Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23
Gonga94 ยท Stories

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO.................

Kaka akakaa chini kwanza yaani alika chini kabisa na kunyoosha miguu Kisha akaniambia

"Kaa chini "

Nikakaa na kumuangalia kwa makini kutaka kujua anatak kusema nini, nilipokaa akaanza kunishika kichwani, shingoni na mwili kiujumla, nilibaki nikimshangaa mwisho akauliza

"Uko sawa kweli??"

"Ndio "

"Una uhakika hata kichwa akiumi, usikii joto sana au baridi ?"

"We mbona sikuelewi ??"

" Mimi ndo sikuelewi, hivi unajua nilimtafuta kamili kiasi gani Mimi ?? Nilimtafuta kamili kwenye majivu Mimi niliangaika Sana ingawa walisema ameungua na kupoteza maisha lakini sikuchoka kumtafuta nimemtafuta takribani miaka miwili sijampata wewe inakuwaje unasema kamili anaishi umemuona wapi na Kama alikuwa anaishi muda wote huo na Nani anaishije ??"

Maneno ya Julius yalinifanya nijue kuwa Mimi na mama na baba ndo tuliamini kuwa kamili kweli amekufa, nikaanza kumuelezea kila kitu nilichoambiwa na yule rafiki yangu neema, Basi kaka akasema tutajitaidi twende usiku ndo itakuwa rahisi kuwapata.

Kweli jioni tukaenda kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa na nashukuru alikuwa yule yule niliyemuacha na hakuwa amenisahau hata kodogo, tulipokeleww vizuri na kusema kilichotuleta.

" Ni kweli kamili yupo na nilikuwa bize nafanya utaratibu wa kumuamisha kwa yule mama anamtumia vibaya kama mlivyosikia na nilikuwa nimeanza mikakati hili apelekwe kwenye kituo Cha watu walemavu, nakumbuka nilijaribu Sana kukutafuta saada lakini nilipata taarifa kuwa umefariki kwenye uzazi hata sijui hi dunia inaenda wapi, lakini pia sikuwai kujua kuwa mna mkaka mkubwa hivi "

"Ndo hivyo Kaka angu alikuwa nchi za nje uko SI unajua alipata ufadhili akaenda kulelewa hivyo amerudi na anaishi tanzani, mda mrefu tu maana hata hapa alikuwa akija kumuona mama "

"Sawa Mimi naomba mje asubuhi Sasa hivi nitampelekea barua ya wito ja asubuhi tutakuwa na kikao kifupi kwaajili yenu naomba saa mbili kamili muwe hapa.

Tukaondoka nilikuwa na furaha Sana lakini Sasa niliwaza kamili akiniona atanikubali kweli maana alikuwa ni mkubwa na alikuwa akiona kila ubaya ninaofanya ukizingatia alikuwa na akili Sana ya kukalili mambo.

Asubuhi na mapema yaani kabla ya saa mbili tayali tulikuwa mbagala kwa mwenye kiti wa mtaa yaani nakumbuka nyumbai sijui tulitoka saa tisa maana Barabara ilikuwa nyeupe kabisa, na nakumbuka mwenyekiti na familia yake waliamka na kutukuta tumepaki gari nje na tumelala Ni ajabu lakini kiukweli hatukuweza kulala usiku huo tulikuwa tunaweza kuhusu kamili tu

" Ila njaa ishaanza kuniuma ujue "

Nilimwambia Julius tukiwa ndani ya gari

"Darasa la pili D punguza kula kula unataka unenepe Ufike wapi ??"

"Umeanza "

"Sasa nimeanza Nini na nasema kweli unanenepa mno mdogo wangu fanya upungue upendezi "

Nikaona huyu ananipa somo Sasa nikatoka nje ya gari na kukaa chini ya mti majila ya saa mbili Bibi mindoli alifika pale alistuka aliponiona hakuamini Kama angeniona, pale lakini Kaka Julius alimsogelea huyo mama na kusema

"Waoooh ajabu Kama Ni wewe"

Nikamuomba atulie ingawa sikuwa naelewa anaongea kuhusu nini, Basi kikao kikaanza pale.

"Habari zenu jamani najua no asubuhi Sana lakini nimeona kikao hiki kifanyike wakati huu ili kiwai kuisha na kila mtu akaendelee na shughuli zake za utafutaji, kwanza kabisa saada na Julius naomba mtambue kuwa huyu ndo Bibi mindoli , Bibi mindoli huyu Ni sa ........."

" Nawajua tuendelee"

"Aaaah walikuja Jana na kuniambia kuwa wamepata taarifa kuwa ndugu yao Ni mzima na anaishi kwako, sikuona sababu ya kukataa ikiwa Ni kweli unaye ndugu yao, na wanamuitaji "

" Walikuwa wapi siku zote hizo? Wanajua nimemleaje ??"

Hapo Julius aliinuka kwa hasira na kumakaba yule mama kiukweli nilibaki nikishangaa tu yaani kwanini Kaka amekuwa na hasira sana tangu amemuona yule mama, tukasaidiana kumtoa asije akaua maana alimkapa kabali Moja matata

" Unazungumzika kuhusu tulikuwa wapi , unasema umetumia ghalama nyingi vipi kuhusu wewe kumtembeza barabarani kwenye jua akiomba omba kwaajili yako, mwenyekiti sikia huyu mwanamke ni mtu mzima lakini mpuuzi sana sana, Mimi sikuwai kuamini kuwa kamili amefariki lakini aliniaminisha alisema yeye ndie alimtoa mama kwenye lakini alipokuwepo kamili moto ulikuwa mkali mno alishindwa kumsaidia, lakini bado niliendelea kumtafuta akaonesha ushirikiano kuwa Yuko na Mimi , takribani miezi sita halafu Leo unaongea upuuzi gani namtaka kamili hapa laaah sivyo nitakuonesha upande wangu wa pili wa sarafu hapa sijauonesha kamili Yuko wapi "

Mwenyekiti akatuliza fujo na kumuuliza huyo Bibi

"Kamili Yuko wapi .."

"Ahahah mnafikili mtampata kirahisi mpaka nilipwe"

Nikasema kumbe huyu kabali haijamtosha nilimrukia na kuanza kumpiga hovyo hovyo watu wakanishika.

"Unapata wapi nguvu ya kunipiga we mtoto laana kabisa eeeh unapata wapi hiyo nguvu na ukuwai kumpenda kamili hata kidogo "

Muda huo huo kamili alikuwa akija kwa kusota mikononi ndio alikuwa amevaa ndala kiukweli alikuwa amekuwa mkaka kabisa jamani na kama angekuwa anasimama angekuwa na muonekano Kama wa toby hivi sema afya yake ilionekana kuzolota Sana uvumilivu ulinishinda nikamkimbilia ajabu akawa ananiogopa nikajua kabisa anakumbuka ubaya niliokuwa namfanyia lakini alifurahi Sana alipomuona Julius alikuwa akimkumbuka ingawa alimjua kwa muda mfupi tu.

"Umekuja kufanya Nini huku ??"

Aliuliza yule Bibi na kumfanya kamili aogope kabisa

"Wewe Bibi uo mdomo wako utakuponza "

Nilizungumza, kamili akaniita Dada saada
Niligeuka na kuitika Kisha kamili akamgeukia Bibi mindoli na kusema

" Si ulisema Dada saada na mama wamekufa kwaajali na nimebaki na wewe ambaye umeamua kunisaidia huyu Ni Nani ??"

Nilimgeukia Tena yule Bibi kwa hasira Nika..........

ITAENDELEA...



FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 23


SONGA NAYO.................

Kaka akakaa chini kwanza yaani alika chini kabisa na kunyoosha miguu Kisha akaniambia

"Kaa chini "

Nikakaa na kumuangalia kwa makini kutaka kujua anatak kusema nini, nilipokaa akaanza kunishika kichwani, shingoni na mwili kiujumla, nilibaki nikimshangaa mwisho akauliza

"Uko sawa kweli??"

"Ndio "

"Una uhakika hata kichwa akiumi, usikii joto sana au baridi ?"

"We mbona sikuelewi ??"

" Mimi ndo sikuelewi, hivi unajua nilimtafuta kamili kiasi gani Mimi ?? Nilimtafuta kamili kwenye majivu Mimi niliangaika Sana ingawa walisema ameungua na kupoteza maisha lakini sikuchoka kumtafuta nimemtafuta takribani miaka miwili sijampata wewe inakuwaje unasema kamili anaishi umemuona wapi na Kama alikuwa anaishi muda wote...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nisamehe-mama-sehemu-ya-23

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nisamehe-mama-sehemu-ya
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 12
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 19
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 20
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 21
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 24
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 22
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 10
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 15
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 13
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 17
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 07
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama  SEHEMU YA: 06
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nisamehe mama SEHEMU YA: 06
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 18
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 14
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
FORGIVE ME, MOM ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 11
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ  SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 02
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 5
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 03
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
NISAMEHE MAMA ๐Ÿ˜ญ SEHEMU YA: 04
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

920
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

348
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

292
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

279
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

215
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

214
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

200
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

193
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

171

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema โ€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.โ€ Alinitazama akisema โ€œeenh chaupole wangu nipe nipe.โ€ Nilimtazama na kusema โ€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  โ€‹Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA โ€‹Episode 1
@majario LIVE

โ€‹Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "6"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "6"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest