Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........19
Whatsapp..............0613083801

Ilipoishia......
Mr.James alimweleza Beatrice hali ya mwanae Diana  ya ulemavu alionao na hii kumfanya Mwanamama aumie sana ndani ya moyo wake baada ya kupokea tarifa hizo na aliamua mda huohuo waongozane ili akamuone mtoto wake Diana....

ENDELEA NAYO......
Mwanamama Beatrice aliamua kuongozana na Mr.James akiwa pamoja na kijana Albert na mda ambao walitoka tu mwanae Angelina aliweza kuwasili akiwa na rafiki yake Manka,
Ajabu alivyofika ndani hakumkuta mama yake ikabidi aende kumuuliza mlinzi aliyemwambia kila kitu juu ya mama yake kuondoka na watu waliokuwa wamekuja pale mda sio mrefu.

Mwanadada Angelina alirudi ndani alimomwacha rafiki yake Manka,
"Mama kaondoka na Kuna watu alioondoka nao"
"Angelina isije kuwa mama yupo matatizoni, kumbuka wewe ni mtu mkubwa sasa ivi watu wanajua unapesa kwakuwa ni mtu maarufu",Manka aliongea na kuzidi kumpa wasiwasi rafiki yake.
"Huo ni wasiwasi wako ngoja nimpigie simu",alichukua simu yake ili ampigie mama yake ajabu simu iliita humohumo ndani kumaanisha kuwa simu iliachwa na mama yake.

Maneno aliyoongea Manka kidogo yalianza kumpa wasiwasi mwanadada Angelina ya kutokumuona mama yake na pia kitendo cha kuacha simu yake mle ndani.

Upande wa Mary sasa alikuwa mtu tofauti baada ya kupata pesa kutoka kwa Albert aliamua kumtafuta Faith siku hiyo baada ya kutengana nae kwa mda na kila mtu kuendelea na mambo yake.
yalikuwa ni kama maajabu kwa Faith baada ya kupita mda kidogo bira kutafutwa na Mary lakini siku hiyo alimtafuta ilibidi apokee simu, Mary alimwambia waonane kwa ajili ya mazungumzo.

Faith alijiandaa haraka na kwenda mpaka sehemu aliyoelekezwa na Mary kwanza alikuta meza yote imejaa vyakula na pia kulikuwa na vivywaji vya kila aina maeneo yale napesa baadhi zimewekwa juu ya meza,
"Faith nilikwambia hapo kabra Mary is genius always, kunywa chochote unachotaka na kula chochote unachotaka tajiri niko hapa",Mary aliongea na tayali pombe zilikuwa zimeshaanza kumtawala mwanadada.

Faith hakutaka ata kuuliza kwa wakati huo alikaa na kuanza kufakamia vyakula vilivyokuwa pale, na baada ya kuanza kushiba ndipo alipofungua kinywa chake,
"Umetoa wapi pesa zote hizi Mary?",Faith alimuuliza.
"Hahahaahaha, hiki ni kisasi cha mimi kukoswa uMiss Tanzania na hii ni kama adhabu kwa yule mpuuzi ninayompatia", Mary aliongea kilevi.
"Mpuuzi unamaanisha Albert".
"Huyohuyo katoa million 100 hapa najiandaa kesho kutwa tu natinga kwake temu hii nataka nichukue kila kitu kutoka kwao", Mary aliongea aliongea kwa kujiamini tena bira wasiwasi wowote ule.
"Lakini hii ni hatari rafiki yangu unaweza kuingia kwenye hatari Mary",Faith aliongea kama kumpa ushauli rafiki yake huyo.
"Naona umeshalizika na maisha mpaka unaanza kunitisha, aya nyenyuka na uondoke",Mary alibadilika gafra na kumtaka Faith aondoke mahali pale.

Faith aliamua kujishusha mbele ya Mary na kuanza kumpamba Mary ili asiweze kutolewa mahali pale.

Faith hakutegemea kama rafiki yake amebadilika kisa hicho kisa kukoswa taji la uMiss Tanzania, kuna mda alimuhurumia  mana aliitamani sana ile nafasi ila bahati haikuangukia kwa mwanadada huyo na iliangukia kwa Angelina.

Siku hiyo kama ni maisha Faith aliyafaidi mana pia alipatiwa pesa za kutosha kitendo kilichomfanya ata yeye aone kumbe kutajirika ni vyepesi kama ukiwa na akili za kukufanya utajiriki.

Mr.James aliweza kuwasili nyumbani kwake akiwa kaongozana na Mwanamama Beatrice na kijana Albert,na waliingia mpaka ndani na kumkuta Diana amekaa kwenye kiti chake anachotumia kutembelea.

Mwanamama Beatrice hakuamini kumuona binti yake akiwa kwenye hali ile alimsogelea na kuchuchumaa mbele yake huku Diana yeye akimuangalia tu akiwa haelewi kinachoendelea,
"Diana binti yangu unakumbuka mda sio mrefu tulikuwa tukimuongelea mama yako basi huyo unayemuona ni mama yako mzazi",Mr.James aliongea na kumfanya Diana aelewe.
"Hapana huyu sio mama yangu mzazi",Diana alimjibu baba yake.
"Unaongea nini wanangu yote yameshapita na Mimi baba yako nimeshakueleza mwanangu kila kitu naomba uelewe kile nilichokwambia",Mr.James aliongea  kwa mara nyingine.

Albert alijua ni kitu gani kinachomtia hasira Diana alimsogelea na kushika mikoni yake,
"Diana najua una machungu mengi sana ya wewe kupoteza nafasi ya kuwa mshindi katika mashindano ya Miss Tanzania lakini kila kitu kinatokea kwa sababu, naomba ukubaliane na hiki kilichotokea Diana na usamehe kila kitu",Albert aliongea.

Mwanamama Beatrice alianza kutoa machozi mbele ya binti yake na hakuamini kuwa kitendo cha mwanae huyo kukoswa ushindi wa Miss Tanzania ndio kilipelekea yey kupata ajali,
"Mimi sikuwa mama mazuri ata kidogo nilimuimiza sana mwanangu Angelina ashiriki mashindano hayo ya Miss Tanzania na nilitoa baraka zote za yeye kushinda katika mashindano hayo, kumbe pia kulikuwa na mwanangu mwingine aliyekuwa akishiriki  huenda nisingemlazimisha Angelina kushiriki basi wewe ungeibuka mshindi na yasingetokea haya yote",Mwanamama Beatrice aliongea kwa uchungu sana,Albert akimsogelea na kumtia moyo.

Mwanamama Beatrice alikuwa na kazi kubwa ya kujieleza kwa binti yake na badae mama na mtoto walipatana huku Mr.James na Albert wakifurahi kuona Diana akitoa chuki alizokuwa nazo kwa mama yake.

Stewart sasa aliamua kwenda kwao Angelina baada ya kuona imekuwa kazi kuonana nae ili aongee nae, alifika na kukutana na nyumba yenye hadhi ambayo ata yeye ilimvutia alibisha hodi na mlinzi akaja,
"Mambo vip, Angelina nimemkuta?",Stewart alitoa salamu kwa Mlinzi aliyekuja kumfungulia.
"Ndio yupo",Mlinzi alimruhusu kuingia mpaka ndani.

Alimpeleka mpaka kwa mwanadada Angelina aliyekuwa na mawazo yake siku hiyo ya kutokumuona mama yake tangu alipofika hapo nyumbani.

"Boss kuna mgeni wako huyu hapa", mlinzi aliongea na kuondoka huku mda huo akimuacha Stewart maeneo hayo.
"Ni wewe tena?", Manka aliongea aliyekuwa maeneo hayo na kumfanya Angelina avute kumbukumbu ya wapi amewahi kumuona Stewart na alifanyikiwa kukumbuka tu.
"Kuna kitu cha mhimu sana kimenileta hapa",Stewart aliongea huku akikaa kwenye kochi mda huo tena bira kukalibishwa na alianza kuwaelezea kila kitu kuhusu kampuni anayofanyia kazi Angelina kwa wakati huo.

Na alikuwa amejipanga mana alikusanya tarifa zote za warembo waliowahi kushinda taji la Miss Tanzania na waliochukuliwa na kampuni hilo kwenda kufanya kazi na niukweli usiopingika kuwa wanadumu kwa mda mfupi tu katika kampuni iyo ya uigizaji,
"Hapo kidogo nimeaanza kukuelewe lakini wewe ni nani na kwanini umeamua kuja kumpa tarifa hizi Angelina?",lilikuwa ni swali la Manka lililomfanya Stewart awe na kigugumizi cha kujibu kile alichoulizwa.

Wakiwa bado wanaendelea na maongezi Mwanamama Beatrice aliingia ndani tena akionekana hayupo sawa,
"Mama,Mwanadada Angelina alimwita mama yake.........
ulikuwa wapi mama mda wote huo nimekaa kusubiri hapa?".
"Nilikuwa kwa dada yako Diana",Mwanamama Beatrice alijibu bira kujali kama kuna mgeni maeneo yale ambae ni Stewart na pia Manka aliyekuwa maeneo yale.
"Diana!!",Angelina aliuliza kwa mshangao na alishindwa kumuelewa mama yake anamuongelea Diana yupi na ata Stewart nae alishituka baada ya kusikia jina la Diana....ITAENDELEA.

Angela atagundua ni Diana yupi anayemwongelea mama yake anayedai ni ndugu yake Karibu katika sehemu inayofata.

NB: Story hii  NIYAKUTUNGA na haina ukweli wowote ule unaoendana na taratibu za nchi yetu????.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k?????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........19
Whatsapp..............0613083801

Ilipoishia......
Mr.James alimweleza Beatrice hali ya mwanae Diana  ya ulemavu alionao na hii kumfanya Mwanamama aumie sana ndani ya moyo wake baada ya kupokea tarifa hizo na aliamua mda huohuo waongozane ili akamuone mtoto wake Diana....

ENDELEA NAYO......
Mwanamama Beatrice aliamua kuongozana na Mr.James akiwa pamoja na kijana Albert na mda ambao walitoka tu mwanae Angelina aliweza kuwasili akiwa na rafiki yake Manka,
Ajabu alivyofika ndani hakumkuta mama yake ikabidi aende kumuuliza mlinzi aliyemwambia kila kitu juu ya mama yake kuondoka na watu waliokuwa wamekuja pale mda sio mrefu.

Mwanadada Angelina alirudi ndani alimomwacha rafiki yake Manka,
"Mama kaondoka na Kuna watu alioondoka nao"
"Angelina isije...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

565
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

533
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

403
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

239
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

181
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

47

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest