Mrembo yatima na kijana tajiri SEHEMU YA 22* Sasa umalaya wangu ni upi jamani yeye si ndo kaanza mbona mimi sijamtukana😂😂😂
Wakati nawaza nifanye nini Hemed ani unblock nikashangaa naona Romy anatype😳😳😳anaandika nini????
Mama weee aliliply status kumbe sikumhaidi😳akaandika wow do you like me???...
Hakuna siku niliona aibu kama siku hiyo😞😞😞mimi nilipost tu kumrusha roho Hemed kibaya sasa mwenye picha kaona na anauliza kama nampenda..
Nimjibu nini na kaona caption love of my life uuuwww nilitamani nijifiche uvunguni nisionane na Romy tena🤣 siyo kwa aibu ile😂😂
Sikuwa na cha kumjibu Romy wala sikufungua hata hiyo msg yake🙄🙄🙄mwenzangu alipoona sifungui msg akaamua kupiga😂🙈
Sikupokeaaaaa akapiga tenaa nikapokea🙄🙄akaniuliza what are you doing?.... niko chumbani nachezea simu..
Oh Good... but I have sent you a WhatsApp message, but you have not replied...
Nimekutumia msg WhatsApp hujanijibu.... oh ngoja niangalie... akasema okay alafu akaniambia but nimependa ulichopost na caption imenivutia zaidi..
Khaaaa nyieeee🙄😆nilikata simu haraka bila kumuaga🙈🙈🙈nikaanza kuwaza hiyo msg naifungua ndiyo alafu😝😝😝natoa majibu gani???
Nilienda mpaka WhatsApp nikaifungua msg🙄🙄nikajifanya kuisoma tena😝😝nikawa nairudia rudia mara nikaona tena Romy anatype nikatoka WhatsApp shwaaaa nikazima na data😝
Alipoona nimezima data akanipigia akaniambia nimetoka kwenye kikao nakuja kukuchukua twende lunch na nahisi hii ni lunch yetu special🥰.
Wee hapana Romy usiseme hivo kwanza unamaanisha nini🙄🙄🙄 akasema kama unanipenda niambie coz hata mimi navutiwa sana na wewe tangu siku ya kwanza nilipokuona..
Mhuuuuuuuu😴😴😴aibu gani hii nimejiletea Bella mimi🥱🥱🥱 mshikaji alikuwa anaongea na simu huku anakuja chumbani😝
Sijakaa sawa nikamsikia mlangoni ananiambia open the door loml🥰🥰khaaa ndo aniite loml😂🙈 huyu nayee ka chizi🤣🤣
Nilikata simu nikainuka kwenda kufungua nikashangaa kumuona Romy na maua🙄🙄akaniambia this is for you I am ready to be the love of your life ❤️❤️..
Lakini sikumaanishaa akaniziba mdomo akaniomba nipokee maua na yeye hana kipingamizi kaishakubali kuwa love of my life🤨🤨🤨...
Heeee🙄🙄🙄sijakaa sawa nikaambiwa nijiandae twende our first date lunch khaaaa jamaa kakaa hapo hapo room kwangu anasubilia nijiandae🙄
Et ndo kaishakuwa mtu wangu hahaha 😆 sikutegemea🤣🤣🤣hii nayo ilikuja ghafla kama mvua🤣🤣🤣
Nilimuomba mi anipishe nivae angejua yote hayo nilikuwa najaribu kumuumiza mtu ninaempenda😞😞
Kwanza nilikuwa na mawazo Hemed kaniblock yani nilikuwa najihisi kama naumwa fulani hivi😞😞 Romy alinipisha nijiandae tukale lunch
Nilivaa nguo nikajipamba vizuri tukatoka... sangapi asiende kunitambulisha kwa watu alokuwa nao kwenye kikao kuwa mimi ni gal friend wake🙄🙄
Na akawaambia leo ndo date yetu ya kwanza hata hana siri😂😂 Romy aliweka oda ya special lunch for our first date..
Siku hiyo ndo nilijua kumbe kuna chakula special kwa ajili ya couple 💑 😝 chakula kililetwa very very demure 🤗🤗
Romy alionja then akanionjesha hahaha ukisikia mapenzi ya ghafla ndo haya sasa..baada ya kuonja chakula nikaulizwa how does the food taste???
Nikamwambia ni kitamu sana 🥰🥰 wow tukaanza kula😃😃Romy alikuwa na furaha sana
Aliamini ile post nimeipost kwa kumaanisha na aliamini kweli nimempenda lakini si kwelii mi bado nampenda Hemed..
Baada ya lunch Romy aliagiza wine 🍷😋 akaomba tulisheherekee penzi letu kwa wine🙄
Sijawahi kunywa wine wala pombe ya aina yoyote ile lakini siku hiyo nilikunywa😰😰nilifanya hivo kwa sababu ya mawazo nilokuwa nayo juu ya Hemed..
Baada ya kulewa mimi na Romy tulifanya kitu ambacho kusema kweli situkukitarajia💔💔
Ni kitu gani???... fuatilia sehemu inayofuata...
Full 2000
Whatsapp 0657171961
KWETU Morogoro
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi





Maoni