Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......02  ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu
Gonga94 · Stories

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......02 ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akiwa kasimama mbele yake tena akiwa na walinzi wakutosha........

ENDELEA NAYO...
"Huwezi kuondoka kirahisi hivyo Yoashi, nilijua lazima Princess Miriamu akushauri wewe kutoroka......Prince Yoramu aliendelea kuongea......kitu usichokijua ni kuwa hisitoria yako yote naifahamu ndiyo mana sitaki kuona ukienda mbali na ufalme huu" Prince Yoramu aliongea maneno yaliyomfanya Yoashi mwenyewe ashangae na kumsogelea.

Zilikuwa ni tarifa mpya kwake kwani ata yeye alikuwa hajui hisitoria ya maisha yake.
"Nini unachoongea Prince...!?, naomba uniambie vizuri mimi ni nani na wazazi wangu wako wapi..!?" Yoashi alimuuliza lakini Prince Yoramu aliwageukia walinzi wake.
"Mpelekeni ndani na muwe makini nae, hakikisheni hapati nafasi ya kutoroka kwenda sehemu yoyote ile " Walinzi walifata amri kwa kumkamata Yoashi na kumrudisha ndani huku akiwa na maswali mengi yakutamani kujua kiundani zaidi maneno yaliyo zungumzwa na Prince Yoramu.

Princess Miriamu alishangaa kumuona Yoashi ndani ya ngome ya kifalme mana alitegemea mida hiyo angekuwa ameshaondoka na amefika mbali. alienda kumuuliza Yoashi sababu za yeye kurudi ndani ya ngome ya kifalme naye aliamua kumwelezea kila kitu Princess Miriamu.

Princess Miriamu alimfata kaka yake ajue ni kitu gani alichopanga kumfanyia Yoashi,
"Kaka una matatizo gani..!?. umepanga kumfanyia nini Yoashi mpaka umzuie yeye kuondoka...!?" Princess Miriamu aliongea na alioneshwa kuchukizwa na kile alichokifanya kaka yake.
Prince Yoramu hakutaka kumjibu Princess Miriamu badala yake aliamua kuondoka na kumuacha akimtazama.

Prince Yoramu baada ya kuachana na Princess Miriamu aliitwa na Malikia Rebeka,
"umepanga kufanya nini kwenye siku yako mhimu mwanangu...!?" Malikia Rebeka aliongea nakutaka kufahamu kitu alichokuwa akifikilia mwanae.
"Mama, hakuna cha maana nitakachofanya zaidi ya kumfanya Yoashi aishi kwenye ngome hii ya kifalme maisha yake yote. Pia uliniambie nisije kumpa nafasi Yoashi ya kuwa huru na nimfanye awe mtumwa wangu mpaka kufa kwake" Prince Yoramu aliongea na Malikia Rebeka alimsifu kwa kile alichopanga kufanya.

Malikia Rebeka alimwambia anatakiwa awe makini zaidi kwani siku Yoashi akija kujua kuwa Mfalme Balaki aliiangamiza familia yake basi naye atawapoteza wazazi wake.

Huo ndio ulikuwa wasiwasi wa Malikia Rebeka na aliendelea kumhimiza mwanae azingatie maneno yake. Prince Yoramu alimwahidi Mama yake ata hakikisha Yoashi hatokuja kuleta madhala kwenye familia yao.

Wageni mbali mbali walialikwa na walianza kuwasili kwenye ufalme wa Mfalme Balaki kwa ajili ya kushuhudia sherehe ya Prince Yoramu na moja ya wageni waliokuja siku hiyo ni Mfalme Efroni aliye ongozana na binti yake aliyefahamika kwa jina la Princess Herodia.

Mfalme Efroni na binti yake walikaribishwa vizuri ndani ya ngome hiyo ya kifalme, huku wakiongozana na walinzi baadhi waliotoka nao kwenye ufalme wao na baadhi ya walinzi waliokuja nao walikuwa na lengo la kumuua Mfalme Efroni pasipo yeye mwenyewe kujua.

Upande wa Yoashi akiwa ndani ya jumba la kifalme huku nyuma akiwa na ulinzi wa kutosha aliowekewa na Prince Yoramu kwa ajili ya yeye kutokutoroka, Princess Miriamu alifika na kushika mkono wa Yoashi,
"una mpeleka wapi..!?" mlinzi mmoja alimuuliza lakini Princess Miriamu aliona kama dharau kwa swali aliloulizwa na mlinzi.
Alimsogelea na kumpiga kibao,
"Umetoa wapi nguvu ya kuniuliza..!? umesahau kama mimi ni mtoto wa Mfalme...!?".
"Nisamehe Binti Mfalme sitarudia tena kukuuliza swali kama hilo" mlinzi aliongea lakini Princess Miriamu hakutaka kuongea zaidi alimuchukua Yoashi nakuondoka nae huku wakiwaacha walinzi wakiwatazama na mlinzi mmoja alikimbia kwenda kumpa tarifa Prince Yoramu.

Yoashi baada ya kupata msaada wa kuchukuliwa na Princess Miriamu, kuna kitu alichotamani kumuuliza Princess Miriamu,
"Princess kwanini unanijali kiasi hiki...!!?"
"unataka kujua kwanini nakujali Yoashi...!?" Princess Miriamu nae alimuuliza swali Yoashi badala ya kujibu kile alichoulizwa.
"Ndio Princess, mana toka tukiwa wadogo umekuwa upande wangu siku zote bira kujali kuwa mimi ni mtumwa ndani ya ufalme wenu"
"Sababu kubwa ya mimi kukujali nikuona siku moja ukiwa ni mwenye furaha, nachukizwa na jinsi kaka yangu anavyokutesa.....Princess Miriamu aliongea kwa huzuni na maneno yake aliyaelewa vyema Yoashi..... Princess aliendelea kuongea..... Kwakuwa kaka hataki wewe uondoke basi leo unatakiwa uwe karibu yangu mda wote kwa ajili ya usalama wako zaidi mana nahisi kaka kuna kitu alichopanga kufanya zidi yako".
Yoashi hukuwa nacha kupinga alikubali kuongozana na Princess Miriamu popote pale atakapokuwa akienda mana ndiyo msaada pekee aliokuwa nao kwa wakati huo.

Prince Yoramu aliletewa tarifa za Princess Miriamu kumchukua kinguvu Yoashi kutoka kwa walinzi wake ila aliwaambia wahakikishe Yoashi hatoki ndani ya ngome ya kifalme.

Wageni mbalimbali waliendelea kuwasili kwenye sherehe hiyo huku Mfalme Balaki akiwapokea wageni wake nakuwatembeza sehemu mbalimbali.

Mfalme Efroni akiwa na binti yake nao waliendelea kuzunguka ndani ya ufalme huo pasipo kujua kama baadhi ya walinzi waliokuja nao wanampango wa kumuua Mfalme Efroni. walifika sehemu na Princess Herodia hakutaka kuongozana na baba yake mana aliona kama ananyimwa uhuru wa kutembea, aliondoka pasipo kumtarifu Mfalme Efroni.

Baadhi ya walinzi waliokuwa na lengo baya kwa Mfalme Efroni walifurahi baada ya kuona Princess Herodia kaondoka. Mmoja wao aliwaambia walinzi waliokuwa nje ya mipango yao wamfatilie Princess Herodia kwa ajili ya usalama wao, nao pasipo kujua waliondoka na kumuacha Mfalme Efroni.
Walinzi waliokuwa na mipango ya kumuua Mfalme walifurahi baada ya kubaki wenyewe na walichokuwa wakisubiri Mfalme afike sehemu nzuri ili waweze kufanya kile walichopanga kufanya.

Princess Herodia aliendelea kutembea na alijihisi ni mwenye furaha kwa kile alichokuwa akikiona ndani ya ufalme huo kwa mbali aliweza kumuona Princess Miriamu akiwa na Yoashi wakija upande wake, walikutana na kupishana huku kila mtu akiendelea na safari yake.

Princess Miriamu alifika sehemu na kumgeukia Yoashi,
"Naomba unisubiri hapa nakuja mda sio mrefu" Princess Miriamu aliongea nakuondoka akimuacha Yoashi sehemu aliyomwambia amsubiri na hakukuwa na mtu mwingine zaidi yake. Yoashi aliamua kumsubiri Princess Miriamu lakini akiwa pale aliweza kufika Mfalme Efroni akiwa na walinzi wake wenye mipango mibaya zidi yake.

Mfalme Efroni alianza kumwongelesha Yoashi aliyetoa heshima mbele yake huku walinzi wakiwatazama. Mlinzi mmoja alifikilia nakuona hiyo ndiyo nafasi ya wao kumuua Mfalme Efroni mbele ya Yoashi aliyekuwa na mwonekano wa kitumwa ndani ya ufalme huo.

Upande wa Princess Herodia baada ya kuchoka kutembea aliamua kurudi sehemu aliyotoka ili akaonane na baba yake au Mfalme Efroni.

Mfalme Efroni alikuwa bado akimwongelesha Yoashi na alivutiwa zaidi na unyenyekevu aliokuwa nao Yoashi lakini wakiwa kwenye maongezi, Mlinzi mmoja alichukua upanga wake na kumchoma Mfalme Efroni.
Yoashi alibaki kwenye mshangao baada ya kushuhudia kwa macho yake Mfalme Efroni akichomwa upanga na moja ya walinzi wake. Baada ya Mfalme Efroni kuchomwa upanga pale pale alianguka chini huku upanga ukiwa kwenye tumbo lake na mda wote Yoashi alikuwa bado kwenye mshituko kwa kushuhudia tukio lile.

Mlinzi mwingine alianza kumsogelea Yoashi ili amumalize lakini mwenzake alimshika mkono nakumzuia na kumpa ishala kuwa kuna mtu anakuja.
Alimwonyesha mtu aliyekuwa nyuma yao akija huku akikimbia kuwafata wao walipo, hakuwa mwingine bali alikuwa Princess Herodia aliyefika pale, nakuanza kumtikisa baba yake lakini alikuwa ameshachelewa kwani tayari Mfalme Efroni alikuwa ameshafariki.

Moja ya mlinzi aliandaa upanga wake ili amuue Princess Herodia lakini mwenzake alimpa ishara ya kutokujaribu kufanya kitu kama hicho kwani kuna kitu alikifikilia.
Mlinzi aliyemzuia mwenzake asimuue Princess Herodia alimutazama Yoashi aliyekuwa akiwaangalia kwa hasira na kabra hajatoboa siri yao mbele ya Princess Herodia mmoja wao aliamua kuongea,
"kwanini umemuua Mfalme wetu...!?" aliongea huku akipeleka lawama kwa Yoashi na wenzake walianza kuongea kama mwenzao wakimulaumu Yoashi.
"Umemuua Mfalme wetu" mwingine nae aliongea.
"Mnanisingizia nyie ndiyo mliomuua Mfalme wenu wenyewe" Yoashi aliamua kujitetea hakutaka kupewa kesi isiyo kuwa yake.

Kutokana na uwingi wao walimwaminisha Princess Herodia kuwa Yoashi ndiye kamuua Mfalme wao na Princess Herodia pasipo kufikilia aliyaamini maneno yao nakuamua kumfata Yoashi alipokuwa amesimama.......ITAENDELEA.

Yoashi ataongea nini mbele ya Princess Herodia ili amwamini kuwa hausiki na kifo cha Mfalme Efroni..?. sehemu ya 3 ina majibu zaidi.

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......02 ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu

akiwa kasimama mbele yake tena akiwa na walinzi wakutosha........

ENDELEA NAYO...
"Huwezi kuondoka kirahisi hivyo Yoashi, nilijua lazima Princess Miriamu akushauri wewe kutoroka......Prince Yoramu aliendelea kuongea......kitu usichokijua ni kuwa hisitoria yako yote naifahamu ndiyo mana sitaki kuona ukienda mbali na ufalme huu" Prince Yoramu aliongea maneno yaliyomfanya Yoashi mwenyewe ashangae na kumsogelea.

Zilikuwa ni tarifa mpya kwake kwani ata yeye alikuwa hajui hisitoria ya maisha yake.
"Nini unachoongea Prince...!?, naomba uniambie vizuri mimi ni nani na wazazi wangu wako wapi..!?" Yoashi alimuuliza lakini Prince Yoramu aliwageukia walinzi wake.
"Mpelekeni ndani na muwe makini nae, hakikisheni hapati nafasi ya kutoroka kwenda sehemu yoyote ile " Walinzi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya-02-ilipoishia-bahati-mbaya-ilikuwa-kwake-kwani-alishan

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME).  Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME). Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

562
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘

538
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

524
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

376
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

329
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

226
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

92
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest