Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25
Gonga94 · Stories

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........25
Whatsapp..............0613083801

Doctor Tayler alishika mkono wake na kujaribu kuangalia kwa utaalamu anaojua yeye ndani ya mda mfupi tu aliweza kugundua kitu kilichomfanya ata yeye jasho lianze kumtoka huku akiwa na wasiwasi wa hali ya juu......

ENDELEA NAYO....

Doctor Tayler alikuwa na wasiwasi na ata Diana aliliona hilo,
"Tatizo nini kipenzi mbona umekosa raha gafra na umegundua kitua gani kinachonisibu",Diana alitamani kujua ni kitu gani kilichomfanya mpezi wake awe na wasiwasi kiasi hicho.
"Diana hamna tatizo lolote lile sema unahoma kali sana hapo ulipo na inatakiwa nikutafatie dawa haraka sana uweze kutumia",Doctor Tayler aliongea na mda huo alitoka na kwenda kuchukua dawa.

Upande wa Diana baada kipenzi chake kutoka alijiona mwenye bahati sana kumpata mwanaume wa kizungu anayemjali na kumpenda tena akiwa na mvuto,lakini hakuona dalili zozote za yeye kuwa na homa kama mpenzi wake alivyosema japo hakuwa na mashaka na kitu chochote kile.

Doctor Tayler alikuwa akitembea kwa kasi sana tena akiwa na wasiwasi wa hali ya juu alifika na kumkuta doctor mwenzake ambae ni rafiki yake na wanafanya kazi pamoja katika hospital hiyo,
"Njoo tuongee pembeni na maongezi na wewe doctor", aliongea  huku akishika mkono wake na kumpeleka pembeni.
"Tatizo nini Doctor Tayler?, mbona unaonekana ni mtu mwenye wasiwasi sana?",swali kutoka kwa doctor mwenzake lilimfanya doctor Tayler kuangaza kila pande kama kuna mtu yoyote yule anayesikiliza mazungumzo yao alipohakikisha hamna alimgeukia rafiki yake nakuongea,

"Tatizo ni kuwa yule mgonjwa wa kiafrika aliyechini ya uangalizi wangu nilitengeneza nae mahusiano ndugu yangu", Doctor Tayler aliongea.
"Waafrika ni wazuri sana na ata mimi nataka niwe na mwanamke wa kiafrika",
"Sipo hapa kwa ajili yakuongea hayo mambo ila nimemwangalia na kwa utalamu atakuwa anamimba tayali japo yeye mwenyewe hajui isipokuwa mimi peke yangu ndiyo nafahamu",Doctor Tayler aliongea na kumfanya rafiki yake kushangaa.

Walikubaliana kufanya siri kati yao na Doctor Tayler hakutaka kuzaa na Diana kwasababu alikuwa na mwanamke mwingine waliyepanga kuoana, na kitu alichoshauliwa na doctor mwenzake ni kwenda kumpa dawa Diana itakayo mfanya mimba itoke na mambo mengine yaendelee kama walivyopanga.

Baada ya kupokea ule ushauli alichukua dawa na kwenda nazo, alifika na kumpatia Diana ambae nae alikunywa bira kujua kama anaua kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake, na haikupita mda tumbo lilianza kuuma maumivu ya tumbo yalikuwa ni makali kwa mrembo Diana.

Doctor Tayler alienda kuchukua sindano na kuja kumchoma nayo iliyomfanya atulie na kulala usingizi wa kutokujitambua,Doctor Tayler alifurahi mana mambo yake yalienda kama alivyopanga na  aliamua kumfanyia matibabu yatakayo mrudisha Diana kwenye hali yake ya kawaida.

Baada ya wiki moja kupita Albert akiwa bado gerezani na mwanamama katalina aligoma kabisa kutoa pesa kwa  Mary hali iliyomfany mwanae aendelee kukaa gerezana na kusubiri siku ya kesi yake kusikilizwa ifike.

Nyumbani kwa Mwanamama katalina mme wake aliwasili baada ya kutoka nchi ya nje, ilikuwa ni furaha kwa Mwanamama katalina kumuona mmewe  aliyeondoka Tanzania kwa miaka kadhaa iliyopita.

Cha kwanza alimuomba picha za binti anaye isumbua familia yake, Mwanamama Katalina alitafuta picha za Mary kwenye simu na kufanyikiwa kuzipata na kumuonyesha mmewe aliyeichukua simu ya mke wake na kuangalia picha za mke wake,
"Huyu binti anajifanya anaakili sana basi mimi nitamwonyesha, lazima nimuondoe duniani", mmewe aliongea kitu kilichomfaya Mwanamama katalina ashituke.
"Hapana usije ukafanya kitu kama hicho mme wangu mimi ninachotaka tu ni mwanangu aweze kurudi sihitaji kuona wewe ukijiingiza kwenye mambo yakuanza kumwaga damu za watu,naomba tutumie akili mme wangu ili tumpate Albert", Mwanamama Katalina alitoa ushauli kwa mme wake.
"Sawa nahitaji kuwatafuta vijana wachache watakaoweza kunifayia kazi na ndani siku mbili nakuahidi Albert atakuwa hapa na mtaishi nae tena kwenye hii nyumba"alijua nini atafanya mme wa Mwanamama katalina mda huohuo aliondoka pale nyumbani asimwambie Mke wake ni wapi anakoenda.

Na safari yake ilimpeleke kwenye vijiwe vya vijana wa mtaani na akaongea nao pia aliwaahidi atawapatia pesa endapo watakubali kufanya kazi yake.
         
Stewart hakukata tamaa ya kutompata Angelina bado aliamini ipo siku ata mkubali,aliamua atumie njia nyingine aliyoona ni sahihi kwake, na mtu peke aliyeona ni msaada kwake ni Manka ambae ni rafiki wa  Angelina au ukipenda mwite  Miss Tanzania.

Alimuahidi malipo mazuri endapo atafanyikiwa kumshawishi Angelina japo Manka alikuwa mgumu kukubali lakini aliposikia ahadi ile ya pesa aliamua kukubali,siku hiyo alienda kwao Angelina na alimkuta ni mtu mwenye mawazo sana,
"Angelina tatizo nini rafiki yangu mbona leo upo tofauti au unamfikilia Stewart wako", Manka aliongea huku akimsikiliza rafiki yake kuona atajibu kitu gani.
"Mimi namuwaza Albert na wala sio Stewart", Angelina aliongea, na mda huohuo alipigiwa simu na aliipokea mbele ya Manka,
"Angelina njoo nyumbani haraka sana huku",sauti ya upande wa mpigaji ilisikika kisha baada ya hapo simu ilikatwa na hii kumfanya Manka abaki njia panda na alitamani kujua mtu aliyempigia Angelina ni nani huyo.

Mda huohuo Mwanamama Beatrice alifika na kuwakaribisha chakula ila Angelina hakuwa na mda wa kula zaidi ya kuondoka pale nyumbani huku akimuacha mama yake akilalamika tu mbele ya Manka aliyebaki nae,
"Huyu mtoto tangu Albert aende gerezani safari kwenda kwa rafiki yangu katalina haziishi na ata sasa ivi naamini atakuwa anaenda hukohuko tu",Mwanamama Beatrice aliongea na kumfanya Manka aelewe ni wapi Angelina anapoenda.

Mawazo yao yalikuwa sahihi kwani Angelina alikuwa ameshafika kwa Mwanamama katalina baada ya kuitwa  na siku hiyo alimwona baba mzazi wa Albert kwa mara ya kwanza,aliwakuta wote wakimsubiri yeye,

"Angelina samahani kwa usumbufu tumekuita hapa ili utusaidie kitu kimoja,ni wapi tutaweza kumpata Mary mana tangu afungue kesi anaishia kutupigia simu na kutoa vitisho na sasa ivi hapatikani kwenye simu", Mwanamama katalina aliongea na kumfanya Angelina avute kumbukumbu kipindi cha mashindano ni yupi aliyekuwa rafiki wa mwanadada Mary,
"Nimekumbuka kuna rafiki yake alikuwa anaitwa Faith ngoja nimtafute kwenye mtandao humu naweza kumpata",Angelina palepale alianza kumtafuta Faith na baada ya mda alifanyikiwa kuona picha zake na alituma jumbe mbalimbali na kilichokuwa kikisubiliwa kwa wakati huo ni Faith kujibu moja ya jumbe zile.

Bahati ilikuwa upande wao kwani Faith alijibu ndani ya dekika kadhaa tu na Angelina akamuomba namba kwa ajili ya mawasiliano ambae nae hakukataa kutoa namba.

Walimweleza Faith msaada wanaohitaji wa kujua alipo Mary na yeye hakusita kuwasaidia kwani aliwaelekeza mahari alipo mwanadada Mary,na baada ya kupata uhakika tu mme wa Mwanamama katalina aliondoka na kwenda kuwachukua vijana wake mpka alipo Mary kwa wakati huo.

Mary akiwa hana hili wa lile alishangaa kuona kazungukwa na vijana na hawakuwa na mda wa kupoteza moja kwa moja walimchukua na kumpeleka kwa mhusika aliyewatuma,
"Wewe nani na umepata wapi nguvu ya kunikamata mimi?",Mary aliongea na hakutaka kuonekana zaifu mbele ya watu waliokuwa wamemzunguka.
"Umemweka jela mwanangu alafu unaniuliza swali la kijinga hapa haya nileteeni sindano yenye sumu nimchome kwanza huyu akili zimkae sawa",Mary alivyosikia anataka kuchomwa sindano yenye sumu alitaka kukimbia lakini alikuwa ameshawekwa katikati na sindano ililetwa kwa ajili ya Mary kuchomwa...ITAENDELEA.

Mary atachomwa sindano?, karibu katika sehemu inayofata.

Pata Story hii mpaka mwisho kwa Tsh 1000 za  k???????????????????????? lipia kupitia namba,
0613083801 HALOPESA,John Bugumba.
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25

Story......................MISS TANZANIA
Mtunzi...................Zooper
Sehemu..ya...........25
Whatsapp..............0613083801

Doctor Tayler alishika mkono wake na kujaribu kuangalia kwa utaalamu anaojua yeye ndani ya mda mfupi tu aliweza kugundua kitu kilichomfanya ata yeye jasho lianze kumtoka huku akiwa na wasiwasi wa hali ya juu......

ENDELEA NAYO....

Doctor Tayler alikuwa na wasiwasi na ata Diana aliliona hilo,
"Tatizo nini kipenzi mbona umekosa raha gafra na umegundua kitua gani kinachonisibu",Diana alitamani kujua ni kitu gani kilichomfanya mpezi wake awe na wasiwasi kiasi hicho.
"Diana hamna tatizo lolote lile sema unahoma kali sana hapo ulipo na inatakiwa nikutafatie dawa haraka sana uweze kutumia",Doctor Tayler aliongea na mda huo alitoka na kwenda kuchukua dawa.

Upande wa Diana baada...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya-25

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miss-tanzania-mtunzi-zooper-sehemu-ya
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........01
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........05
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........02
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........04
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........03
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........07
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........12
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........11
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........10
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........08
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........09
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........06
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

565
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

533
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

402
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

239
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

180
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

46

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest