Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 02

30th Nov, -0001 Views 28

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????

SEHEMU YA 02"

Tulipofika kwenye hiko kisehemu nilimuona mkurugezi amekaa hapo huku anakula chakula chake taratibuu????????

Nilimsalimia kisha aliitikia na kumwagiza yule jamaa alonipeleka akaniletee kuku na juice ninayo kunywa????????????

Nilimwambia hapana nitaenda mimi bosi????????

Alijibu hapana tulia hapa mimi ndio nimekuita na namtuma yeyote nimtakae sawa??????

Nikamwitikia sawa bosi kisha nilikaa huku nikimuogopa sana nilikuwa natetemeka kindani????

aliniuliza unaitwa nani mrembo????????????

Nilimjibu naitwa Natasha bosi????????

Kabla sijamaliza kutamka neno boss nikashangaa nafanyiwa shhhhiiiiii????????????

Niite David sawa

Niliitikia sawa David ????????

Aliniuliza Natasha unakaa wapi????????

Nilimjibu nakaa buguruni rozana ????????

David akaniuliza tena unaishi nanani ????????

Nilimjibu naishi na bibiangu????????

Akaniambia ok safi kisha akaniuliza upo kitengo kipi kule ofisini????????

Nikamtajia kitengo changu????????

Wakati maongezi yanaendelea mara msosi nao ukafika aya yayayayahhhh????????????????????ile nyama ya kuku ilikuwa inanukia utraaaaaaaam????????

Kajuice fulani hivi kabaridiiiiiiiiiii ????????nilipokea nikashukuru????????????jamaa akaondoka nikabakia na mubaba tukaendelea kuongea????????

Kula basi mrembo wangu????????alidonoa kidogo akanilisha nilijisikia aibu???????? nikamwambia Dady usifanye hivo naeza kula mwenyewe ????????

Alitabasamu akaniuliza unaendeleaje lakini siku ile kule parking uliniambia hujisikii vizuri...????????

Nilishangaa kumbe ananikumbuka???????????? wakati najiuliza hilo swali akadakia

Akaniambia Usidhani sikukumbuki ????????

Huku akismail ????kwa mbali nahata uongeaji wake kama hataki dah hili libaba nyieee????????????litamu kama shokoleti????????

Niliduwaa na ule muonekano nikawa nawaza vitu vingine kichwani????????????mubaba akashangaa bibie mbona kimya mara

Akanipungia mkono machoni helloo upo????????????

Nilibaki nikijifanya na smile kwambali namimi ????

Chakula kinapoa mama kula nikaendelea kula wakati nakula mara nikashangaa naulizwa????????

Natasha una mtu,?? Yani uko kwenye mahusiano ya kmpnz???

Niliona aibu nikajifanya kama nimepaliwa hivi nikatizama kwa pembeni najikoholesha????????????

Akachukuwa maji na kunimiminia akanipa ninywe

Nilipokea na kumwambia asante kisha nikanywa na baada ya hapo nikaludisha mezani glas????

Alinitazama na kuniuliza hujanijibu swali langu bibie...dah huyu mzee jamani????????

Niliinamisha kichwa chini nikamjibu hapana sina mi nipogo tu mwenyewe mwenyewe ????????

Akaniuliza kwanini ???????????

Oops sijahitaji tu kuwa na mahusiano hayo kwa sasa kutokana na mipango niliyojipangia mwenyewe????????

Akaniuliza mipango ipi hiyo Natasha????????

Nilimjibu sipo tayari kwasasa kujihusisha na hayo mambo nayaogopa????????

David alicheka????????????kisha akaniuliza vipi mtu akija na kukuambia anakupenda utafanyaje????

nitamwambia sitaki????????

David akaniambia ooooh! No????????????kwa hiyo hunitaki Natasha???????

Nilimjibu ndio sihitaji ????????baada ya kujibu hivo nikashangaa mubaba ananisogelea ????????

Mama wee kwani anataka kuuuuuu????????????kumbuka ni usiku na huko ndani mziki mnene watu wako bize na sherehe

Full 1000

WhatsApp 0742133100.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 02  >>> https://www.gonga94.com/semajambo/mtamuuuuu-kama-chocolate-sehemu-ya-02



#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #war

#love #photooftheday #fashion #beautiful #happy #tbt #followme #picoftheday #art #nature #travel #fitness #motivation #life #fun #instagram #friends #smile #food


 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in


Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamuuuuu-kama-chocolate-sehemu-ya
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 13"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 13"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 12"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 12"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????   SEHEMU YA 03"& 04"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 03"& 04"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 11"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 11"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ?   SEHEMU YA 05" & 06"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ? SEHEMU YA 05" & 06"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????  SEHEMU YA 07"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 07"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 08"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 08"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????  SEHEMU YA 9&10"
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 9&10"
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in



Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/pages/includes/header.php:83) in /home/u428456227/domains/gonga94.com/app/core/function.php on line 258