Hemed baada ya kunitambulisha kwa ndugu wote kuanzia baba mama na wadogo zake wawili Hamisa na Hisan..
Ikawadia zamu yangu ya kutambulishwa kwaoππ Hemed kwa unyenyekevu alinishika mkono akanisogeza ubavuni mwake uuuwww hata haogopi kuna baba zake pale πππ
Aliwaambia familia yake ya kwamba umewaadia ule muda wa mimi kupata mwenzi wa kwenda kuanza naye maishaβ€οΈβ€οΈ..
Najua sijawahi kuwaletea mwanamke wa aina yoyote ile hapa nyumbani lakini leo nimemleta....
Huyu ndo niliyekuwa nikimuomba Mungu anipe..jina lake ni Bella she's my wife to beβ€οΈ yeye ni mke wangu mtarajiwa..
Nimemleta hapa kila mmoja amuone na leo rasmi nawatambulisheni kwenu kuwa Bella ni mchumba wangu ikiwezekana mipango na taratibu za kwenda kwao zianze mara moja...
Alimalizia kwa kusema nakupenda sana Bellaπ₯Ήβ€οΈ karibu nyumbani hapa ndio kwetu na hawa ndio ndugu zangu na ni ndugu zako kuanzia leoπ«β€οΈ
Sijui kwanini nilikuwa najisikia tu kulia I do know but I cried a lot ππ nilimkumbatia Hemed nikamwambia thanks Babe I love you tooπ₯Ήβ€οΈ
Alinipatia tissue mpenzi wangu nijifute machozi baada ya hapo tuliketi tukaletewa na vinywaji pale story za hapa na pale zikawa zinaendelea...
Siku hiyo ndo siku niliyoweza kufunguka kila kitu kuhusu maisha yangu...hata Hemed tu nilikuwa sijawahi kumwambia vitu vyote hivo..
Siku hiyo nakumbuka baada ya kuwa tumeshamaliza heka heka za kula na kunywa ndugu waliondoka ikabaki familia ya Hemed tu..
Ilikuwa usiku nakumbuka Hemed aliniambia tutalala pale kwao kwa siku tatu then tutarudi nyumbani...basi siku hiyo usiku nikaambiwa kuna kikao wazazi wanataka kuongea na mimi... I mean wakwe hahahaaaa
Nilienda kuwasikiliza nikiwa pamoja na Hemed...Mr Martin alianza kunihoji kiundani maana alitaka kunijua mimi ni nani chimbuko letu watu wa wapi na wazazi au ndugu wako wapi,...?..
Nilianza kuelezea from A up to Zπ΄π΄π΄mama yangu mimi ni mtanga na baba ni Muarusha...
Tumezaliwa tanga kwa sababu huko ndo walikuwa wanaishi wazazi wangu..tulihamia Dar es salaam miaka kadhaa iliyopita
Ni baada ya mama kuanza kuumwa uvimbe tumboni ikatakiwa afanyiwe matibabu katika hospital ya muhimbili...
Baada ya kuhamia Dar mama alifanikiwa kufanyiwa Op maisha yakaendeleaπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ή..
Hali yake ilikaa vizuri kwa muda wa mwaka mmoja uvimbe ukajirudia tenaπ aliporudi kufanyiwa Op ya pili hakuamka alifarikiπ..
Baada ya mama kufariki ndugu zake walikuwa ni kama wamemzila furani hivi maana alibadili dini ili aolewe na babaπππ..
Hata kwenye mazishi hatukuwaona ni baba na ndugu zake tu na watu baki ndo tulioshiriki nao kwenye mazishi ya mamaπππ..
Tumemaliza kumzika mama maisha yakaendelea lakini baba hakuwa sawaπ₯Ήπ₯Ή alitawaliwa na msongo wa mawazo upweke hiyo hali ilipelekea baba yetu naye kuondokaπππ..
Alifariki miezi michache baada ya mamaπππ hivi ninavyoongea hapa na nyieee kwenye hii Dunia nimebaki mimi na ndugu yangu poppy πππ
Wazazi baada ya kuondoka hatukuwahi kuona ndugu wala rafiki wa kuja kutushika mkono...
Tuko tu wenyewe wawili mimi na poppy...
Wazazi wa Hemed walinipa poleπ₯Ήπ mama alinikumbatia akaniambia kuanzia sasa I'm your mother na Mr Martin akaniambia from today I'm your Dady β€οΈπ«...
Nini kitafuata??? Fuatilia sehemu inayofuata...
Hapa hatutatuma tena naomba anayhitaji aje whatsap
Tunafanya hivi ili tumalize zile tulizo zibakiza viporo
Full yote 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments