi atoe wazo la kuwa na wewe.

( Upande wa zai analia anatafakari sms)

" My ata kama zai namuacha lakini si ivi ghafra nitamuumiza.

( Sasa boss mkojo umemshika akaenda chooni kukojoa hapo mama mdogo wa zai akaandika sms kwa zai kupitia simu ya boss)

" Wewe kumbe umeachana na mumeo na mumeo ni mfanyakazi wangu futa namba yangu kwenye simu yako.

( Zai anasoma anazidi Kulia nani katoa hii taharifa ndio anawaza muda huo huo zai anavaa nguo anaita uba nia aende kwa mama yake mdogo kumwambia aya majanga yaliyomkuta na bahati mbaya kwa zai amekuja deleva yule yule ambaye gali yake unakutana na mawaidha zai ana mawazo yake uku mawaidha yanasema)

" Naam sisi Wanaume bhana Baadhi yetu ifike mahali tubadilike kwa karn hizi inabidi tuambizane ukweli tu kwa usalama wa maisha ya wengine

Yaani umemuoa Mwanamke kwa tadhima ya wazazi wake huku hali yako duni kimaisha maskini binti wawatu akawa hana tamaa akidai Kama ni pesa mutatengenza wote

Mumeishi nyote akikuvumilia kwa uchache wakipato chako gafla unafanikiwa maisha yako Alhmdulih umepanda kimaisha tafauti na ulivyo kuwa mwanzo

Badala yakumuheshimu mke wako kwani kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume Mwanamke yupo nyuma ghafla unabadilika sasa haha

Ndio wanasema uhalisia Wa Mtu huweze ujua akiwa maskini ngoja apate pesa Ndio uwanze kumsifu manake amefaulu alikuwa hazini atatafuta mchepuku azini naye kibri kinampanda kisa ana pesa

Utamsikia Sasa Ndio Akasema mke mmoja hatoshi kisa ana vipene vyake ywawaza kuongenza mke wakati nyumba kapanga haha tena akiambiwa hashauriki kabisaa atakachosema yeye Ndio kifatwe duh

Ndio ukakuta baadhi yawanawake hawataki kabisa kuolewa na Mume aliyechini kiuchumi na Baadhi yawanaume wanalalamika mabinti wanapenda pesa Sio kwamba mabinti wote wana tamaa laa hash tatizo wanaume wengine wakipata huwanza kuzisaliti ndoa zao

Mpende Sana Mwanamke aliyekukubali kwa hali yako ya maisha na ukifanikiwa mthamini kwani huenda mafanikio yako yametokana na ushauri wake yeye

Kuna watu walikuwa wanatafuta kazi miaka yote gafla ameoa amefanikiwa Katika maisha amepata kazi Sio kila Mwanamke unayemuona ni chomba cha starehe wengine ni chomba cha mafanikio waheshimu Sana wanawake.

" Zai akawa analia kwenye gali deleva alidhani mawaidha yamemgusa kumbe analilia penzi lake.

" Dada mbona unalia ivyo?

" Acha tu kaka yangu wewe hendesha gali nifike tu.

" Dada aya mawaidha kiukweli wanaume atuyapendi kwa sababu yanagusa tabia zetu baazi ila nashangaa wewe yanakuliza kwanini unalia dada?.

" Mawaidha mazuri ila mimi kinaniliza chengine kaka twende tu usiwaze kuhusu mimi.

( Wakati zai anaenda kwa mama yake mdogo uku boss akaondoka uku anatafakari atafanyaje zai awe sawa na mama mdogo wa zai alifuta sms aliyomwandikia zai pamoja na namba kabisa kafuta boss anaondoka ajui kuwa ata namba ya zai kwenye simu yake aipo)

Zai anafika kwa mama yake mdogo wanakutana zai analia uku anamuonyesha sms mama yake mdogo yani hapa ndio waswahiri wanasema usilo lijua sawa na usiku wa giza na mama mdogo wa zai akawa anasema,

" Mwanangu kwa sasa ivi usimpigie kwanza kama wiki ivi hasira zimpungue hili ukimpigia mutaongea vizuri Jamani kuna watu wabaya kweli.

( Mama mdogo wa zai anashika simu ya zai anafuta sms pamoja na namba yani kashapenda mazima anapigana vita ya peke yake kimya kimya)

Akamuwekea maji chooni zai akaoge atulize mawazo.

" Zai anaona kama upendo anapewa na mama yake mdogo kumbe anazugwa Basi akaoga akarudi akalala ukumbini,

Sasa mama yake mdogo akaenda tandika sokoni kununua mboga aje ampikie mwanawe,

Kumbe nyuma uku boss akawa anakuja kumuuliza kuwa namba ya zai mbona sioni kwenye simu sasa boss anagonga mlango na anayefungua ni zai,

Wanakutana USO kwa USO zai akapiga magoti machozi yanamtoka anashindwa kusema kitu boss anashangaa anajiuliza maswali apati jibu ila akamnyanyua na akamkumbatia akamwambia,

" Zai nakupenda sana nilikuwa nakutania tu je unanipenda zai?.

" Ndio nakupenda sana.

" Sasa mama mdogo wa zai anarudi anakuta gali nje akaingia ndani moja kwa moja anakuta zai kakumbatiwa na anasikia neno lile.

" Ndio nakupenda sana.

" Mama mdogo wa zai roho ikamuuma akafanya kituko cha aibu sana,

Dah yani...

ITAENDELEA...JUMATANO
PATA FULL KWA TSH 1000
NO YA MALIPO NI 0657 774735
JINA MKEGANI MPONDA
MTANDAO NI TIGO
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 18

????MAMA WEEEE UTANICHANA????
????????????????

Sehemu ya 18

???? Alifanya ivi...????

Aliipuliza simu kwa mdomo wake kule zai akawa anasikia upepo tu.

" Zai anasema.
MPENZI MPENZI MPENZI.

" Simu ikakatwa na akamtumia sms pale pale.

( Achana na mume wa mtu)

" Boss alishangaa na akamuuliza.

" Mbona unamtumia sms ivyo.

" Nishakupenda mazima nataka dogo aachie ngazi atoe wazo la kuwa na wewe.

( Upande wa zai analia anatafakari sms)

" My ata kama zai namuacha lakini si ivi ghafra nitamuumiza.

( Sasa boss mkojo umemshika akaenda chooni kukojoa hapo mama mdogo wa zai akaandika sms kwa zai kupitia simu ya boss)

" Wewe kumbe umeachana na mumeo na mumeo ni...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mama-weeee-utanichana-sehemu-ya-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mama-weeee-utanichana-sehemu-ya
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya nne...tano
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya nne...tano
MAMA WEEEE UTANICHANA? ????  Sehemu ya kwanza.
MAMA WEEEE UTANICHANA? ???? Sehemu ya kwanza.
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya pili
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya pili
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 21..22 Mwisho
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 21..22 Mwisho
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya tatu
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya tatu
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 19..20
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 19..20
MAMA WEEEE UTANICHANA? ????  Sehemu ya 11...12
MAMA WEEEE UTANICHANA? ???? Sehemu ya 11...12
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya Saba
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya Saba
MAMA WEEEE UTANICHANA? ????  Sehemu ya 15
MAMA WEEEE UTANICHANA? ???? Sehemu ya 15
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 13...14
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 13...14
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 16..17
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 16..17
MAMA WEEEE UTANICHANA? ????  Sehemu ya sita
MAMA WEEEE UTANICHANA? ???? Sehemu ya sita
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya 10
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 10
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ????????????????  Sehemu ya nane...tisa
MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya nane...tisa
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

585
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

474
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

469
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

318
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

215
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

69

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest