Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 MY HEART BEAT πŸ₯°   1-----5 SEHEMU..1  πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️  Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.
Gonga94 Β· Stories

MY HEART BEAT πŸ₯° 1-----5 SEHEMU..1 πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Ungana nami kwenye stor yangu utaburudika nakughadhabika najua yote ndio tumeumbiwa wanadamu sisi.

Nilikua nikiota ndoto ilio kua kila wakati ikinijia akilini mwangu nakujitesa nilizidi kuweweseka nakutoka majasho yaliojaa mwilini mwangu.

Kama vile nipo katikati yamsitu basi nakimbizwa nawanyama wakali kweli kweli. Nilikurupuka usingizini uku nikiyatoa macho yangu kama kunamtu alikua akikabwa shingo basi

Alijitahidi kujitoa ndivo ilikua kwangu mbele yangu nilimuona mschana mmoja mzuri kweli kila nilipo muona basi akili yangu ilikua aitulia jince alivokua mzuri mbele yamacho Yangu aliitwa zuri kama jina lake yani.

Zasubuh Ezra punguza kuwaza unachokua unakiwaza mama yangu alishanambia kile utachokiwaza kiwe kibaya au kizuri ukutokea ndotoni.

Nilimtazama mtoto alivokua akiongea sasa nilikua namsikia au kutazama lipsi zake zilivo nene nazimetulia kwenye mdomo wake mwacho mazuri yamduara wallah alinichanganya sana.

Maji ayaapa chukua unywe nilipokea glass yamaji nikanywa then nikamrudishia alikua mschana wakazi pale nyumbani lakini mimi nilimtazama kwamacho zaidi yamatatu.

Nilimrudishia glass yake akawa anatoka chumbani kwangu lakini alivofika mlangoni nikama alisahau kitu akarudi tena nyuma.

"Ezra madame sarah kasema uwamke ujiandae ushuke chini anamaongezi nawewe."

Aliongea "aah sawa nakuja ngoja niamke"

Nilimjibu ivo akaondoka chumbani kwangu. Niliamka baada yazuri kutoka chumbani kwangu namimi nikaelekea bafuni kujiweka Sawa.

And then nilitoka nikatupia pamba zangu vizuri tu nakushuka chini alipo niita mama.

Nilimkuta mama ameketi akipata kifungua kinywa nilimsalimia nami nakakaa.

" Umeamkaje kijana wangu?

" Salama tu mama"

" Oky nimekuita apa tupate kifungua kinywa pia namaneno yakuongea nawewe yamuhimu Sana.

Muda uwo mama akisema anamaongezi namimi zuri nae alikua akituletea matunda mezana najuice alikua kaishaivianda.

Mama alizidi kuongea uku Mimi nikipata zangu juice taratibu tu nakumtilia umakini wamaneno yake.

" Ezra Sasa Ungekua kijana wangu nasasa umefikia umri wakuoa kabisa"

" Khokhooo!!! Mama alivosema Ivo Kwanza nilipaliwa najuice kusikia kauli yake yamimi kuoa. Mama kuoa Tena?!!"

😳 Nilimuuliza uku nimeyatoa macho ata zuri nae nilimuona kama kashtka flan ivi kwakauli ile yamama.

"Sasa apo chaajabu nini wewe kuoa unamiaka 28 Sasa unaudogo gani wakushangaa swala lakuoa apo?!.

Unatembea nabint wawatu kila mtu anajua nakuwaona nawala sio mahusiano yakujificha Leo ushangae swala lakuoa kweli Ezra!?"

Mama kuoa sio Lele mama kama unavodhani kwamba unaenda sokoni kununua nyanya nakurudi nyumbani?! unaridhiki maisha Yako ujue apo?!

" Ebu nyamaza uko ivi wewe unajuoa nini Kuhusu kurudhiki maisha Yako?! Nalini umekaa kwenye ndoa adi uwe naujuaji Ivo!

Kijana wangu umekua Sasa nawewe ndio mmiliki wakampuni nakiwanda alicho acha marehemu mume wangu ambae nibaba Yako wewe Sasa,

Unatakiwa kuoa nakupata mrithi wako kunaleo nakesho namimah nibint anae kufaa wewe kuishi nae kama mke wako, anaelimu yake nzuri kajiajiri kwao pia pesa IPO kama kwetu tu awana thiki ndogo ndogo.

Nilimuona zuri kaduwa kidogo baada yakusikia ametajwa Mimah ambae ndiyo mpenzi wangu Mimi Ila Sasa sijawai kufikiria kumuoa kabisa yani sikua wai kufikiri mimah nimzuri ndio elimu anayo kajiajiri lakini,

Wanaume uwa tunavitu vyetu ambavyo tunatuamaga zaidi nazaidi Sana kwamwanamke uliempenda mimah ajawai kufikia vigezo vyangu Mimi.

" Eti zuri kaka Yako siwanaendana namimah eeh?! Mama alimuuliza zuri ambae Sasa alishaanza kupiga hatua zakuondoka pale tulipokua Maan aliganda kwamuda.

Aaaamh!! Ndio madame Sarah mimah anamfaa Sana kaka Ezra alijibu kwashida ata Mimi nilijua ilo.

"Ona Sasa ata ndogo wako zuri anajua mimah nibint mzuri anaekufaa nitaweka Mambo Sawa ili mfunge ndoa."

"Mama Mimi kuoa sasaivi apana Sipo tayari namambo yangu kibao tu sijatimiza."

Nilimjibu Ivo nakunyanyuka nikatoka nje adi sehemu ya packing nikatoa lock gari langu nakupanda mlinzi alifungua geti nikaelekea zangu office.

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

"Eeeh ivi uyu mtoto anakichaa chababa yake?! anataka maisha yababa yake Yakujiamlia ndio aniletee Mimi?!

Et ajatimiza sijui upuuzi Gani kazaliwa kakuta Mali zipo kilakitu yeye anataka atimize nini?!"

Yani kama alivokuaga baba yake alikua akinijbu nakuondoka bila kujali chochote Kuhusu Mimi.. Bora ata alivokufa mxyiuuuuu!?!.. utake usitake mimah utamuoa tu mjinga wewe.

Mama yangu aliyaongea maneno baada yamimi kuondoka namarazote amekua akisema Mimi nafanana tabia namerehemu baba yangu namama

Alikua akionyesha Kumchukia Sana baba yangu naicho kitu nilikigundua mapema ata kifo chababa yangu nilikua nawasi wasi nacho Sana IPO siku utajua kwanini naongea ivi.

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Nilifika office kwenye kampuni kubwa tu yauzaji magari nakuyasafurisha mikoani pia uku sisi tukiyatoa nchi zajirani magari mazuri nayakisasa.

Namimi kama kijana mkubwa nawakwanza ndio nilikua msimamizi waile kampuni uku mama yangu akiwa kwenye kiwanda chamafta kama msimamizi pia.

Nilikua namdogo wangu wakike alieitwa Happy ndio kwanza alikua akisoma chuo mwaka wake wamwisho na course aliokua akisomea alipenda Sana.

Mambo ya fashion nimwenye miaka Yake 22 tu japo akili nyingi kichwani Nilifika adi office kwangu nikawa nimekalia kitu nawaza habari zamama kunaambie Mimi nioe Tena wakumuoa mwenyewe nimimah kweli?!!

Nilijifkiria kweli akili yangu Yote ilikua kwazuri mtoto mzuri yule macho yake makubwa yaduara lipsi zake Sasa Nene adi uwaga naenjoy kumtaza tu bili kumchoka japo kiwizi wizi.

Nikiwa kwenye mawazo yakumuwaza zuri mlango wangu ulipishiwa akaingia mtu .
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
Kumtazama akuna mwingine ni Mimah naiyo ndio tabia yake moja wapo nisio ipenda anishagi hodi ata uwingiaje wake wafujo fujo tu.

"Ezra mbona nakupigia cm zangu upokei kwanini?! Aliniuliza apo tayali ameishakaa juu yameza yangu ya office.

" Ivi mimah wewe ujuagi salam kweli unaingia kwamapana ata kusalimia pia uwezi."

"Bhna wewe nakuuliza mbona cm zangu upokei salam yangu now sio muhimu why ujapokea cm zangu.??"

Nilimtazama eti ndio mwanamke wakuoa uyu mbishi mshindani kama nini.

" Cm aikua namlio toka Jana nimetoa cozy sikua naitaji usumbufu."

" Aaah serious? Ezra so Mimi nimsumbufu!? Au Maan Yako nini! Toka Jana Sasa kumekucha ata kucheck cm naunitafti ata baada yakukuta missed call zangu"?!,

Ezra ivi unanipenda kweli au unampango wakunipotezea Muda tu mbona kama sasaivi unabadilika!?!! "

"Aaassh please mimah sitaki kilele ndio Kwanza asubuh ivi mmetumana wewe namama yako kunivuruga kichwa changu mapema Yote hii!??"

Nilimjibu kwahasira Maan alikua anakera nalawama zake.

"Oky fine akija nileta icho wewe niwangu tu nautabaki kua wangu. Alijisemea akijiaminisha Ivo.

"Madame Sarah kanipigia cm mapema tu nakasema anataka mjukuu lakini mjukuu uyo awe ndani yandoa yani tuzae uku tukiwa tushafunga ndoa so kasema Muda somrefu naenda kua mke wako Am so happy baada yakusikia Ivo kipenzi."

Mmh yani mama Yangu anajikutaga akiamua lake anatakaga liwe kama alivotaka sijui yupoje kama mkoroni.

" Ndio mmeambizana Ivo?! "

"Ezra sio Ivo ndio ilivo wewe ufurahi atimae Mimi naenda kua mke wako Tena halali my love."

Aliongea akifurahia kweli nakupitisha mikono yangu shingoni akaanza kunikiss nibint asiekuaga naaibu wala ajari niwapi nakwamuda Gani.

" Ebu acha izo drama zako bhan mbona Ivo niliitoa mikono yake shingoni mwangu nakumwambia.

"Mimi Sina mpango wakuoa asaivi Ivo wewe unadhania ndoa Lele mama sio!? Kama unavoenda dukani tu,

kununua chumvu ukazani ndoa rahisi
Mimi sioi asaivi nawala Sina mpango kabisa bado namambo yangu kibao.
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
" Ezraaaa!!! Kweli Sasa unipendi ivi Ezra wewe niwakusema Ivo kweli tumeishi kwenye mahusiano miaka miwili Sasa kama wapenzi Leo imetokea chance mama karizia tufunge ndoa unakataa Ezra eti unamambo mengi yapi!?

Uku pesa unazo kazin unayo Mimi pesa ninayo kazin IPO pia.. aliongea uku machozi yakianza kumtoka kuonyesha kweli kaumia nakauli zangu namimi uwa sipendi kuona mtu akiumia kwaajiri yangu.

"Najua kila kitu tunacho Ila ndoa sio Lele mama kipenzi. Basi nilianza kujishusha asizidi kulia.

"Najua Ezra unipendi sijui Maan asaivi kama unabadilika ivi cm zangu upokei lakini ata maneno Yako ayaonyeshi thamani yangu kwako'

Ezra wewe ndio mwanaume wangu ulionionyesha Maan yamapenzi nilijiachia nakukupa vyote asa mapenzi yangu nikijua one day utakua baba wawatoto wangu Leo unakataa kunioa ukisema niaharaka kweli Ezra?!

Alizidi kuongea uku akilia.

"Mimah inatosha acha kulia basi nawewe najua Mimi ndio nilikuonyesha Maan yamapenzi Ila kumbuka Mimi sio mwanaume wako wakwanza kutoka uschana wako yupo uliomtunuku zaidi yangu..?!

So madai Yako ulitaka unikote bikra kwani Mimi maria wayesu au unadhania mwanamke bikra karine hii unawatoa wapi labda uchonge Sanam lako Sasa.

alinijibu kwahasira nawala Mimi sikumaanisha eti nimkute bikra niyeye alivoanzisha maneno yake kunamschana Gani bikra asaivi Tena asa ivi vitoto vyaelfumbili tabu tupu.

Nilimkumbatia vizuri nakumbembeleza sio kwamba simpendi Ila nahisi kupunguza upendo kabisa juu yake nakumpenda mtu mwingine kabisa.

Sijui iyo siku anajua yupo mwanamke ambae nilimuona tu Mimi moyo wangu unaruka sarakasi kwaajiri yake sijui itakuaje kwamimah namama...

SIMULIZI MY HEART BEAT ❣️

SEHEMU...2

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Nilimkumbatia mimah nakumpooza then nikamwambia usijali mpenzi nenda home au kama unaenda kazini kwako,

it's ok jioni nikitoka jobu nitakupigia cm ili tuonane kipenzi changu tutaongea vizuri tu Sawa mamii?!

Ilibidi nijishushe nakumuomba jioni tutaonana. Ezra kweli utanipiga cm?!

Mimah aliuliza kuonyesha kabisa kuonesha ana Imani namimi tena ila nilizidi mkumbatia nakujiaminisha nikitoka office nitampigia.

Basi nae alitulia nakujitoa kwenye kumbatio langu alibeba kipochi chake nakuondoka zake.

Huuuuuu!!! nilishusha pumzi nakuketi kwenye kiti changu uku nikiwaza natokaje kwenye ili swala lakumuoa mimah jamani mbona atari.

Nyumbani kwetu zuri alikua kwenye chumba chake akizunguka tu nae alionyesha anawaza alichosikia kutoka kwamama asubuh ile.

" Mmh kweli Ezra anaenda kuoa?! aah alafu nawaza nini kwani mimi ni nani kwake? adi niwe nastres juu yake?! sina interesti nae wanza.

Alijiwazia mwenyewe uku akijijibu pia mara ghafla cm yake iliita kucheck jina alimsevu young brother akapokea. Hallow?! da...daaa zuuuu?!!

"Wewe tonny ongea mbona unaguguma maneno kunanini uko nyumbani!!!?! aliuliza kwauwoga namshangao mkubwa sana.

"Da zuri mama kazidiwa nimempeleka hospital?!!.

" Eeeh unasemaje?!!!! mama dada kazidiwa haya aya nakuja but relaxe now nakua apo somuda mrefu sawa jikaze wewe wakiume.

Basi zuri alikata cmu akachukua kipoch chake napesa pamoja nacm yake akaanza kushuka chini akitoka chumbani kwake.
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
Alifika adi nikoni alipokua mfanyakazi mwenzake alieitwa amanda.

"Nini zuri mbona upo hei hei ivo nini kimetokea?!

"Mama yangu tena kazidiwa nakalazwa sasa naomba niende madame Sarah akirudi na Ezra utaniagia nakuwambia ichi nilichokwambia coz sijui kama nitawai kurudi eidha nikalala uko uko kabisa.

"Oky usijali kipenzi utampa mama pole ila subiri kidogo nikupe mchango wangu japo kidogo."

Amanda aliingia chumbani kwake akatoka nakihasi kilichomfaa kumpa mwenzake zuri nae alipokea japo pesa alikua nazo ila akujua yatayo kua uko hospital wenda yakazidi akiba aiozi pia.

Alipokea nakumshukuru waliishi kwaupendo kweli amanda alikua mkubwa kidogo kwazuri.
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
Zuri alifika kabisa hospital alioelekezwa namdogo wake alishuk kwenye tax nakuingia hospital.

Nakumkuta ndugu yake akiwa amekaa zake kwenye bunch alienda nakumkumbatia.

Vep hali yamama anaendeleaje?! nanini kimepelekea adi kawa ivo kulazwa?!"

"Mimi nilitoka shuleni nakumkuta yupo pekeake ata yule dada sophia anaemleaga mama alikua kaishaondoka naaliacha karatasi.,

Kua awezi kumlea mama tena uku mshahara mdogo sometime tena unampa kwa kumcheleweshea uku mama anasumbua sana.

" Mmh!?! itakua yeye ndio kampa mama yangu mastres mjinga uyu ngoja achana nae. mara alitoka doctor nje nakumuita zuri maan yeye ndio alikua akisubiliwa nandio mkubwa pia.

Alimfata doctor adi kwenye chumba chake .

"Wewe ndio bint wamgonjwa?! ndio nimimi doctor.

"Aah sawa mama yenu kama unavo ona hali yake yote nimawazo juu yenu jitahidini asiwaze sana upelekea pressure yake kupanda apo alipo ata kujigeuza awezi,

Mnajua fika kapararazi miguu yake anakua namawazo mengi sana.

"Sawa doctor naruhusiwa kwenda kumuona ?! zuri aliomba akamuone mama yake na aliruhusiwa wakaingia yeye namdogo wake kumuona mama yao.

Mama yao akua mzee sana ila hali alionayo ilikua ikimpa mawazo sana .

"Mamaaa walimuita kwapamoja namama yao alikua yupo macho akiwatazama tu uku machozi yakimtoka.

" Usilie mama najua yote aya unawaza sana kuhusu sisi nakuhusu mimi ulikua msaada mkubwa sana kwetu toka baba afariki nakutuacha.

Toka nawewe umepata ajari nimekua nikipambana mimi kama mimi kukulea nakumsomesha mdogo wangu nakumlipa da sophia ila nae kakuacha

Mama yangu itabidi nirudi nyumbani kuishi nanyinyi nitafte kazi yakwenda nakurudi ili mama yangu usiteseke.

Najua kabisa madame Sarah ataki mtu wakwenda kazini nakurudi kwao japo wananilipa vizuri sina budi kuacha pale kwao kazi nitafte pahala pengine
Basi walikumbatiana nakulia wote.

Mama yake nazuri alipata ajari alivokua akitoka kufanya kazi zake gari ilimpitia nakupelekea miguu yake kutofanya kazi tena amekua mtu wakumaliza haja zake apo apo atapokaa

Iyo ilipelekea zuri ata alipofauru kwenda chuo alishindwa nakumpa mtu nafasi yake yani kuuza ufauru wake nakupata pesa zakumtibia mama yake bado pesa aikutosha nasasa aliamua kuanza kazi

Nasasa alimlea mama yake namdogo wake tonny ambae alikua kidato chapili sasa.
zuri alienda kukipia bill zote alizodaiwa zamatibabu yamama yake.

Waliruhusiwa kumchukua mama yao maan aikua issues kubwa yamama yao kulazwa alipewa dawa atazotumia nyumbani mama yao.
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️
Muda wakutoka office nikarudi zangu nyumbani nilimkuta amanda amekaa zake kwenye sofa pale seblen akiamgalia movie.

"karibu"

"Ahsante mbona pekeako?! uku nikijaga nawakutaka wote mwatazama movie pamoja iyo ya crystal au! ndio yupo zake chumbani.?

Nilimuuliza "Apana ata chumbani ayupo kaondoka apa mida yasasita mama yake kalazwa tena.

"Yani yule mama anasumbuka navile ata miguu yake aiwezi kazi sasa kazi anayo zuri umri mdogo matatizo kibao anayo."

" Eeeh?!😳 niliyatoa macho ambavo naumia kumuona anamawazo sasa mimi. nilijisemea.

"Nakumuuliza kwaio kaondoka?! tena amanda

"Ndio boss nakasema wenda atarudi kesho niwambie ivo.

"Duh! sawa pole yake nilimjibu ivo amanda nikapanda juu nikielekea chumbani kwangu.

Kufika tu nilirusha limkoti apo kitandani nikachukua cm nikampigia zuri nilipiga nakupiga lakini aikupokelewa nilizidi kuvurugwa kama kichaa .

Kumbe muda napiga cm ipo kwenye kipochi chake yeye akipika jikoni basi nilihisi kulipuka nikisema pokea cmu zuri mbona ivo lakini.?!

Adi inakata cm nikaingia kuoga kwahasira nikatoka nakuta missed calls zamimah aah nikakumbuka ahadi yangu nayeye leo jioni.

Kwani ata nilijari kwamuda ule ndio kwanza nilivaa nguo nakutoka chumbani nilimpita amanda ata bila kumuaga safari ilikua kwao nazuri. ndio kichwa changu kiliwaza ivo.

Ezra anapuuza ahadi yake nampenzi wake anaamua kumfata zuri. vep upande wazuri itakuaje ayo anayo yapitia naje!?

Ezra ataziweka hisia zake wazi kwazuri uku zuri nae akionyesha dariri zakumpenda Ezra?!

mimah ataruhusu kuachia penzi lake liende kweingine?! namadame sarah atafanya nini..?! ndio kwaza utamu unaanza. ITAENDELEA.
Full story sh 100

MY HEART BEAT ❣️

SEHEMU.3

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Nilipanda gari langu adi kwao nazuri wala apakua mbali sana nasio rahisi kupotea maan kunawakati pia nilimleta kwao ucku mama yake alizidiwaga ivi ivi so nilikua nishapakarili.

mazingira yakwao ayakua mabaya sana mtu mwenye hadhi kidogo uvitika napo nibora ata kujenga mapema maan akuna ajuae kesho yetu ili tusije achia familia zetu masahibu kama aya anayoyapata zuri.

Imagine angekua upangaji nakodi kulipa asingeweza nawenye nyumba walivo wakorofu utasema basi wao walizaliwa wakiwa wamejijenga kimaisha.

Mashallah kwao malibakilikiwa nyumba nzuri kiasi madhari iliovutia kutokana nabustani walioitengeneza nje kwao nilipack gari langu apo nje maan apakua nageti ivo nilishuka nikaenda kugonga mlango.

Kumbuka nimuda wasamoja kasoro ivi nanilikua namiahadi nimimah ila niliiweka pending nikajari kwanza kuhusu zuri.

Nilibisha hodi alitoka mdogo wake tonny. Shkamo kaka?! karibu. alinisalimia nakunikaribisha ndani pia. nilizama adi ndani macho makavu kama nini adi seblen nikaketi kwenye makochi yao.

Eeh mama anaendeleaje?! nilimuuliza tonny. "mama yuko sawa asaivi kalala chumbani kwake da zuri anapika uko jikoni."

" Ooh alinijibu majibu double nikajua zuri kumbe anapika. Sawa mimi nimekuja kumuona mama tu nakumjulia hali.

Mara alitokea jikoni zuri akiwa nahotipot lake mkononi.

"Aah boss Ezra apa asaivi!? aliniuliza kwamshangao.

"Kwani mimi vibaya kuja kwenu nakumjulia hali mama yako?!

Nakupigia cmu zangu upokei alafu nafika kwenu unaona kama sifai kuja ila nisawa maan mimi ndio nimejileta apa kwenu,

Pia ungeona naumuhimu ungeniambia mapema kabla ujaja ila now out ngoja niondoke.

Yani nilijikuta maneno yananitoka mimi mtu mzima ovyo nakupanick nilishaanza niliona kama nimejikomba kujileta kwao nacm zangu apokei kwanini!? nilianza kupiga hatua zakutoka pale seblen.

" No nonoo usifanye ivo Ezra usiondoke please. dah mtoto zuri alikua nasauti yani yakumliza ata mjeda nagwanda yake nilibaki nimesimama naalivo niita Ezra uwa napenda sana kuliko kuweka boss.

"Tonny nipishe niongee naboss wangu kidogo chukua nahili hotipot ukampakulie mama chakula kipoe sawa?!

Alimpa mdogo wake hotpot alafu akanishika mkono wangu nakunirudisha kwenye kochi apo at least jazba zilipoa kidogo natena naule mkono wamtoto zuri ulivo mlaini mie ndio nikazidi kuishiwa power kabisa.
❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Nyumbani sasa

Mama alirudi nyumbani nakuambiwa kuhusu zuri kutoka nyumbani nakuja kumuona mama yake.

"Uyu bint kazi kama awezi aache kifanya kazi kwamaziea kisa amekaa apa wangu muda mrefu basi ndio anipande kichwani no sitaki , nakama anakua anatoka apa nakurudi anavotaka kisa uyo mama yake kama mama yake nibora siaache kazi ?!.

Yani ndio tabu yakufanya kazi namaskini awanaga akili nikuugua tu nauyo mama kama anajinyea jikojolea anaishije duniani?,

siaende kuzimu tu akapumzike uko kuliko kumsumbua bint yake mdogo majukumu mia nauchafu siafe tu msyuuuuu!!!!.

Mama yangu alisonya anamaneno yalimtoka nimama aliejaa ubinafsi alidhimini pesa kuliko uthu wala akuwai kujali watu zaidi yake nafamilia yake au nawatu alio waona kwake ndio wanamfaa.

" Lakini mama zuri anafanya kazi vizuri namarazote amekua akifanya kazi kumsadia mama yake namdogo wake ata yeye apendi iwe ivo namama nimama tu ata aweje isitoshe mama yake akutaka kua ivo nimungu ndio kapanga .

Amanda aliongea kumtetea mfanyakazi mwenzie nae alimchukulia zuri kama mdogo wake.

" Kelele uko nawewe kila kitu nimungu ata kifanya shetani?! alafu unatoa wapi ujasiri wakunijibia mimi nayo ongea? au ndio kuwapa chance yakuongea namimi sasa mnaanza kunipanda kichwani?!

Ama kweli ukimzoe panya ipo siku atakunyea mdomoni pia. mungu alipanga ulikuepo ukipanga nae?!

ebu muone uyu nae kazi kunenepeana tu kwenye nyumba yangu kama maputo nakumzidi mama mwenye nyumba unamtetea unaundugu nae?

Au kujuana mjini basi kujikuta undugu kunoga ona bichwa lile ebu toka apa ushanichefua mimi nangoja uyo zuri wako arudi apa aseme akae namama yake amlee nakuzoa mavi au achague kazi alafu akuna kutoka apa ovyo ovyo

ngoja arudi sitaki mtu anatoka uko kufua minguo yamavi namikojo alafu aje atupikie sisi chakula nakutufanyia kazi hii nyumba sio jalala lake,

toa nawewe iyo juice apa wenda ata imerukia mimate yako uliongea asaivi.

mama alizidi kuongea nakumwambia amanda atoe juice ainywi tena.

Mmmh!! amanda aliguna nakutoa glass pale mezani. mama akiwa anataka kutoka zake pale seblen aende chumbani kwake mlango ulipushiwa akaingia mimah anahasira kama zote.😑

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Zuri alinikalisha kwenye kochi

"Ezra mimi nilijua umechoka jamani napia sikujua kama utakuja haraka ivo apa nyumbani yani sikua nawazo lawewe kuja., nakuhusu cmu ona ipo kweye pochi sikua nimwisikia.

alitoa simu ilikua pale kwenye kochi ndani yakipochi nakunionyesha samahan

Aliniomba msamaha maneno yake tu nilishamsamehe zamani ukweli zuri nakupenda sana sana nakila nikijaribu jicontrlo kwako nashindwa ukiwa upo kwenye maumivu ndio nazidiwa mimi kabisa.

kijana nilishindwa kuvumilia niliamua kuchomeka apo apo liwalo naliwe zuri nimzuri kama jina lake nije nichelewe nikute mwali sio wangu yanini!?

Bora nijiwai ata kama nipo namimah mimi niwakiume tazama wapi naenjoy bhana istoshe mimah kila jambo lazima amwambie mama namama yake namama yangu nimarafiki.

Nakitu nisichopenda mwanamke wangu kua anasema kilajambo kwawazazi nakuwasikiliza tu kila mara ndio alivo mimah asee sipendi binti waivo

Napenda mwanamke anaejioambania mwenyewe baadhi yamambo wazazi wawanafasi kwetu ila sio kilakitu.

zuri alijikuta ananikumbatia pia nakusema ,nakupenda pia Ezra ila atuendani wewe tajiri mimi sio kitu mama yako pia anataka umuoe mimah mpenzi wako naumia nasikutaka kabisa ujue hisia zangu kwasasa juu yako.

Nilitaka nijiuguze mimi mwenyewe. Asee nilifurahi kusikia ivo kumbe mtoto alikua on kitambo nimimi tu nilichelewa kuwasha data mapema nilienjoy kusikia ivo.

Moto alizidi kunikimbatia mwili wake wote mzima mzima nikaona kabisa adi mjomba kaishaanza kusimama

sinaumbuka ata yeye kunamuda alishika bahati mbaya akaona mzigo tayali umewasha data alinijitoa chapu.

tukiwa kwenye umbatio letu zuri akatokea mdogo wake tonny nakukohoa kidogo baada yakutukuta tunatazamana kwamacho Yahisia.

"khokkoh?!!! mama kala lakini kidogo alimwambia dada yake.

basi zuri alinyanyuka nakumshika mdogo wake mkono akamuondoa pale seblen nami nikapata chance yakutengeneza suruali yangu.

" Eeeh mmmh!!! anakupenda?! niswali tonny alimuuliza dada yake walipofika

"Jikoni achana uko umbea tu umekujaa mwanaume mwanaume.

"sio umbea da zuu wewe mzuri kama jina lako unadhani kijana kama yule msomi anaeona maisha yambeleni atakuacha?! trust me atakuoa yule.

"awezi bhana anamtu wake alafu mimi nayeye wapi nawapi!

"Da zuri mapenzi yasasa ayatazami pesa wala hadhi mkipendana inatosha acha kuwaza ivo nakama uyo apendwi anakupenda wewe?!

mtoto wakiume ataamua akuna chapekeako , natamanj awe shemela wangu haraka maana nae handsome

kama mimi mdogo wako tonny nawatesa sana kule shule
Alafu wewe unaonyesha kumpenda sana punguza nitakukosa mie utakufaa wewe.

zuri alimpiga mdogo wake kibao chabega kama utani tu wadada nakaka walikua wao wawili ivo waliishi kwaupendo pia.

❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️

Mimah alifika nakwenda kumkumbatia mama yangu.

"eeh nini shida kipenzi changu?!
atakua nani zaidi ya Ezra mama kasema tunatoka leo jioni maan alionyesha kama ataki kunioa.

mama nimelia office kwake akasema jioni tutatoka but nampigia simu toka muda apokei wala msg ajibu mama?!!

"kheeee mimi najua mpo wote sasa atakua wapi lakini uyu mtoto!? naswala lakukuoa wewe iyo nilazima atake asitake atakuoa tu wewe...

wewe amanda njoo apa. amanda aliitwa akafika uyo boss wako Ezra kaenda wapi?! alivorudi apa nyumbani?!

ajaniaga madame katoka tu bila kusema neno. sawa kaendelee nashughuri zako sawa.

"au mama Ezra atakua namwanamke mwingine mbona kama kabadilika asaivi anapigij cm apokei cm zangu sana wala kuchart namimi kama zamani..

Naicho ndio kitu sikipendi kwamimah kua anasema mambo mengi kwamama bila kujipambania mwenyewe

Weweeeeee!! awe namwanamke gani kutoa wewe?! kwanza uyo mwanamke ananijua mimi vizuri!?

Ezra ata abadilike awe mwekundu kijani kukuoa wewe iyo nilazima nawala sio ombi kwamba namuomba.

ngoja nimpigie tena mimi nione kama atapokea. mama alipiga nacm nilikua nishaizima kabisa.......

itakuaje mama Ezra namimah wakijua sasa Ezra kafa kaoza kwa zuri watamfanya nini bint wawatu maana

madame sarah kaapa aiwezi tokea kijana wake kua namtu mwingine isipokua mimah.



MY HEART BEAT ❣️

Sehemu..4

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Zuri alitoka uko aliko kua namdogo wake akanifata nilipo.

"Ezra nikupakulie chakula ule ? au umekula nyumbani?! naanzaje kukataa chakula chamtoto mzuri nasinaga maisha yakujivunga kama alivo mama yangu.

"Naomba nile chakula chako alafu vep tunaondoka wote kurudi nyumbani au utakuja kesho!??"

"Mmmh?! Apana leo sitaweza kurudi nitakuja kesho pia nataka kumuomba madame sarah kama atakubali niwe nafanya kazi nakurudi

Maana mfanyakazi wakumtazama mama kakataa mshahara mdogo pia mama eti anachosha.

"Huuh nilipumua kidogo kufikiria eti awe anakuja kufanya kazi nakuondoka arudi kwao kwanza mama atakubali?! namjua napia zuri atachoka kwenda nakurudi.

Nilimtazama nikasema kwani uwezi tafta mfanyakazi mwingine nitakua namlipa mimi iyo ela anayotaka."

"Apana Ezra ataondoka tu ndio walivo awadumu mimi nitakua nafanya apa kwetu nakwenu pia.

"sawa ebu nipe icho chakula mimi nile then nikukimbie kidogo nirudi home unamjua mama yangu tena apo nijiandae namabango.

"Oky sawa. aliniletea wali wasamaki nilikula nikaenda kumuona mama yake nakimuaga uku nikimuachia ela elfu50 itayo msadia ata matunda.

zuri alinisindikiza adi nje nilipo pack gari langu nikajikuta nae namvutia ndani yagari tukaingia wote nilimuweka siti yanyuma nami nikapanda mtoto kalegea nachofanya anatii tu

Nilijikuta uzarendo unanishinda nikamvutia kifuani akatulia tuli niliunyanyua uso wake uliokua unatazama chini kwaaibu zakike.

nikaanza kusogeza midomo yangu karibu yake nae alinipa ushirikiano nikaanza adilisha nae litha tulipeena denda kwamuda kweli uku tukishikana shikana kila mahali.

zuri aliumbuka jamani mtoto juu mwembamba chini mashallah ugonjwa wetu wanaume zigo kama lote japo alizoea kuvaa nguo ndefu asa magauni sket anapedeta.

je! siku namvisha nguo zangu nizipendazo suruali vimini mtoto sinitaibiwa mimi!!. tuliendelea kupeana raha zuri alinitoa kwanguvu .

" Ezra mimi siwezi bhana nazidiwa mwenzio niharaka sana naondoka mimi bye.

Alishuka kwenye gari akaondoka zake uku mimi nikienjoy kilichotokea kwamuda nilibaki nikicheka cheka tu kama chizi alio ona jarala jipya vile.

niliwasha gari nakuliondoa pale kwao ila siku yangu ilienda poa sana kumpata mtoto mzuri zuri.

nanilitamani ata siku moja nile tunda lake japo kiuu yangu itapoa mazima nanipo radhi kumoa ata yatokee yapi nampenda atari nilikua

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Zuri alirudi ndani kwao anafuraha zake nakujirusha kitandani kwao uku nae akiwaza muda mfupi yaliotokea mimi nayeye uku aking'ata kucha zake.

Nilifika adi nyumbani mlinzi alifungua geti nikaingiza gari ndani nakulipack uku nikishuka nakuelekea ndani kwetu nikiwa nafuraha zangu uku nikirusha rusha.,

funguo zangu zagari nikiwa sina ili wala lile yalio jiri ndani niliingia nakukuta mimah amekumbatiwa namama kabisa wametulia zao kwenye kochi.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Nilijifanya napita tu ili nijue kilicho jiri pale ni nini , mama aliniita weweeee!!! Ezraaa?!

kwaio unapita apa kwamba utuoni!? au dharau unajiona sasa umeota mapembe sio!! yani unapita karibu yetu bila kupepesa macho..,

umemkosea mwenzako uku mlipanga kutoka alafu unapigiwa simu inaita nakuzima..! ivi Ezra unataka kuishije lakini. ?!

" Mama nimechoka nanilikua sinawaona apa nilipo kichwa kinaniuma atari.. aamh! nakuhusu mimah siamekuelezea yote nam,menielewana!? au kunakingine.?!

niliongea uku nikiwa nimesimama nawatazama walivobebana mtu namwali wake ampendae.

Mimah alinyanyuka kwahasira. Ezra unanichukuliaje mimi yani umepanga kutoka namimi lakini ghafla aupo nyumbani wala ujulikani niwapi upo ivi unanichukuliaje?!,

mama unamuona Ezra kabadilika mimi nilikwambia mama akuaga ivi Ezra kabadilika yani ananiona mimi kama sanam nampigia cm kazima mara ghafla nawe umepiga apatikani muulize alikua wapi?!

Wenda wewe mama yake atakuelewa mwambie cm kwanini akupokea cm zangu nazako.

Mimah aliongea kama kameza kiredio ata ajipumzishi mishipa iyo inamtoka
naambacho uwa kinaniboa niicho kila kitu kumtegemea mama ananiuzi mimi.

"Eeeh?! sema cm kwanini ukupokea cm zamimah nakwanini ata mimah alivokupigia kwanini ukupokea!? sema ulikua wapi pia.?!

" Mama mimi nimechoka nasio mtoto tena wakufatuliwa fatiliwa uyu mimah wako anakujaza ujinga wake nakila anachokwambia unamfata endelea kumfata mimi nilienda kumuona rafiki yangu,

alikua anaumwa nakingine cm niliitoa mlio nakama aikupatikana wenda chaji maan nilikua narafiki yangu akua sawa kabisa, nadhani nimejibu vizuri naelekea chumbani kulala nimechoka nakichwa chaniuma.

Niliwajibu ivo mtu namwali wake nikaanza kupanda ng'azi kuelekea juu vilipo vyiumba vyetu vyakulala.

Nami niliingia zangu chumbani nafuraha zangu kama zote nishashiba nikajirusha nami kitandani nikiwaza yule mtoto zuri lini nammliki nimfaidi pia mtoto mzuri.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

"Uyu mtoto anataka kuniletea kisirani chake naupuuzi wake nitajua kwanini kabadilika ivo naujinga wake nitajua chakufanya

usijali mimah wangu madame Sarah alimkumbatia mimah nakumruhusu aende nyumbani muda ushaenda kesho nayo nisiku wataongea naalimuahidi mimah atafanya juu chini ajue kinacho nifanya niwe ivo nanilizama nimuoe

Mimah. basi mimah aliondoka akirudi kwao mama nae aliekea chumbani kwake kupumzika nakutafakari kipi kilicho nibadilisha.

Nisiku nyingine tena asubuh namapema nishazoa kuamshwa nazuri mapema mapema.

niliamka zangu nakuingia zangu kujifanyia usafi nikatoka kupata kifungua kinywa nikiwa najua zuri atakua kaishakuja.

chaajabu kushuka chini nikakuta anae andaa ni amanda zuri ajafika bado duuh! niliwaza juu yake mama nae alikua anakuja kupata chai.

"Yani adi sasaiv ajapiga cm kusema anakuja au vep! yani wafanyakazi wakikuzoea wanakuona kama makalio yao. anataka kujifanya nae mtoto wahii nyumba,

labda asijilete apa atanijua upande wangu wapili mama akuwai kuishiwaga maneno nilijakalia zangu nakuanza kupata chai sikutaka maneno asubuh yote ile.

Lakini mlango ulifunguliwa akaingia zuri nilipomuona tu moyo wangu ulilipuka jamani macho yote kwake ata avae gunia zuri nimzuri jamani

nalile shepu sasa ndio atari alivaa gauni lake refu tu lililoachia hewa kidogo
Namtandio wake begani rangi yake maji yakunde nywele zake tatu kichwa lakini mashallah alinivutia.

"EeΓ©h bora umejileta kabla sijapoa karibu sana. mama alimpokea naayo maneno sijui aliitaji kumwambia nini zuri wangu?!

Madame Sarah atamwambia nini sarah mbele ya Ezra ?! atamfukuza kazi au itakuaje?! like uwezavyo kuhiruhusu kupostiwa haraka. ITAENDELEA .


MY HEART BEAT ❣️


SEHEMU..5

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Zuri alizogea adi lipokua mama nakumsalimia.. shkamo madame Sarah!

"Ivi wewe unaona apa kwangu kama chooni kwako unaingia nakutoka nakurudi muda unao utaka wewe sio?!

yani utoke kuchezea mavi yamama yako uko namikojo then urudi apa kutupikia chakula! nasisi tule serious?!

Mama alikua namaneno yashombo nayalio nikera ata mimi ikabidii niongee pia.

"Lakini mama apo alicho kosea zuri nikipi?! ata salamu yake ujapokea nanimtu unajua fika hali yamama yake tumeishi nae muda mrefu tu nahali,

Yamama yake unaijua pia na aliondoka kaaga pia
naata kilichomtoa apa ulikijua sasa ayo maneno makali yakumkashfu mama yake yanatoka wapi??.

"Ezra naona baba umekua nawewe unanijibishia yani mimi naongea nauyu mfanyakazi wewe unaingilia unahusiana nae?! mfanyakazi nilimleta apa mimi mwenyewe but now wewe unamtetea kama nani labda?!,

Ona adi mtoto wangu asaiv anakutetea uku ata unaundugu nae, sasa zuri nilikua nakungoja sana apa uniambie nakujibu maswali yangu yote mawili,

moja ubaki apa kwangu kwenu kwenda adi mimi nitake au uwondoke kabisa apa kwangu nisikuone ukatafte kazi kwingine.

Maneno yamama yalizidi nikera mimi adi basi jamani ikabidi niingilie tena... Lakini mam... komaaa funga uwo mdomo wako namuda wakwenda office kwako umefika so nenda.

nilikatishwa bila kumalizia Ezra tena natena?! funga uwo mdomo wako kwanini unaingilia ingilia sana kwani uyu zuri nani kwako!?

nilinyamaza asije shtikia mchezo mapema uku ndio kwanza penzi changa.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

"Mama mimi nimekuja apa kukwambia mama yangu asaivi anamtu wakumuangalia ata umtusi mama yangu aibadilishi kitu namaneno yako sio mageni nayeye akuitaji kua vile.

kilichonileta apa kwako nilitaka uniruhusu kua nakuja kazini nakurudi nyumbani ila kama umeamua ivo niwazi ata ningekwambia ivo usingekubali.

basi mimi naitaji mshahara wangu wamwezi huu nirudi nyumbani nitatafta kazi kwingine,

mama yangu nibora kuliko chochote naukumbuke akuna anae ijua kesho yake wenda ata wewe ukawa kama mama yangu...!!!

"nyamaza naukome mjinga nini wewe mimi niwe kama mama yako kwakua wewe mungu yani uwaga unajiamini unanijibu umekaza macho kama nini mpuuzi wewe.

napenda sana mwanamke anae jipambania nakujiamini pia zuri nashida zote akuitaji kua mdhaifu.

"Amandaaaa!!! mama alimuita amanda nakumuomba amfatie pochi yake chumbani ililetwa akatoa pesa laki moja nakumpa zuri.

zuri alipokea nakushukuru aliingia kwenye chumba chake akitoa nguo zake akawa anaondoka nilimtazama kwa

huruma sana namapenzi yangu yalizidi juu yake nanilihisi kua huru zaidi kwake kama alivotoka pale nyumbani.

Amanda adi machozi yalimtoka kuona mwenzake waliozoena akiondoka nakumuacha.

nami ata chai aikupita alivotoka tu zuri nami niliondoka nikielekea kazini kwangu.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Mwezi mmoja ulipita bila kumtilia zuri machoni pangu japo nilizidi kuongea nae kwenye cm. uku mama nae alilazimisha mimi kumuoa uyo mimah ata sikua najishughirisha nao.

Naheka heka zao ata vikao vyao walivopanga vyakumbisha pete mimah wanapanga uku mimi nilishakata ndoa mama aliitaji kutumia nguvu sana ili tu kumuoa.

siku moja nilisema apana nime mmiss zuri wangu nikaenda kwao muda wakutoka kazini.

Nikafika nikamkuta mdogo wake tonny alinikaribisha nikaingia ndani muda kidogo tu nae zuri aliingia ndani yani alionyesha kachoka sana ata afya yake nami sikupenda kumuona vile.

Mdogo wake tonny alitupisha nikamsogelea pale alipokua amekaa kapoa mwenyewe nilimshika vidole duuh! wamoto nikampima kwenye paji lauso wamoto sikutaka kupoteza muda nilimshika mkono adi ndani yagari.

bleck ilikua hospital niliitaji wampime nawaligundua anahoma kali kweli uku wakimuitaji apate muda wakumpuzika.

Nililipia bill yote nakuchukua dawa zote zilizoitajika. ukweli uyu mtoto alizidi kunipa wakati mgumu alifanya kazi bila kupumzika kweli. nilimpeleka kwenye gari.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

"Zuri kwanini ujipi muda wakupumzika mpezi wewe ndio tegemezi ona sasa unafifia ata nuru yako inapotea?!"

nilimuuliza uku nimemlaza kifuani kwangu ila zuri alitoa machozi tu nakusema sasa nisipo jipambania aya maisha nafamilia nilio nayo wataishije?!

Mama yangu ananitazama kila week Anaitajika dawa zake mambo nimengi
bado mdogo wangu pia mambo nimengi alafu muda kwangu unakua mchache.

" Sikua wai kuona machozi yazuri wangu
ebu nambie unafanya kazi gani now!?"

ilipokua nafanya kwamama ntilie walinistopisha coz nachelewa maan adi nimuhudumie mama then ndio niende jobu sometime nachelewa nausafiri wetu ulivo washida, niliacha asaiv nafanya kazi kwamuhundi zandani kwake.

Duuh!!! nilijisikia vibaya mimi kwawahindi tena?! wanavojuaga agiza wewe lete iyo chakula mara leta iyo nguo apa mrembo wangu si ana aso sana?!.

Nilimkumbatia sana namumsihii asilie nakuamini maisha bila kua nakazi yako au mtu wanyuma yako wakukutazama sometimes yanaumiza sana.

Niliondoa gari adi bank nilitoa pesa kwenye account yangu.

safari adi saloon alitengenezwa nywele tulienda duka languo alichagua nguo azitakazo nazamdogo wake adi mama yake niliakikisha natumia pesa yangu itakavyo.

tulipitia sokoni baada yakutoka shopping nakununua vitu vyandani yani matunda matunda mboga mchele sukari yani full kila kitu chakula.

"Ezra siamini kama umefanya yote aya kwaajiri yangu ahsante. nikiwa nipo nae ndani yagari zuri alinishukuru kwaupendo uku nikimuuliza

Unapenda kufanya biashara gani yenye wepesi kwako?! "

"Ezra mimi napenda sana kua mfanya biashara ata baada yakufauru kwenda chuo ndio kitu niliitaji kusomea ili kesho yangu nije kua mfanya biashara vizuri.,

lla ndio ivo mipango sio matumizi, nafasi Yangu nilimuuzia mtu baada yamama yangu kupata ajari nakukosa matibabu.

"Aah pole kwaio unapenda biashara sana eeh!!? namahesabu unayajua mama yangu?! ikitokea unakua naduka lajumla utaliwezea?!

" Ndio maan ndio somo nilikua napata max nyingi sana kwenye mahesabu., ikitokea labda mungu alishushe ilo duka nitafurahi sana.

" Ooh!!! mmh! niliguna tu nakumjibu sawa uku safari ikiendelea. nilimfikisha kwao tukatoa vitu uku tukisaidiana na tonny mdogo wake alifurahi kweli.

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

Muda wangu wakuondoka ulifika japo ilikua ishaanza kua giza sasa.

"Zuri kesho usiende uko kwawahindi wako sawa kesho usiende mahali nitakuja apa mapema tu sawa?!

Niliitaji kesho asitoke maan niliitaji kumfanyia kitu chatofauti sana kwajiri yake. Sawa Ezra sitatoka nilimkiss nakurudi kwetu.

Nikiwa njiani nilimpigia rafiki yangu cm zuber nakumuitaji aniangalizie flem nzuri.

Atimae iyo kesho ilifika asubuh namapema nilimpigia nakumuuliza kama kapata flem nzuri aniweke nguo zaina yote nanzuri zaidi.

uku nikiitaji iwe sehemu nzuri sana yawateja ili kuvutia zaidi nakuwe rahisi kupata pesa nilimtumia pesa nyingi sana yule mtu alikua rafiki yangu zuber

nilimuamini sana namuda wote ufanya kile nitacho mwambia. je ilo duka Ezra kaanda kwaajiri yake au yana nani?!

ITAENDELEA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY HEART BEAT πŸ₯° 1-----5 SEHEMU..1 πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.



Ungana nami kwenye stor yangu utaburudika nakughadhabika najua yote ndio tumeumbiwa wanadamu sisi.

Nilikua nikiota ndoto ilio kua kila wakati ikinijia akilini mwangu nakujitesa nilizidi kuweweseka nakutoka majasho yaliojaa mwilini mwangu.

Kama vile nipo katikati yamsitu basi nakimbizwa nawanyama wakali kweli kweli. Nilikurupuka usingizini uku nikiyatoa macho yangu kama kunamtu alikua akikabwa shingo basi

Alijitahidi kujitoa ndivo ilikua kwangu mbele yangu nilimuona mschana mmoja mzuri kweli kila nilipo muona basi akili yangu ilikua aitulia jince alivokua mzuri mbele yamacho Yangu aliitwa zuri kama jina lake yani.

Zasubuh Ezra punguza kuwaza unachokua unakiwaza mama yangu alishanambia kile utachokiwaza kiwe kibaya au...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-heart-beat-1-5-sehemu-1-safari-yamaisha-inamengi-utayo-yapitia-mazuri-au-mabaya-lakini-mapenzi-na

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-heart-beat
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112

MY WANGU❀️ sehemu ya 111 na 112

1.18K
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*

759
MY WANGU❀️ sehemu ya 113

MY WANGU❀️ sehemu ya 113

685
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜

621
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9

213
*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*   *SEHEMU YA 01 & 4

*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *SEHEMU YA 01 & 4

120
WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10

106
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7

93
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6

81
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8

70

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.22K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.97K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.11K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.33K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.32K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.27K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI* *11-15*
@majario LIVE

*____________________________________* *SEHEMU YA 11* SONGA NAYO.................... Ilituchukua karibu lisaa hadi kufika kituo tunachoshukia , tukashuka Alvin akalipa na kunishikia begi langu la nguo haoo tukashika kichochoro kuelekea huko anakojua yeye. Mda huo tunatembea alikuwa...

WEWE NI WANGU  SEHEMU YA 10 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Nilipomuona Lizy hasira zote zikaniisha, nikabaki naona aibu yani aibu harafu sasa hapa mbele palikuwa pametuna hivyo Nafahamu Lizy alikuwa ameniona So nikabaki najikanyanga kanyaga kama mtoto wa kike "Umepajuaje hapa..??" Nilimuuliza...

Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING  #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢 Post Mpya
Movie: Do Deewane Seher Mein Rating: ⭐⭐⭐⭐ Review: SOOTHING #SiddhantChaturvedi & #MrunalThakur shine in this raw &realistic love story 🫢
@majario LIVE

#DoDeewaneSeherMein #DoDeewaneSeherMeinReview Ravi Udyawar handles the film with maturity and restraint. The screenplay avoids melodrama. The strength lies in its emotional authenticity. The dialogues are organic & socially relevant without...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Anzaaaa β€œ Hello guys nataka umakin zaidi katika hoteli hii nadhan kila mmoja anajua wajibu wakee kwa wateja okay ...?!?” Aliongeaa msichana mmoja matata sana alionyeshaa yeye...

Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni Post Mpya
Rohan Kapoor and Farah Naaz made their Bollywood debut with Faasle, directed by Yash Chopra. They were introduced as the lead pair β€” Rohan played Vijay, and Farah played Chandni
@majario LIVE

. The film told a simple, emotional love story. Vijay and Chandni fall in love, but their relationship faces strong opposition from her family. It had that classic β€œrich girl, poor...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
@majario LIVE

Nikaliwa kwenye gari ya bwana wangu na ushirikiano nikatoaa mwanzo mwisho kama chizii vilee. Kama lisaa hivii ndo anamaliza nipo hoii yupo hoiii akavaa nguo zake kimya kimya, mie uso umenishuka...

MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115* Post Mpya
MY WANGU❀️ *sehemu ya 114 na 115*
@majario LIVE

Aseeeee nimekuja kustuka namuona mama yangu pembeni na nipo hospital. Nyieee cha kwanza nikashika tumbo langu. Ooh lipo . Mi mwenyewe nilikuwa nataka.kuzaa ssana na mlige najua mema alonifanyia mm...

MY WANGU❀️ sehemu ya 113 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 113
@majario LIVE

Basi bibi mie nilipomaliza kusuka.nikaenda kwangu kupumzika kabisa. Basi siku iyo mlige kanipigia akanmbia njoooo nyakanazi. Mh nikajua anataka mzigo. Mie nikajiandaa mpaka nyakanaza. Akaningiza kwenye gari . Heeee safari...

*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ*   *SEHEMU YA 01 & 4 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO πŸ’β€οΈ* *SEHEMU YA 01 & 4
@majario LIVE

ANZA NAYO…… β€œWewe sikiliza umu Ndani teshachoka kukulea sasa, Kazi utaki kufanya, unataka kukaa tu, unataka tukulishe na kukuvisha Binti akili zako Zipo Sawa au ? Sasa...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
@majario LIVE

Wale wadada wakanyamaza kidogo, wakaniangalia kuanzia kichwani mpaka miguuni. Mmoja akauliza β€œHuyu ni nani tena?” Nikavuta pumzi ndefu, nikajikaza. β€œSikujua kama leo ni sherehe, , mie ni mke wake” nikasema kwa sauti ya...

mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu Post Mpya
mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo ya San Diego akizungumza kuhusu
@majario LIVE

Ukurasa wa kutazama wa YouTube unaangazia upakiaji wa kwanza kabisa unaoitwa "Me at the zoo," ikionyesha mwanzilishi mwenza wa YouTube Karim mwenye umri wa miaka 25 wakati huo katika Zoo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
@majario LIVE

Maneno ya Boda boda yalikuwa yananifikirisha sana, nikafika nyumbani sina hata rahaa, kila nikapiga sana simu ya D hakuwa anapokea nilipiga sanaaa hata hapokeii .. Usingizi hauji yaani kila nikikumbuka wale...

Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov Post Mpya
Ghana released the passport of the Russian guy accused of filming African women without consent. They named him as 36-year-old Vladislav Liulkov
@majario LIVE

after talks with the Russian ambassador as it tries to extradite him back to face charges. β€œWorking with the Ghana Police CID, we have activated international legal action through INTERPOL...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO...... "Uwiiiii mamaaa, sir nisamehe.." Alilalamika yule mwanafunzi. ( yani unaongea hivyo na mtu ambaye ananifanya nikose usingizi, nishindwe kula harafu unaongea unavyojisikia na mimi nikiwa hapa kabisa, pokea na hicho..) Nikamshushia kingine...

AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo Post Mpya
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
@majario LIVE

utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivyopangwa awali na kubainisha kwamba kanuni zinaruhusu. Akizungumza na chombo kimoja cha Habari...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest