MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI SEHEMU YA 25* Nilichukua tax nikamwambia anipeleke nyumbani sikutaka kwenda kwa Hemed kabla ya kufika
Na nilikuwa na bag na yale maua aloninunuliaga Romy nilihitaji kuvipeleka nyumbani nibadili nguo ndo nikawaone wazazi wa Hemed😝😝..
Dereva nilimuomba aendeshe gari mbio mbio😴😴yani nilitamani hadi nipae nyieee😝😝😝..
Tulifika nyumbani nikakimbia ndani haraka wa Tax nikamuomba anisubilie nilirusha vitu kitandani nikavua vile vinguo nilivokuwa navo chapu nikavaa gauni ndefu🙈
Nikajifunika na mtandio kutia heshima zaidi😴😝 chini nikavaa mosimo😂😂 wala sikujiremba bwana urembo kama upo upo tu...
Nilimaliza nikabeba mkoba na vipesa kidogo nikatoka kuelekea kwa Hemed😴😴 sijui huyo Hemed tunaenda kutazamanaje😂😝🙈
Nilifika sehemu anapokaa Hemed nayeye ndo alikuwa anaingia kutoka kazini😝😝 ile nashuka tu kutoka kwenye tax naliona gari lake lileeeee😴😴😴..
Nilitamani nijifiche kwenye uvungu wa tax mara wa tax naye huyooo akasepa zakeee😆😆🙈 nilisogea getini pale nikasimama..
Hemed alisogea na gari lake akasimama getini akashuka😝😝😝akanifuata nilipo nikamsalimiaaa hi🥹🥹hakuitikiaaaaa alihoji umetoka wapi??.
Nikamwambia nimetoka nyumbani nilikuwa natetemeka kidogo mkojo unitoke😴😴 Hemed alikuwa amenuna vibaya mnooo🥹🥹
Una uhakika ulikuwa nyumbani Bella??? Nikamwambia ndiyoo..
Yule mwanaume ulomuweka status ni nani yako???. Sina majibu niliwashwa kibao kimoja nikaona nyota na mbalamwezi🥹🥹🥹..
Shavu lote lilibadilika likawa jekunduu😰😰 machozi sasa😝😝tangu nizaliwe sijawahi kupigwa
Wala sijawahi kufokewa siku hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuonja kofi tena kofi la mwanaume aisee ni chungu🥹🙌
Nililiaaaaa Hemedi aliniinua juu juu akanitupa kwenye gari😞😞😞akaniambia utanieleza ulikokuwa na huyo mwanaume utanieleza ni nani..
alifungua geit kwa remote tukaingia ndani😞😞..bado nilikuwa nalia tu
Kabla hatujashuka akaniamuru nifute machozi yangu kwanza😝😝kila nikiyafuta ndo yanamwagika mengi🤣 ilifikia hatua akanionea huruma akanikumbatia alafu akaniuliza kwanini unaniudhi🥹🥹🥹
Yani hapo ndo ni kama alinifungulia nilie😝😝nililiaaa mpaka kifua chake kikaloana kwa machozi🙈
Alinibembelezaa🙈🙈akaniomba msamaha maskini mpaka nikamuonea huruma🙈🙈alinifuta machozi akanipa kiss😝 baada ya kunyonya mdomo hasira zikapungua🙈
Tulitelemka kwenye gari Hemed akanishika mkono tukaingia ndani hata hakuna aliyejua kama tulikuwa na tofauti😝😝
Lile shavu nililopigwa kibao nilijiziba na mtandio namshukuru Mungu alinipa wazo la kutoka na mtandio ningeumbuka siku hiyo😂
Niliwasalimia wazazi wa Hemed kwa heshima sana by the way yule mkaka kitu kingine alichonipendea ni heshima na upole🙈🙈
Wazazi walifurahi sana kutuona pamoja🥰🥰 wangejua huko nje tushapigana na makofi hahahaaa😝😂
Tulikunywa juice tukamaliza Hemed akainuka kwenda chumbani kwake amefika huko akanitumia msg akaniambia niende chumbani tukaongee😝
Nilimfuata chumbani chumba kimejificha mtu akiwa sebleni hakuoni ukiwa unaingia chumbani😝😝wazazi hata hawakuniona kama nimeenda huko..
Nimefika chumbani nikamkuta Hemed amekaa kitandani 🙈🙈 alinivua mtandio kichwani akaniangalia vizuri pale aliponiumiza😞😞
Aliniambia tena I'm sorry babe huku akiwa amenilaza kichwa kifuani kwake alafu akawa ananipapasa pale aliponipiga kibao
Itaendeleaaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi





Maoni