Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Gonga94 · Stories

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Maongezi yote yaliyokuwa yanaendelea pale Lindiwe alikuwa akisikia kila kitu..
"Hii haiwezekani yani mfalme ameamua aje amtafute Prince mwingine, hapana hii haiwezekani.....

ENDELEA NAYO.......
Hapana hii haiwezekani,Lindiwe alijikuta akiongea kwa nguvu na kuwafanya asikari wa ADELI pamoja na kijana Cheki wasogee eneo ilipotokea sauti ile na kuangalia ni nani huyo aliyeongea.

"Jamani emu tufanye mambo yaliyotuleta hapa ayo mengine hayatuhusu sisi, asikari mmoja aliongea"
"Wewe huoni kama huyu mtu alikuwa anasikiliza mazungumzo yetu????"
"Huo ni wasiwasi wako tu kama mtu mwenyewe ameshapatikana tuondoke nae tusipoteze mda".

Walikubaliana na wakaamua kuondoka maeneo yale na iyo ikawa ni ahueni kwa Lindiwe aliyerudi kwenye makazi yake kwa kasi sana kama mwizi anayekimbizwa.

"Mama mbona unahema ivyo tatizo nini???".
"Hamna tatizo lolote ila kuna sehemu tutaenda siku sio nyingi"
"Wapi tena huko???"
"Utafahamu tu mwanangu usiwe na haraka".
Lindiwe kuna kitu alichokifikilia nakuona ni sahihi kuja kukifanya kwa badae.

*******************
Katika jumba la kifalme Princess Yanite akiwa amekaa na mdogo wake Princess Yanni,
"Ivi dada kwel kaka atakuja tucheze nae wote???"
"Sahau kabisa kama una kaka,Yanite alimjibu mdogo wake".

"Ujinga gani huu unaondelea hapa,Malikia Andwaa aliingia baada ya kusikia mazungumzo ya mabinti zake"

"Mama huyu Yanite anasema nisahau kama nina kaka"

"Una matatizo gani wewe Princess Yanite na ndie mkubwa unaetakiwa uwe mfano kwa mwenzako????".

"Nini nifanye ikiwa mnatuficha sisi watoto wenu tusijue kinachoendelea"
"Nimekuambia kuwa na subra utajua kila kitu badae".
"Kwani kufahamu ndugu yetu yupo wapi limekuwa ni kosa nalo????".

Princess Yanite alinyenyuka kwa hasira na kuondoka, kitendo kilichomfanya Malikia Andwaa ashangae mana hajawahi kumuona binti yake akiwa kwenye hasira izo tangu alipo mzaa.

Upande mwingine Malikia Andwaa aliona wao wazazi ndio wenye makosa kwa kushindwa kuwaelezea ukweli mabinti zao kuhusu ndugu yao.

******************

Baada ya sherehe kumalizika ndani ya jumba la kifalme Princess Nailet hakuacha kumuwaza Prince Yao, sura ya kijana yule ilikuwa haifutiki katika ubongo wake,
Alimfata mtumishi wake aliyemuahidi atampeleka sehemu anayokaa Prince Yao.

"Lakini Princess ndio kwanza sherehe imeisha huoni kama mfalme Tengu atakuwa na hasira akisikia umetoka????"
"Naona tumeanza kupangiana sasa umesahau kati yangu mimi na wewe nani mkubwa???".
"Hapana princess"
"Aya ongoza njia".

Licha ya kigiza kuanza kuingia siku iyo Princess Nailet hakujali zaidi ya kutaka kufika nyumbani kwa Prince Yao safari ilianza akiwa na msaidizi wake mpaka nyumbani kwa Prince Yao.

Lindiwe akiwa ameka na Prince Yao alishangaa kusikia mtu akibisha hodii,alinyenyuka na kwenda kufungua mlango.
"Heeeeeeh Princess ni.... wewe???, aliinama ili atoe heshima kwa Princess lakini Nailet alimuwahi na kumshika.
"Hapana inatosha haina haja ya kutoa heshima kwangu".
"Ka...ribuni, Lindiwe aliwakalibisha kwa tabu Princess Nailet na msaidizi wake mpaka ndani".

Katika jumba la kifalme baada ya mfalme Tengu kugundua binti yake hayupo alipata mashaka na kujua, huenda atakuwa katika mikono isiyo salama sababu haikuwa kawaida kuondoka bira kuaga aliagiza vijana wake wamtafute haraka na upesi...........ITAENDELEA.

Tsh 1000 unapata mwendelezo mpaka mwisho wa simulizi hii tamu lipia sasa kupitia namba 0613083801 HALOPESA Jina john Bugumba kisha njoo WhatsApp kwa namba 0748697173 upate simulizi yako mpaka mwisho

Mfalme Tengu atafanya maamuzi gani akigundua kuwa binti yake Nailet yupo katika nyumba ya Lindiwe????sehemu inayofata inamajibu zaidi
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Maongezi yote yaliyokuwa yanaendelea pale Lindiwe alikuwa akisikia kila kitu..
"Hii haiwezekani yani mfalme ameamua aje amtafute Prince mwingine, hapana hii haiwezekani.....

ENDELEA NAYO.......
Hapana hii haiwezekani,Lindiwe alijikuta akiongea kwa nguvu na kuwafanya asikari wa ADELI pamoja na kijana Cheki wasogee eneo ilipotokea sauti ile na kuangalia ni nani huyo aliyeongea.

"Jamani emu tufanye mambo yaliyotuleta hapa ayo mengine hayatuhusu sisi, asikari mmoja aliongea"
"Wewe huoni kama huyu mtu alikuwa anasikiliza mazungumzo yetu????"
"Huo ni wasiwasi wako tu kama mtu mwenyewe ameshapatikana tuondoke nae tusipoteze mda".

Walikubaliana na wakaamua kuondoka maeneo yale na iyo ikawa ni ahueni kwa Lindiwe aliyerudi kwenye makazi yake kwa kasi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-mfalme-kipofu-sehemi-ya-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-mfalme-kipofu-sehemi-ya
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

595
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

498
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

323
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

228
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

75

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest