Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 02
Gonga94 · Stories

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
TAMU YA HOUSEGIRL

SEHEMU YA 02

"Dada shikamoo" Mwaneke alimsalimia bosi wake huyo badala ya kujibu swali aliloulizwa
"Shikamoo inaniongezea nini mimi Mwane, nataka jibu la swali langu na siyo unanitazama kama ndumi la kuwili hapa?"

"Mimi kaka aliniita tu kunipa maagizo wala sikumwambia kitu chochote, mbona hakuna tulichoongea mimi na yeye dada?"
"Una uhakika?"
"Ndiyo dada"
"Mwane, ujitazame, humu ndani umeingia kwa huruma tu, wadada wenzio hawakaagi humu siku mbili tu wanaondoka kwa sababu huwa sipendagi ujinga na sijuagi kucheka cheka na mjinga hata siku moja"

"Nakuelewa dada"
"Potea, kuna nguo zinakusubiri na kazi zote humu ndani zifanyike sasa hivi, mimi naenda zangu saluni saa hizi"

"Sawa dada" Mwaneke alimuitikia bosi wake huyo akimpita huku akisonywa, Yunisi akarudi chumbani kwake taratibu huku Mwaneke akielekea chumbani kwake na alipofika alikutana na simu yake ndogo 'kiswaswadu' ikiita kitandani akaichukua na kutazama namba ni ya Benson, baba mwenye nyumba, mke wa Yunisi, kabla hajaipokea akaweka koo lake vizuri kwanza akirekebisha sauti kisha akaipokea na kuweka sikioni bila kuzungumza chochote

"Mwane"
"Abee kaka?" aliongea kwa sauti ya kubana, ya kudeka
"Vipi salama, upo nyumbani?"
"Nipo nyumbani kaka"
"Oooh huyo mwanamke yupo?"
"Mwanamke gani kaka?"
"Mke wangu"
"Yupo ila atatoka anataka kwenda saluni nadhani, kwani namba yangu umeipata wapi kaka mbona sijawahi kukupa?"
"Kwani vibaya mimi kuwa na namba yako Mwane?"
"Hamna nimeuliza tu siyo kwa ubaya"
"Nimeipata kwa huyo mwanamke nimeichukua kwenye simu yake"

"Oooh sawa"
"Sasa na wewe mbona namba yangu umeniitikia tu haraka haraka ikionekana kabisa umeisevu, umeipata wapi, kwani nilikupa namba yangu?"

"Aaaamh hamna mimi nimee...nimee.." Mwaneke alishindwa kujibu akijiuma uma maneno tu, akitafuta cha kusema

"Oky tuyaache hao, atarudi saa ngapi huyo aliyeenda saluni?"
"Mh sijajua saa ngapi ila akiendaga saluni mfano saa hizi asubuhi basi kurudi ni saa kumi na mbili jioni au saa moja moja hivi, harudigi mapema kivile"

"Sawa asante" Benson alijibu na kukata simu
"Mh mbona maswali mengi leo huyu mwanaume kulikoni?" Mwaneke aliguna huku akiitazama simu,

"Wewe mjinga mjinga" alikaripiwa akashtuka kutazama mlangoni alimwona Yunisi mke wa Benson akiwa amesimama anamtazama

"Abee dada?"
"Yaani nimekwambia ufanye kazi wewe unaongea na simu na mabebi zako?"
"Hamna ni kaka yangu tu huyu"
"Na hiyo simu ipo siku yake nitaitupa chooni, nguo zinakusubiri nje, haraka sana"
"Sawa dada" Mwaneke alijibu kwa hofu na kutoka haraka haraka akimpita bosi wake huyo mlangoni huku akisonywa, alipotoka nje akakutana na mlima mkubwa wa nguo za mwanamke huyo na mumewe, zikimsubiri, akatoa macho kwa mshangao, zilikuwa nyingi, za kawaida mpaka za ndani...

Benson baada ya kukata simu ya Mwaneke akatabasamu na kuirudisha mezani
"Mbona unafurahi mwenyewe Ben umepata mchepuko nini?" mfanyakazi mwenzake aitwae Kassim alimwuliza
"Hamna, dada wa kazi tu"
"Ndo kakuambiaje tena mpaka ufurahi, umemuelewa nini?"
"Hamna, ila naenda nyumbani saa hizi kuna dharura kidogo"
"Dharura wapi wakati nimekusikia unaongea na simu sijui mkeo anatoka nyumbani hayupo, naona kabaki housegirl peke yake mzee unaenda kujilia vyako"
"Hamna siyo kweli"
"Siyo kweli wapi, wewe nenda kale bwana, kapige vyako, mke akijisahau wewe kung'uta dada wa kazi usirembe bob, ningekuwa mimi nishamla zamani sana, anaonekana kakuelewa huyo" Kassim aliongea kwa msisitizo akimwacha mwenzake huyo anajikuna kichwa akiwa anatafakari cha kufanya

"Sijawahi kuchepuka na kuwaza ujinga kama huu lakini safari hii itabidi tu" aliongea akifunga laptop yake na kuinuka akichukua ufunguo wa gari, safari tayari kuelekea nyumbani...
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02

TAMU YA HOUSEGIRL

SEHEMU YA 02

"Dada shikamoo" Mwaneke alimsalimia bosi wake huyo badala ya kujibu swali aliloulizwa
"Shikamoo inaniongezea nini mimi Mwane, nataka jibu la swali langu na siyo unanitazama kama ndumi la kuwili hapa?"

"Mimi kaka aliniita tu kunipa maagizo wala sikumwambia kitu chochote, mbona hakuna tulichoongea mimi na yeye dada?"
"Una uhakika?"
"Ndiyo dada"
"Mwane, ujitazame, humu ndani umeingia kwa huruma tu, wadada wenzio hawakaagi humu siku mbili tu wanaondoka kwa sababu huwa sipendagi ujinga na sijuagi kucheka cheka na mjinga hata siku moja"

"Nakuelewa dada"
"Potea, kuna nguo zinakusubiri na kazi zote humu ndani zifanyike sasa hivi, mimi naenda zangu saluni saa hizi"

"Sawa dada" Mwaneke...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tamu-ya-housegirl-sehemu-ya-02

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tamu-ya-housegirl-sehemu-ya
TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 01
TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 01
TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 03
TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

563
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

526
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

391
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

235
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

145
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

39

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest