VYOTE NDANI GONGA94
MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 13
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sasa hapa ndio napongezwa au nakashifiwa, nikawa najiuliza ila nikaenda tumemaliza, tukaenda bafuni, aisee hio siku ndio kama wanakijiji wa kwenye kirikuuu walivyokuwa wamepata maji namna walivyokuwa ndio huyo mwanaume alikuwa, akawa anasherehekea ushindi kwenye papuchi yangu, yaan nilikunjwa mpaka nikawa najihisi kupagawa, nilikuwa Napata raha hadi mwisho nikawa naumia…
Nikilalalamika kidogo tu, nashushiwa tusi kisha akasema “Umeyataka mwenyewe, umetaka mwenyewe niwe hivi, tulia nile, ahhhh mamaaaa, shiiiit wewe mtamu, ahhhhh tulia, tulia nashindwa kumaliza mapema, nasikia raha sana, nitakupa kila unachotaka nivumilie, nivumilie mamaa, nivumilieeee shiit, nivumilie jaman, nivumilie, siwez, siwez ashhhh nakupend sana wewe mse****hu…
Yaan nilioga matusi mpaka nikataka, na shoo ilikuwa mpaka saa kumi na moja asubuh, nimwendo wa bampa tu bampa hakuna kupoa, hakuna kupooza…
Tumemaliza akanibeba akanipeleka bafuni, yaan kwa namna nilivyokuwa nimekunjwa, mwili wote ulikuwa unaniuma, akaniogesha kisha akanibeba mpaka kitandani na kunilaza na baada ya hapo akaniletea dawa, alijua kabisa kuwa lazima mwili uniume, kisha akanifunika, akaja kwa nyuma yangu na kusema
“Embu nambie mamaa, imekuwaje leo ukaw hivi, hapa penyewe najikaza tu ila nakutaman sana…
Nilivyosikia hivyo nikaona hapa dakika sio nyingi mashambulizi yataanza tena na nitakuwa nimepaniw sana, nikataka kuondoka nikalale chumban kwangu..
“Unaenda wapi?, akauliza…
“ Naenda kulala chumban kwangu, nikajibu kwa sauti ya unyonge sana…
“Kwanini hautaki kulala na mimi mamaa, embu nambie au bado unanichukia?..
“Naogopa mashambulizi yasije yakaanza tena, mwili wote unaniuma nionee huruma jamani, nikaanza kujitetea, akacheka kisha akasema
“Usijali mrembo wangu sitakugusa hata kidogo nitajikaza, wakati ule zile huduma zako zilinivuruga na sikuwa nimekutana na mwanamke kwa muda mrefu ndio maana nilikuwa vile, ila kwa sasa hivi ukisema unanipa siwez kukataa, ila siwez pia kukuumiza maana si unajua wewe ndio mrembo wangu na mwanamke ambae nakupenda sana kuliko kitu chochote,,,
Siku hio alikuwa anaongea kama mtu ambae ana maanisha sana, nikamuangalia kwa sekunde kadhaa kisha nikauliza
“Kwani umeanza kunipenda lini?
“Kwanini unauliza swali kama hilo? Na yeye akauliza swali juu ya swali…
“Ulikuwa unanichukulia kama mateka, sikuwah kukuona ukiniangalia kwa jicho la mapenzi wakati wote huo ambao nimeishi na wewe hapa, mpaka kuna wakati nikawa nahisi kama nimelazimisha kuja kuishi na weww humu ndani, na kuna muda nilikuwa nakuchukulia kama kaka yangu kwa namna ulivyokuwa unaishi na mimi…
Akatabasamu kisha akasema
“Mimi nimeanza kukupenda kuanzia siku ya kwanza nilipokuona, nilijua kabisa kuwa wewe ndio utakuwa mke wangu, nilijua kabisa kuwa wewe ndio mwanamke wa maisha yangu, ila ile siku baada ya kukufikisha nyumban, ukasema kuwa unawachukia sana wanajeshi, ile kauli sio siri ilininyong’onyesha sana, kwa sababu nilitaka nipajue kwenu ili niweze kuanza harakati zangu, ila nikajiambia kuwa naweza kukusahau maana nimeshakutana na wanawake wengi sana, ambao wote walikuwa na sifa tofauti sana, na wote hao hawakuwah kunikaa akili, ila wewe ilishindikana kabisa kukusahau na kukuchukulia kama hawa wanawake wa kawaida, kuna wakati hata kazi zangu nilishindwa kufanya kwa ufasaha kwa namna ambavyo nilikuwa nakupenda sana maaa….
“Kumbe ulikuwa unanipendaa eee, si ungesema jamani maana hata na mimi nakupenda, ila siunajua nimeolewa? Nikauliza…
Akacheka sana kisha akanambia “Hakuna mwanaume hapa dunian ambae anaweza kukuoa wewe, kama mimi nipo hai…
ITAENDELEA …
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mr-general-kumbe-ulinipenda-eee-sehemu-ya