Niliona hiyo ni fursa siku watakazokuwa wanajenga mafundi tutakuwa tunaamka saa 10 za usiku..
Tunawaandalia kiamsha kinywa asubuhi kabla sijaenda chuoni nitakuwa nawapelekeaa nipate na pesa ya nauli za kwendea chuoniπ₯°π₯°π₯°...
Nilimpatia namba akaondoka....mimi na poppy tulirudi pale mgawahani kwetu tukaosha osha vyombo tukapaweka sawa then tuliondoka kwenda nyumbani..
Siku tunazokuwa mgahawani huwa tunaondoka huko tumekula cha usiku tukifika nyumbani ni kuoga na kukisomea tu..
Siku hiyo baada ya kufika home nilioga nikamaliza nikaanza kujisomea... simu yangu ilianza kuita huo usiku namba ngeni nikapokea..
Sauti kama naijuaπ€π€ni kama ya yule Boss aloomba namba ili awe anaoda chakula..
Helloo...
Nikaitikia Helloo..
Samahani naitwa Hemed yule kaka aliyeomba namba ...alijitambulisha hivoo..
Namimi nikamwambia naitwa Bella..
Samahani kwa usumbufu Bella tunaeeza tukafahamiana zaidi???
Nop hapana πππlbda kama unataka kuweka oda ya chakula nakusikiliza..
Nilipoongea hivo poppy akanifinya akawa ananiambia dada unahitaji na mtu wa kukupenda sijui kwanini unamkataa kila mtu...
Usimjibu hivo Dada pleaseππ sikujali anachoniambia poppy niliendelea kumkazia jamaaa..
Baada ya kukataa kumsikiliza Hemed aliniambia ni sawa samahani basi..
Okay nimekuelewaππ... kesho naomba mtuletee chakula mafundi watakuwa watu kadhaa chakula cha asubuhi na mchana..
Sawa Hemed nitafanya hivo... asante kwa oda yako nakuahidi nitatekeleza ipasavo ubarikiwe sanaπ₯Ή..
Hemed alivutiwa na hayo maneno akaniambia usijali Bella natamani sana kukufahamu kwa undani lakini kama hautojaliπ
Hilo haliwezekani Sorry... jamaa alikuwa akiongelea ishu ya chakula namjibu kwa nidhamu ila haya mambo mengine namkazia balaaaπ€£π€£π€£π
Kabla hatujamaliza kuongea Hemed aliniuliza kitu kimojaπ€π€ alitaka kujua kama huwa tunapika na chakula cha usiku pale kwenye kimgahawa chetu..
Hahahaaaa hapana ni breakfast na lunch tu Boss...
Whatπ³π³π³Bella umeniitajeππ³ sipendi United hivo tena.. niite Hemed tu inatosha..
Hahahaa mabosi hawapendi kuitwa mabosi ila sasa sisi maskini tunavolipenda hilo jinaπ€£ nilimuomba samahaniπ
Akasema okayππ...Hemed aliniomba kama itawezekana kuanzia kesho et nianze kuwa nampikia chakula cha usiku atakuwa ananilipa pesa nzuri tuππ..
Khaa jamani huyu jamaa kwani siku zingine alikuwa anakula wapiππ€£
Nini kitafuata???...itaendeleaaa
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments